Rami= Bitumen(Asphalt) ni world wide used katika ujenzi wa barabara zote kwa ajili ya magari yanayo tumia hasa rubber tires and trucks ... Tire patch on bitumen provides a very nice tire tractions...to provide nice control ,handling and safety... Kuhusu maswala ya uzito wa gari ni wao wajenzi inabidi hizo factor wazingatie , pia slope angle izingatiwe, mabadiriko ya hali ya hewa pia izingatiwe katika designing na pia ili wafikie lengo la kuhakikisha safety, fuel consumption ikiwa wanatumia ni raia ili iwasaidie kupunguza matumizi ya mafuta zaidi... Kuliko kujengea zege sehemu hatari kama ile ... Nashangaa sana. Kwasababu nikifikilia zege na tire traction, mabadiriko ya hewa mfano jua kali, mvua kubwa , na upepo mkali... Sidhani kama concrete road inakua reliable hasa katika sehemu hatari kama kitonga. Look Bitumen ni mabaki ya mwisho katika uchujaji wa crude oil... Inatumika kama binder katika utengenezaji wa barabara.. Rubber Tyre huleta reaction nzuri na rami, kuliko concrete. Kudidimia, ku -purge, au kuonesha mabadiriko yoyote ya barabara ya rami.. Huonesha namna gani barabara imejengwa chini ya kiwango... So mm sihafikiani na engineer wa ujenzi. Ninavyo elewa na ndo ilivyo. Labda sijamuelewa vizuri engineer.
Hapo bro Umefeli, Yaani unataka Kitonga pawe surfeced by Asphalt? Unajua hiyo Rigid ina miaka mingapi mpaka sasa? Je ingekuwa flexible pavements kama unavyotaka si ingekuwa majanga
Hapo wamejenga zege kwa sababu kuu moja tu. Durability, zege linaweza kukaa hata 40 years wakati asaphalt ikienda sana ni miaka 10. Kushinda unafanya maintenance hapo kitonga ni kusababisha foleni zisizo za lazima
First mwandisi kachemka kidogo hapo plz elezea vizuri jaman rigid surface haili mafuta kuliko flexible na rigid surface ni comfortable kuliko en pia ujenzi wa rigid surface unaweza kuwa wa gharama kubwa kulingana na mazingira kwa maana ya time. Mwandisi aeleze vizuri bhana mtafuteni tena akiwa amemeza vitini fresh
Sio mwandisi ni Muhandisi.. Tuanzie hapo kwanza. Halafu kingine, Kama kitu hukijui piga chini, waachie wataalamu waongee na usikilize wanachosema, na si kutoka utokako umejishibia zako makande unataka na wewe usikulizwe
Ongea kuhusu tear and wear,barabara ya zege friction ni nyingi inatia hasara ya tairi, lami nayo ni nzuri aina kukwaruza lakini inaisha haraka sababu ya maji na uzito wa magari makubwa kupitisha viwango vya ubebaji
Millard Ayo vipi kuusu ruvuma mbona utokei uku Kuna kampuni inaitwa Sietco ni ya kichina inatengeneza barabara.... Hapa atujawaiona viongozi wa mkoa kuja kutembelea lea wafanya kazi na pia mladi ni wa mabilioni wanalipa wafanyakazi ela ndogo labda ukija wewe uku cku moja watasikia viongozi wengne uko wakitaifa watasaidia
Yaani huu mlima ndo unanifanya nisiende Songea,serious kwanini hawachimbi katikati ,huo mlima si umekufa, si watengeneze Tunnel hapo katikati, au kuna nini, wajuaji naomba mnijuze,.......Nikirudi bongo ntapanda ndege kwenda Songea Dah balaa huo mlima,maana nikisikia ndugu wakiongea nasikiaga baridi la ajabu linanipata
Hapo mm napita kila kila Mara na fuso ya nyanya kutoka ilula daaah ila huwa sipazoei kabisa huo mlima ni noma kona Kali miteremko mikali afu pembamba huko bondeni sasa hadi Giza huoni chini
Nilikuwa cjawah kupita jmn ila cku niliyoopita gar zima walinihurumia mpk nafka kitonga comfort tumb la kuharisha limenishka cji kurudia tena kupita hyo njia
Tatizo ni abiria. Wange ongea kwa umoja lazima angefanya adabu. Ila kuna watu uki ongea unaonekana mjinga hadi wanakushangaa. Ajali nyingi kwa kweli ni husababishwa na uzembe
Mara ya kwanza kuingia Tanzania nikisifia sana sehemu hii kama sijakosea kama 25km kupanda na Axor 2543 waliita gari ndogo sivyo nilivyo zikata streamliner 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Tatizo huwa mnafanya vitu visivyo faa hivi cement tunayo kibao lakini barabarani mbona kijibarabara kifinyu mnoo na ajali ndio maana zipo kila mara kutokuwa na ubunifu mzuri.
