Kila siku Mungu anatupa zawadi ya uai ,ni vema kushukuru na kupunguza why me Pia mh mstaafu dakika 4 na sekunde kazaaa kazungumzia mambo ya msingi legacy Inaaanza Kwa yeyote yani baba wa marehemu alikuwa yupo kwenye legacy ambayo mtoto Naye kaingia uko Kuna haja ya kujifunza wazazi ili watoto waendeleaje legacy
Jamani ila watu mnaomsema mweshimiwa kikwete et anacheka cheka mm naona hamtendi haki mm naona ndo maumbile yake yalivyo sikwamba anavyokuwa anacheka muda wote anakuwa anafurahia mm toka nimjue nadhani ni maumbile ya mtu husika yako hvyo
Watu kaka hawaelewi maana au Dhani ya kwenda kumfariji mfiwa sio kwenda kuwasabahi wafiwa kwa kulia ndo kuwapa FARAJA huyu mzee ànajua sn kuwafariji wafiwa hapa anawafariji kuwasahaulisha maumivu ya kufiwa Sasa muombolezaji ukiwa unalia sn je mfiwa ataliaje Sasa wawe wanaelewa dhana ya kuwapa FARAJA wafiwa jamani khaaaa wape pole hawaelewi kaka ni maana ya kuwafariji wafiwa
Nani rais hajaiba mbona huelewe ww kisa ww unampenda MAGUFURI. He magu aliiaba fedha za serikali na kuhonga kwa mwanamke kibula mwenye kebbys hotel mwenge acheni uchoko huyu rais km hujabahatika kuwa kwenye utawala wake ww unakufa maskini Kati hujinkumjua rais mzuri km jk MUNGU AMUWEKE HUYU MZEE ALIWAPENDA WATANZANIA HAKUNA MTANZANIA ALIKOSA PESA MFUKONI ALIJENGA MABALABARA MADARAJA HIZI MWENDO KASI LEO MWAONA YY NDO ALIJENGA HAWA WAMEANZA KUENDELEZA ALIJENGA BARABARA ZOTE ZA MIKOA KIWANGO CHA LAMI WANANCHI WALIISHI BILA NJAAA LAANGALIE BEI ZA MAFUTA YA MAGARI ILIKUWAJE WAKATI WAKE ANGALIA BEI ZA SUKARI CHUMVI , MAFUTA YA KULA MAHARAGE ILIKUWAJE? NK FUATILIA VITU USIISHI KWA KUKALILI LKN NDO HIVYO ANAJUA KUISHI NA WATU KASTAAFU ANAISHI MA WATU MIATAANI VIZURI HUYU MZEE ANAENDA HADI MISIBANI KWA MASKINI ACHENI TUU HUYU BABA NDO MAANA MUNGU ANAMLINDA NA ATAISHI MIAKA MINGI ZAIDI YA HAPA ANAJUA UTU WA MTU HAKUUUA WATU HUYU MZEE KATIKA UTAWALA WAKE LEO ANAISHI VIZURI HANA DAMU YA MTU MIKONONI MWAKE REJEA HADI SPEECH YA NAPE ALISEMA HADHARANI WALITAMANI VIONGOZ WA CCM SEHEMU NYINGINE KUWAFANYIA UBAYA SN UPINZANI LKN MZEE JK ALIKATAZA ANAWAITA WOTE IKULU WANAKAA WANAKUNYWA WOTE CHAI HAYA ANAWAAMBIA KAFANYENI KAZI KWA BIDII NA WAPINZANI HAWA NA DEMOCRASIA NDO ILIKUWA ZAIDI NCHINI MWETU TULISHUHUDIA BUNGE HATARI KUPITA ZOTE TANZANIA IKIIINGUKURUMA BUNGE TUMESHUHUDIA WAZIRI MKUU AKIADHIBIWA KISA UBADHIRIFI MNYONGE MNYONGE I HAKI ZAKE MPENI THE BEST PRESIDENT EVER IN TANZANIA IS JK... ACCEPT OR NOT THAT IS FACT..
