MKUU WA MAJESHI AAGIZA LORI LILILOZAMA WAMI LITOLEWE, JWTZ YAANZA KAZI, TAZAMA LORI LILIVYOTOLEWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 825

  • @kelvinjohn6851
    @kelvinjohn6851 4 года назад +218

    Hii ndio serikali ninayoijua mimi. Hongera nchi yangu.

  • @happykimaya2762
    @happykimaya2762 4 года назад +3

    MUNGU akubariki Sana mkuu wa majeshi MABEYO,Amsaidiae muhitaji amemkopesha MUNGU!Asanten Sana Ayo tv

  • @josephnziku4630
    @josephnziku4630 4 года назад +93

    Dah tunao mwombeamma apate gri nyingne kúmí gonga like

  • @samwelinhgabi8278
    @samwelinhgabi8278 4 года назад +275

    Kama unaamini jeshi ni jeshi tujuane💪

  • @lordmasali3410
    @lordmasali3410 4 года назад +149

    Cijawah ona jesh limeshindwa kazi ,,🧐gonga like km na ww unajua hilo

  • @acvlog6459
    @acvlog6459 4 года назад +488

    KAMA UNAAMINI MUNGU YUPO MAMA ATAPATA NYENGINE MBILI MPYA GONGA LIKE

  • @johnnnko5814
    @johnnnko5814 4 года назад +50

    Hongera sana CDF wetu Mabeyo. Kazi nzuri iliyotukuka kwa jeshi letu... Rais wetu na Serikali yetu umemfuta machozi mama yule Mungu akubariki sana Baba.

  • @amour5535
    @amour5535 4 года назад +80

    Nimejikuta nalia tu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭alhamdullah alhamdullah mungu mkubwa siku zote

  • @fatmaaly3056
    @fatmaaly3056 4 года назад +57

    Nimelia tena sijui furaha au huzuni alhamdulilah allah tupe kheri na kukumbukana kmhuku

  • @herryignasy3010
    @herryignasy3010 4 года назад +15

    Safi Mkuu wa majesh mwenyezi”Mungu”akujalie Amani

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 4 года назад +6

    Najikuta nalia jaman😭😭😭😭mungu ni mwema Alhamdulillah 🙏🙏sina chakusema zaidi ya shukuran kwa serikali yetu ya tz 🙏🙏najivunia kuzaliwa tanzania❤❤❤💪💪💪

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 4 года назад +78

    👨‍✈️👏💪🔥🇹🇿🇦🇪 yaani watanzania tunapoendea tutathaminiwa kila mtu sasa hivi tumekuwa kitu kimoja nguvu moja kama wamarekani vile sauti imepaa mpaka JWTZ

    • @samweljumamkumbo7555
      @samweljumamkumbo7555 4 года назад +4

      Wa Marekani si wamoja Haki za mtu mweusi ziko wapi

    • @adamkasasa4290
      @adamkasasa4290 4 года назад +3

      Cyokama wa marekan n kama wa Tanzania

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 4 года назад

      Acha kunitajia wamarekani siwapendi hao mbwa askari waliouwa George floyd wameonekana supermarket wanainjoi maisha

    • @akshaydavid159
      @akshaydavid159 4 года назад

      Aweke account namba yake ya bank tumsapoti apate nyingine

    • @daishajumanne5990
      @daishajumanne5990 4 года назад

      Kabisa

  • @justinmkumbwa2330
    @justinmkumbwa2330 4 года назад +16

    Hakika MUNGU anaipenda tz na watuwake ushukuriwe Mungu kwakutupa viongoz wanaotujali tunakuomba uzidi kuwapauliz na maishamarefu Amen

  • @dianaanyova4026
    @dianaanyova4026 4 года назад +32

    Thank you Lord,all glory be unto you,,,,,,,watching from Kenya...

  • @utaani1
    @utaani1 4 года назад

    Wastahiki pongezi jeshi kwa kazi nzuri waloifanya hongereni

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 4 года назад +1

    Asante Mungu 😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏Mungu ambariki magu na wafanya kazi wake🙏🙏🙏Mungu ni mwema

  • @Dm-yd1tl
    @Dm-yd1tl 4 года назад +26

    Da Mungu bless this woman again. More than yesterday. Amen

  • @jumachilundajr4853
    @jumachilundajr4853 4 года назад +25

    Hongera makamanda wetu ni kudhirisha kwamba jeshi huwa halishiwi mbinu hongera sana mkuu🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @georgempuya9343
    @georgempuya9343 4 года назад +1

    Daaaa injini haipo mmmmm ninoma wa TZ sio wa polepole yaani siamini macho yangu kweli watu hawana hofu ya Mungu.

