Jinamizi limeingia ZABRON SINGERS " KWAYA Jamila Dotto" Atoboa sili ya yeye kuondoka

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 73

  • @RossaRutasha
    @RossaRutasha Месяц назад +3

    Zabroni unatakiwa utubu umemzalisha Jamila na ulikuwa unampenda sna acheni umalaya huku nasema mnamwimbia Mungu

  • @GroryMsangi
    @GroryMsangi 17 дней назад +1

    Jamila nampata vizuri sana na walikuja na zablon kanisani kwetu dar mabibo mpakani wakahudumu kama miaka 3 imepita.

  • @MercyChepkorir-fy2xt
    @MercyChepkorir-fy2xt Месяц назад +4

    Ni uchungu kweli, God bless u with your baby jamila

  • @kivuyopendo5487
    @kivuyopendo5487 Месяц назад +6

    Mungu awasaidie sana maana baada ya huo msiba wa ndugu Yao mambo yamejulikana mengi sana, so watubu tu maana anamwimbia Mungu hali matendo si sawa na anachokiimba..

  • @WITINESSALUPHONCE-fz4ux
    @WITINESSALUPHONCE-fz4ux Месяц назад +3

    Nikweliii kabsaaaaa munguu amutie nguvu naumizwaaa na vitendo Kama ivii basi MUNGUU anajuaa

  • @munyivamwau8739
    @munyivamwau8739 6 дней назад

    Japhet mungu hapedi dharau ...ueda hio ndoa ukosa mtoto pia

  • @agripinachsri2273
    @agripinachsri2273 Месяц назад +11

    Hawa walimu wa kwaya sijui Huwa nashida gani

  • @mercilinenyanchera7997
    @mercilinenyanchera7997 Месяц назад +4

    Pole jamila ata mm singekaa

  • @nembibenard8440
    @nembibenard8440 Месяц назад +1

    Umalaya tu kumsifu Mungu katika roho na kweli aaaah

  • @WITINESSALUPHONCE-fz4ux
    @WITINESSALUPHONCE-fz4ux Месяц назад +2

    Wewe ndo kiongoz wa zabron singers kaza moyo

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c Месяц назад +7

    Japhet nakuomba hiz ni nyakat tu nazitapita muhim kaza mwangalien Mungu àwàvushe mpàngo wa shetan ni kuwasambaratisha anataka kulipa kisasi so simamen imara na Naàmin Huyu bint jamila ameondoka kwa aman ila mitandao inaonge kinyume hii yote nimpàngo wa adui wewe ndo kiongoz ulibak nakund take care kaka

  • @FrolaJovith
    @FrolaJovith Месяц назад +3

    Jafeth usikate tamaa kwa maneno ya wanadam pig Kaz Kaka Ang mung atakupigani

  • @LovenessClinton
    @LovenessClinton Месяц назад +3

    Mungu yupo kaa jue japhet

  • @euniceochieng1632
    @euniceochieng1632 Месяц назад +3

    Jamila pole sana dada ata mimi singe kaa

  • @LydiahMoraa-h4z
    @LydiahMoraa-h4z Месяц назад +2

    Sasa wewe n Mimi ,Mimi n wewe ,we ndo nwandani wangu ,rafiki yangu ,

  • @miriamsambu6712
    @miriamsambu6712 Месяц назад

    Jammila you did the right thing.... focus a head never look back don't loose hope ..... Forgive shine the Christ in you Take it as accident .

  • @NdayiTitia
    @NdayiTitia Месяц назад +2

    Jamila Dotto nakuelewa sikuhukum hakuna mwanamke angeweza kulivumilia hilo

  • @Suzanaelibariki
    @Suzanaelibariki Месяц назад

    Kwa kweli inauma,acha aondoke kama hayo niyakweli.

