komando wa Yesu - Hawanielewi (Official Music Video) SMS: Skiza 6983738 to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 июл 2023
  • #0679772248 #Komandowayesu #tanzaniagospel
    Yapo mambo ambayo wanadamu hawawezi kuelewa, Ashukuriwe Mungu anae tuelewa zaidi. Mungu Awabriki
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,7 тыс.

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642  10 месяцев назад +640

    Hello ndugu zangu. kwanza nitangulize shukurani kutoka moyoni kwa kuendelea kunishika mkono kila ninapo toa nyimbo mpya. nimekuja kwenu kwa mara nyingine tena. tarehe 29 jumamosi hii tukutane hapa . kisha ku like ku shere na ku comment. Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏

  • @peterkascratchofficial
    @peterkascratchofficial 9 месяцев назад +127

    Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunakuelewa sana 🙏🙏 WAPI LIKES ZA WAKENYA WENZANGU ❤❤

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642  10 месяцев назад +207

    watu wa kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nimeanza kuwaelewa😃

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642  10 месяцев назад +24

    tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 nione like zenu hapa 😃😃😃😃

    • @JoyceOkatala-gr7wh
      @JoyceOkatala-gr7wh 2 месяца назад

      Mungu akubariki kwa wimbo huu.Joyce from The Netherlands

  • @juliusmgundoy
    @juliusmgundoy 10 месяцев назад +21

    Kama unamkubari @komandowayesu Kama mimi weka like hapa

  • @zablonsaima6024
    @zablonsaima6024 8 месяцев назад +5

    Wanadamu hawanielewi🤔🤗😘
    @ZablonMukungKenya 🇰🇪,,, kazi Maridhawa Komando💪💪, na ninachokijua Wakumwamini ni Mungu tu🙏🙏

  • @nyotashabani9951
    @nyotashabani9951 10 месяцев назад +34

    Wanao subiri,kabla ya wimbo upostiwe tujuane ❤❤❤❤

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  10 месяцев назад +1

      Kesho mapema sana. jamani mnisamehe tu nimewasubiri shana 🙏

    • @clemzevans4155
      @clemzevans4155 10 месяцев назад +1

      Sema kuingoja

    • @nyotashabani9951
      @nyotashabani9951 10 месяцев назад

      @@komandowayesu3642 its worth the waitting, my number one song now, ubarikwe sana kwa massage hii nime upenda sana tu

  • @jaelokeke4835
    @jaelokeke4835 9 месяцев назад +18

    Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪 in diaspora 🇶🇦🇶🇦🇶🇦tunakuelewa saaanah kaka congratulations 👏👏👏👏🎉🎉🎉🎉

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642  10 месяцев назад +14

    Twende kazi sasa

    • @katemathias2583
      @katemathias2583 10 месяцев назад

      Pokea shukuran za thati kutoka moyoni mwangu huu wimbo umenifariji moyo wangu

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  10 месяцев назад

      @@katemathias2583 Amen 🙏

  • @eunicewaweru2173
    @eunicewaweru2173 10 месяцев назад +5

    Kenya tuonyeshe upendo wetu kwa ma likes

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  10 месяцев назад

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-oj7hd6ms8d
    @user-oj7hd6ms8d 9 месяцев назад +9

    Kaka angu hii nyimbo imehusisha historia ya maisha ya familia yangu Mungu akubariki sana na daima tuko pamoja 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @hopekanake5443
    @hopekanake5443 10 месяцев назад +18

    Huu wimbo unaimba kwa akili yangu.❤❤❤ listing from 🇰🇪🇰🇪

  • @monicabahati
    @monicabahati 9 месяцев назад +9

    Nimebarikiwa Sana na wimbo umebeba majibu ya mtu mwenye maswali. Nitamtegemea MUNGU daima.🙏

  • @kesheninaftal
    @kesheninaftal 10 месяцев назад +9

    Waoooo hii ni Kali ya mwaka kaka ,, MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU

