Jinsi ya kukadiria mtaji wa biashara ya duka la nguo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 сен 2024
  • Ni muhimu kukadiria mtaji wa biashara ya duka la nguo wakati wa kuanzisha Biashara ya nguo.
    Biashara ya nguo ina changamoto zake na haijalishi kama unauza nguo mpya au za mitumba changamoto zake zinafanana.
    Moja kati ya changamoto zinazo mkabili mjasiriamali anayetaka kuanzisha biashara ya nguo ni kukadiria kiasi cha mtaji wa biashara kinacho hitajika.
    Sasa basi, utafahamu vipi kiasi cha mtaji kinacho hitajika kwa ajili ya biashara ya nguo? Katika video hii nitakueleza mambo ya kutafakari wakati unafanya makadirio ya mtaji wa biashara ya nguo.
    Nitakueleza vigezo 3 ambavyo hutumika wakati wa kufanya makadirio ya kiasi cha mtaji kinachohitajika.
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    RUclips: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

Комментарии • 10

  • @elizaleonce5430
    @elizaleonce5430 2 года назад

    Asante ila hiyo chat ya makisio ya mtaji maandishi yamekua madogo Sana sijaona vzr

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  2 года назад

      Ahsante kwa maoni yako kuhusu maandishi madogo. Tutafanya marekebisho video zijazo

  • @deborahmajura3102
    @deborahmajura3102 Год назад

    Samaani mm napenda kufanya biashara ya nguo

  • @deborahmajura3102
    @deborahmajura3102 Год назад

    Kaka naomba usha

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  Год назад

      Sawa. Karibu ufanye biashara ya duka la nguo. Kama una changamoto yeyote wasiliana nami kupitia WhatsApp 255 716 682439

  • @stanleynombwe4865
    @stanleynombwe4865 10 месяцев назад

    Mwanasheria anahusika vipi hapo namba kujuwa vizuri

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  10 месяцев назад +1

      Mwanasheria anahusika kama unataka kusajiri company Brela na unataka kumtumia mwanasheria kufuatilia Brela usajiri wa company yako

    • @stanleynombwe4865
      @stanleynombwe4865 10 месяцев назад

      @@AliMwambola nakushukuru kwa kunielimisha kuhusu Hilo boss

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  10 месяцев назад

      🙏

  • @deborahmajura3102
    @deborahmajura3102 Год назад

    Kaka mamb