  • @jacksule7557
    @jacksule7557 Месяц назад +3

    Kwan tukiwa kwenye mapenz tukazaa ni mkataba tuoane

  • @nellychelangat3735
    @nellychelangat3735 Месяц назад +2

    Lakini tuwache kufurahia mwanguko wa ndugu zetu badala yake turekebishane kwa upendo sio kwa kiburi. Wacha mwathiriwa ajiongee mwenyewe. Kama Mungu angesihesabu dhambi zetu zote,nani angesimama? Hakuna! Tuwe makini na yale tuyanenayo! I come in peace

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Месяц назад +1

    Anazarau sana huyo mwalimu Mungu anamuona anafundisha nini sasa hivi na yeye siamezaa stajiones kwa watoto wake Mungu yupo na maripo nihapahapatuu

  • @JohnEmmanuel-kh9tj
    @JohnEmmanuel-kh9tj Месяц назад +1

    Japheti muangalie mungu aliko watoa kutoka katika Hali ngumu mpaka Sasa nihe mumwinuwe mungu wamuone nawengine siokuanza kuichezea hiyo nafasi amewa weka hapo kuwa Nuru nasi Giza wengine tuna vikundi lakini hatujafika huko mungu awa saidie kundi lenu tunawapenda sana

  • @MakiwaShabanjumaMakiwaSh-zj9bp
    @MakiwaShabanjumaMakiwaSh-zj9bp Месяц назад +5

    PUMBAVU WEW NENDA KALIME KAZI UWONGO MITANDAONI NYIE MNAOZUSHA UWONGO MCHUKULIWE HATUA MFUNGIWE CHANNEL MAANA HAMJUI MAANA YA IZI CHANNELS SHENZI KABISA

  • @akellotabitha7199
    @akellotabitha7199 Месяц назад +2

    Anything can happen hmmm😢😢This generation the devil is hunting jamila take it easy You gonna wear a new smile one day..

  • @mgayan1222
    @mgayan1222 Месяц назад +1

    Mmmh🤔UMALAYA TU🙌 WALA HAWAIMBI KUMTUKUZA MUNGU🤗
    Wangeendelea Kudumisha UTAMADUNI wa Kuimba kama FAMILIA bila Kualika Watu wa Nje, Wangelinda Heshima ya Kikundi, Maana Ndugu Wasingeweza KUPANDANA OVYO OVYO 😂 Sasa Kila Mmoja Akitamani Kidada Anakivutia Kwayani ili Akimege kwa Uhuru🙌
    VERY BAD IMPRESSION

  • @marympochela7903
    @marympochela7903 Месяц назад +1

    Wapendwa,kama Japheth na Jamila walianguka katika dhambi ya uzinzi, ni wazi kuwa Japheth ametubu na kufunga pingu za maisha, ni sahihi, sasa mnaolalamika mlitaka mchungaji aingie kwenye dhambi ya kubariki uzinzi wao? Mbona si sawa? Angetaka kuolewa Jamila saingekubali kuzaa kabla ya kuolewa,huo ndiyo ukweli mchungu,tusilaumu tu, tunamkosea Mungu kwa mambo yasiyo eleweka.

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y 22 дня назад

    Zi Kila mtu ananita bwana bwana atakaoingia mbinguni,wasabato tumesoma mengi

  • @GivenessJohnson
    @GivenessJohnson Месяц назад +1

    Acha baasi maneno

  • @LovenessClinton
    @LovenessClinton Месяц назад +1

    Daaaaah yaaanii huyo zabroni hakika mungu atamuonq kwanini amsaliti jamila

  • @Nellyettekahindo
    @Nellyettekahindo 27 дней назад

    Nyiye watu wamutandaoni muko namapepo munastahilimaombi

  • @JohnEmmanuel-kh9tj
    @JohnEmmanuel-kh9tj Месяц назад

    Muwe nakiasi nakukesha kwamaa mshitakiwenu ibilisi nikama Simba aungurumae akitafuta kila mtu amumeze
    Muangalie sana kupitia Hilo
    Shetani anawawinda mungu
    Awasaidie sana mfunge na kuomba ili shetani ashindwe kwa jina la yesu amina