Apo pakawaida Sana hujakutana na Isuzu forward inapeleka nyanya dar ukisikiaaa stop engine imelia ujue kashamalza Kona. Kwa bus zinatembea adi sio pw ila usiombe bas liwe na wanawake watalia Lia umo atar
Aisee ni hatr silalgi nikifika sehemu hii hasa nikikumbuka tulinusurika kugongana na bus afu ss tuko kati nyuma na mbele woga mpaka leo ila dereva wa bus nahis wanaona kawaida maana hawapungiz mwendo😔😔😔😔
Ipo haja ya kujengea uzio mzito,utakao zuia gari kubiringia bondeni pindi ikitokea ajali,kilamwaka tunapoteza watu wengi serikali iangalie hilo,iache mengine ifanye hilo
Aaahh unamuonea wa basi,hujamuona huyo wa roli hapo mwisho anavyoshuka..!? Hata basi lingekuwepo lingepitwa😁😁maana nimemrudia mara tatu niene kama ajagonga kweli.
hilo ni cha mtoto.nendeni karatu mkaangalie lilikoanzia huo mkondo wa creater.hapo kitonga ndio linamalizikia.tena limegawanyika.maeneo ya senkeke matawi ndio yamechanua pale semkeke.ma limeenda mpk jordan.na limeanzia ngorongoro Arusha.
Kwa usajili wa Kampuni, Jina la biashara, Nembo ya biashara (Trade Mark), NGO,s, Churches, Barcodes kwa ajili ya bidhaa zako, Kubadili jina la Kampuni/ Biashara, Kubadili wamiliki wa Kampuni (Directors), Annual returns, International NGO,s zinazotaka kufanya kazi hapa Tanzania na mengineyo yahuduyo Kampuni tupigie sasa 0786 660 202 KARIBU SANA TUKUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU SANA NA WELEDI WA HALI YA JUU
Concrete ina gharama chini kidogo ukilindanisha na lami? How comes? Hapa amedanganya kabisaaa... Concrete ni barabara ya gharama na inadumu kwa miaka mingi kuliko lami ya kawaida.
Hiyo njiya yarab akili gani tengenezeni njiya 2 za kwenda na 2 za kurudi na iwe large ata ikitokewa kitu iwe fasi ya kusimama ni lorry ndo zinapita sio basckell hamna usalama
Engineer katupa matango..sio kwel barabara ya zege ni cheap kuzid ya lami..na barabara ya zege ni bora kuliko lami...life span ya barabara ya zege ni 45yrs wakat lami ni 15yrs
Alie ona mtaalami badala ya mtaalamu gonga like twende sawa
Hqpo nilipita nilihisi kufa wallh
Asante kwa Elimu engineer, proud of you
Najua wale wapenda kitonga ndio mmekuja kuangalia hii video ....msiondoke hv hv naomba niwajue😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Upo sahihi ndg😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Lukumbulu napo vipi.. Kama unatokea Songea kuja Njombe
Kanjia kakwenda nyumbni
😄😄😄
Rami= Bitumen(Asphalt) ni world wide used katika ujenzi wa barabara zote kwa ajili ya magari yanayo tumia hasa rubber tires and trucks ...
