Am back again once more. This song encourages me so much. It makes me believe that there is God. No matter what we go through, don't stop believing in God. Kaka yangu, mungu azidi kukupatia nguvu na uwezo kila siku. 🙏🙏❤❤❤😂❤🎉🎉🎉🎉 Asante sana Japhet.
Mungu nakuomba utubariki. Dunia imebadilika. Thanks so much for that uplifting number. We love the Zabron singers so much. Am waiting for another hot songs from you guys❤❤🎉😢😮😅😊🎉🎉🎉. Stay blessed 🙌
Mungu naomba uni fungulie njia. Njia zote zilizo fungika naomba uzifungue.
Am back again once more. This song encourages me so much. It makes me believe that there is God. No matter what we go through, don't stop believing in God. Kaka yangu, mungu azidi kukupatia nguvu na uwezo kila siku. 🙏🙏❤❤❤😂❤🎉🎉🎉🎉 Asante sana Japhet.
Wimbo mzuri sana Dada🙏🏾🙏🏾 Mungu azidi kukutumia kutufariji.
Fungua njia Baba Tunaomba.Tupe wafadhili kwa shirika letu,tuinue hali zetu za kiuchumi.Amina.
Mungu fungua njia nione tabasamu ❤
Nabalikiwa na nyimbo zako mpenz
❤ Mungu amefanya tena,
Siku zote tuna shuhudia makubwa yake 🙏🙏
Mlikuwa mnapendezeana sana
Babaa yangu japhet upo wapiiiii😢😢😢😢
Mungu nakuomba utubariki. Dunia imebadilika. Thanks so much for that uplifting number. We love the Zabron singers so much. Am waiting for another hot songs from you guys❤❤🎉😢😮😅😊🎉🎉🎉. Stay blessed 🙌
wow nabarikiw na nyimbo zenu jmn
Siku Moja nitakutemberes kwa jeresaremu church nikipata chance, nakuomba salamia team yote ya zabron singers thanks may God continue blessing you,
Shapenda kazi yako safi mamaa
Huyu jamila anajua sana🙏💪💪
Kazi nzuri, maneno yamenibariki…..nataka upatanisho na Mungu wangu tu….
Kazi nzuri ❤
Jamilla you are a strong woman ❤❤ I love you
Asante sana kwakutupatia tumaini. God bless 🙌 you guys. I love your all music, they put me to sleep ❤😂😂😂🎉🎉Liz from USA Bravo 👏 🙌 ♥️
Amen Amen kubwa barikiwasana. Nico Burundi 'akufatavyema💐💐💐💐💐💐🇧🇮🇧🇮🇧🇮👈🎧🎧🎧🎧🎧🎧
Ubarikiwe Sana madam kwa kwa kazi nzuri
YESU fungua njia kwa maisha yetu hujawai kushindwa na kitu
Seigneur dis seulement un mot et je serai guérie
Asante sana kwa nyimbo zenu zinatuhimiza n'a pole tena kwa msiba uliyo tu pata
Amen. Be blessed. This song blessed me.
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Japhet is a cool guy..keeping away from the media na waumbea makes this guy brave enough
Huu wimbo husana ufuatilia mar4kwampigo ummoja💐💐💐🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🎧🎧🎧👈
Amen and amen 🙏🙏
Amina nimependa sana nyimbo yako Jamila ft Japhet
Iyo nyimbo nzuri melody yake...naitaji kupata no yako tufanye colabo Moja
More grace beautiful gal
Bwana azid kukutumia katika kazi yake una kipaji
Fungua njia Yesu nikuone wewe ni Baba yangu
Japhet you are a stong brather❤❤Good bless you
Hongera sana Jamila kaz nzr sana bg up!!
Safi sana.
🙏 🙏 🙏 nifungilie mlango BWANA
❤❤ 🇺🇸
Fungua njia baba nahitaji nikuone kwenye maisha yangu
From kasulu ,tunakupateni
Tu ubalikiwe n'a nyimbo
Nice song❤❤❤
Uyu dada na arudi zabron...akii n mkali kinoma
Aliondoka alipewa mimba na huyo japhet na akamuacha akaoa mtu mwingine
@@beatricesamwel8161 waaah🙄🙄🙄🙄
Kweli? @@beatricesamwel8161
Mungu akutangulie mpendwa
Amen barikiwa sana🙏🙏🙏
Amen !
Good work.
Lots of love from us ❤❤❤
Nimebarikiwa sana
ITHEE KWAKWELI ALUDI
Mungu fungua njia nimuone Jammila
Jamila unaimba ki zabron zabron
Jamila songa mbele
Kazi nzuri
Dada unakipaji, songambele
Barikiwa sana
Be blessed 🙏🇰🇪
Fungua milango bwana🙏🙏
Wimbo mzuri
Much love from Kenya may God give me a chance to do music with you Jamilla
Good song like it 🎉
Bresed❤
Nipo Burundi nakufuatilia vema
Amina Amina
God makes a ways
Amina 🙏🙏🙏🙏
Amen
Amina
Nice
❤❤
Hallelujah
🙏🙏🙏🙏💯💯
❤❤🇰🇪
🙏🙏🙏🥰🥰🥰
🙏🙏🙏🙏
Aliye wa vusha izilaeli atatembea na ww usitoke magotini màan ww hutushangaza atakutendea kwamema yake
Ameee
R I p Z
mbona sauti zenu Huwa n za kisukuma zaidi nyie wawili na znafananaaa
😂
😂😂
Jamila ni rafuzi yakisukuma kabisa
😂😂 waache bn nzuri na inavutia
Ni Wasukuma hivyo sio ajabu
Mungu tusamehe usitusahau
Amina
❤❤❤