Wimbo huu ufanye mimi nifutwe machozi niliolia kwa muda mrefu na maombi yangu yafike enzini pake Maulana.. komando na Solomon mkubwa napenda mlivyonyenyekea kwa Mungu.. Nehema iwe juu yenu milele
So touching in spirit, may this song bring, restoration blessings, healing, santify my sins, may this song reach in heaven and keep it close to you oh God, my prayers also oh God😢
Asante sana Mwana wa Mungu 😭😭👋❤️❤️❤️🙏🙏 watu mlioitwa kwa huduma hii, mkiimba tu! Vifungo vyote vina funguliwa. Mungu wa Israel akuzidishe mara dufu, Amen!!!
I love music ,i love such inspirational songs. Whenever i can't pray,i sing and listen to heavenly songs. Good work wakubwa!!!Mungu awabariki sana. Wimbo ilete mpotevu nyumbani. Wimbo huu uniweke karibu na wewe.Amen
Wimboo huu uniweke karibu na wewe Mungu milele Amen.. Love all of your songs Mutumishi keep going nabarikiwa sana, nafutwa machozi, napata amani na zaidi namtegemea Yesu🙏🙏🙏🙏.. Yapo yote ndani ya huu wimbo yesu
Any Kenyan here! I need your likes. Mbarikiwe sana na huu wimbo❤
Amen 🙏🙏
Good job❤❤❤
We are here...
Ubarikiwe kwa wimbo yako mungu akuongezeye kwa kipaji ulicho nacho
Amen
Yimbo za injiri zinahita likes kuliko nyimbo za ki Dunia 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Amen 🙏
Wimbo huu hahaha naombeni like 100 wa Tanzania 🇹🇿
Barikiwa sana 🙏
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
youtube.com/@Onestoh1864?si=9WYaiu6HscURjTPJ
Kaka ameeen
❤
Kwamara nyingine tena nimekuja na wimbo unaitwa WIMBO HUU. naamini mtabarikiwa sana sana sana.
tukutane hapa RUclips kesho saa 9 jioni 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina
Nimebarikiwa mtumishi wa Mungu 😇😇♥️🥰🇰🇪🥰🇹🇿💃💃💃
Kaka naomba niimbe na wewe remix ya wimbo wangu zing'ang'anie baraka nahtaj nisaidie kaka mwanzo mgumu
Amen a Very blessing hymn much love from kenya
Amen
Kenyans let’s gather here our brothers did it again🔥🔥🔥much love ❤️ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen 🙏🙏
🙏🙏🙏
Wimbo huu ufungue milango ya mafanikio kwa maisha ya kila mmoja atakaye usikiza kwa jina la YESU
Amen 🙏
AMEEEN 😢😢😢😢
Amina
Amen 🙏
Amen
Mimi ni muslim na nimefunga ramadan ila najikuta nausikiliza huu wimbo mara mia mia Alhamdulillah
😃😃🙏🙏🙏🙏🙏
Wow wangapi tuko apa toka Kenya wimbo uuu
Barikiwa 🙏
💪💪
Wimbooo huuuu
@@faithnyaboke620 haha acha izo hahaha 🤣🤣🤣🤣
Nice vibes from Solomon mkubwa gonga like 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
team strong gulf 💪 mko wapi , wimbo huu ni wetu 💃💃💃💯💯 baraka 🎉🎉 mwaaaaaa ♥️♥️ like please kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 sis ndio tupo 🌍 😂🙇🙇🌟👌🙌🙏🙏🙏🙏
Amen
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪
Amen 🙏🙏
Tuko hapa
KAKA unajua sana MUNGU AKUBARIKI SANA @@komandowayesu3642
Kwa wimbo huu Mngu uniondolee maumivu yote 🙇🏾♀️🙇🏾♀️🙇🏾♀️🙇🏾♀️🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen 🙏
@@komandowayesu3642MUNGU kakuita kwanamna yapekee sana Kila nyimboyako nabarikiwasana
Kila nisikilazapo Wimbo huu unanibariki bwana ahimidiwe🙏
Barikiwa sana
Hii wimbo lazima itreand🎉
Nipee like ukiamini
🙏🙏🙏🙏
Wimbo Huu ufungue milango ya mafanikio,Kwa wimbo Huu Mungu kumbuka wasio Na kazi uwape kazi,Kwa wimbo Huu Mungu wagonjwa wapokee uponyaji
Amen
Ubarikiwe KOMANDO WA YESU...japo tunatamani kulijua jina lako halisi mbali na la huduma
Wakenya wenzangu mlioko Mombasa, likes zenyu plz... Wimbo huu ni kama maombi na sala kutumana kwa Maulana
🙏🙏🙏🙏
Can't have enough of this song. It's my prayer this season...