Tire patch on bitumen provides a very nice tire tractions...to provide nice control ,handling and safety...
Kuhusu maswala ya uzito wa gari ni wao wajenzi inabidi hizo factor wazingatie , pia slope angle izingatiwe, mabadiriko ya hali ya hewa pia izingatiwe katika designing na pia ili wafikie lengo la kuhakikisha safety, fuel consumption ikiwa wanatumia ni raia ili iwasaidie kupunguza matumizi ya mafuta zaidi...
Kuliko kujengea zege sehemu hatari kama ile ...
Nashangaa sana.
Kwasababu nikifikilia zege na tire traction, mabadiriko ya hewa mfano jua kali, mvua kubwa , na upepo mkali...
Sidhani kama concrete road inakua reliable hasa katika sehemu hatari kama kitonga.
Look
Bitumen ni mabaki ya mwisho katika uchujaji wa crude oil...
Inatumika kama binder katika utengenezaji wa barabara..
Rubber Tyre huleta reaction nzuri na rami, kuliko concrete.
Kudidimia, ku -purge, au kuonesha mabadiriko yoyote ya barabara ya rami..
Huonesha namna gani barabara imejengwa chini ya kiwango...
So mm sihafikiani na engineer wa ujenzi.
Ninavyo elewa na ndo ilivyo.
Labda sijamuelewa vizuri engineer.
Rami Ni Nini?
Ama unamaanisha Lami?
@@conradzimsky8215 lami namaanisha...kiswahili tyu nimebugi😂😂
Hapo bro Umefeli, Yaani unataka Kitonga pawe surfeced by Asphalt?
Unajua hiyo Rigid ina miaka mingapi mpaka sasa? Je ingekuwa flexible pavements kama unavyotaka si ingekuwa majanga
Hapo wamejenga zege kwa sababu kuu moja tu. Durability, zege linaweza kukaa hata 40 years wakati asaphalt ikienda sana ni miaka 10. Kushinda unafanya maintenance hapo kitonga ni kusababisha foleni zisizo za lazima
nimekuelewa vizuri sana mtaalamu
Hongera cna kaka kwakuipendq kazi yako nasi tunaipenda pia
Nimekusoma mr mtaalamu asante sana
Umeeleze vizuri muhandisi. Ila gharama ya barabara ya zege (Portland Cement concrete pavement) ni kubwa kuliko ya lami (Asphalt concrete Pavement).
Mwishoni mwa interview kuna dereva anaendesha lorry ya kijani kwa mwendo kasi tena kwenye kona utadhani brake zimefeli. Wenzangu mmemuona?
Nmeridhika engineer
First mwandisi kachemka kidogo hapo plz elezea vizuri jaman rigid surface haili mafuta kuliko flexible na rigid surface ni comfortable kuliko en pia ujenzi wa rigid surface unaweza kuwa wa gharama kubwa kulingana na mazingira kwa maana ya time. Mwandisi aeleze vizuri bhana mtafuteni tena akiwa amemeza vitini fresh
dasio haule kachemka haswa kwenye gharama
dasio haule pia gharama ya zege iko juu kuliko lami
Rigid ina gharama kubwa ya ujenzi,
Pia rigid si comfortable, hivyo ndio nijuavyo
Pia rigid inakula tyres kuliko lami ya kawaida
Sio mwandisi ni Muhandisi.. Tuanzie hapo kwanza.