  • @andrewmhagama9816
    @andrewmhagama9816 10 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana mtumishi na uzidi kuwainua walio pondeka mioyo hipo siku watakuelewa tu.Amina

  • @eunicevidzo5716
    @eunicevidzo5716 10 месяцев назад +24

    From Kenya 🇰🇪 i love the song🙏

  • @silivesterstobias857
    @silivesterstobias857 10 месяцев назад +8

    Napenda sana nyimbo zako mungu akubariki na akuinue kihuduma

  • @lillykuiname69
    @lillykuiname69 10 месяцев назад +34

    This song just came the right time, I'm passing through alot😢 but huu wimbo umenifunza kitu.Thanks alot, listening from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @johnmwangi3781
      @johnmwangi3781 6 месяцев назад

      May Almighty God see you thru your bitter tears and turn them into tears of happiness ☺️☺️☺️

  • @charitykyalo7518
    @charitykyalo7518 9 месяцев назад +55

    Kenyans support good music like this ❤️🔥

  • @melvinmiheso1625
    @melvinmiheso1625 10 месяцев назад +1

    Wacha Dunia ikose kunielewa ila nikaeleweke na Mungu tu maana ni yeye nliebakia tu nae,,, Neema ikazidi kukubeba ndugu yetu komando

  • @cptnbazil6121
    @cptnbazil6121 10 месяцев назад +4

    Mungu akubariki ,tunasubiria Masaa tu .Machache tupate wimbo wetu tuzidi ma sisi kusikia raha na kuinuliwa kwa Mungu

  • @DamalisMasika-gj1el
    @DamalisMasika-gj1el 10 месяцев назад +4

    Sijawahi Choka kufuatilia nyimbo zako toka enzi za wimbo huu ufike enzini Pako Kila nyimbo ni bora hazichoshi masikio tunaburudika mno barikiwa Sana mtumishi tunakupenda sana

  • @laventahakinyi5532
    @laventahakinyi5532 8 месяцев назад +2

    Wanadamu wanaweza kosa kukuelewa lakini Mungu anakuelewa siku zote. Wimbo nzuri sn

  • @williamwilliamlusige5970
    @williamwilliamlusige5970 10 месяцев назад +2

    hawanielewiii oooh mungu wangu ...mwanadamu ni mwanadumu tu😢😢😢😢😢😢

  • @AdamWawo-fe9kx
    @AdamWawo-fe9kx 10 месяцев назад +7

    Kaka upo vizuriii huo wimbo mpya nausubiriii

  • @damarismueni7531
    @damarismueni7531 10 месяцев назад +19

    This song has gone viral in Kenya,more blessings komando

  • @joanmarlley6904
    @joanmarlley6904 10 месяцев назад +4

    This song 😢😢😢😢,,, Mungu azidi kukuinua kaka ,, mtumishi ❤❤ ubarikiwe mno

  • @margaretwangari3633
    @margaretwangari3633 5 месяцев назад +1

    Kenya piteni na likes apa💃🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kewashone3437
    @kewashone3437 10 месяцев назад +4

    Ubarikiwe kwa kazi nzuri mtumishi❤

  • @happynessyusufu8258
    @happynessyusufu8258 10 месяцев назад +6

    Mi na family yng.tunapenda nyimbo zako kk.