Wabaya ndo wanakufa waliomtuma watu wakamuue mh LISSU hao ndo wabaya na ndo maana wanakufa mzee huyu hakuwahi uoa watu mikono yake safi kabisa huyu ataaishi miaka mia mbili nakwambia
Nami nakupinga hata kama siipendi ccm Wala siasa za tz lakini Kikwete ni kiongozi niliyemkubali kupita wengine Mungu ampe maisha mazuri na nikimwona tu huwa nasikia Raha sana. Kila mtu Yuko huru kupenda anachokiamini na kukiona au kukisikia
Fara mkubwa ww huyu mzee anaheshimiwa sn huyu ndo alimpa kijiti MAGUFURI kuwa rais huyu angeamua kutokuwa rais magu asingekuwa fara ww aliemuua mkapa unamjua fara n. Wabaya mnao ona ndo walikuwa wema ndo walikufa na damu za watu mikononi lisu alipigwa lisasi hadaharani na alijinasibu hawafai kuishi Yuko wapi huyu alaaah mweshimu huyu mzee kuwa na heshima mzee anaheshima zake hili taifa kalifanyia mengi mno fara kweli mjinga usiojitambua
Ww ndo mpumbavu wa mwisho jinga NN huyu ndo best president ever ndo alitwambia nchi inahitaji rais wa NAMNA gani huyo mwendazake alitambua nchi iwe km sahiz chizi kweli mweche I mzee wetu Aishi miaka km yote alaaah
Kikwete Mungu akubariki Sana unapenda Sana usawa
Asante kwa kuwa nguvu kwa wengine ili wafike mbali, mheshimiwa Kikwete nakupenda sanaaa Mzee wetu na rais kipenzi wakati wako...
Mungu azidi kumuweka salama na kumtunza mzee wetu JK
Pumbavu zako
Amiin
Ila Kikwete Mungu akulimde uishi miaka mingi, we ni kiongozi kweli kweli
baba bora jk Mungu akuzidishie baba miaka mingi bado unaumuhimu kwa Taifa na bara zima la Africa tunakupenda baba
So sad. Taifa tumepoteza . Mungu amrehemu Dr. Ndungulile. Mungu akutunze na kukulinda baba yetu na raisi wetu Kikwete...
The best president in Tanzania ever live longer my father.. you deserve live longer..
Mungu ni mwaminifu sana. Pole sana familia ya Ndungulile
Maneno ya mzee wa taifa Asante baba
Watu wanamambo ya hovyo nchi yenyewe tumebaki na Raisi mstaafu mmoja nae hamtaki aishi sijui Tz tumelongwa.Mtuachie mzee wetu.
Rais pendwa kwa Tanzania tunakupenda kwa kila Jambo unalolifanya umeishi na watu vizur watanzania tunakuombea maisha marefu na yenye mwisho mwema
Kila siku Mungu anatupa zawadi ya uai ,ni vema kushukuru na kupunguza why me
Pia mh mstaafu dakika 4 na sekunde kazaaa kazungumzia mambo ya msingi legacy Inaaanza Kwa yeyote yani baba wa marehemu alikuwa yupo kwenye legacy ambayo mtoto Naye kaingia uko Kuna haja ya kujifunza wazazi ili watoto waendeleaje legacy
Mueshimiwa kikwete Alha akuongoze salama inshallah
Kijana wa Taifa huyu😅 uzee mpaka 80
Acheni maneno ya hovyo, mhe. Kikwete ni mtu muhimu sana katika nchi yetu
Hivi unajua awamu yake ilivyoboronga au hujui
@@MonicaTimotheonampaka Sasa yeye ndio anaboronga bado
Acha uongo hayo ni maneno ya vijiwen ukweli mm na ww hatuujui kuhusu kilichojificha kwenye siiasa bali wanajua viongozi wakubwa tu@@MonicaTimotheo
Wewe sio muhimu?