Halafu kingine, Kama kitu hukijui piga chini, waachie wataalamu waongee na usikilize wanachosema, na si kutoka utokako umejishibia zako makande unataka na wewe usikulizwe
Wapenda Kitonga tujuane hapa🤷🏻♂️Tujadili hapa kwann wanatuwekea Zege tushindwe kuserereka
Ongea kuhusu tear and wear,barabara ya zege friction ni nyingi inatia hasara ya tairi, lami nayo ni nzuri aina kukwaruza lakini inaisha haraka sababu ya maji na uzito wa magari makubwa kupitisha viwango vya ubebaji
Geof na Alysaedy yake haelewi anashukatu namkubali sana dereva wa hilo bas
Jamani kitonga mbn pametrand sana kwan kuna nn uko
Very useful
Millard Ayo vipi kuusu ruvuma mbona utokei uku Kuna kampuni inaitwa Sietco ni ya kichina inatengeneza barabara.... Hapa atujawaiona viongozi wa mkoa kuja kutembelea lea wafanya kazi na pia mladi ni wa mabilioni wanalipa wafanyakazi ela ndogo labda ukija wewe uku cku moja watasikia viongozi wengne uko wakitaifa watasaidia
Basi mbn lipo taratibu angalia iyo semi trela nyuma ilivo tokeza kwenye Kona ndo noma
Nikipitishwa hapa lazma nijikojoleee 😂😂😂 uwiiiiiiiiiii
Hahaha
Munira Ahmed hahaha jinga wewee
Kojoa tu kiroho safi 😀😀
@Munira wee utakuwa ni kikojozi mpaka kitandani na ni mchafu sasa ni kitu gani kinacho kufanya mpaka ubwagande ?
Papaya Tnzania muache mrembo wangu anatania bana
Thank you.
Yaani huu mlima ndo unanifanya nisiende Songea,serious kwanini hawachimbi katikati ,huo mlima si umekufa, si watengeneze Tunnel hapo katikati, au kuna nini, wajuaji naomba mnijuze,.......Nikirudi bongo ntapanda ndege kwenda Songea
Dah balaa huo mlima,maana nikisikia ndugu wakiongea nasikiaga baridi la ajabu linanipata
Ajali zinazotokea MLIMA KITONGA
Check hii!!
ruclips.net/video/xYiCbM5-LRg/видео.html
Daah nlipitaga mwaka 1993 hadi leo ckupita tena
Duuh hizo basi ziko fast san
Huyo mwenye roli wa mwisho mwisho kabisa mwenye kontena hiyo sped anayoshukanayo sio ya nchi hii khaaaa
Al Saedy huyooo DNN namba moja Dar -Mby anatelezaa tu Kitongaaa
Sauli baba lao
Sikushangaa nilipopita nilistaaja kuona baskeli inashuka kwa speed na mapipa 3 ya ulanzi dah inatisha
Hapo mm napita kila kila Mara na fuso ya nyanya kutoka ilula daaah ila huwa sipazoei kabisa huo mlima ni noma kona Kali miteremko mikali afu pembamba huko bondeni sasa hadi Giza huoni chini
Minyoka kibao uko chini mamaa weee!!