❤❤❤❤❤ Amen waimbaji wezangu wimbo huu hikuwe wabaraka kwa maisha yetu 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen 🙏
From luyha land Kenya am ohangla gospel rhumba kazi safi nipewe likes tukifuatana
Barikiwa
Kenyans let's gather here 🔥🔥💕💕,may God open doors for everyone...Amen
Amen 🙌
Huu wimbo unanibariki mno!!!✨✨✨
Wimbo huu ufanye mimi nifutwe machozi niliolia kwa muda mrefu na maombi yangu yafike enzini pake Maulana.. komando na Solomon mkubwa napenda mlivyonyenyekea kwa Mungu.. Nehema iwe juu yenu milele
Amen 🙏🙏🙏
Amen my favourite, barikiweni sana
Amen 🙏🙏
Kwa wimbo huu mungu akanitendee kulingana na hitaji la moyo wangu 🙏🙏🙏
Amen
Baraka tamu sana ,kutumikia Mungu nitamu nime barikiwa sana
Hallelujah 🙌🙌🙌😇🙏😇💃wimbo huu ukawape imani na ukawalete mahali pako pa enzi eeh Mungu wangu 🤲🤲🤲🥰🇰🇪♥️🇹🇿💃💃💃🙏🙏
Amen
youtube.com/@Onestoh1864?si=9WYaiu6HscURjTPJ
Huu wimbo sio wakupingwa jamani 🇹🇿🇹🇿
Wimbo huu ukarejeshe vilivyopoteaaa😮
Amen 🙏
Amen
Wimbo huu uniweke karibu na Mungu, mbarikiwe watumishi wa Mungu nawapenda kutoka Dom Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Barikiwa sana 🙏
Be blessed komando 🙏🙏🙏 any Kenyan here 🙏🙏
🙏🙏🙏
Nice one
Kwa wimbo huu nimebarikiwa
Yaani kwa huu wimbo mi hitaji langu ni kuwa MCA wa Rigoma ward,Nyamira County Kenya❤ Piga Like nicount votes 🗳
🙏🙏🙏🙏
Amina barikiwa nawe pia
This song is so good, l keep listening to it every single minute. Wimbo huu uniweke karibu na wewe baba.
Amen
Mungu akutiye nguvu kabisa
Kwa Wimbo huu timiza ahadi zako maishani mwangu,katika Jina la Yesu🙏
Amen 🙏
Wimbo huu nikiusikiliza nahisi mungu yupo karibu yangu ee mungu kupitia wimbo huu uimbaliki kazn yangu
Kwa wimbo huu uduma yangu iinuliwe zaidi
Amen
😢alleluia nawapenda Sana 😘😘😘😍watumishi wa mungu
Amen 🙏🙏🙏
wimbo huu.........................let it be a light for my sucees big up Minister Komando and Solomon Mkubwa
Kwa wimbo huu nilipokea haja ya moyo wangu🤗 barikiwa, you're a blessing komando
Amen
Wimbo ule mambo yamebadilika❤
There's something special with Solomon's voice. Its reminds me when i was starting this journey of salvation...
🙏🙏🙏
Kweli kabisa...siku za 'Mungu wetu mwenye nguvu'
Kommando tukuitaji uje Drc bro🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Komandoo Mungu awabariki mim ni kipaji cha kuimba nkaacha but kupitia wimbo huu nimwekwa karb na Mungu tena
Woyooooooooooo.....wimbo mzuri sanaaaaaaaaa
Ahsante 🙏
youtube.com/@Onestoh1864?si=9WYaiu6HscURjTPJ
So touching in spirit, may this song bring, restoration blessings, healing, santify my sins, may this song reach in heaven and keep it close to you oh God, my prayers also oh God😢
Wimbo huu ukawe WA baraka ❤
Amen 🙏
Hallelujah 🎉🎉🎉🙏 more grace favor and new annoiting plus revalation in your lives 🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
This song needs 100 million views so encouraging one be blessed man of God
🙏🙏🙏🙏
Mubarikiwe Sana kabisa 🙏🙏
Amen 🙏
Amen to a humbling timeless heavenly piece,,,, this one sent peace and hope from above,,,Godbless you @Solomon Mkubwa and @Komando Wa Yesu.... 🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Ameni. Wimbo huu uniweke karibu na wee
Amen 🙏
Wimbo umenibarik Sana 🙌🙌
Amen 🙏🙏🙏
Kwa wale wenzangu wa 🇹🇿nataka like zenu
mwa nangu
@@PatrickWolfo-iy2rr wa ukweli umeona ngoma iyo kaka
Atukupingi mwanetu
Sema brother anaupiga mwingi👏👏👏
@@PharinxMbutu iyo ni kweli ndung yangu
Asante sana Mwana wa Mungu 😭😭👋❤️❤️❤️🙏🙏 watu mlioitwa kwa huduma hii, mkiimba tu! Vifungo vyote vina funguliwa. Mungu wa Israel akuzidishe mara dufu, Amen!!!
