WAZIRI SILAA ALIVYOKATAA RUSHWA YA MIL.300/=, KUTOKA KWA MATAJIRI WA KITUO CHA MAFUTA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2023
  • #itvtanzania #silaa #rushwa
    Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our RUclips Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

Комментарии • 114

  • @frankmwakibingafm5266
    @frankmwakibingafm5266 5 месяцев назад +6

    Mungu akubariki waziri Rushwa ni adui wa haki Hongera sana

  • @user-qu1mq2ik2e
    @user-qu1mq2ik2e 6 дней назад

    Hongera siraa wewe ni mja mungu barikiwa sana

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 5 месяцев назад +18

    Mngekua mnatoa haki kwa watu wa Hali ya chini pia mngetisha sana,lkn uyo mwekezaji kajenga sehemu ya vigogo lazima atolewe lkn vipi wananchi wa Hali ya chini???This is not fair kwa kweli😢

    • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
      @kwayaviwawaparokiayabashne9281 5 месяцев назад +1

      Kweli kabisa umenena

    • @mussarashid2216
      @mussarashid2216 5 месяцев назад +1

      Waziri anajitoa KIFUA MBELE kisa KITUO cha MAFUTA kakataa Mill 300 lakin kuna Wananchi WAMEBOMOLEWA huko nyumba zao mpaka RC kaenda baada ya Waziri kwenda kusaidia mamia wanaolala nje eti kwa vile TIBAIJUKA na bado analala ndani lakin WAZIRI kaenda nchi hii bana

    • @feisalboy6702
      @feisalboy6702 5 месяцев назад

      Siasa mbaya hizi

    • @fidemgonja1966
      @fidemgonja1966 5 месяцев назад

      Kwaiyo gbp kajichanganya. Kujenga eneo la vigogo😀😀😀

    • @SaidiMkome-qq7hy
      @SaidiMkome-qq7hy 5 дней назад

      Tatizo ufatilii uyo jamaa au umecoment tyuu😂😂

  • @fadyaarif5909
    @fadyaarif5909 5 месяцев назад +3

    Hongera sana Mh waziri

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 5 месяцев назад +3

    Mh waziri kama kweli uko na haki na unasimamia neno la MUNGU basi Mungu atakulinda na kukupa heshima ambayo pesa kwako haitakuwa ni kitu ila atakupa nafasi ambayo heshima yake itakuwa juu na mbinguni atakungoja kukulaki Kwa uwaminifu wako katika dhamani hii ....ukuwengine makampuni binafsi yameharibu maeneo yetu wamepitisha BARABARA kupasua maeneo yetu na kusababisha viwanja viingiliane Sana dodoma ....mh waziri hii Kazi Mungu akushike mkono Kwa kukupa afya ,nguvu ,hekima na maarifa mwili wako ufumwe na kulindwa na damu ya Yesu

  • @sunyareh
    @sunyareh Месяц назад

    Mungu akubariki Kwa kila siku ya Maisha yako.. Asante kwa kua Mzalendo halisi shujaa wa kipigania haki..

  • @michaelayubu9100
    @michaelayubu9100 5 месяцев назад +4

    Mungu akutunze mh waziri

  • @user-yk5gm5qj4u
    @user-yk5gm5qj4u 3 месяца назад +2

    Good speach mh.slaa

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 5 месяцев назад +2

    Mungu akubariki baba. Rushwa ni adui wa haki.

