😊 Wimbo huu unaweza kumfanya MTU ajisikie dunia ni sehemu salama sana kwa kuwa Mungu yu karibu Nate. Hongera sana Jamila. Mungu akuinue zaidi ktk huduma yako.
I just take time to listen and understand this song, and finally It is a great song of my day it just give me a good moment with a boldness in me... Let the Lord gives you the desire of your life etc.
Mungu akutiye nguvu na kuukinga uzima wako hasa kwa kipindi hiki kigumu cha kusemwa na watu ambacho shetani anatamani uachie Kamba ya Mwokozi Yesu... Shikilia usiache dada yangu, simama kwenye msingi ambaye Ni Mungu muumbaji wetu utawanyamanzisha.
Wow amazing my sister may God protect you always and lead you in everything mamaaa keep up good job much love from kenya unaimba vizur sana na unasauti tamuu sana msifu bwana daima mamaa 🎉🎉 i wish l can sign like you oooh God l use too sing some songs by my self hata zingne sijui nataoa wap na pia na imba bila kwa andika sijui mbona mungu akulinde na akubariki dada yangu ❤️❤️🥰💯🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana Mimi ni Mtumish pia hizi Huduma Yesu atuvushe kuna nyakati unaweza inukiwa mbaka ukazan watu hawajaokoka lkn kumbe kipind tu!! Ili ung'ae Kama dhahabu
Watu wakijua huu wimbo utafika 1 Million views very fast💯🔥
Duu nimechelewa kujua huu wimbo🙏🙏🙏
Very nice song
Walahi kapisaa..
Thank you God what a master piece my fellow Kenyans let's gather hear and support this servant of God
Nmefika kama mkenya
People let's go challenge huu wimbo ufike hata 100k views.....let's support her
Mungu alinivusha mahala pagumu sana. Kupitia nyimbo hii.
Ubarikiwe sana
😊
Wimbo huu unaweza kumfanya MTU ajisikie dunia ni sehemu salama sana kwa kuwa Mungu yu karibu Nate. Hongera sana Jamila. Mungu akuinue zaidi ktk huduma yako.
Your channel had many views. May God bless it again.
Huu wimbo umejaa upako....a whole blessing
So powerful, I humble upon the msg
Ubarikiwe wimbo mzuri sana unagusa moyo Songa mbele Mkono wa Mungu upo nawe
MUNGU akubariki dada uende mbaliiii❤❤❤❤ nakupenda sana 💕
Nakupanda sana dada Mwenyezi Mungu azidi kukupgania
Dalili ya mvua ni mawingu dada unaweza sana, Mungu akuinue zaidi. Amina
Good song, we are passing through difficulty times, this song is one of the best medicine, it leads to our CREATOR
Hongera sana Binti ,ubarikiwe sana
Usivae nguo za kukuchora ni dhambi
Asanti kwakweri wimbo wako uko sawa mungu akuonekanie
Jamila wangu umebarikiwa na sauti mwaya❤❤
Ng'wana Dotto mayuuu unajitahidi sanaaaa
Nakupenda sana dada Mungu awanawa❤❤❤❤
Unarikiwe huu wimbo ni faraja kwa waliovunjika moyo
Bg up dada angu,sauti nzr na ujumbe mzr!!
I just take time to listen and understand this song, and finally It is a great song of my day it just give me a good moment with a boldness in me... Let the Lord gives you the desire of your life etc.
Utafika mbali nyimbo nzuri
Amen ubarikiwe mpendwa Mungu akutangulie katika safari hii ya baraka
Ubalikiwe mtumishi wa mungu😢
wimbo muzuli wakututia moyo ubarikiw dad yang ❤❤❤❤
Barikiwa farida lakn nakushauri ukipata wenzio hata watano naamini nyimbo zako zitafika mbali zaidi mkiwa wengi
Ubarikiwe sana Jamila doto nakupenda sana mwonekano wako❤❤❤❤❤
Mungu akutiye nguvu na kuukinga uzima wako hasa kwa kipindi hiki kigumu cha kusemwa na watu ambacho shetani anatamani uachie Kamba ya Mwokozi Yesu... Shikilia usiache dada yangu, simama kwenye msingi ambaye Ni Mungu muumbaji wetu utawanyamanzisha.
I wish she reads this, she really needs to stand form in Christ especially at this time of the internet wave
Amen 🙏🙏🙏🙏❤ love you Lord you have done so much for me in My life I will always praise your name amen 🙏
Real amazing item.... Indeed it's God this far... Thanks sister..