  • @richardpatrick8305
    @richardpatrick8305 10 месяцев назад +2

    Jamani mimi katika huu wimbo nilicho kipenda ni kile kipande cha Amebaki peke yake na kile kimziki cha mwisho wa wimbo aliepiga kale kagita daa fundi sana

  • @rosekalungi7188
    @rosekalungi7188 9 месяцев назад +4

    Siwezi kumaliza siku bila kusikiliza huu wimbo,naupenda sana , nasikiliza nikiwa ugiriki, penda sana nchi yangu ❤❤❤

  • @msaghadee006
    @msaghadee006 10 месяцев назад +4

    Ila kwa kweli Mungu tuu peke yake ndiye anayetuelewa wanadamu hawawezi tuelewa kamwe, santiii kwa ujumbe huu mtumishi wa Mungu, God bless you 🙏🙏🙏

  • @markmngola
    @markmngola 10 месяцев назад +6

    Much love from kenya...napenda hii song ...inafanya natulia kwa mungu..ubarikiwe sana

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  10 месяцев назад

      Amen

    • @Beingme2024
      @Beingme2024 10 месяцев назад

      ​@@komandowayesu3642 Asante kijana wangu kwa wumbo nzuri love from uk 🇬🇧

  • @ruthnalianya3796
    @ruthnalianya3796 10 месяцев назад +2

    Wow!ukweli kabisa,huu wimbo unatia moyo na umeitoa at the right time,the same situation I'm in right now lakini mungu ndio egemeo

  • @patrick.272
    @patrick.272 10 месяцев назад +1

    Wanadamu hawanielewi
    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
    Kaza mwendo.
    Tunakupenda

  • @emmahinenafula8800
    @emmahinenafula8800 8 месяцев назад +6

    Story of ma life...usimuegemee mwanadamu kwa lolote...our God is awesome.ukimuegemea Mungu unanawiri zaidi❤🙏thanks bro for this awesome song🥰

  • @Leizer452
    @Leizer452 9 месяцев назад +19

    This Song makes me cries for sure Let God be God for sure🙏🏻❤️

  • @michaelmwedimage5515
    @michaelmwedimage5515 10 месяцев назад +1

    Ubarikiwe Sana kiukweli hongera Sana Mtumishi wa Mungu , kweli kabisa wakumtegemea ni Mungu tu.

  • @marymwaya9685
    @marymwaya9685 7 месяцев назад +1

    Wimbo mzuri sana Mungu aendelee kukupa maono zaidi na zaidi BARIKIWA.

  • @moreenvinaywa3552
    @moreenvinaywa3552 10 месяцев назад +27

    Wow I really like listening to your gospels songs they are really touching Amen love from Kenya blessed blessed 🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  10 месяцев назад +2

      🙏🙏🙏

    • @Namakala6
      @Namakala6 10 месяцев назад +1

      Mimi nlikwama kwa moyo wangu,na sina uende...I know poa hii itakuwa hit,napia itabariki moyo wangu, 🎉❤Mungu azidi kukuinua,unapoendelea kumtumikia..much love from 🇰🇪kenya

    • @florencewangari1096
      @florencewangari1096 10 месяцев назад

      Can't get enough of this song ooh my 🎧🎧🎧🎵🎵🎵 Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @DIANAPHENNY-Kenya
    @DIANAPHENNY-Kenya 9 месяцев назад +8

    Mimi nimekwama hapo kwa " unayemwegemea anaeza anguka puuh, Mwanadamu ni mwanadamu tu, msaada wetu unatoka juu🔥🔥💯" I wish hiyo ndo ingekuwa chorus maana imebeba uzito wa huu wimbo...
    What a blessing song🙏 Mungu akubariki kwa huduma yako.
    More love from Kenya🇰🇪

  • @RealGiftLydia
    @RealGiftLydia 10 месяцев назад +2

    Mungu pekee ndie anae kuelewa❤❤❤❤❤🙌🙌🙌

  • @fromgrasstogracekate1404
    @fromgrasstogracekate1404 9 месяцев назад +2

    Team 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 this song should be a national song

  • @miryammupa5417
    @miryammupa5417 10 месяцев назад +33

    This song has a very strong massage..never relay on people trust and believe In God

  • @evangelistaronlangat4564
    @evangelistaronlangat4564 8 месяцев назад +6

    This song has really blessed me....nimeskiza mara 100 leo tuu...nilikuwa nahisi moyo wangu ukiwa chini sana... lakini huu wimbo imefanyika baraka...Komando wa Yesu wacha Mungu akubariki zaidi na huduma yako kwake iwe na mafanikio.