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 5 месяцев назад +3

    Congratulations Mheshimiwa wewe kama mimi rushwa hapana

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 5 месяцев назад +1

    Well said honorable

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 месяца назад +2

    Mwenyez mungu akubariki wazir

  • @endwardntandu3736
    @endwardntandu3736 11 дней назад +1

    Hakika waziri slaa na mh makonda ninyi ni wazalendo wa watanzania mungu aendelee kuwalinda

  • @ayubujohn8320
    @ayubujohn8320 14 дней назад +2

    Waziri Yuko vizuri ila Hilo bango linaziba mpaka video wakuu

  • @user-dg3me6tq5y
    @user-dg3me6tq5y 2 месяца назад

    Hongera Mh. Waziri wa Ardhi na MAENDELEO ya Makazi. Watanzania wako anataka kumharibia WEWE na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

  • @edisonkalikawe7618
    @edisonkalikawe7618 5 месяцев назад +2

    Mungu akubaliki sana🙏, kwa kulishinda pepo la tamaa

    • @ruhindacostantine2092
      @ruhindacostantine2092 5 месяцев назад

      Hongera sana ndugu waziri nilikuwa ckujui vzr leo nimekufahamu

  • @salumally663
    @salumally663 5 месяцев назад +3

    Vizuri sana mheshimiwa barabara kwenda moroco vituo vya mafuta kama upupu....this is madness...

  • @IsmailElmazroui
    @IsmailElmazroui Месяц назад

    Allah akubarik kiongoz

  • @SiwemaAnwar
    @SiwemaAnwar 3 месяца назад

    Mungu akubariki sana

  • @user-pq4nt2vq4g
    @user-pq4nt2vq4g 7 дней назад

    Hata sisi huku Kenya tunataka jeshi kama huyu ,kijana mdogo lakini akili inalingana na karai ,hekima kama yote ,Mungu amewaleta ilimsaidie wanyonge tz ,ooh God ,tuletee kama Hawa ,Makonda ,silaa.

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 5 месяцев назад +1

    Bravo waziri.
    Waoneshe kuwa sio kila kiongozi anapokea rushwa.
    Pesa zao ni mauti ya wanyonge.

  • @ephraimndelwa4073
    @ephraimndelwa4073 5 месяцев назад +4

    Waziri huyu nilikuwa simpendi tangu wkt wa bandari, sasa nampenda kwa maelezo yake

  • @user-jc6dk2fe8g
    @user-jc6dk2fe8g 5 месяцев назад +2

    Waziri Ana chembechembe za ukaburu. Kumwambia mfanyakazi si mzaliwa wa kinondoni ni ubaguzi usio na tija. Mngempanga alikozaliwa kama sehemu aliyozaliwa ni muhimu

  • @Ezekiel-rh2ni
    @Ezekiel-rh2ni 3 месяца назад +3

    For sure waziri yupo vzr kwenye swala la sheria

  • @GodlivenMaximillian-ot7mg
    @GodlivenMaximillian-ot7mg 5 месяцев назад +2

    Tumewekwa hapa kuwa "The voice of the voiceless" hilo ni Jambo kubwa Mh. Waziri

    • @josee8224
      @josee8224 5 месяцев назад

      voiceless wenyewe sasa...1 Tibaijuka...2...3...4....

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 5 месяцев назад +2

    Jerry kama ni kweli umekataa hiyo hela, Mungu atakuongezea mara 10 zaidi. Ubarikiwe

    • @user-yk5gm5qj4u
      @user-yk5gm5qj4u 3 месяца назад

      Ni kushinda tamaa post to ya uwaziri Ina posho nzuri sana mshara nzuri, kiukweli ukishinda tamaa cheo tu kinatosha say ukihudumu 3 to 5years or ten kazi tu acha vibahasha vya kawaida visivo rushwa... Kahawa ama lunch ... Uwaziri unatosha

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 5 месяцев назад

    Safi sana

  • @user-ps6wm2qm4f
    @user-ps6wm2qm4f 5 месяцев назад +2

    Nimekufurahia sana.Sipendi RUSHWA kabisa.

  • @tanzaniantraveller
    @tanzaniantraveller Месяц назад +1

    Kwakweli MUNGU amemmulikia mh. rais wetu kuwapata viongozi wa namna hii

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 5 месяцев назад +3

    Umeonyesha ujasiri.
    Miji inaharibika sana.

