WAITARA AMCHIMBA MIKWARA WAZIRI SILAA "NCHI NI YETU SOTE, WATU WANAUAWA KAMA KUKU, MIGOGORO IISHE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Комментарии • 5

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 23 дня назад +1

    Kwahiyo na serikali ya samia nayo inaua watu

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 23 дня назад

    Hao viongozi wetu ndio matapeli tu wala wala hawaonei huruma wananchi ujinga tu ukweli unafichwa

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 22 дня назад

    Huyu Sasa anaanza kuongea vitu vye akili SI kupiga meza nchi ipo ktk kurudi mikononi mwa waarabu tunarudisha ukoloni ktk taifa letu kisa kijani hiyo akili matope

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 22 дня назад

    Teteeni kijani tuishi ktk utumwa sindia kidumu chama Cha upinzani mnaacha kinakikwe na wageni kuwafanya watanzania watumwa ktk taifa leo

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 22 дня назад

    Hatuwezi ongelea kina wakati nchi sio ya ccm ni ya watanzania wote unatetea usiokijua ktk saycology yetu tumetetea kijani Leo nchi lmekwisha matepeli watupu wanaomshauri raisi wamezungaka Sasa wewe unatetea kijani vipi ndugu zako