"Usiwatese binadamu wenzio, alowanyima ndio yeye aliekupa" Hakika tumejifunza mengi kupitia nyimbo zako ndugu yangu. Pumzika kwa amani ndugu yetu, kaka yetu, mjomba wetu, baba yetu na mtanzania mwenzetu.
Nyimbo hii inanikumbusha mbali wakati nikiwa kwenye ajira na Shirika lilokuwa linaisaidia serikali sasa kuna mzee mmoja alikuwa kama mungu mtu kugawa riziki leo tunae mtaani kweli mpanda ngazi hushuka.
TBC mkiamua mwaweza. Mbona mlikuwa na vipindi kama zilipendwa, wimbo niupendao, chaguo la msikilizaji na vingine vingi. Amueni kuterejeshea burudani zetu. Anzisheni kipindi muipe jina la ''TUJIFUNZE KUPITIA MIZIKI WA ZAMANI''
Pia nashukuru mwenyezi mungu kwa uhai.maana nilianza msikiza Marijan miaka za 80s...ningali mdogo sana sana.baba alikuwa na radio iliyotengezwa kwa mbao..mungu si athumani...leo tarehe 31/5/2019
Haya mahojiano ya jabali la muziki unaweza kufikiri yamefanyika hivi karibuni. Maana aliyoyaongea mengi yanahusiana na kile kinachoendelea katika mziki wetu mpaka leo.
Dunia uwanja wa Fujo kiukweli dah jabali ulifikiria nini kaka yangu. Na sauti yako ya kughani iliyoshamili mawimbi murua yenye burudani mvuto na hisia kali sana... Rest In Power marijani mtoto wa Rajabu
Leo tarehe 23/02/2019. bado nakusikiliza marijani Mwana wa rajabu. Nakumba wakati ule nipo Schule 1984 namkumbuka sana marehemu Baba na redio yake 277 ardhi imekula sana
Nililowa sana 1995, siku RTD, ktk muda wa matangazo ya vifo, ilipotangaza, "Mama Marijani, Rajabu anasikitika kutangaza kifo cha mwanawe, Marijani... " Ni mwimbaji aliyeiadilisha jamii, Mungu ndiye Mjuzi wa Yote, anajua nani wa kumsamehe, na nani wa kumwadhibu.
Seth Martin Marijani hapa umeniudhi kwa kumuita Idd Amin Dada kama ni mwendawazimu wakati yeye alikuwa ni mujahidina mkubwa sana . Tambua hivi sasa yuko peponi anakula bata.
Dunia uanja wa fujo hakika jabar yupo Bora mno moja kati ya nyimbo bora mno kuwahi kutokea na hakika dunia ni uanja wa fujo😊
Marijani anatusihi tutende mema! Kwani hapa hapa duniani hatuna mji udumwuo! Punzika salama jembe!
"Usiwatese binadamu wenzio, alowanyima ndio yeye aliekupa" Hakika tumejifunza mengi kupitia nyimbo zako ndugu yangu. Pumzika kwa amani ndugu yetu, kaka yetu, mjomba wetu, baba yetu na mtanzania mwenzetu.
Dunia imewashinda wahenga wenye ujuzi, wametoweka na kuiacha vile vile...mafunzo makubwa. RIP MWANA WA RAJABU
Nyimbo hii inanikumbusha mbali wakati nikiwa kwenye ajira na Shirika lilokuwa linaisaidia serikali sasa kuna mzee mmoja alikuwa kama mungu mtu kugawa riziki leo tunae mtaani kweli mpanda ngazi hushuka.
Akika yako mengi yakujifunza nayo ayata isha mpaka mwisho wa uwayi wa mtu ivyo ni mungu tu ajuwaye yote🎤📻
TBC mkiamua mwaweza. Mbona mlikuwa na vipindi kama zilipendwa, wimbo niupendao, chaguo la msikilizaji na vingine vingi. Amueni kuterejeshea burudani zetu. Anzisheni kipindi muipe jina la ''TUJIFUNZE KUPITIA MIZIKI WA ZAMANI''
Pia nashukuru mwenyezi mungu kwa uhai.maana nilianza msikiza Marijan miaka za 80s...ningali mdogo sana sana.baba alikuwa na radio iliyotengezwa kwa mbao..mungu si athumani...leo tarehe 31/5/2019
Haya mahojiano ya jabali la muziki unaweza kufikiri yamefanyika hivi karibuni. Maana aliyoyaongea mengi yanahusiana na kile kinachoendelea katika mziki wetu mpaka leo.
Dunia uwanja wa fujo linga tuu cheo dhaman
MARA KWA MARA HUWA NI KIMSIKILIZA HII NYIMBO NAMKUMBUKA SNA MAREHEMU KIPENZI BABA YANGU KIPENZI OMARY MZIMA RIP MY DADY
Pole kamanda dunia tunapita
Aamin.Nami namkumbuka sana baba(ALLAH awarehemu wazazi wetu walitangulia mbele ya haki
Mwana wa Rajab
Nyimbo zako zitaishi milele
Sana yanii
Aliyekuumba ndiye aliyewanyima! Jinyenyekeze dunia. Wako wapi waliojigamba Jana?