Adinani karata naomba namba zako tuongee ishu 🤗
Kipindi haujachongwa ulikua ni balaa sana lakikin kwasasa wamepunguza ajali sana
yah ik vzr
Iringa ni kwetu,iala nikitaka kwenda nyumbani nazunguka dodoma kuogopa huo mlima
Kuna roli linapanda Mwisho Hapo liko speed kwel
umeona eeeh
Kuna basi la blue Sijui nimeliona peke yang ...jamaa yuko speed kinoma kuliko
Hiyoni JM LUXURY
AL SAEDY hiyo sio JM LUXURY
Alysaid
Al saedy
Millard izo mbona za kawaida nenda kaangalie Bara Bara ya nyasa kwenda mbambabey ni hatsry
Nyasa kwenya mbambabey au mbinga kwenda nyasa
@@ChumaTheGreat Hahhahhahhha hajakosea kote njia mbaya
Nilikuwa cjawah kupita jmn ila cku niliyoopita gar zima walinihurumia mpk nafka kitonga comfort tumb la kuharisha limenishka cji kurudia tena kupita hyo njia
Aiseeeee,nilipita APA kwenda mbaey,nilipofika nilimuuliza mume wangu hakuna njia nyingine ?? Ya kurudi maana mmmmmh
Ipo ya Dodoma
Nuru Issa 😀😀😅
@@michaeljonas7497 ukipita Dodoma kuja iringa utakutana na milima ya nyang'oro, nako kuna kona kama za kitonga tu
Nuru Issa 😂😂
😂😂😂😂
Mmmhu sitaki hata kuongea hiyo balabala,mng awatangurie madereva
Huyu dereva was basi dakika 2.08 blue bus mpuuzi Sana and very careless.. shenzi sana huyu
kamanda007 haaaa huyo mbona hapo hayuko spid sana kuna mabasi yanashuka hapo kwa spid mpaka unataman kulia
Tatizo ni abiria. Wange ongea kwa umoja lazima angefanya adabu. Ila kuna watu uki ongea unaonekana mjinga hadi wanakushangaa. Ajali nyingi kwa kweli ni husababishwa na uzembe
Hi hi hiii,msenge sana na huyo mwenye roli hapo mwisho anashuka kama yupo tambalale..😁😁
Na kama gari inasimama kwa milima na unafaa kwasia kuhendesha
Mbona cha mtoto nenda Nyang'horo Iringa-Dodoma, utasimulia vizuri, kuna kona za hatari.
Nyang'oro uzuri wake hakuna mpando sehemu kubwa ni flati mipando ni michache sana
Mabas yakifukuzan
yaan kila nikitaka kwenda mbeya nikiwaza hapa aisee natokwa mpk vipele vya baridi yaan napaogopa sana hapa nakuwaga kimya nasali tu
😁😁😁😁
Watu wengi wanaokokeaga hapa🤣🤣😂
Wee acha tuu
Nendeni tu Duh ,kisa cha kufa kwa uwoga ,
Gonga like kama umeelewa zaidi
Mara ya kwanza kuingia Tanzania nikisifia sana sehemu hii kama sijakosea kama 25km kupanda na Axor 2543 waliita gari ndogo sivyo nilivyo zikata streamliner 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Tatizo huwa mnafanya vitu visivyo faa hivi cement tunayo kibao lakini barabarani mbona kijibarabara kifinyu mnoo na ajali ndio maana zipo kila mara kutokuwa na ubunifu mzuri.
Barabara ya Zege gharama yake ipo juu na sio chini kdogo km mwandis anavyosema hapo juu compared na rami yakawaida
Bro Mhandisi kachemka ata mimi nilishtuka nikataka kukupigia simu, uzuri nimekuta comment
Barabara za zege ni bei kubwa sana hata hiyo kitonga nahisi imejengwa kwa hela za wakorea au wajapan 😁😁😁
Apo pakawaida Sana hujakutana na Isuzu forward inapeleka nyanya dar ukisikiaaa stop engine imelia ujue kashamalza Kona. Kwa bus zinatembea adi sio pw ila usiombe bas liwe na wanawake watalia Lia umo atar
Pakawaida ukipalinganisha na wapi?
Duuuuh. !kuna jemedari mmoja hapo naona ana sororesha kitu moja ya Blue bahari sijui anatembea kama yuko high way..
Wamezoea njia hzo
Duuuuh siku napita hapo niliumwa htr
Daah nikipapitaga huwa nazuga kulala ili nisione nje ila na ucngiz nao hauji
Aisee ni hatr silalgi nikifika sehemu hii hasa nikikumbuka tulinusurika kugongana na bus afu ss tuko kati nyuma na mbele woga mpaka leo ila dereva wa bus nahis wanaona kawaida maana hawapungiz mwendo😔😔😔😔
Nithi bridge
Una masaa mangapi mpaka kuisha huo mlima. Kupandisha au kushusha???
