Asema nabii Ibrahim kwenye surah ya 14 ayah ya 40 wangu Mlezi Nijaalie niwe mwenye kushika Sala na katika dhuriya zangu pia Ewe Mola wetu Mlezi na ipokee dua yangu
Kwani hujui Royal We inajumuisha mpaka familia na cabinet nzima na ministers? 😂 Na mnasema hana mshirika.😂😂😂😂 Acha kutumia maneno usiyo yajua maana yake halisi bro
Asalaam alaikum ndugu zangu katika imaan. Huyu kijana wa kwanza mbona haya maswali yote kashajibiwa katika video zilizopita. Huyu atakuwa ana agenda za kuzuia watu zaidi kupata nafasi ya kuuliza maswali na kuujua uislam. Nashauri kama kuna nafasi ya mtu mwingine apewe mtu mpya hawa wanaokuja kururudia maswali wawe second priority.
Shida kubwa ya mkiristo ambae anasoma soma Qur'an akishaona ukweli anajaribu kuitia doa kama huyo Wilberforce, si kwamba hajasoma surah nzima akisoma anakata kata aya za Allah.
Hawa ni wanafik tu wataka kuishi duniani kwa raha na starehe hawataki dini.. Uliskia wapi mambo ya nabii aje afe akufie dhambi km sio ujinga😂.. Tushkuru mungu kw uislam umetakasika na uchafu
Nadhani mwalimu Salim hakumuelewa yule ndugu alieuliza kufafanuliwa "Nasi" . Yeye alikuws tu anataka kujua kama hiyo "Nasi" inamaanisha Mungu ama watu ndio waliompa Nabii Muhammad (swa) utume. Alikuwa aelezwe kuwa Mungu pia ametumia lugha ya wingi katika Quran kama vile " Sisi" katka Aya nyengine. Hi Ni lugha ya utukufu (majestic plural) ambayo na wafalme badili ya kusema "Mimi" Mwenyezimungu pia ametumia Mimi katika Aya nyengine. Nafikiri alikuwa anataka kufafanuliwa lugha iliotumika na Mwenyezimungu. I and We. Mungu akitumia " Sisi" haimanishi yuko na wenzake .
Wakristo hawaamini bibilia kwani wako mbali na mafundisho.. Wao wanataka tu yesu afe kw dhambi zao wamkiri yesu kw midomo.. Lkn miyoyo yao iko mbali na mafundisho ya yesu... Wao wanajigamba tu kua mkristo unafiwa dhambi.. Which is yesu alikuja kufunza kumuabudu mungu mmoja tu.
Ai, sijui WHY muna Waste Time yenu, na huyu Malenge Head, Willy!! Huyu ame TUMWA kwenu na Ujinga wake, ku waste time!! Already ame waste 25mins of my time, and yours! Next time Malenge aki pewa na fasi yaku waste time, nita anza ku Fast Forward Video! This Guy is so annoying na Ujinga yake! Tabarak AllahTeam.
Assalam Aleikum Ndugu yangu Kasim. Ni Pride sio proud😊😊
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatu. kakangu Salim Allah akulinde na akuhifadhi kazi nzuri MashaaAllah,akupe jannatul firdhaus.
MaashaAllah
Nimewahi leo
Nikiwakosa huwa najisikia vibaya
Mm jana nimesubir mnoo nabando langu lamkopo nihuzuni kwakweli😊😊😊😊
@JamilaJumanne-u7q iliniuma balaaa
@@harundaudi701leo katufurahisha😍
Hawa watamkataa mtume (s.a.w) lkn hio ndo ukweli haibadiliki mpaka siku ya hisaab
Kuna watu wengine shule walikua awashiki kitu
Shadrack, Daudi, Martin na Wilberforce wanapote muda tu.
Wasomaji wetu wote mashalla tumebarikiwa ❤️
Alhamdulilah
MASHALLAH KAKA SALIM WANYOIKE GOOD TO SEE YOU AGAIN DOING IT TO YOUR BEST BARRAKALLAHUFIQUM JAMIA'N
Asema nabii Ibrahim kwenye surah ya 14 ayah ya 40 wangu Mlezi Nijaalie niwe mwenye kushika Sala na katika dhuriya zangu pia Ewe Mola wetu Mlezi na ipokee dua yangu
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki sana
Asalam alaykum .sheikh wetu huyo wilba force ajui hatakiswahili unasemahivi nayeye anasemahivi ,kwakweli unakazi ngumu sana. Salim na ali
Asalam alaikum warahamathullahi wabarakathu. Alihamdhulilah mm ni muisilamu nawapenda kwa ajili ya Allah nauliza shekhe Hasan karyoki mbona atumuoni
Jokes mambo y Mungu aki n msiba. Kua muislam ni neema kubwa kutoka kw Mungu alhamdulillah
Alhamdulilah kwa NEEMA YA UISLAM❤❤
Asalam alykm ndugu zangu❤❤ nimeripot ngoja nisikilize kwa utulivu wil anajipya gani😅
Wilberforce ni chizi maarifa fulani ambaye kila akija swali lake ni same , hata kesho akija atauliza hilo hili hana jipya 😅😅😅😅 .