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 4 года назад +16

    Masha'Allah , Mungu akubariki sana Mr. Venance Mabeyo ... Naamini TZ tuna watu wenye moyo wa ubinaadam..

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 года назад +1

      Ameen

    • @ngoyabaraka8143
      @ngoyabaraka8143 4 года назад

      Mwanaume huyo ametoa mel iliyo zama na watu weng, gar nkaz ndogo sana kwake ful mautendaj namkubal sana.

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 4 года назад +4

    asanteni jamani mungu nimwema naipenda nchi yangu 😍😍😍😘😘😍😚😚😙😗😘😍😍

  • @jonathankazimili4767
    @jonathankazimili4767 4 года назад +1

    Hongereni sana jeshi letu mungu awzidishie 👏👏👏👏👏👏👏🙏👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 4 года назад +1

    Kwakweli mungu nimkubwa kamsimamia mama huyu akapata msaada Wa kupata maliyake Allah aqbar

    • @ramadhanisuru1822
      @ramadhanisuru1822 4 года назад +1

      Namimi nilkuwa najiulizaga hiv hii serial yetu inashindwa hata kutoa gari lililo tumbukiya mtoni yaan hata jeshi halina vifaa nilijiuliza sana

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 4 года назад

    Hili ndiyo Jeshi letu la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Halijawahi kushindwa katika majanga ya aina yoyote ile,Daraja la mto Kagera lilijengwa kwa muda mfupi sana baada ya kuvunjwa na majeshi ya Nduli IDD Amin, Hongereni sana kwa kazi nzuri.

  • @khalidkassim3986
    @khalidkassim3986 4 года назад +2

    Mungu akubariki mkuu mabeyo

  • @esterbegina1022
    @esterbegina1022 4 года назад

    Ahsante camanda mabeyo Mungu akubariki huo ni uungwana nijambo jema sana mbele za Mungu nimejikuta natokwa machoz kwa furaha

  • @denisjoseph3470
    @denisjoseph3470 4 года назад +1

    Millard Ayo na timu yako ubarikiwe mara milion 1000000000000000000000000000000000 kwa kaz nzur mnayoifanya

  • @benmponeja497
    @benmponeja497 4 года назад +12

    Bravo MABEYO!! thats a definition of our JWTZ 💪🏽🙏🏽🙏🏽

  • @rajabumdoe6919
    @rajabumdoe6919 4 года назад +98

    KAMA HUAMINI KUWA ENGINE IMELIWA NA MAMBA GONGA LIKE TUSHANGAE IMEENDA WAPI😧😧😧

  • @paulmadundo8084
    @paulmadundo8084 4 года назад +35

    God bless you our CGF, ndio kazi nzuri tunazotaka kuona kutoka kwenu. Wengine wakishindwa nyie mnaokoa jahazi...barikiwa sana nchi yangu

  • @peterkailembo4101
    @peterkailembo4101 4 года назад +5

    Hii serikali kila mtu yupo powa, safi sana JWTZ

  • @rozimeryrozimery1840
    @rozimeryrozimery1840 3 года назад

    Hongereni.sana jeshi kwa msaada wenu mlouonesha Mwenyez Mungu azidi kuwalipa kile mlichokuwa mnakihitaji

  • @neemakoka599
    @neemakoka599 4 года назад

    Daaaaah mpaka nimelia jameni
    Asanteni jeshi
    Asanteni miladi ayo tv

  • @lisamassala9412
    @lisamassala9412 4 года назад

    Daah niliumia sana cku ile dada aliposema amekata tamaa anarudi nymbn.. Now am hap mpk machozi.. Be blessed Gen Mabeyo na JW

  • @atuganilemwakipesile4979
    @atuganilemwakipesile4979 4 года назад

    Ahsante sana jeshi langu kwa uzalendo mlio tuonye.Mungu amfanyie jambo jipya uyu dada mwenye ilo gari.