Michozi imenitoka walah😭😭 Dunia hii.leo 2019 nasikiliza hii kitu
Dunia uwanja wa Fujo kiukweli dah jabali ulifikiria nini kaka yangu. Na sauti yako ya kughani iliyoshamili mawimbi murua yenye burudani mvuto na hisia kali sana... Rest In Power marijani mtoto wa Rajabu
One of the best track from marijani with a nice msg
Mwamba alifanya kazi yake akaondoka, R.I.P. Marijani.
It's true that MARIJANI RAJABU was talented musician
Hizi nyimbo kamwe hazitajirudia tena
Leo tarehe 23/02/2019. bado nakusikiliza marijani Mwana wa rajabu. Nakumba wakati ule nipo Schule 1984 namkumbuka sana marehemu Baba na redio yake 277 ardhi imekula sana
Hii nyimbo imebeba ujumbe mzito sana
Ardhi inameza watu....
Sana yani..
ama kweli muziki kwa wanamuziki ,usanii kwa wasanii
Mungu akurehemu mzee marijani hakika nyimbo zako bado hajatokea wa kuziba pengo
Huu ni zaidi ya muziki, hizo tungo zinaashiria marijani ni nguli...
Ndugu yangu tizama unapo kwenda vilevile kumbuka ulipotoka mafundisho mazuri sana
.....mpaka kaikimbia Uganda, lakini jiulize yuko wapi.... Jabali huyo
Na usisahau aliyemtoa Nduli na yeye yuko huko akhera..
mwamba keshaongea na kaondoka zake,, sasa we mjukuu endelea kukaza fuvu
HUYU JAMAA ANAJUA SN MPAKA ANAKERA AISEE
Sio. Watoto. Wareo. Awaimbi. Wanatukana. Hindio. Miziki. Inaerimisha. Wazamani. Oyeeee. Ukipamesejiii. Punga. Mkono. Juu
Usimsikilize nenda kanywe gongo!😅😅
Inafaa kwenda nayo polepole,haifai kujiweka kifua mbele,ubinadamu hujafa hujaumbika,cheo ulicho nacho ni dhamana,usisahau mpanda ngazi pia ushuka,kula ugali wako ukalale.
Still good advice that will live forever!Enjoying as I am celebrating Rais Mama Suluhu.Thank you Marijani!
Kuna Muhaya alimkera sana akaamua kumtungia huu wimbo!
Uhaya utakusaidia nini ...😂😂😂😂kula ugali wako ukalale 😢😢😢 Alimnanga vibaya 😂😂😂😂😂😂
Ukweli mtupu..
Jabar
2020 marijani pumzika siachi kuaikiliza
ni kweli kabisa dunia ni uwanja wa fujo, hizi ndio nyimbo zenye maana, Kwa kuwa zina ujumbe wa kweli
01.06.18.R.I.P.mzee Marijani.
Mm sitii neno hapo saluti kwake Mungu muweza ampe mwisho mwema
RIP IN JEMEDARI WA MZIKI AFRIKA MASHARIKI MARUJAN RAJABU
Nililowa sana 1995, siku RTD, ktk muda wa matangazo ya vifo, ilipotangaza, "Mama Marijani, Rajabu anasikitika kutangaza kifo cha mwanawe, Marijani... " Ni mwimbaji aliyeiadilisha jamii, Mungu ndiye Mjuzi wa Yote, anajua nani wa kumsamehe, na nani wa kumwadhibu.
Huyu jamaa ndiyo maana aliitwa jabali la muziki TZ. Wimbo unaburufisha na kufunfisha wakati huo huo. RIP Marijani Rajabu
Watu wengine thamani yao huongezeka wanapotoweka duniani mfano marijani.R.ip jabali
Seth Martin Marijani hapa umeniudhi kwa kumuita Idd Amin Dada kama ni mwendawazimu wakati yeye alikuwa ni mujahidina mkubwa sana . Tambua hivi sasa yuko peponi anakula bata.
Walipita wengi wakaicha dunia RIP marjan
nyimbo za zaman zilikuwa na mfunzo
Nazipataje hizi nyimbo za kale nazihitaji
Rtd
Wimbo huu unamaana Kweli. Tusingatie haya maneno .
Hakika kula ugali ukalale zako ! Uhai hautakusaidia !
Ubaya utakusaidia nini?
Swali wahenga.hapa nani kapiga solo na trumpet nani ?
Ubaya utakusaidia nini? Kula ugali wako ukalale.hizi ndio nyimbo sasa!!!!
Rahaa
Ww acha tu
usisemeivyo minatamani zijiludie yan
2023🇰🇪✨