  • @fredymapunda1768
    @fredymapunda1768 5 месяцев назад

    He sound so good

  • @judicalosika7642
    @judicalosika7642 5 месяцев назад +2

    MILION MIA TATU (300,000,000/=)
    YAANI UNAPEWA TU!,
    YAANI UNALETEWA!!
    YAANI UNAIMBEWA TU MILLIONI Miatatu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
    Haka ka-Nchi Katamu Mno!

  • @estherngela9765
    @estherngela9765 11 дней назад

    Mungu akubariki baba wewe na Makonda mnawafuta machozi wanyonge na walio onewa. Wenye pesa hutumia nguvu kudhulumu watu.

  • @edwinmbelle4207
    @edwinmbelle4207 5 месяцев назад +3

    Hongera sana kwa msimamo wa kizalendo , karibu sana Yombo vituka kuna kiwanda kimejengwa kwenye makazi ya watu pia ! Serikali ya mtaa Mzambarauni Kata ya Yombo Vituka, ukuta wa kiwanda umejengwa kwenye hifadhi ya barabara.

    • @feisalboy6702
      @feisalboy6702 5 месяцев назад

      Hilo sahau Kaka lbd muwe mnakaa na washua huko

  • @EstherYoram
    @EstherYoram 5 дней назад

    Natamin na mm nipate hiyo nafasi yani hata aloibiwa au kuzurumiwa chochote hata mia angeipata.

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 5 месяцев назад +1

    Jerry umezingua, unakataaje million 300

  • @zawadjose5440
    @zawadjose5440 2 месяца назад

    Fanya kazi tunakuombea waziri

  • @MussaFundi-rt3wr
    @MussaFundi-rt3wr 2 месяца назад

    Daa,,,,,! Viongoz km nyinyi ndo tunaowataka. M\mungu hemu wafichue viongoz wengine km huyu.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 5 месяцев назад

    Karibu Tabata segerea vinaota kama uyoga

  • @LEO-uq6el
    @LEO-uq6el 5 месяцев назад

    Jembe langu la pili jerry slaa baada ya chalamila safi good reasoning

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 5 месяцев назад +1

    Yeah!Kufuata taratibu ni muhimu ila pia tusizipige vita sheli ni huduma 😢 sana kwa jamii pia hukuza miji na kufanya ipendeze .Siku ukikosa mafuta ndo mtajuwa umuhimu wa sheli

  • @estomiailomo7844
    @estomiailomo7844 2 месяца назад

    Najua ww ni msikivu kuna kituo mkoa wa songwe kimejengwa kalibu na kituo cha police je ni sahii hii kweli

  • @camiliuskilenga6304
    @camiliuskilenga6304 5 месяцев назад +1

    Kweli mueshimiwa waziri haki huinua wengi bali dhambi niaibu MITHAL 14:34.

  • @fadhilikyandofadhilikyando5666
    @fadhilikyandofadhilikyando5666 9 дней назад

    Jamanii huyu jamaa mwambaaaa huyu

  • @juliusngavatula243
    @juliusngavatula243 5 месяцев назад +1

    Bloo geuza shiling

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s 5 месяцев назад

    ndio maana magufuli aliwafilisi.sheria sheli ijengwe pembeni sio kwenye makazi ya watu. Kila kona sheli. Hamisha watu. Weka sheli. Sio haki. Wenye viti wananjaa hao. Hawana ubinadam. Uko vizuri sana jery