Wow amazing my sister may God protect you always and lead you in everything mamaaa keep up good job much love from kenya unaimba vizur sana na unasauti tamuu sana msifu bwana daima mamaa 🎉🎉 i wish l can sign like you oooh God l use too sing some songs by my self hata zingne sijui nataoa wap na pia na imba bila kwa andika sijui mbona mungu akulinde na akubariki dada yangu ❤️❤️🥰💯🙏🙏🙏🙏
Nanarikiwa na nyimbo zako
Ahsante Baba kwa zawadi ya huyu mtumishi wako Jamira Doto
Naupenda huu wimbo sana.ushuuda kweli wa huyu Mungu wa kweli ❤
So inspiring 😭 the past I leave to Jesus 🙏
Amen! This is my song for the season . God bless you ❤️
Nakupenda Sana we mdada
Kazi nzuri Jamilla....keep going
This song is so good ❤
Mungu akubaliki sana uuwimbo umenipa tumain kubwa nataman siku Moja nikuone
Ubarikiwe sana Mimi ni Mtumish pia hizi Huduma Yesu atuvushe kuna nyakati unaweza inukiwa mbaka ukazan watu hawajaokoka lkn kumbe kipind tu!! Ili ung'ae Kama dhahabu
Dada kwahuu wimbo unatugusa sa na tuliopitia changamoto kwaasie jua nn unakizungumuzia atauzalau❤❤
Mungu ni mwaminifu sana🙏🙏🙏
Huu wimbo Huwa wanibariki sana,barikiwa sana Jamila
Amen ,ubarikiwe kwa utunzi mzuri
Duuuuh barikiwe sana dada ufike mbali katka huduma yako
Huu wimbo ni Baraka kwa watu wengi..mungu abariki muimbaji
Nyimb nzur saan inatia moyoo sanaa 🙏💪💪🔥
Ameeeeen nimebarikiwa sana my situation now the song come on the light time ❤❤❤
Keep it up 💪💪
❤❤❤❤Mungu akuongoze mdogo wangu🎉
Naupenda sana huu wimbo Mungu aibariki sauti yako
Thanks jooh for the opportunity, live and protection❤🎉🎉
Waaauh. What a nice song madam.. Mwenyezi abariki kazi yako🙏🙏
Ubarikiwe sana dada mbona nyimbo nzur sana nmebarikiwa kwayo
Barikiwa dada yangu niite nikusaidie hii kazi ya mungu
Napenda nyimbo zako jamani ❤❤❤❤
Nimebalikiwa na wimbo huuu mungu hakika yale yaliyopita ni ya Mungu
Hongera uko vizuri
Songa mbele dada jamilla usikubali kukatishwa tamaa na maneno ya wanadamu
Mungu akupe viwango vya juu jamila
Mungu azidi kukuinua dada yangu kipenzi nabarikiwa sana na nyimbo zako
Amina mungu azidi kukutia nguvu usonge mbelezaidi tunakupenda❤🎉
Amen Mungu akubariki dada
Mungu akupiganie zaidi ya hapo ulipo
Nice song,,,be blessed my sister
Ubalikiwe Sana dada angu wimbo mzuri Sana yaan umeniongezea iman
Dada unajua kuimba🎉🎉🎉🎉
Ubalikiwe sana sister dotto
Nyimbo nzuri sana.sauti unayo fanya kazi y mungu na roho yko yote.I wish u all the best ❤❤❤
Wimbo mzuri sana MUNGU akusimamie kwenye hudama yako.
Wimbo huu umenifanya nilie kwa magumu nayoyapitia mungu anisaidie tu🙏
Yesu atakuvusha mpedwa
Naomba mungu views wawe billion 1❤️❤️❤️
Mungu azidi kukuinua Kwa kazi yako
Kweli unanibark sana
Wimbo mzurii sana tena sanaaa
sending my love from malawi to you jamilla doto may you be always blessed and be honest with yourself
God bless you abundantly. I like your dress code. You always dress in a manner that glorifies God🎉❤
May God help her she will go far friends share this song
So much love from +254🇰🇪🇰🇪.
Bless you 💖🙏🏼
Mungu akutie nguvu dada angu
The presence of God in our life
Nice song. Mungu akubariki sana.
Amina mtumishi wa bwana barikiwaa
You really have a sweet powerful voice❤
Wimbo mzuri you were my favorite in zabron singers ❤
From Kenya,we wish you well
naupenda Sana huu wimbo mungu akubariki
Tunakukubali sana by new majembe ya yesu arusha
Amin Jamila tunakupenda Sana no Claude kutoka Rwanda salimia japhet Na Victoria
Mungu akubariki sana 🙏🙏
Hakika YESU umenisaidia😭🤲
Wimbo unapenya hadi kwny vilindi vya moyo
Waoooooooo waooooooo wimbo mzuri sana, ujumbe umeshiba,sauti nzuri , vocal imetulia na Muzik mzur sana Mungu azadi kukubariki na kukuinua zaidi
Yaani natamani huu wimbo niupost dunia nzima wausikie
Ubarikiwe sana dada
Wow wow ❤❤❤❤❤
What a song from Jamila Jotto 😍❤️
Barikiwa rafikiyangu
Mungu akuinue zaidi Jamila❤️