Dah! Mimi mkenya nakumbukuka nikienda Botswana kutoka Nairobi hadi Arusha hadi Mbeya hadi Tunduma hadi Lusaka, Zambia hadi Victoria falls hadi Gaborone. Safari ilipendeza Tanzania nchi mazingira ya kupendeza.
That's the Southern Highlands of Tanzania.. Never ever forget that it was the resolve and dedication of Tanzania's Founding Father Mwalimu Kabarage Nyerere that through these arteries of Tanzania landlocked Zambia was able to overcome the blockade by the then racist regime in South Africa
Hapo pazuri aishee isipokuwa lazima uangalifu kwa dereva,nawaona hawajali,hata boda boda anapita hivo,siku moja nitafika huko Mungu akinijalia,Kisumu-Nairobi-Arusha mpaka huko
Barabara za wenzetu huku oman kunamilima mikubwa,lakini wakijenga barabara wanachimba kuhakikisha inakaa sawa,siyo pembezoni ya mlima gari ikipinda inalala,wakati sehemu yenyewe ni hatarishi,kuchimba chini zaidi inasaidia kuepusha ajali,gari kwenyekona inalala hii ni sababu pia kutokea ajali,kwakuelemewa na uzito wa mizigo upandemmoja hatimae kupinduka
Watanzania bhana! Lori likipinduka chapchap kupakua mizigo ya Lori Yaani wizi wa kijamaa mpaka wengine wanalipukiwa na malori ya mafuta afu eti msiba wa taifa... wezi watupu shenzi😂😂😂😹
Dah! Mimi mkenya nakumbukuka nikienda Botswana kutoka Nairobi hadi Arusha hadi Mbeya hadi Tunduma hadi Lusaka, Zambia hadi Victoria falls hadi Gaborone. Safari ilipendeza Tanzania nchi mazingira ya kupendeza.
Yaan me nimtanzania halisi lin nimeshangaa kuona nchi yang inavivutio vizur hivi sijawahi kufik iringa mungu nijaaliye uzim inshaa Allah nitaenda
Karibu sana
Tanzania yetu nzurii jamani, nikipita hapo huwa na enjoy sana scenery na hizo kona ni utalii special 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Niko Burundi hapo lipapitiya wakati nilikuwa naenda mbeya tanzania kuzu waburundi tunawapenda mno🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Tunawapenda pia
Jinsi nilivyoangalia nimejikuta nimo ndani yahilo gar nauoanda mlima kitonga hongera kwa picha nzur
That's the Southern Highlands of Tanzania.. Never ever forget that it was the resolve and dedication of Tanzania's Founding Father Mwalimu Kabarage Nyerere that through these arteries of Tanzania landlocked Zambia was able to overcome the blockade by the then racist regime in South Africa
Beautiful landscape. Uma aventura percorrer essa estrada. Saudações do Brasil.
Dah! Ktk safari MUNGU ndo Anajua jaman 🙏🙏🙏🙏
Wooooow so beautiful I wish one day ntaenda
Hiyo chuma ya ALSAEDY ni balaa 🙌🙌 imewapita kama upepo hao ndo wazee wa kitonga bonyeza hapa kuona 👉9:01
Hapo pazuri aishee isipokuwa lazima uangalifu kwa dereva,nawaona hawajali,hata boda boda anapita hivo,siku moja nitafika huko Mungu akinijalia,Kisumu-Nairobi-Arusha mpaka huko
Twawapenda kutoka 🇰🇪. Hasa kupitia nyimbo zinazocheza kutoka 3:00. Safari njema.
Karibu Tz shem
@@janethkamoga377 Shukran sana 🙏🙏.
Jina LA wimbo naomba tafadhali
Ma legendary tuna watch 2023
Hapo mnarud dar
I remember my trip to iringa 2019/2020, nice place ever seen before, I will be back soon
Safi saana nakumbuka home iring zone
Kitonga kumbe hapatishi sana asee, bara bara pana magari yanapishana vizur sio kama njia ya Mombo Lushoto ile inatisha sana asee
Wameongezea sasa ivi ilijuwa nyembamba kupishana ni shida
Umeonaee
Hadi bodaboda kawachana 11:00 . 😀😀Afu analala nayo kwenye kona, hajali wala nini. 🙌
Nice scenario!! 👍
Uko vizur sn
😀😀
Hi
🤣🤣🤣🤣
Beautiful landscape.....