Mh kikwete kwa kweli wewe ni mfariji
Ila.mie.najiuliza.inakuwaje.watu.wanje.wanamuona.mtu.muim.ktka.fani.flani.lakini.kwao.haonekani.kisawa.naomba.tujifunze.jambo.tutumie.vizuri.tunu.yetu.yataifa
0:24 Angali hii sekunde, mwili wake ulikuwa unatikisika. Mungu ampe kauli thabiti
Hafu kweli umeonaje
Uko makini Sana rafiki yangu, inaonekana ulifaa kuwa intelligence
@@tumsifuvicent4108 Watu tunatembea na maginjwa mengi sana, ni vyema kuthamini afya zetu
Mimi pia nimeona aseee mungu anasiriii
Jk l love in Jesus name Amen
Raisi Bora Wa Wakati Wote Tanzania, Nakukubari Sana
Wewe Mzee usije uka tuuwa na kucheka maana
Baba Wa Taifa Uliyebaki Na Zawad Pekee Tuluyobaki Nayo Kama TAIFA
Dunia mapoto jamani tuwe na hofuu ya mungu
Ok
Unajiita king una mponda mtu ambae kakuzidi Kila engo ya maisha
Innalilah waina ileihi raj.un
Dah kifo bhana!😢
Haya J.K
Rest in peace
SIASA ZA KUJIFANYA MTU MWEMA WATANZANIA WAMECHOKA NA SIASA ZA KUJICHAKESHA
Jamani ila watu mnaomsema mweshimiwa kikwete et anacheka cheka mm naona hamtendi haki mm naona ndo maumbile yake yalivyo sikwamba anavyokuwa anacheka muda wote anakuwa anafurahia mm toka nimjue nadhani ni maumbile ya mtu husika yako hvyo
Huyu baba anapenda kucheka sana ndivyo alivyo. Angekuwa mwanamke angeitwa happy
Watu kaka hawaelewi maana au Dhani ya kwenda kumfariji mfiwa sio kwenda kuwasabahi wafiwa kwa kulia ndo kuwapa FARAJA huyu mzee ànajua sn kuwafariji wafiwa hapa anawafariji kuwasahaulisha maumivu ya kufiwa Sasa muombolezaji ukiwa unalia sn je mfiwa ataliaje Sasa wawe wanaelewa dhana ya kuwapa FARAJA wafiwa jamani khaaaa wape pole hawaelewi kaka ni maana ya kuwafariji wafiwa
ATA KIPINDI KILE DITOPILE ALIMPIGA RISASI DEREVA WS DARADARA ETI RAFIKI YAKE RAIS KIKWETE
ANALOLOTE SIASA HIZO KUFA KWENYE BAADA YA UTEUZI TU WHO NDIO HICHO KIMEMUUA
Muhimu Kwa kuuwa viongoz au nn
HUYU NDIO MUUAJI LAKINI WAO KATIKA KUNDI LAO AWAFI
Uyo anaeanza kuongea anamaliza bundle
Baba kikwete we ni mcheshi sana unapenda kucheka na kuflai sana ingewezekana unge ludi kugombea tena uwe raisi tena
Wewe mshenzi tu
Naomba namba yako milard
Sasa uifanyie nn wewe😂😂😂
KAMA MLIMKUBARI MLIKUA NI NYINYI WACHACHE MLIOKUA MNAIBA NAE
Nani rais hajaiba mbona huelewe ww kisa ww unampenda MAGUFURI. He magu aliiaba fedha za serikali na kuhonga kwa mwanamke kibula mwenye kebbys hotel mwenge acheni uchoko huyu rais km hujabahatika kuwa kwenye utawala wake ww unakufa maskini Kati hujinkumjua rais mzuri km jk MUNGU AMUWEKE HUYU MZEE ALIWAPENDA WATANZANIA HAKUNA MTANZANIA ALIKOSA PESA MFUKONI ALIJENGA MABALABARA MADARAJA HIZI MWENDO KASI LEO MWAONA YY NDO ALIJENGA HAWA WAMEANZA KUENDELEZA ALIJENGA BARABARA ZOTE ZA MIKOA KIWANGO CHA LAMI WANANCHI WALIISHI BILA NJAAA LAANGALIE BEI ZA MAFUTA YA MAGARI ILIKUWAJE WAKATI WAKE ANGALIA BEI ZA SUKARI CHUMVI , MAFUTA YA KULA MAHARAGE ILIKUWAJE? NK FUATILIA VITU USIISHI KWA KUKALILI LKN NDO HIVYO ANAJUA KUISHI NA WATU KASTAAFU ANAISHI MA WATU MIATAANI VIZURI HUYU MZEE ANAENDA HADI MISIBANI KWA MASKINI ACHENI TUU HUYU BABA NDO MAANA MUNGU ANAMLINDA NA ATAISHI MIAKA MINGI ZAIDI YA HAPA ANAJUA UTU WA MTU HAKUUUA WATU HUYU MZEE KATIKA UTAWALA WAKE LEO ANAISHI VIZURI HANA DAMU YA MTU MIKONONI MWAKE REJEA HADI SPEECH YA NAPE ALISEMA HADHARANI WALITAMANI VIONGOZ WA CCM SEHEMU NYINGINE KUWAFANYIA UBAYA SN UPINZANI LKN MZEE JK ALIKATAZA ANAWAITA WOTE IKULU WANAKAA WANAKUNYWA WOTE CHAI HAYA ANAWAAMBIA KAFANYENI KAZI KWA BIDII NA WAPINZANI HAWA NA DEMOCRASIA NDO ILIKUWA ZAIDI NCHINI MWETU TULISHUHUDIA BUNGE HATARI KUPITA ZOTE TANZANIA IKIIINGUKURUMA BUNGE TUMESHUHUDIA WAZIRI MKUU AKIADHIBIWA KISA UBADHIRIFI MNYONGE MNYONGE I HAKI ZAKE MPENI THE BEST PRESIDENT EVER IN TANZANIA IS JK... ACCEPT OR NOT THAT IS FACT..