  • @bettykajuju6982
    @bettykajuju6982 9 месяцев назад +1

    This song is so touching,it's a blessing to us,someone to like my comment so that I can come back to listen anytime.

  • @jeedaloyce3287
    @jeedaloyce3287 10 месяцев назад +2

    From Kenya you never disappoints Mr komando hawanielewi kabixa I get ...it ohhh no....

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  10 месяцев назад

      Amen 🙏🙏🙏

    • @jeedaloyce3287
      @jeedaloyce3287 10 месяцев назад

      @@komandowayesu3642 am just in love with your music it really blesses my bad bad days

  • @phoebeadikinyi3441
    @phoebeadikinyi3441 10 месяцев назад +12

    Hakika mwanadamu will always disappoint you,our God never fails ,he is ever there for his people

  • @MALAHOCLARICE-zt2xv
    @MALAHOCLARICE-zt2xv 10 месяцев назад +8

    Kutoka Kenya... This is Clarice.. You truly have an angelic voice.. blessed music.. More grace komando...

  • @MwaaziElisha91
    @MwaaziElisha91 9 месяцев назад +2

    Zambia🇿🇲🇿🇲🇿🇲 in the house people will never understand us only the one in heaven

  • @judyoduor7005
    @judyoduor7005 3 месяца назад +2

    From mambo yabadilika to hawanielewi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @agathatuuya
    @agathatuuya 10 месяцев назад +4

    Indeed only God can understand us, even though u try explaining urself, they don't understand

  • @EmmyWendy-zn5vj
    @EmmyWendy-zn5vj 8 месяцев назад +5

    The message I have learnt from this song, God is my best friend, mwanadamu nimeachana naye. Msaada wangu u katika Bwana, aliyeumba mbingu na nchi. Congratulations bro

  • @user-fg9qe2on6x
    @user-fg9qe2on6x 10 месяцев назад +1

    Mungu akubariki sana kaka,nyimbo nzuri sana .nikweli wanadamu wawezi kutuelewa zaidi ya mungu wetu

  • @user-hw2xl9kp8q
    @user-hw2xl9kp8q 9 месяцев назад +2

    Barikiwa sana kaka this song is my favourite kila asubui nikiamka lazima niusikize. Hallelujah ❤❤❤

  • @miriammutua1286
    @miriammutua1286 10 месяцев назад +5

    Wanijua zaidi ya wanavyonijua, wanielewa zaidi ya wanavyonielewa, wanadamu hawanielewi, Dunia Iko busy hainielewi, Dunia inachat hainielewi.....this song🔥🔥🔥🔥

  • @jacklinegatwiri635
    @jacklinegatwiri635 10 месяцев назад +4

    Mungu atatenda majambu ju ya nyimbo zako

  • @damarismonda8868
    @damarismonda8868 10 месяцев назад +1

    Those of as from tiktok hello, a lovely and giving hope song

  • @Kathy-ye5yu
    @Kathy-ye5yu 4 месяца назад +2

    “ unamuegemeya anaweza kuanguka puu,” that really touched my inner heart😢😢😢😢. I was depending on my husband of 23 years in USA , trusted him with all my heart & soul . One day in august 2023 , he decided to end everything

  • @malekihanan9508
    @malekihanan9508 9 месяцев назад +7

    I can't get enough of this song...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌💪👍👍