Just felt good to see al sayeed My favorite bus in green city...Kitonga fire
Ilove that bus
Sauliii fayaaaaaa
Mi nainjoi Sana gari ikianza kupanda Kona za hiyovi
Zile hatari.nawatu kwenye basi huwa wanalala usingizi mzuri kweli
Iyovi mbaya kuliko kitonga maana iyovi madereva hawajali kabisa
Isee nyc view African is the best guys take care
Alsayde ni noma imemkata ile mbaya halafu ikapotea noma usipime Moto wa bas
Daah ad nimemic songea
Twende kesho
...mbona mlisema dharau halafu baadae mkawa wapole..😂😂😂😂
Siku zote ukiwa safarini usishindane na mabasi...🙌🙌🙌😂😂😂🙌🙌🙌
Imategemea mzazi unaendesha gari gani, ukiwa unatembea kuanzia 120+ hawasumbui
Wooow full utailii tosha ukipita kitonga
Hio basi. Noma sana
duuuu Nina hizo Kona nitaenda December nitapita hapo nasikiaga kitonga kitonga thanks nimepaona ila Al s sintaipanda Ni noma speed
Na mimi jan mapema nitaingiaa huo mkoaa
Huu mlima sio wa kumpa lena au mgeni aendeshe gari.
Mnajikuta mnaenda wazima, mnarudi maiti.
Duh
Mimi siku yakwanza kugusa gari nilipewa nishuke uu mlima kitonga. Mungu mwema tu
Dah sio poa ivi huo mlima una kilomita ngapi
Kitonga inavutia Sana love it
Lakn nimbayaa
Nataka kujua kitonga kuna kona ngapi jaman mnisaidie
Nasikia mh temba ..chege mchiz moks ebwanaeee ilikua noma hiyoo watakua tmk enzi zao izo kr jibaba nimekusikia
nimefurahi kushiriki kuona mlima maana sijawaifika uko
Watu bhan ndomn huwa mnakufa kwa kujitakia sasa mnavyosem anawapit mnatak kuiga njia yenyew mbay mnasapoti dere awawaishe motual
Kitonga ni mlima wa kawaida sana, tembeleeni sumbawanga ukutane na mlima wa MUZE
Hawajui hao kitu muze au ilemba
Kujeni mpande mlima kenya ndiyo mjue nyani sio mbuzi aseee
Nimeona mbuga mikumi jaman mlima kitonga sijaona kabisa
Barabara za wenzetu huku oman kunamilima mikubwa,lakini wakijenga barabara wanachimba kuhakikisha inakaa sawa,siyo pembezoni ya mlima gari ikipinda inalala,wakati sehemu yenyewe ni hatarishi,kuchimba chini zaidi inasaidia kuepusha ajali,gari kwenyekona inalala hii ni sababu pia kutokea ajali,kwakuelemewa na uzito wa mizigo upandemmoja hatimae kupinduka
Mambo ta fwezaaaaaa
Nimepaona kwetu wooòw
On My way to Mbeya kijijiji.....I always love this scene natural habitat
Dereva anaovatek mbele haoni tena jua kilima anabahatisha madereva kama hawa ndio wanaoulisha watu kwa akili zao mbaya
Mazingira mazuri green na miinuko inavutia sana
Kumbe bando laeza geuka nauli lkanfiksha mlima kitonga? Nshaelewa alicho kiimba sheta...duuh pazury sana aisee.
mziki
Sana aseeeee mwenyw nmeelewa leo
Nmepapend
E
@@edithaemmanuel5690 m
Kushuka down Kali hivyo disk zinatoaga harufu hataree
Jamani landscape ya tz nzuri...
Dawa Ni kupanda ndege tu
Kitonga moja hiyo
I wish one Day niende
Mazingira mazur kiukweli
Mpak nmemic home nimeimic tanzania✌️😘
Uko wpi wew
NYUMBANI IRINGA mojaa. INSHAALLAH ipo siku. Kutoka OMAN TO IRINGA
Twende
hatali man
auogopi man
Noma na nusu aisee
Leo nimetalii na bando langu Hadi Iringa vivutio nimeona malori ya mizigo Kama yote karibuni Tanzania
Hahaahaaa
Mbavu zangu
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiii
Wapi AL SAEDYYYYYYYYY😁😁😁😁😁😁😁
Nimesikiliza ngoma mpk huo mlima sijuona aseh
Kuna milim Kam hiyo Kenya
8:00 😂 eti ilianguka vizuri
Hilo bus nikiwa abilia naomba kushuka,sehemu yenyewe inatisha jamaa anatembea utasema tambalale hahahahaha.duuu nimeiona kitonga wala haimfai dereva mzembe
Huo mwendo mbona wa hice.....kapande luwinzo au new force utaona shughuli😆😆
@@beatricemlaki3543 hahahhahaaha mm huko staki kabisaaaaa
Uzoefu sasa miaka 30+ mtu kila siku anapita hapo
Hiyo kitonga ukiteremka vibaya ndio mwisho wako aseee Daaaaah, MUNGU akawafinyie wasafiri wote kusafiri kwa Raha na aman
dereva wa bus amezoea road plus Gari yake kushuka iko vzr na hizo stoppewr zake huwez mfuata huyo anakuua
Duu uyo al saidy bus hafai
Tanzanian landscape good
Hom huk kup good sanaaa
Acheni kelele sasa tuangalie video kumaaaa mazenu
😂😁
Khaaa nimeonaa basi imepita kma mkuki au kama imeibiwaaa kuna madereva hawana wogaa😆😆
Unaambiwa dharau hzo😅😅😅eti amkazie dah
Kona ziko ngapi
Oi unashare wapi video zako
Hiyo chuma kuikuta wapae labda wajikute wametokea ilula
Daaahh aiseh
Jaman Tanzania kwa pendeza
Watanzania bhana! Lori likipinduka chapchap kupakua mizigo ya Lori
Yaani wizi wa kijamaa mpaka wengine wanalipukiwa na malori ya mafuta afu eti msiba wa taifa... wezi watupu shenzi😂😂😂😹
Razia sultan
Alafu baadae tunailalamikia serikali haitupi msaada natumejipeleka wenyewe kwe roli
Hommiies😎😍😭
Al Saidy 😂😂 si kwa mwendo huo
Inakula mtu hata kwenye Kona 😂😂😂😂
kabisa kaka imempoteza fuso gafla
kasalamba juma deleva kama huyo aajibishwe kwamjibu washeria.