Hapo kwenye rofauti ya zege na lami katika uendeshaji mhandisi kasaha kitu ADHESIVENES na friction kati ya gurudumu na surface
Nilikuwa napasikia tu kitonga ni mlima atari sana lakini nimejionea mwaka huu duuuuuuh. Alafu ni kipande kirefu sana
Hapo unasali sala zote zinamalizika na unarudia tena na tena hahhhaa. Hapaishi haraka
@@eneolatukio8493 wala haitishi ukifika live utaona
mbn wala hapatishi sana ukija pita utajionea2
@@queenbhanji7223 nimesha pita hapo we si mchezo
Hata mimi pia nimeshapita mlima kitonga nilikuwa natoka dar kwenda tunduma tena tulikuta lori la viazi batata limeanguka hapo hapo kilima kitonga
Ipo haja ya kujengea uzio mzito,utakao zuia gari kubiringia bondeni pindi ikitokea ajali,kilamwaka tunapoteza watu wengi serikali iangalie hilo,iache mengine ifanye hilo
Barabara Ni Pana sana
Hua nikifika apa miguu hua inaisha nguvu sijui madereva hua wana kua na ujasiri gani
Haha huwa unahisi wajina Israel yupo karibu nini 😂 😂
Asa kama israel anahisi miguu kuisha nguv mm ni nani
Wazir anaehusika na haya mambo kuna haja ya kumtafuta huyo dereva wa hilo bus anatembeza kasi knoma
Aaahh unamuonea wa basi,hujamuona huyo wa roli hapo mwisho anavyoshuka..!? Hata basi lingekuwepo lingepitwa😁😁maana nimemrudia mara tatu niene kama ajagonga kweli.
@@omarymwenemti2945 😂🤣😂🤣
Nilishawahi kupita jamani jaman niliogopa sana
Acha kabsa mlima kitonga unatishaa ndug zangu wairinga mnavyotok dar kuja iringa mmh
Kwa wale wenzangu wa mgeta morogolo tunasema kitonga ni mlima wa kawaida na kona chache sana
Hilo semi vip uo mwendo
Kona kali sana.
Oya sio pw
Dah millard ayo...
Muhusika katika kuelezea hivyo vitu
Inabidi umtafute Mr.kyando..
Binafsi sijapenda kwa kweli..
Nazani watu hampajui mlima Chinambedo ... Nazan ndio panatisha zaidi ya kitonga.
Uko wapi huo mlima?
Naiona Al Saedy Bus hiyo inashuka Kitonga
No3
hilo ni cha mtoto.nendeni karatu mkaangalie lilikoanzia huo mkondo wa creater.hapo kitonga ndio linamalizikia.tena limegawanyika.maeneo ya senkeke matawi ndio yamechanua pale semkeke.ma limeenda mpk jordan.na limeanzia ngorongoro Arusha.
Upo sahihi kabisa bila chenga
Nikienda songea nitapitia njia ya Kusini
Kwa usajili wa Kampuni, Jina la biashara, Nembo ya biashara (Trade Mark), NGO,s, Churches, Barcodes kwa ajili ya bidhaa zako, Kubadili jina la Kampuni/ Biashara, Kubadili wamiliki wa Kampuni (Directors), Annual returns, International NGO,s zinazotaka kufanya kazi hapa Tanzania na mengineyo yahuduyo Kampuni tupigie sasa 0786 660 202 KARIBU SANA TUKUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU SANA NA WELEDI WA HALI YA JUU
Sawasawa haya wale wakwetu iringa ndio home naomba like zenu
Mr.kyando msalimieni
Naikubali Sana alisaid ya jofuuuu
Mbeya pia kuna kona za mkoa, barabara ya kwenda chunya, mje mzione pia,
Acha wivu
Lilian Luhasi sina wivu nawakaribishaa tuuuu
@@elizamwaigombe2457 haya mpendwa nilikuwa natania tu
Lilian Luhasi asantee my dear
Mimi naona hizo kona za Mbeya-Chunya ni namba 1, 2 nyang'horo na 3 kitonga.