  • @mahelandulu8637
    @mahelandulu8637 4 года назад

    Duu!! Saluti kwenu makamanda watanzania

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 года назад

    Hongera mzee Makufuli kwakweliu umeifanya tanzania NI ya wananchi walio kuwa wanyonge hongera wanajeshi wa tanzania 👌

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 4 года назад +1

    Mama Mungu anaenda kukuinua kupitia jambo hili,usimsahau make was marehemu dereva wako.

  • @LiManman_20
    @LiManman_20 4 года назад +46

    Kama liliweza kuingia na kutoka lazma litoke ,,,,, JWTZ BABA LAOOOOOO

  • @Ax-xpress
    @Ax-xpress 4 года назад

    Hawa makamanda wetu Mungu watunze tu. Wanaume wameshuka kwenye tope na maji yanatembea bado wakaweza kufunga gar cheni..Dah Mh Mabeo hawa vijana wanastahili nishan.. asanten sana makamanda wetu JWTZ

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 года назад

    Pole sana mame...Mungu atafungua milango mingine

  • @husnasalim5739
    @husnasalim5739 4 года назад +2

    Jeshi letu oyeeee💓💓💓MH OYEE TANZANIA OYEEE

  • @abubakariynassoro9018
    @abubakariynassoro9018 4 года назад +2

    Acha liitwe JWTZ🇹🇿🙌🙌🙌

  • @aishajuma712
    @aishajuma712 4 года назад

    Congratulations Hongera sana jeshi letu mungu awabariki katika kazi zenu Amiin,, Upendo, mshikamano Ndio siraha ya nchi yetu mungu ibariki Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @violethmeja1848
    @violethmeja1848 4 года назад

    Mungu akubariki mkuu wa majeshi nimekukubali sana

  • @shakiramcheni8684
    @shakiramcheni8684 4 года назад

    ALLAH idumishe Ayo tv na watendaji wake wape nguvu na afya, kwakweli naipenda hii chaneli mko vizuri kwakweli tunapata faida nyingi toka kwenu elimu, burudani misaada na mengi yalo mazuri mungu ibariki Ayo tv wabariki watendaji wake 🙏🙏.. tafadhali msije badilika hapo baadaye ALLAH awaongeze na awalinde leo kwaajili yenu mwajuma ametatuliwa tatizo lake,Ayo tv muishi miaka buku 💛💛💛

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 4 года назад

    Hongera Jeshiletu la tz naserikali.kwaujumla mungu nimkubwa nahashindwiinajambò

  • @gideonmathias9705
    @gideonmathias9705 4 года назад +1

    Kazi nzuri makamanda
    Kazi nzuri hayo Tv

  • @joelrugano6517
    @joelrugano6517 4 года назад

    Tunashukuru sana kuona jeshi limefanikisha zoezi hili, japokuwa limechukua muda kwa nini mkuu wa kikosi cha zima moto hakuomba msaada kwa jeshi mapema.
    Sasa ndo ninaona conceptbya Rais Kuwateua wanajeshi kwenye baadhi ya taasisi. Hawana longolongo wala kwenye kazi zao hakuna siasa. Big up JWTZ.

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 4 года назад +1

    Eventually things gotta be fine🙏🙏 Mungu ibariki Tanzania na Raisi wa Nchi kwa Uongozi wake Bora.

  • @bridgetbema2166
    @bridgetbema2166 4 года назад +1

    This is a amazing God ,what God can do no man can do#God fast..watching from kenya

  • @mansourrukaka3061
    @mansourrukaka3061 4 года назад +2

    Big up to Ayo tv for your good news

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 года назад

    Hapo ndo nimefurahi. Nilijiuliza sana, Jeshi letu liko wapi. Asante sana Mkuu wetu Mabeho.