Nimemaliza Mb Zangu bure sijaona Kona wala Mlima.
Tuma number nikurefund
Kwa video uwezi ona mama na hapo gari hiyo inashuka
Huo ndo mlima kitonga ukiona kwa video utaona kawaida safiri upite hapo
@@evodyaudax6034 kabisa ndoataona utamu wake
Ilo bas la blue mbnaa silioni ata ..... 😂😂😂Limeyeyuka au
Asee hilo bas derva yuko fasta ata siion
Achananao hao barabarani hawafai
Ally said inaitwa ni balaaaaa
Ni noma
sawasawa
dereva mwenye hilo basi la blue lililopita nimempenda bure maana ni maasaa masaa hakuna kuremba
Kampuni ya basi ni alsaedy
@@omarylukindo5306 huyo ni dereva hasa nimempenda bure
Hapo pana faa double w. Pazuri sana
yaan mi nikifikaga hapo moyo unakuwa barid kama upo ndani ya freeza
Haaaa nimecheka,je ushapita kipindi mabasi yanafanya safari usiku nando barabara ilikuwa ndogo
hizo gari ze wachina mnapenda hata hazina nguvu kapsaaa kwa mlima.....hapo yafaa scania
Hapo gari zina shuka ndg siyo kupanda
usidanganywe ndg yangu.. mchina si lelemama km unavosikia. hyo golden dragon soma HP zake
Mhhhhh ciwez aisée hamna hâta trafic wa kulinda chui n'a Simba hâta umeme hamna chek hilo gza
Nimekula barabara na mlima kwa macho dah
Panatishaa sanaaa
Milma sijauonaa hadii sasa.
Ukiw hapo ndo utaona
Hapo gari inashuka hiyo na kwa video uwezi ona
Aisee wa bus ni shida dah
Safi Sana
Matukio
Iringa hiyo
Kuzuri sana, halafu first tym unatwist camera nkadhani mmeanguka maze
Umeonaee...!!!?
Urgently needs a rebuild....with a climbing lane!
Huyo mbwa anaendesha lea masifa kama haja beba Binaadam, mpumbavu we
Umeona eeee
Mmmmhhhhhh jamani serikali yetu kwa ushilikiano na mitandao hii ya kijamii huyu driver wa basi Inatakiwa awajibike kwa kosa hilo
Kosa gani
@@starniceofficial5492 hujaona vile amewapita wenzie kwenye Kona ingetokea Ajali mbaya sana
Kwanini
@@mokajoli4928 mwendo wa hiyo Basi siyo mzuri hasa kwa eneo Kama hilo
@@cheiknamouna2058 kwel kabxa mkuu
Ati mbona imeanguka vizuri hii
😅😅😅😅😅bangi za juice na mikate ya safarini
Naangalia tu kwenye simu lakini naogopa, naomba Mungu nisije kufika huko sitaki kabisa maana naona nitajikuta ICU kwa presha, wami tu jasho
😂😂😂😂😂acha uoga ww
@@shaelscott779 😂😂😂😂mmmh sio poa
ingekuwa vizuri ungeuondoa huo mti hapo barabarani ndo ungwana wakitanzania sindio boss wangu au nimekosea?
huo mti ni DANGER warning for oncoming traffic to slow down, otherwise they would've kept on speeding and hit the rolled over vehicle.
@@nasdaqdjitraders oh ok i didnt know that. thanks for clearing that sir. hope yall had a joyous trip! take care and blessings...
😀😀😀😀 sio mtu ww
Io miti nikuashiria kunatatz mbele
Huo sio mlima,tembeeni taita hills muone milima hataree
Nandi hills pia
Amna mlima apo
Kwel
Kuna seem kuna vichuguu kitonga uo mchumba tu
Nnilipoteaga njia ndani ya crown anthele
Nyc
Nyie wote mabishoo tu.