Sawa kabisa!! Mtu kamsema vibaya kiongozi wako ukawa hukuona. Wanasiasa kwenye utumishi wa umma kuna maadili mfano mavazi mwonekano na namna ya kuwasiliana kama lugha hadhira na namna ya kujieeza. Mtu mwingine anapokuuliza swali kisha ukatasam au kucheka, huyo anayekuuliza wakati mwingine huhisi kuwa unamdharau.Hata hivyo viongozi wanapododosa maswali mbele ya hadhara tayari wanakuwa na taarifa zote.Mkuu wa mkoa hakurupuki anakila taarifa. Wateule wa rais igeni mfano wa Makonda badala ya kumhukumu. Mlipaswa kumuuliza kwanza huyo mnaye mtuhumu kumsema
Mshindwe mnaomtafuta Makonda kumdhoofisha asifanye kz take nzr. As wananchi tunafrahi kwa mwendo huu wa papo kwa papo. Waziri mkuu na Makonda ni mfano mzr wa kuigwa. Fateni utawala uo wapigaji wabaneni hivohivo.
Naomba kuuliza maneno ya makonda kumzalilisha huyo na maneno aliosema mange kwa raisi samia yupi alie zalilishwa mlikua wapi au mlimtuma mange amzalilishe raisi au hili zito kuliko lile watoto wanabakwa kilasiku mbona hamsemi? Acheni ujinga
Huyu anaedai Mh Makonda amedhalilisha ni wahuni kwasababu mtu anaulizwa maswali anajitia kujichekesha hizo hujui ni Crush kwa Mh kwani hapo yuko kutafuta CRUSH ZA WANAWAKE AMA YUKO KIKAZI? Kabla ya kusema ama kuamdika lazima ufikirie kabla ya action ( kusema). Mh Makonda chapa kazi wachovu wajinyonge
Wanawake punguzeni shobo waganga wanawadanganya sana huyu dem kadhalilishwa wapi au yeye ndo kamdhalilisha makonda wetu? Shindwa pepo la ngono kwa viongozi wetu shupavu na hapa naongea kama mwanamke sioni dhalilisho lolote alikuwa anamchekea ili iweje kwani wanaume hawana hak? Acheni dhana ya kukimbilia kulialia ili muonewe huruma
Makonda huyu aliyezuiliwa kwenda marekani bora asiende maana ni muhimu kwetu watamuua huko wasiopenda nchi yetu na wanasiasa wengine wanaojiita wanaharakati kwa bongo sio wanaharakati bali ni wanamichongo
Makonda kuna wabaya wako wanasema uli mdharilisha huyo mwana mke sasa hapa nawauliza wao wameona ninamnagani huyo mama kadharilishwa? Wanafiki sana hao wanao kusema vibaya tunakuombea mwenyezi MUNGU asimame na wewe mh makonda
Kama kiongozi ni lazima kujua matumizi ya lugha. Huyu dada anaweza kumshtaki mahakamani kwa kosa la udhalilishaji. Amemfedhehesha sana dada huyu.anatakiwa kuomba msamaha haraka iwezekanavyo
@@latestfunnyvideo2187 angalia mimi 👍3 wewe moja tu. Mimi ni CCM tangu TANU hatutaki unyanyasi ndani ya chama chetu ubabe anaofanya Makonda huwa tunasema what goes around comes around.

Nakuombea makondaa miaka inayokuja ushikilie nch! Naamin wewe unaweza ongoza! Kunyosha wabishi! Pia unamoyo wa huluma sana mngu akusimamie maish
Amemdhalilisha kwa lipi makonda chapa kazi mungu yupo nawewe
Makonda upo sahihi kwa ukali uliotumia!!! Majambazi siyo watu wakuwachekea
Daaah kiongoz mzur sana 😊😊
Ukuu wa mkoa haukutoshei mheshimiwa Makonda ni maombi yangu Mungu akuponue uwe Waziri mkuu au hata Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Katika hayo mawili atapata kimoja maana ananguvu ya kisiasa na ushawishi mkubwa kwa wananchi
Mshindwe mnaomtafuta Makonda kumdhoofisha asifanye kz take nzr. As wananchi tunafrahi kwa mwendo huu wa papo kwa papo. Waziri mkuu na Makonda ni mfano mzr wa kuigwa. Fateni utawala uo wapigaji wabaneni hivohivo.
HELA ZINAPIGWA HAMSEMEI HAYO BADALA YAKE MNASEMA KAZALILISHA MTU . MLIOSEMA HAYO MJITATHIMINI HARAKA SANA.
BALIKIWA saaaana mkonda utatufuta machozi watanzania tunaona kazi zako BALIKIWA saaana
Fanya kazi baba hizo ni kelele za chura hazimnyimi ng,ombe kunywa maji.