Kitonga ni za kawaida sana.
Nami
Kunatisha sn
Njia hiyo ya kitonga huwa naogopa mno japo nimepita mala kibao yaan nikishafika hapo maini na firigisi vinachanganyana
Hua unaendeshaga gar gani mkuu utupe lift 🎉
Natamani kwenda Mbeya lkn naogopa kitonga
watu wanalia sanaaaa kitonga kitonga mbn twapita kila day na hakuna chochote kile papo poa sanaa apo
Wahandisi kwa nini wasifikirie kubomowa gema zaidi ili barabara iwe pana yaani upande wa kulia unapopandisha huo Mlima?
Ukipanua sana umesababsha mmomonyoko
1:52 Naona AL SAEDY "DNN" inateleza na hizo kona tu😀😀😀
No D
Al saedy masaa Sana
Concrete ina gharama chini kidogo ukilindanisha na lami? How comes? Hapa amedanganya kabisaaa... Concrete ni barabara ya gharama na inadumu kwa miaka mingi kuliko lami ya kawaida.
Tumezoa kupita huko toka 2005 mpka leo tunafuraia kupita kitonga
Tena kumejaa vivutio vitupu
Ģ
Hiyo njiya yarab akili gani tengenezeni njiya 2 za kwenda na 2 za kurudi na iwe large ata ikitokewa kitu iwe fasi ya kusimama ni lorry ndo zinapita sio basckell hamna usalama
Ya dodoma ipo lkin hzo kona za nyang'oro bora upite kitonga tyu umbali mfupi tu pale
No 5
No1
og
Nilipita hapa usiku wa saa nne nikitokea Iringa, nilikua nachungulia hilo bonde kwa uoga sana
uyo dereva wa bus la bluu atafutwe awezi kushuka kitonga kwaspidi kama ivo au nimeona pekeangu
Kwa kosa gan mzee ? Hilo n bus sio truck .
@@andrewmziray2233 anahatarisha maisha ya watu hapo kitong hatar babu
Mh mungu jaman anatunusuru wajawake
nakumbuka safari yangu nirifika mlima huo mvua ikanyesha ndio niriona mengi zaidi
Engineer katupa matango..sio kwel barabara ya zege ni cheap kuzid ya lami..na barabara ya zege ni bora kuliko lami...life span ya barabara ya zege ni 45yrs wakat lami ni 15yrs
No4
Cheki hilo basi linavyo kimbizwa kwenye hizo kona.
Na km ukiwa na roho ndogo ukifika iyo safaris wanakupeleka hospital moja kwa moja
kuna dereva wa semi anashusha kama gari ndogo 4:34
@@bullermgana213 ni akili zao kweli au kuna ndumu imetumika hapo
@@bjzee1981 hahaha
Kudadeki madereva wa kibongo tuna roho ngumu yani tunazunguka hapo kama kwenye tambarare 🤣🤣🤣🤣
Newforce ndio hutumia chance kuwapita waoga hapo 😁😁😁
Namuona al saedy inachanja mbuga tu hapo hana hata was was
Athuman Swalehe Al saedy anawah kufika mbeya Anaitoboa tyuu kitongaaaaaaa
@@agreytossi6978 mjomba yupo masaaa sana
Hao Al saed wanaenda sana na muda ila kwa kitonga hatar sana
pamoja sana
Sasa Kuna ingine hiyo ya kupitia dodoma-mtera - Iringa nayo ni shida
Hiyo barabara kitonga cha mtoto
hiyo drone kali sana👍👍
Suala lingine taili ni rahisi kupasuka kwenye barabara ya zege kuliko kwenye lami
Exact... zege inakula sana tairi kwanza