    • @edwardjohn1507
      @edwardjohn1507 5 месяцев назад +1

      Wakati wanajyenga awo mawaziri warikua wapi naserika

  • @chrispinboniface3329
    @chrispinboniface3329 5 месяцев назад +1

    Unafanya vzur sana, lakin usipoangalia nchi hii imejaa wahuni sana

  • @julianamassawe2508
    @julianamassawe2508 Месяц назад

    Tunakuomba na huku kwetu jamani Mungu akuweke jamani

  • @user-kp9fx7qg8i
    @user-kp9fx7qg8i 5 месяцев назад

    Njoo Na Morogoro tuna Hati zetu zimefutwa na hatuelewi lini tunarudishiwa

  • @user-jb8bo2qw6r
    @user-jb8bo2qw6r 5 месяцев назад +1

    Hongera sana Ndugu Waziri,matajiri nchi hii wamekuwa miungu kabisa.Tangu huyu tajiri aanze kujenga ,Je ,mlolongo wa viongozi hawakuliona Hilo Hadi Mama yetu Tibaijuka na wenzake walipoenda site wakiambatana na NduguChalamila?Hapa iliyotumika ni rushwa tu.Huyu Mkuu wa PCCB hakuona kilichokuwa kinafanyika hapo?Huyu Ndugu yetu wa PCCB kazi hiyo haiwezi,kwani kila mahali rushwa imekuwa jambo la kawaida tangu mwenda zake aondoke.

  • @user-dj3yo4yi4e
    @user-dj3yo4yi4e 5 месяцев назад

    Ni janga la kitaifa, ujenzi wa vituo vya mafuta hata kwenye makazi ya wananchi, ni hatari kwa maisha ya wanadamu, kama sheri ipo, wale wote waliokiuka visima hivyo vibomolewe na siyo vinginevyo.

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 5 месяцев назад

    Ni upande wa kushoto kuelekea Dodoma ukitokea Morogoro Msamvu round about ni Dodoma rd / Njovu

  • @justinmtuku2632
    @justinmtuku2632 5 месяцев назад

    Nakuomba utoe namba mkuu tukupigiye tukuambiye kaka

  • @user-ev6bq9gf1f
    @user-ev6bq9gf1f 3 месяца назад

    Waziri chukua izo milioni mama Samia aaminiki ho utakuja kushukuru baadae

  • @ramadhanikassimu
    @ramadhanikassimu 5 месяцев назад

    Bro achanae uyo

  • @mussarashid2216
    @mussarashid2216 5 месяцев назад +1

    Kwa hiyo hapa Waziri kaenda kwa ajili ya TIBAIJUKA na sio matatizo ya WANANCHI

    • @JacksonNovatM
      @JacksonNovatM 5 месяцев назад +2

      Kwani TIBAIJUKA sio mwananchi??😂😂

    • @mussarashid2216
      @mussarashid2216 5 месяцев назад

      @@JacksonNovatM Kama ingekuwa wananchi wa kawaid kwao ndo kumeeka ichi KITUO cha MAFUTA waziri asingeend na hata RC usingemuona ila kwa vile ni TIBAIJUKA basi serikali imesogea haraka sanaaaaa....
      Na ndo maana nimesema TIBAIJUKA na sio WANANCHO kwa vile TIBAIJUKA sio mwananchi na ukitaka Amini hilo basi leo kwako kuwe na tatizo kama hili ndo utajua we MWANANCHI na wengin sio wananch

  • @petermhagama9952
    @petermhagama9952 5 месяцев назад +1

    NJOO NJOMBE MJINI HAPA JEMBE WAMEJENGA KAMA UYOGA NA MADUKA NDANI.

  • @alfredmbwilo7354
    @alfredmbwilo7354 5 месяцев назад

    Kimara waziri kituo cha mafuta

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 5 месяцев назад

    Sasa si awapeleke Takukuru hao watoa rushwa?

  • @josee8224
    @josee8224 5 месяцев назад +1

    tunataka ajira vijana,changamoto zilizopo zitatuliwe ila kituo hicho kina faida,kodi kwa serikali, na ajira.

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 5 месяцев назад

    Hili ni tatizo kubwa. Ndiyo yaleyale ya wazo wananchi kujenga nyumba moja mpaka 400 ndiyo waje waamishwe bila kujali hasara wanayo pata. Na mamlaka usika ilikua inawangalia tu. Ili tatizo.wawajibishwe kwanza mamlaka usika.