  • @denisbongore3098
    @denisbongore3098 Месяц назад +1

    Hii dunia hii inatisha

  • @arafaally2895
    @arafaally2895 Месяц назад +2

    Hii dharau sana

  • @NaomiEmmanuel-c4g
    @NaomiEmmanuel-c4g Месяц назад +2

    Inauma sana

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 Месяц назад +1

    Mbona unavoongea ni kama unachochea zaidi kwanini

  • @HappyPhilly-oq4bs
    @HappyPhilly-oq4bs Месяц назад

    Anayeuwa kwa upanga na yy atauwawa kwa upanga

  • @RoseJoseph-z6y
    @RoseJoseph-z6y Месяц назад

    Mwl gan huyo

  • @claudettepeterkin4186
    @claudettepeterkin4186 Месяц назад +2

    Tell me in English who is Japhet Zebron's wife? Anxious to know

    • @basicsupertv
      @basicsupertv  Месяц назад

      Thanks for good Question ma Fance
      Japhet zabron wife is known as Lulu kikulu and God blessed One baby girl in addition
      Before marriage Japhet zabron give pregnant same girl in ZABRON SINGERS known as Jamila Dotto I think you get me @claudettepeterkin4186 🙏🙏
      don't forget to subscribe in BASIC SUPER TV ✅

    • @alicemwamikazi1257
      @alicemwamikazi1257 18 дней назад

      It's me😂

  • @FrolaJovith
    @FrolaJovith Месяц назад +1

    Ayo nimapito Kil mt anamapunguf yk pig Kaz usiogep mt anaogopw no mung tt sio wndm

  • @LovenessClinton
    @LovenessClinton Месяц назад +1

    Ilakuna mungu jamanii jamila poleee

  • @eunicepetro4901
    @eunicepetro4901 Месяц назад

    wote walitenda dhambi kikubwa wote tu wakatubu hiyo dhambi

  • @AnnaKimario-c2v
    @AnnaKimario-c2v Месяц назад +1

    Msikate tamaa msimwachie shetani nafasi maombi na kazi msikubali kwaya ife . Hayo yote ni maneno ya mkosaji aende anatangaza ujinga wake.

  • @cristinaruka9293
    @cristinaruka9293 Месяц назад +1

    Mwalim nae anatuchanganya sihukumu lakini japheti ww ni barua ya kusomwa na watu wote yesu anakipenda mtwike fadhaa zako sote usitumie akili zako utaendelea kumkosea mungu

    • @basicsupertv
      @basicsupertv  Месяц назад

      hujakosea upo sahihi mungu atu sahidie

  • @TausimadongoTausimadongo
    @TausimadongoTausimadongo Месяц назад

    Ukisoma coment za wanaowafaham huko kwao kahama jamila nae ndio aliovunja ndoa ya huyo japhet😂😂😂😂😂

    • @basicsupertv
      @basicsupertv  Месяц назад

      mhhh hahhahhaha

    • @naomikisaba5785
      @naomikisaba5785 Месяц назад

      Inawezekana 😂😂😂😂 maana mama Cathy haimbi Tena na yeye Ila Mungu atusaidie🙌

  • @DeboraDaniel-zp7jl
    @DeboraDaniel-zp7jl Месяц назад +1

    Waandishi matahila nyie

  • @kamarhelo
    @kamarhelo Месяц назад

    Mimi natamani kujua historia ya huyu Jamila mana Jamila ni jina la kiislamu

    • @basicsupertv
      @basicsupertv  Месяц назад

      sawa tutakuletea hata usijariii shabiki yetu

    • @KristinaMlimka
      @KristinaMlimka Месяц назад

      Kwetu jamira idd zainabu Aisha halima lakini n wakiristo

    • @kamarhelo
      @kamarhelo Месяц назад

      @@KristinaMlimka ila chimbuko lenu au ukoo wenu walikua waislam

  • @IreneMomanyi-g2r
    @IreneMomanyi-g2r Месяц назад +1

    Shida yenu ni nini ?

  • @arafaally2895
    @arafaally2895 Месяц назад

    Wanakulana kimyakimya mimba ikawaumbua

  • @LoiceMasitsa
    @LoiceMasitsa Месяц назад +2

    Leave Japheth alone leave zabron singers alone they will always win.....

  • @EvaLazaro-t2c
    @EvaLazaro-t2c Месяц назад

    Msikte tamaaana wana wa Mungu songeni mbele katika kazi ya Mungu😢

  • @navukalunavatanzi6227
    @navukalunavatanzi6227 Месяц назад

    Ukweli lazima usemwe ili watubu wasihubiri uwongo uwimbaji ni mahubiri

  • @RaphaelMangoha-x2p
    @RaphaelMangoha-x2p Месяц назад +1

    Sió poa

  • @RaphaelMangoha-x2p
    @RaphaelMangoha-x2p Месяц назад

    Sió poa