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 4 года назад +1

    Hongera Sana Mkuu Wa Majeshi yetu M/mungu Akupe kila lililo jema
    Aamin

  • @cathylunyungu4641
    @cathylunyungu4641 4 года назад

    Mungu amtupi mja wakee... Mungu azidi kukufanikisha mama your de super woman

  • @simonjustin5921
    @simonjustin5921 4 года назад

    Mungu awabariki sana JWTZ,tunashukuru kwa wema wenu mmeonesha jinsi gan mnajali watu wenu,japo kuna watu ambao si wema wameondoka na Engine

  • @kassimkassim2783
    @kassimkassim2783 4 года назад

    safi sana mkuu wamajeshi mungu akulipe kheri na pia milad Ayo pia mbarikiwe Sana naomba tu serikali imsaidie matengenezo huyu mama mbarikiwe sana

  • @onanarosse9657
    @onanarosse9657 4 года назад

    This is TANZANIA congrats JWTZ. MUNGU ilinde nchi yetu umoja wetu udumu daima.

  • @edsonmwambokela3707
    @edsonmwambokela3707 4 года назад

    Hongereni sana makamanda wetu Mungu awabariki na awape miaka mingi ya kuishi

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 4 года назад +11

    CDF salute kwako mzee

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 4 года назад

    Mungu mkubwa wangapi wamemuona yule mvivu muokoaji😘anajitolea saanamungu ambariki pia pore saana mama yangu mpendwa bi mwajuma mungu atakujaria utapata nyengine zaidi ya ilo🙏

  • @athumanmrisho1762
    @athumanmrisho1762 4 года назад +3

    Kazi nzur Millard ayo

  • @cipyen
    @cipyen 4 года назад +15

    MAONI YANGU: Perfect execution JWTZ hongera sana.

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 4 года назад

      Mbona km halitafaa tena ama ni macho yangu

    • @dominickallute3169
      @dominickallute3169 4 года назад

      Ndio maana ni Jeshi la Wananchi. Si Jeshi la Mabeberu. Linalinda Uhuru wetu na Mali zetu usiku na mchana.

    • @Amneamne-qi2du
      @Amneamne-qi2du 4 года назад

      Nimelia kwa furaha kwa uzuni mama mama nilikwa mbia kheir ipo mbele yako leo mungu kajibu maombi yetu dua zetu Alhamdulilah Hongera sana CDF Mabeyo mungu akuzi dishie iman akubariki sana na JWTZ wote

  • @bonymwakyusa9826
    @bonymwakyusa9826 4 года назад

    Asantee vingozi wetu wenye kujalii maisha ya kila mtanzania mungu awabarikii🙏🙏

  • @abrahambalamba6679
    @abrahambalamba6679 4 года назад

    Hongera Afande kwa Moyo wako wa upendo, leo nimekubari kuwa wewe ni kiongozi.

  • @mwanaidihassan1834
    @mwanaidihassan1834 4 года назад

    Jwtz ni jeshi la wananchi lipo kakamavu mda wote lipo kwa ajili yetu na tunalipongeza mungu akubariki cdf mungu libariki jeshi letu

  • @allyissa7770
    @allyissa7770 4 года назад +3

    Makamanda big up xna

  • @danielmbalwa9307
    @danielmbalwa9307 4 года назад

    Hongeraa jwtz kwa kazii nzuriî

  • @mariamnimbo8394
    @mariamnimbo8394 4 года назад

    Kweli jeshi kiboko!
    Asanteni kwa msaada wenu.

  • @ramamanyama2944
    @ramamanyama2944 4 года назад +3

    Nan Ameona Serikal Ni Serikal tu Hongera JWTZ

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 4 года назад

    Pole sana dada ila kwa hakika umepata mtihani mungu akupe subira manake hapo hamna tena gari ishaallah utapata nyengine yenye kheri na wewe amina 🙏

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 года назад +2

    Mungu ww ni mkuu siku zote 🙏🙏🙏

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 года назад

    Yaani nilisema kama huyu mama hatasaidiwa, basi Tz hatuna msaada. Sasa nimekubali Jeshi imara tunalo. Safi sana. 💪💪💪

  • @jitujitume2927
    @jitujitume2927 4 года назад

    Hongereni sana vingozi wetu mwenyezi mungu awabariki sana

  • @rashmaissac480
    @rashmaissac480 4 года назад +3

    Allah ampe mama kilicho bora zaidi ya hili lililoharibika

  • @rajabulukani212
    @rajabulukani212 4 года назад +1

    Viongozi makini serikali sikivu Mungu nimwema

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 года назад +3

    Bless your heart mkubwa wa majeshi asante sana kwa upendo wako huo sasa ndio upendo