Amen mwimbo wa baraka ❤🎉🎉🎉🎉
Amen
Kila nikiusikiliza wimbo huu najikuta npo sehemu nyingine kabisaa,nauona ukuu wa Mungu. Mungu aupe kibali na ujulikane duniani pote
@@olymLyimo Amen 🙏
Wimbo huu umenivusha❤❤,, excellent collabo and moves🎉🎉👏👏👏
Wow nabarikiwa tu hapa barikiwa kaka
Amen 🙏
Huu wimbo niliusikia mara moja kwa tv na usku nlipolala yaan nimeuimba usku mzima hakika wimbo huu uniweke karibu na wewe Mungu
Amen 🙏
❤❤❤ Namtuza Mungu wangu kupitia wimbo huu
Amen
AMEEN. Wimbo huu unieke karibu nawe🙏 Glory to God🙏 wimbo unanibariki🙏
Amen 🙏
Amen this is powerful 🙏💪
🙏🙏🙏
...Wimbo wa baraka, Kazi mzuri Mwenyezi MUNGU azidi kuwajalieni my brothers.
Amen 🙏
Amen amen, Bienfait toka DRC Nord Kivu Goma❤❤❤
Barikiwa sana 🙏
Huu wimbo hunibariki mnoo, barikiweni sana watumishi
Amen 🙏🙏🙏
Kipitia wimbo huu,mwenyezi mungu nakuombea kakomboe familia yangu,tunapitia magumu eee mungu
Amen
Huu wimbo ni baraka💯
Amen 🙏🙏🙏
Sema brother anaupiga mwingi 👏👏👏
🤣🤣🤣🙏
Amina sana kaka
Nc
Kwa wimbo huu upitie uponyaji kwenye ziwa lamama yangu lisambaratishe uvimbe 🙌🙏🙏
@@priscajustine2456 Amen
Kaka naomba niimbe na wewe. Remix ya wimbo wangu zing'ang'anie baraka
youtube.com/@Onestoh1864?si=ZRXu6_-qw8ZQPcNT
Keep going watumishi wa mungu❤❤
Amen 🙏🙏🙏
Jamani kazi nzuri sana mungu awainue zaidi
Amen 🙏
Wooow!!!! Na legendal katia nakshi kidogo❤🎉🎉🎉
Kabisa 😃
This is a banger❤....Glory be to God🙏
Wow barikiweni ndugu zangu naskiza nikiwa Qatar🙏🙏🙏
Amen 🙏
Nami iwezamu yangu❤❤❤❤
Amen 🙏
@@komandowayesu3642❤
@@komandowayesu3642🙏🙏🙏
Wimbo Huu... very powerful!
Amen 🙏
Wow good work my brothers may our Almighty God bless you
Amen
I love music ,i love such inspirational songs.
Whenever i can't pray,i sing and listen to heavenly songs.
Good work wakubwa!!!Mungu awabariki sana.
Wimbo ilete mpotevu nyumbani.
Wimbo huu uniweke karibu na wewe.Amen
Amen 🙏
Hongera
May God bless my marriage with children through this song,❤
🙏🙏🙏
In the name of Jesus Christ 🙏
A very powerful song for sure great is the message in it
Wimbo huu uendelee kufungua milango zaidi ya mafanikio, I'm blessed congrats Komando nakukubali sana.
🙏🙏🙏🙏
hapa RDC congo🇨🇩🇨🇩 tuko makini natuna subiri chuma hicho kwa hamu kubwa
Amen mtumishi
Ahsanteni sana 🇨🇩🇨🇩
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Solomon unaimba vizuri sana huwa napenda sana ubarikiwe
RICK CHOSEN GET 🎉
🙏🙏🙏
Wimbo mzuri San, am blessed❤
Like Leo nione nani mkali Kati ya +254 na +255
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉fireeeee!!! Ahsantee Yesu Kwa wimbo huu!!
Amen
Wimboo huu uniweke karibu na wewe Mungu milele Amen.. Love all of your songs Mutumishi keep going nabarikiwa sana, nafutwa machozi, napata amani na zaidi namtegemea Yesu🙏🙏🙏🙏.. Yapo yote ndani ya huu wimbo yesu
Amen 🙏
Nimependa sana,mmeimba kwa vibes kubwa you guys God bless you
🙏🙏🙏🙏
Baba baba baba hongera sana baba, wimbo huu umesha fungua milango yangu, mungu akubariki sana🙏🙏👏👏
Amen ndugu yangu
Nimeipenda sana ❤❤❤❤❤❤
Barikiwa 🙏
MUNGU akuinue hadi viwango vya juu my brothers
Amen 🙏🙏🙏
Amen i listen to this song at this point when my life is at losing end😢 please God hear my prayers remove me from shame🙏🇰🇪🇰🇪22/6/2024
Wimbo huu ufungue milango yangu eeh Bwana Amen
Amen 🙏
Ameen wimbo huu baba unionee huruma😢😢
Amen 🙏
Wauw what a great hit....special dedication to everyone who is going through hell.
Amen🙏🙏nashukuru kwa wimbo huu kwakuwa nilikuwa. Nimesahau aliponitowa Kristo ila wimbo umenikumbusha tena
Amen. Barikiwa sana