    • @AnipendaMikumi-yr1tl
      @AnipendaMikumi-yr1tl 9 месяцев назад

      Anatujua koluko wanavo tujua barikiwa sana mtumshi wamungu

  • @elizabethjuma9434
    @elizabethjuma9434 10 месяцев назад +15

    I declare this song an international hit❤❤❤❤❤

  • @AsaZaburi-dp4cj
    @AsaZaburi-dp4cj 4 месяца назад +1

    Wawoo ❤🎉mungu akubarki san ainue hudma yko

  • @user-cs7hi6nf9e
    @user-cs7hi6nf9e 10 месяцев назад +1

    Mungu mkubwa 😊😊😊😢😢 lovely song ❣️🥰🥰🥰🥰🤗😘🥰

  • @rechopiahmusic9331
    @rechopiahmusic9331 10 месяцев назад +4

    Natamani hata kuokoka nianze himba zangu gospel kwajili ya huyu jamaa komando❤️❤️🤞🙏

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  10 месяцев назад +1

      😃😃😃😃 itapendeza sana. Karibu sana katika ulimwengu wa amani 🙏

    • @rechopiahmusic9331
      @rechopiahmusic9331 10 месяцев назад

      @@komandowayesu3642 amen🙏🙏❤️❤️❤️

  • @maryannewambura1505
    @maryannewambura1505 10 месяцев назад +11

    Nice and touching song brathee ,congrats from 254 ❤❤❤❤ May Almighty God Bless you🙏🙏🙏🙏🙏

  • @bitenzambi6369
    @bitenzambi6369 10 месяцев назад +1

    Amen 🙏🙏🙏 😊ukweli mwanadamu u change but God we put our trust

  • @metrinevusaka-qt6zz
    @metrinevusaka-qt6zz 9 месяцев назад +1

    Barikiwa katika huduma ndugu yangu,kenya we approve this one❤❤🎉

  • @risperndege5548
    @risperndege5548 10 месяцев назад +10

    Human beings are difficult to understand. Only God who understands us better ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ nice song

  • @BarakaIssa-dy5rn
    @BarakaIssa-dy5rn 10 месяцев назад +2

    Kaka Mungu akubariki sana kazi nzuri sana hii nimeipata nikiwa Canada ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @stellahogeto5161
    @stellahogeto5161 10 месяцев назад +2

    Kazi nzuri kaka,ni heri mungu kutuelewa kabisa.

  • @annatwelewile3498
    @annatwelewile3498 10 месяцев назад +2

    Kiukweli mwanangu MUNGU akufikishe kwenye hatima,yaani sauti ilivyo jaa radha dah,hongera sana.🎉🎉🎉🎉

  • @jonasiarex8914
    @jonasiarex8914 9 месяцев назад +2

    Balikiwa sana nyimbo zako zina nibaliki sana

  • @barakadieudonne
    @barakadieudonne 10 месяцев назад +7

    I can't wait for this powerful song Ubarikiwe sana ❤

  • @joyceokotch5628
    @joyceokotch5628 10 месяцев назад +2

    Nimefarijika mno kwa kuusikiza huu wimbo,barikiwa sana kaka

  • @esthermumbua4907
    @esthermumbua4907 10 месяцев назад +1

    Mwanadamu ni mwanadamu tu. Msaada wetu watoka juu. Wakumwamini ni Mungu tu🙏🙏🙏

  • @yvonnenyakoa5486
    @yvonnenyakoa5486 10 месяцев назад +12

    Only God can understand what we are going through,,, more grace brother❤❤,

  • @joywinekhalivitsi4841
    @joywinekhalivitsi4841 10 месяцев назад +7

    Wow, can't get enough of this 😊😊😊
    Sending love from 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  10 месяцев назад

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏

  • @rachelisaya3038
    @rachelisaya3038 10 месяцев назад +2

    Hawaelewagi kamwe, Yesu akituelewa inatosha

  • @mutimukeyejulienne1635
    @mutimukeyejulienne1635 10 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤pia mimi napenda nyimbo zako kbs mungu akubari sana

  • @davidadorwa258
    @davidadorwa258 10 месяцев назад +3

    Asante ndugu kazi nzuri,nyimbo inamafunzo mazuri na kututia moyo maana ni mungu pekee ndiye anatufahamu barikiwa na Wacha neema hikujalie izidi kuhubiri katika mataifa na Dunia.