  • @suleimansalym7537
    @suleimansalym7537 5 месяцев назад

    Just imagine tu kma kimejengwa Mbagala au sehemu nyengine yenye watu wasio na sauti hapo Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa tu angetosha ku sort hili jambo na wananchi wangeshindwa maana kma hivi vipo tele lkn hakuna anaesema.😂😂😂😂

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 5 месяцев назад

    Watu wengine wesha piga pesa hapo mpka kupewa kibali fanya operation nchi nzima wapigaji wengi tu Tzd

  • @alfredmbwilo7354
    @alfredmbwilo7354 5 месяцев назад

    Kimara Kaka kituo kipo barabarani kabisa unasemaje hapo waziri

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml 5 месяцев назад

    UMEONA UJILIPUE MAANA MAMA ANGEWATUMBUA PESA BWANA

  • @user-jc8vt7ct9t
    @user-jc8vt7ct9t 8 дней назад

    MUNGU AKUBARIKI KIONGOZI BORA

  • @patrickmipawa1552
    @patrickmipawa1552 5 месяцев назад

    Mh.Waziri shughulikia pia na miradi ya viwanja vya PSSSF hasa mikoa ya Shinyanga na Tabora, wananchi tulionunua tumemaliza malipo yote lakini kupewa hati zetu imeshindikana kabisa, kila kukicha chenga tu, majibu hayaeleweki na pia wanadai wizara yako ndio inakwamisha.

  • @sundaymjeda6468
    @sundaymjeda6468 2 месяца назад

    😅😮😅😮

  • @user-fg2he3dc8s
    @user-fg2he3dc8s 3 месяца назад

    Swala ardhi naona hata selikali inachangia mgogoro sababu hawajweka utaratib mzuri mfano tz ni inchi kubwa Sana lakn utakuta watu wanauana sababu ya kiwanja 7*7 😅 utajiuliza tatizo Kuna tatizo la viwanja jibu ni hapana mfano kufatilia tuu hatimiliki inaweza kukuchukua hata miaka 10

  • @user-to6dh2un9i
    @user-to6dh2un9i 5 месяцев назад

    Watu Wametumia Pesa Zao..Afu Mnaleta Ubabe...Wabomowe Subilini...Makombola...Amisi Kigwangara Yupo Wapi

  • @user-dh7wf5mw4y
    @user-dh7wf5mw4y 3 месяца назад

    Ukowap mheshimiwa waziri

  • @clementgabriel1708
    @clementgabriel1708 5 месяцев назад

    WAZIR KAMA HAITAKIWI BASI NI JANGA LA TAIFA ZUNGUKA NCHI NZIMA UJIONEE MWESHIMIWA NA USHUGHULIKIE NA WANAOWAPATIA VIBALO MAKE SIZANI KAMA WANAJENGA BILA VIBALI

  • @ndiditheodore8272
    @ndiditheodore8272 5 месяцев назад

    300m ni ndogo Sanaaa Ingekuwa ya DP????

  • @user-bd1zr4vn1b
    @user-bd1zr4vn1b 5 месяцев назад

    Kuna tibaijuka hapo lazim rushwa uiteme

  • @aganolamotoeliya2027
    @aganolamotoeliya2027 5 месяцев назад

    Ngoja nione kama utapambana nao maana hivyo vituo vya mafuta ni vya vigogo huko huko serekalini utanyazishwa mda wowote.

  • @kyztzgroupltd9370
    @kyztzgroupltd9370 5 месяцев назад

    Sasa za bongo

  • @user-dh7wf5mw4y
    @user-dh7wf5mw4y 3 месяца назад

    Ukowap shekhe

  • @peterbuberwa
    @peterbuberwa 5 месяцев назад

    Ivyo vituo vya mafuta sikuhizi vinaotesha tu kama uyoga Kila seem sasa ivi kunajengwa vituo vya mafuta tu

