nawahukuru sana CHADEMA kwa hii kazi mliyoifanya, inakuwaje kama mkiiupload yote ili kila mtanzania atakayepata fulsa haweze kujua alichoongea mh.tundu lissu..
Tundu Lissu nakukubali sanaaaaa... Yani unamwaga points tu zenye facts na reference.. Huyo ndo Lissu mzee wa kutema cheche zenye data. Kazi Nzuri Mheshimiwa.
Thats politician material.good researcher,very intelligent and organised politician.
Ndio maana namkubali Tundu Antipas Lissu. Mtetezi wa HAKI. sio madhalimu CCM
This guy is very intelligent, extraordinary generous,
Put the whole speech please this is more than Tanzania's history
Kuna tofauti yakwenda shule na kuingia darasani...shikamoo lisu
Rais msomi na mwenye kipaji tz Rais wa tz mwerevu
Kweli we machine. I will always be your supporter with all my family members
Hii ndio faida ya kwenda shule, Kusoma na baadaye kuja kuwa msomi.
lissu fire
Huyu ndo tundu lisu mzee Wa kumwaga point nakukubali sana baba
baraka owenya
Huyu ndo Tundu Lissu.
nawahukuru sana CHADEMA kwa hii kazi mliyoifanya, inakuwaje kama mkiiupload yote ili kila mtanzania atakayepata fulsa haweze kujua alichoongea mh.tundu lissu..
Tundu lissu ama kwel wewe ni msomi sheriaa hongeraa
komaa mjomba mpaka mpaka kieleweke.
Sauti ya wengi mboni ya Mungu ni Tundulissu
Huyu jamaa anapiga panapo uma
Hongera lissu wafahamishe hao
Jamaa huyu brain mingi sana! Big up
Huna mpinzani
Hapo hadi waseme
Sijawai kutana na mtu kama huyu hapa , hii si akili ya kawaida kabsa
Rais mtarajiwa wa vizazi vijavyo
mshikaji anajua sasnas katka bungu la katiba la tz
lisu wewe ni noma sana aisee kwa serkal ya lowassa wew utakuwa mwanasheria mkuu
Juvenaly Massawe
Hongela lisu kwaojazako bunge heshima
Kaza buti lisu bungeni
Tz inalia😭😭Jembe hili. Hivi nani alimpiga risasi? Tz inalia😭😭
MAGUFULI MPENDWA WENU
Jamaa anatetea haki...
Huyo ndie tundu lissu
utabaki kuwa mwanasheria mkuu wa serikali
nakukubali lissu tutetee sisi wa nyonge
Duhhhh!!! Hayo yote unayajulia wapi lissu!!!
Tundulisu hakika watanzania wame kuelewa sana na ndo maana wakata kukumaliza maana watu kama nyinyi hamutakiwi muwepo hapa nchini kwa uwelewa wenu
....kichwa kimoja Sawa na wapiga makofi 200
mwanasheria mkuu wa serikal ya lowassa huyoo go lissu we kichwa
Tundu hakuanza jana kusema ukweli. Ni tokea utotoni amekuwa akisimamia haki
My presedent is tundu
WENYE MOYO TU TUTAPAMBANA KUIOKOA NCHI YETU. OLE WENU MABINAFSI NAOITAFUNA TUNAJUA HAMTAMALIA. ILA OLE WENU.
Tundu lissu NI mtu muhimu na anafaa kuwa kiongozi mkubwa wa Tanzania ,Bunge LOTE linamshangilia
utazid kua juuuuuu
Yohama
Tundu lisu upo juu sana baba bgup
2020 president
Super view
UKO FITI NI MBUNGE MAKINI...
nice, u are strong lissu
Sheby Boy
Utabaki kuwa juu
Mmhu huyu jamaa ni mwl?
BABA LAOO
WABUNGE NIWAFANYAKAZI WAWANA NNCHI
Ckweli eti maamuzi ya wengi ama kelele za wengi ni sauti ya Mungu hapana Mungu yupamoja na mwenye haki wake hata kama ni mmoja...
M4,C
naitaka yote hio..nitaipataje
I like this Guy!
Jumbe hakuhoji juu ya muungano alitaka kufanya mapinduzi ya kuuvunja muungano kwa kumwaga damu za watanganyika waliokuwa wakiishi Zanzibar.
ACHA UONGO WE KICHWA MAJI
duu
Dawa ya moto ni moto. Kaza buti kamanda.
jaman kama mtu unataka kuijua historia ya nchi hii, bas fuatilia hotuba za tundu lissu
Umeona ee
mwaga vitu tundu
Wewe bado Ni mkweri tu tuko pamoja sana
Tundu Lissu nakukubali sanaaaaa... Yani unamwaga points tu zenye facts na reference.. Huyo ndo Lissu mzee wa kutema cheche zenye data. Kazi Nzuri Mheshimiwa.
Collective Learnings
Jamaa huyu brain mingi sana! Big up
M4,C