ANAMSAFISHIA NJIA MWANAWE RIZIWANI ASIPATE UGUMU
WEWE MZEE KIKWETE MBONA NYINYI AMUFI WANAKUFA WAZURITU NA WASOME
Unataka Urithi??
Wabaya ndo wanakufa waliomtuma watu wakamuue mh LISSU hao ndo wabaya na ndo maana wanakufa mzee huyu hakuwahi uoa watu mikono yake safi kabisa huyu ataaishi miaka mia mbili nakwambia
ANAJICHEKESHA SIASA ZA ZAMANI ZISIZO.NA MAENDEREO
Mlaumu Baba Ako kutokukuwekea njia😅😅😅
@@ForeverCaptainhajui hilo kabisa msaidie ili ajue
Tumeshakuchoka nenda zako
ANAMSAFISHIA NJIA MWANAWE RIZIWANI
we unachuki binafsi,kawe kiongoz nawe bas.Njaa tu
WATANZANIA TUWE MAKINI NA HUYU MZEE ANATAKA TANZANIA IONGOZWE NA FAMILIA YAKE
Wewe lijinga muache JK acha wivu mbwa sana wewe
Nami nakupinga hata kama siipendi ccm Wala siasa za tz lakini Kikwete ni kiongozi niliyemkubali kupita wengine Mungu ampe maisha mazuri na nikimwona tu huwa nasikia Raha sana. Kila mtu Yuko huru kupenda anachokiamini na kukiona au kukisikia
Wewe akili zako finyu sanna na ndio maana unatuma sms kama jinga vile. Muache kikwete kama muuaji au nani watanzania tunamuelea
Ww ndo mpumbavu ambae huelewi
NA HILI KIKWETE KWANINI ALISTAFU LIKATULIA TU
MIAKA YOTE MANENO YAKO NDIO HAYO HAYO TU NA KUCHEKA CHEKA
Ila kweli ww ni noma yani ndio pigo zake mweshimiwa mstaafu.Hata msiba wa Manji alitoa risala kama hii
Wewe usiechekacheka umefikia wapi kimaisha kwa sasa
Hiyo ndo staili yake Mungu alomuumbia pia kwa ucheshi wake ni kufariji wafiwa unataka watu wanune tu muda wote jamani hiyo hapana
Ulitaka anune!
WEWE KIKWETE NDIO UNAOWSMALIZA WASOMI
YEYE MWENYEWE NCHI ILIKUWA IMEMSHINDA AKUNA CHOCHOTE CHAMANA ALICHOFANYA
Wewe umefanyia nini Taifa? Kazi kuongea ujinga tu
Yaah point
KIFO HICHI WATANZANIA NA VILE VILIVYOPITA VINAFANANA
KILLER NO I WA VIONGOZI WENZAKE
NADHANI wabaya ndo wanakufa wazuri km mzee wangu kikwete hafai ng'ooo
Kamuua baba yako au?
WATANZANIA HUYU MZEE NDIO ANAYEFANYA MAUAJI
Kama babako anavofirwa
😢
ANAJIKOSHA MUUAJI
Kuwa na adabu. Choko Wewe
Fara mkubwa ww huyu mzee anaheshimiwa sn huyu ndo alimpa kijiti MAGUFURI kuwa rais huyu angeamua kutokuwa rais magu asingekuwa fara ww aliemuua mkapa unamjua fara n. Wabaya mnao ona ndo walikuwa wema ndo walikufa na damu za watu mikononi lisu alipigwa lisasi hadaharani na alijinasibu hawafai kuishi Yuko wapi huyu alaaah mweshimu huyu mzee kuwa na heshima mzee anaheshima zake hili taifa kalifanyia mengi mno fara kweli mjinga usiojitambua
ETI ANAJIITA RAIS MSTAFU RAIS GANI? HUYU PUMBAVU
Hivi kaka kwa nn una chuki roho mbaya na wivu usiokuwa na fact zozote.Nakuombea wewe uwe rais wa Taifa hili ....
Ww ndo mpumbavu wa mwisho jinga NN huyu ndo best president ever ndo alitwambia nchi inahitaji rais wa NAMNA gani huyo mwendazake alitambua nchi iwe km sahiz chizi kweli mweche I mzee wetu Aishi miaka km yote alaaah
kikwete mtu mwema sana tena sana yani d
@saviorministry4817 acha tuuu ndugu yangu wanaongea vibaya hawajawaishi