  • @CatherineMutua-sv5bz
    @CatherineMutua-sv5bz 10 месяцев назад +6

    Such a powerful song 🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @LoyceFuraha
    @LoyceFuraha 10 месяцев назад +2

    Tiktok imenileta uku😊 can't wait

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  10 месяцев назад

      Ahsante sana tukutane tena jumamosi hii saa 3 asubuhi 🙏

    • @LoyceFuraha
      @LoyceFuraha 10 месяцев назад

      Nimefika bila kuchelewa

  • @user-bg3ys8el9x
    @user-bg3ys8el9x 9 месяцев назад +2

    Hii song n yangu imegusa story yangu be blessed Komando.from Kenya😢

  • @BrendaKhasiala-dd6hj
    @BrendaKhasiala-dd6hj 10 месяцев назад +11

    Thank you....
    Msaada wetu unatoka Juu....
    Wa kumwamini ni Mungu tu.
    This part hits differently.
    It's a combination of Assurance, Confidence, Encouragement, Hope and still a Reminder to just let God be God and Him Glorified.
    Msaada Wetu unatoka juu❤❤❤
    Wa kumwamini ni Mungu tu ❤❤❤
    Am blessed .
    Barikiwa Kaka.

  • @priscachiunga602
    @priscachiunga602 10 месяцев назад +6

    Powerful song,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lilianwamalwa98
    @lilianwamalwa98 10 месяцев назад +1

    Unayemwegemea anaweza anguka puu,my trust is always in you God 🙏🙏

  • @emmaculateoseno8866
    @emmaculateoseno8866 10 месяцев назад

    Mziki wako hunipa tumaini sana, ubarikiwe. More likes from kenya

  • @elizabethrotich3785
    @elizabethrotich3785 10 месяцев назад +5

    You have done it again... Congrats and Big up.... Kenya enjoys and are blessed by your music....

  • @shanyfay-mb2zk
    @shanyfay-mb2zk 10 месяцев назад +3

    Naingoja huo nyimbo

  • @tchisekediethiennekibukila336
    @tchisekediethiennekibukila336 6 месяцев назад +2

    Wimbo mzuri sana

  • @anielytuva9838
    @anielytuva9838 10 месяцев назад +1

    Nakufatilia nikiwa Kenya huu wimbo uneweza kaka be blessed

  • @silivesterstobias857
    @silivesterstobias857 10 месяцев назад +4

    Napenda sana nyimbo zako mungu akubariki na akuinue

  • @kevinmugoha4664
    @kevinmugoha4664 10 месяцев назад +3

    A wonderful song .....ujumbe mwafaka kwa wakristu❤

  • @jumachango
    @jumachango 10 месяцев назад +1

    Ndivyo walivyo Wanadamu kuelewa nikitu kigumu kwao hata ukijieleza ni bure acha Mungu atuelewe yeye tu... Barikiwa sana kaka

  • @vincentoduor9632
    @vincentoduor9632 10 месяцев назад +1

    I appreciate you bro' from kenya.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-sk2ui1vn6c
    @user-sk2ui1vn6c 10 месяцев назад +4

    We appreciate as Kenyans God bless you

  • @joanochanda8038
    @joanochanda8038 10 месяцев назад +5

    Amen. Thank you for this timely message. Am blessed.

  • @ruthoduor3543
    @ruthoduor3543 7 месяцев назад

    The hit is super high.Dunia haiwezi kukuelewa ni mungu tu anatuelewa.Im blessed from Nairobi kenya

  • @MwembambaInJesus
    @MwembambaInJesus 10 месяцев назад +2

    Hongera sana kwa kaz nzur hii unatoa moto inakuja Moto zaidi✅