Huyu wily huwa anamchezo mwingi siku zote musiruhusu apoteze mda
Kwenye kuwest time wengine wanapata elim sio wote wajinga ndomaana wanamuacha kwa manufaa ya wengine😊
Walimu naomba Allah awape uvumilivu kwakuwajibu hao nduguzetu wakiristu
وَلَنْ تَرْضَى عَنْكَ الْيَهُودُ وَلا النَّصَارَى حَتَّى تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَى وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلا نَصِيرٍ
Alhamdu lillah kwa neema ya uisilam
Asalam alaikum brother huyu ndugu ni WA home 🏡 kwa kweli yeye ni black board kwa wengine aendeleaa kukuja ili wengine wengi waeleweke
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Huyu jamaa ni kupoteza wakati tu
MashaAllah
Waalequm salam warhmatullahi wabaraqatuh, dah jaman mie mwenzenu ninajambo moja linanikata maini shehe kairuki yuko wp kwani jaman?
❤ Mash'Allah
Allahamdhulla
Wakristo vichwa vyao vigumu kuelewa kw kweli ni mtihani namshkuru Allah kwa Neema ya Uislamu
Ahlan wasahlan.we are back
Assalam aleikum, Sheikh Salim huyu mwenyewe ni mnafik yesu aliingia msikitini,yeye anadai ni mfuasi wa yesu mbona haendi msikitini
Nasi inamaanisha the (ROYAL WE) kama vile rais akisema tutajenga au tutafanya etc.
Kwani hujui Royal We inajumuisha mpaka familia na cabinet nzima na ministers? 😂 Na mnasema hana mshirika.😂😂😂😂
Acha kutumia maneno usiyo yajua maana yake halisi bro
Huyu sasa hajijui kama yeye ni mnafik kwenye biblia 😂😂😂😂 anampenda Yesu kwa jina tu huyu vitendo vyake vya shetan
Asalaam alaikum ndugu zangu katika imaan. Huyu kijana wa kwanza mbona haya maswali yote kashajibiwa katika video zilizopita. Huyu atakuwa ana agenda za kuzuia watu zaidi kupata nafasi ya kuuliza maswali na kuujua uislam. Nashauri kama kuna nafasi ya mtu mwingine apewe mtu mpya hawa wanaokuja kururudia maswali wawe second priority.
Yule mwengine nae akija hapa ni kuuliza to about nasiii hawana maswali hawa
Yeah hawana maswali mengine
Hili swali lakuua huyuu anauliza kila akija hapa
Acha kupotezea watu mda wewe, alafu lugha haelewi vizuri uyo kiswahili yampiga chenga
Njoo Tanzania
Inn shaa Allah
This guy is asking the same question every day. He is sent to waste time .
Ame tumwa ku waste Time.
Huyuu kijana maswali hana na kuambiwa hataki ni ubishi to na kupoteza wakati basi
Shida kubwa ya mkiristo ambae anasoma soma Qur'an akishaona ukweli anajaribu kuitia doa kama huyo Wilberforce, si kwamba hajasoma surah nzima akisoma anakata kata aya za Allah.
Hawa ni wanafik tu wataka kuishi duniani kwa raha na starehe hawataki dini.. Uliskia wapi mambo ya nabii aje afe akufie dhambi km sio ujinga😂.. Tushkuru mungu kw uislam umetakasika na uchafu
Nadhani mwalimu Salim hakumuelewa yule ndugu alieuliza kufafanuliwa "Nasi" . Yeye alikuws tu anataka kujua kama hiyo "Nasi" inamaanisha Mungu ama watu ndio waliompa Nabii Muhammad (swa) utume.
Alikuwa aelezwe kuwa Mungu pia ametumia lugha ya wingi katika Quran kama vile " Sisi" katka Aya nyengine. Hi Ni lugha ya utukufu (majestic plural) ambayo na wafalme badili ya kusema "Mimi"
Mwenyezimungu pia ametumia Mimi katika Aya nyengine.
Nafikiri alikuwa anataka kufafanuliwa lugha iliotumika na Mwenyezimungu. I and We.
Mungu akitumia " Sisi" haimanishi yuko na wenzake .
Kwani hujui mfalme ana wandani wake wa karibu kama ministers au members of Parliament? Kwani siku hizi Allah yuko na washirika pia?😂
@NathanielNathan-m4o
Wacha chuki. Nenda kwenye bibilia na utaona Mwenyezimungu anatumia lugha ya wingi. Usijifanye huelewi.
Ama hukwenda shule ?
Asc,
Mfundiahe bibilia yenyewe haelewi,he is hypocrit he don't believe bible or understand,
Wakristo hawaamini bibilia kwani wako mbali na mafundisho.. Wao wanataka tu yesu afe kw dhambi zao wamkiri yesu kw midomo.. Lkn miyoyo yao iko mbali na mafundisho ya yesu... Wao wanajigamba tu kua mkristo unafiwa dhambi.. Which is yesu alikuja kufunza kumuabudu mungu mmoja tu.
Ai, sijui WHY muna Waste Time yenu, na huyu Malenge Head, Willy!!
Huyu ame TUMWA kwenu na Ujinga wake, ku waste time!!
Already ame waste 25mins of my time, and yours!
Next time Malenge aki pewa na fasi yaku waste time, nita anza ku Fast Forward Video!
This Guy is so annoying na Ujinga yake!
Tabarak AllahTeam.
Mm nimemuona tu nikajisemea new utopolo in town kizungu changu cha kibongo kisiwaumize kichwa😂
Allhamdulilah kwa neema ya uisilam