  • @frenkingoloka9828
    @frenkingoloka9828 4 года назад

    Hongera jeshi letu kwa kazi nzri

  • @mwajumagaramu4570
    @mwajumagaramu4570 4 года назад +1

    Mashaallaaah mungu ibariki Tanzania

  • @mishaelmisana7674
    @mishaelmisana7674 4 года назад

    Mko vzr millard ayo

  • @josephdonald6199
    @josephdonald6199 4 года назад +1

    Ogopa makamanda jeshi sio..💪💪💪💪

  • @zuchuu6659
    @zuchuu6659 4 года назад +1

    Hiii mdo tanzania bwana hapa kaz tu 💪🤛

  • @khadijaomar2723
    @khadijaomar2723 4 года назад

    Allah awalipe kwa kazi mlio ifanya imenikumbusha ajali ya likoni ferry amanda na mamake in shaa allah mama mwajuma utapata gari jengine Allah akupe subra

  • @cassianndunguru3560
    @cassianndunguru3560 4 года назад

    Hongereni kwa kazi nzuri

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 года назад

    Mashaallah alhamdulilai mungu muacheni aitwe mungu kila kitu huja kwa sababu pole mum inshaallah kila kitu kitakuwa swa bihid Allah

  • @kelvinmuthami4147
    @kelvinmuthami4147 4 года назад

    Mngejichanga wabongo mmnunulie Yule mama Lori jipya. Hivi mtamuepusha Na gharama kubwa ambayo imemkuta. Manake iliyotoka pale ni scrape haitamfaa. Naamini Hili lawezekana. Greetings from +254

  • @yasinjuma1445
    @yasinjuma1445 4 года назад

    Hii ndio maana halisi ya jeshi la wananchi hongera zao 💪

  • @esthershaluah3770
    @esthershaluah3770 4 года назад

    Hakika Mungu wa Mbinguni akazidi kuibariki kazi ya Mikono yako CDF Mabeyo and your team! Kwa kumfuta machozi huyo mama na kumpa Amina!!

  • @deonjau1111
    @deonjau1111 4 года назад +2

    Asante JWTZ

  • @chifupromise9575
    @chifupromise9575 4 года назад

    Asanten sana wandishi wa habar kwa kaz nzur mnayo fanya mana bila nyinyi wasinge yajua aya

  • @samueljaluo3203
    @samueljaluo3203 4 года назад +1

    Dah!!! Mungu wangu kunagar Tena apo mbn Kama limealibika mazima iii

  • @davidnchoji
    @davidnchoji 4 года назад +5

    Mungu ambariki sana Mkuu asee daah🙏

    • @bashiruhassan7310
      @bashiruhassan7310 4 года назад

      Dah alhamdulillah kazi imefanyika sema moyo haupo hapo pole dada hongereni jeshi letu

  • @seriolenny8333
    @seriolenny8333 4 года назад +1

    Watching from kenya divine restoration to the affected

  • @olivermunisi6396
    @olivermunisi6396 4 года назад

    Asante mungu ni mwema mno ubarikiwe baba mungu akulinde na kila baya

  • @linahsemindu9575
    @linahsemindu9575 4 года назад

    inauma,sana,mama,wa,watu alishakata tamaajmn ee,mwenyez,mungu msaidie,mama huyu👏

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 4 года назад

    Mungu tunayemuomba yupo,watanzania tunaupendo,mbarikiweee woteeeee

  • @suzanakamala3615
    @suzanakamala3615 4 года назад

    Ubarikiwe sana, mkuu wa majeshi yetu, nikuombe umsaidie zaidi huyu mama, mlipeleke kwenye kalakana yenu, mlitengeneze.

  • @omarbillyomar3042
    @omarbillyomar3042 4 года назад

    Nimefatilia hajali hii tangu mwanzo mwenyezi mungu akubariki mkuu wa majeshi na team zima kwa kumsaidia huyo mama.nairobi niko live

  • @rafikiwildlife4263
    @rafikiwildlife4263 4 года назад +4

    Nimebarikiwa sana. Viva JWTZ

  • @mariammhamedy3342
    @mariammhamedy3342 4 года назад

    Mwenyezi mungu awabarik sana wanajeshi wotee na viongozi wake