Naomba kuuliza maneno ya makonda kumzalilisha huyo na maneno aliosema mange kwa raisi samia yupi alie zalilishwa mlikua wapi au mlimtuma mange amzalilishe raisi au hili zito kuliko lile watoto wanabakwa kilasiku mbona hamsemi? Acheni ujinga
Bangi na njaa haziendani
Nasema makonda Fanya kazi ...Mungu yupo na wewe ..waja hawana jema
Huyu anaedai Mh Makonda amedhalilisha ni wahuni kwasababu mtu anaulizwa maswali anajitia kujichekesha hizo hujui ni Crush kwa Mh kwani hapo yuko kutafuta CRUSH ZA WANAWAKE AMA YUKO KIKAZI? Kabla ya kusema ama kuamdika lazima ufikirie kabla ya action ( kusema). Mh Makonda chapa kazi wachovu wajinyonge
Wanawake punguzeni shobo waganga wanawadanganya sana huyu dem kadhalilishwa wapi au yeye ndo kamdhalilisha makonda wetu? Shindwa pepo la ngono kwa viongozi wetu shupavu na hapa naongea kama mwanamke sioni dhalilisho lolote alikuwa anamchekea ili iweje kwani wanaume hawana hak? Acheni dhana ya kukimbilia kulialia ili muonewe huruma
Makonda huyu aliyezuiliwa kwenda marekani bora asiende maana ni muhimu kwetu watamuua huko wasiopenda nchi yetu na wanasiasa wengine wanaojiita wanaharakati kwa bongo sio wanaharakati bali ni wanamichongo
"U Miungu Watu Tanzania hii hauta Isha" God is able😊😊
Sijaona alipodhalilishwa, aliwekwa sawa tu ajue mkuu wa mkoa hafanyi maigizo, na baada ya kushituliwa alikaa vizuri. Makonda hoyeeee!!
Fanya kazi makonda
Makonda piga kaziiii wale wanao kusema umemzarilisha niwabaya wako wanafiki MUNGU anawaona
Wallahi pesa za Wananchi zitawatoka mapuani Siku ya hukumu
Mbona sioni udhalilishaji.,jamani msema kweli anakuwa mbaya tena?? Hii nchi vp😢
Hawalipi mafundi hao niwarushi sana mafundi wengi hua hatupendi kazi zao wanarusha sana hao
Hahahahaha
Big up makonda tetea pesa zetu mizij tu
👏👏👏👏👏👏 Safi baba
Uko vizuri sana makonda waseme tena
Hao wakienda kununua matirio huwa wanaongezaana bei
Haki sawa alafu baadae unaleta jinsia
Bashiteeeeee oyeeeeee
Watanzania acheni makonda apige kazi sasa apo kakosea nn kutaka watanzania wajue ukweli makonda m
Mama Samia unakwamishwa tunakuchukia kumbe Kuna watu wanakuharibia daa
Nakuobea miaka mingi makonda
Acheni shobho mnao msakama makonda ,mmejaa roho mbayatu
Mungu akusimamie Makonda
Au sio
Safiii makondaa🎉🎉🎉🎉
Yaani urithi wa akili na tabia ya mpendwa wetu Magufuli
Makonda huna akili
Sasa hapo kuna mtu amezalilishwa?
Hela zinaibwa watu hawasemi jamani!!
Kuingoza umeme 160000000 mko vizuri uo ni umeme tuh
Samahani mh yalikua 18 ko ukikaa apo ya kaongezeak yaka 48 itakuwaje ay tuendelee
Kamzalilisha Nini, ninyi mnaotetea mafisadi wa hii awamu ya sita,eti haki za binadamu
hajazalilishwa
Hii siyo awamu ya sita ni ya tano awamu mpaka ufanyike uchaguzi mkuu wa vyama vingi
Piga kazi baba hii nchi yetu sote
Makonda kuna wabaya wako wanasema uli mdharilisha huyo mwana mke sasa hapa nawauliza wao wameona ninamnagani huyo mama kadharilishwa? Wanafiki sana hao wanao kusema vibaya tunakuombea mwenyezi MUNGU asimame na wewe mh makonda
Umekiuka umezidi hiyo sio sahihi umemshushua sn
Ulitaka amuambie kama mamaake,,??? Hata mwanao kuna vitu ukimuambia kwa kubembeleza hatokuelewa
Tatizo mmetanguliza uke wenu mbele, akiambiwa mwanaume hakuna shida ila nyie ndo midomo mbele km filimbi
Acheni ujanajike mkiwa kazini shenzi
Hakuna muhishiwa yeye anajali utu saafi sana
Sio kama ni vibaya kujua mali za watanzania zinatumika vip
Ulaji ulaji ulaji. Hata wajitete vipi
Sasa anataka dada atoe wapi pesa yaani?? Jamaa ana akili ya ajabu Sana
Yy ndo injinia anajua Hela ziko wapi
Wanawake Wanadai haki zao😂😂
Kama kiongozi ni lazima kujua matumizi ya lugha. Huyu dada anaweza kumshtaki mahakamani kwa kosa la udhalilishaji. Amemfedhehesha sana dada huyu.anatakiwa kuomba msamaha haraka iwezekanavyo
Embu kwendraa zenu huko mnajua udharilishaji ulivyo au mnaongea tu mumuache makonda wetu acheni makasiriko nyie ndo machawa wa mafisadi dadekinzenu😏😏😏😏
kwendaa huko unaelewa kudhalilishwa wew?
Kamsaidie kushitaki 😂
@@daudimichael7338 mwambie aje USA uone kama ana dakika tano uraiani njoo nae pia ukitaka
😅
U
Muonevu sana wewe jamaa
Amefanya kosa gani binti wa wenyewe? Bully
Wewe ndezi kweli hujaona kosa lake??😮
@@cmellengotila1803 NYIE MADIKTETA SIKU ZENU ZINAHESABIKA PUNGUANI WEWE
@@cmellengotila1803 bullshit pumbavu na shoga wewe
Ukiwa upizani sio upinge kila kitu
@@latestfunnyvideo2187 angalia mimi 👍3 wewe moja tu. Mimi ni CCM tangu TANU hatutaki unyanyasi ndani ya chama chetu ubabe anaofanya Makonda huwa tunasema what goes around comes around.
Makonda una pasuka ndomo.
Aliteleza