  • @madalanasri2226
    @madalanasri2226 5 месяцев назад

    Huyu akili kubwa kama makufuli

  • @user-md7sd3hk6l
    @user-md7sd3hk6l 5 месяцев назад

    nasisi uku wanyonge siyo aotu wastafu

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 5 месяцев назад

    Kibomolewe hakieti raha ni uchafu

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 5 месяцев назад

    Mh sio she'll tu na shule vipi

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 5 месяцев назад

    Njoo Morogoro barabara inayoenda Dodoma ( Dodoma - Njovu) barabara iko upande wa kulia kutoka Msamvu round about ni km 25 na hiyo barabara inaenda kukutana na Iringa road na junction ya Mzumbe University,
    Kuna kituo cha Petrolium kinajengwa hapo kwenye junction ya barabara ya Dodoma na Vunjo ni barabara ya vumbi bado haijawekwa lami na ni makazi ya watu
    Please Mh Slaa tunakuamini na kukujali na utakuja Morogoro
    Be blessed🙏🏼🙏🏼

  • @user-uy8cw3zc4b
    @user-uy8cw3zc4b 5 месяцев назад

    Njoo kasuru kuna mtu amepewa kibari cha kujenga karibu sana na mnara wattcr kasuru ukichelewa tuu utakuta ashaa jenga usipuuzie njoo uone au tuma vijana waje kuona

  • @seifsaidseifsaid1210
    @seifsaidseifsaid1210 5 месяцев назад

    Serikali mnakuwa wapi mpk vituo vinajengwa zaidi ya 200 kwny makazi ya watu. Km sio usanii ni nini. Mnatuletea hadithi ya habunuasi! Wenye akili zao hawadanganyiki.

  • @seifsaidseifsaid1210
    @seifsaidseifsaid1210 5 месяцев назад +1

    Siasa ni mchezo mchafu sana. Wajinga ndio walio. Watanzania bdo kabisa hatujitambui. Wepesi wa kuamini!

  • @ClalenceMtewele-ke1hq
    @ClalenceMtewele-ke1hq 5 месяцев назад

    Aaaa makete na wanging'ombe

  • @mascheranozuber3672
    @mascheranozuber3672 5 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂

  • @samtelah7578
    @samtelah7578 5 месяцев назад

    Nltaka kusema kitu bas tu ngoja ninyamaze

  • @ramadhanikassimu
    @ramadhanikassimu 5 месяцев назад

    Aokinatibajuka wambi wenge makamani

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 3 месяца назад

    Baba waziri ruka nao hao,hapo walahi tatizo lipo.Gorofa nne inajengwa kibanda.Mkuu fanya jukumu lako mh!kama vp bomoa kabisa

  • @user-oh6pc7zd4s
    @user-oh6pc7zd4s 3 месяца назад

    FIDA HUSSRIN NI JAMBAZI WA KUWADHULUMU WANYONGE MALI ZAO MAJUMBA NA VIWANJA VYAO

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 5 месяцев назад

    KASHULIKIE PALE GETI LA STEND YA MABUS YA MSAVU KUNAKITUO HILO ENEO LA SERIKALI.AFROIL AMEPATAJE.HAPO NDO NTAJUA UNACMAMIA HAKI.

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 5 месяцев назад

    Kwa mini hukumripoti takukuru, hapo tungeweza amini maana mtoa rushwa ni mkosaji kuliko hata aliyekusudia maana hukumuomba, chukuwa uko sahihi lkn lazima takukuru wahusishwe❤

    • @user-yk5gm5qj4u
      @user-yk5gm5qj4u 3 месяца назад

      Aaa takukuru Kuna nn hamna kitu baana wewe Bora mara mia kwa kuwa walimtumia rafiki yake hata angemripoti mtu awezaye kuotoa milioni 300 takukuru watamfanya nn watamzunguka waziri wataenda kwa mtoa rushwa kuvujisha Siri kwa 2milion hata 1milion asiitoe ni mtego hivi ndugu yangu unanielewa

  • @husseinadolf9500
    @husseinadolf9500 2 месяца назад

    Mungu akujalie kila la ghery in sha Allah