saluti kaka wasio kupa heshima kwenye harakati zako za kipindi cako kigumu kwenye game la hip hop enzi zile za album za ana miaka cini18, niko mikononi mwa polisi, sugu moto cini Hadi uyu mdundo wako wa sugu sugu hata nikiusikia ma 1000 siwezi nikaushiba... naendelea kumupa pongezi sana niki wa 2, professor jay, fid q gisi wanakuwaka wanakusema kwenye game...wewe ndio mwanzilishi na wewe ndio umefungulia milango wadogo zako kama gisi unavyio viimba kwenye sugu sugu hii hapa.. umeripuwa mipaka wawo wakavuka nakufika walipo kwa sasa.. respect kubwa bro.. siwezi amka bila nende kazini bila kusikia huu wimbo ama nilale bila kuusikiliza... na isitoshi enzi zazamani nilimupendesha brother wangu uyu wimbo na akatokea kuupenda sanaaaaa wakati hakuwa mwana harakati wa hip hop enzi hizo... mungu amulaze mahali pema peponi my brother ba ali UN, PDG, pourkoi pourkoi.. nakutakia kila la kheeri muweshimiwa mbunge... H.J marekani
hapo hasifii mademu mziki ndio huo sio vesi demu wako katajwa demu wako mzuri kwako sisi tuna taka burudani siobsifa za demu wako hazituhusu na hatuhitaji
Pioneer of Bongo Hip Hop, Salute Mr II Sugu

P funk alinyonga hii beat kiroho mbaya zaidi.....
Saaaana
Me huwa namuita P funk mwenye mikono
Huwezi zuia mvua, kama ikitaka kunyesha inanyesha tu ...... Hatari sana mzee sugu.
Rais wangu wa Mbeya mr Jongwe a.k.a mr II au Sugu pamoko sana
Eti wananiuliza navuta bangi nakataa kujibu maswali yasio na msingi😂😂😂❤
sugu sugu ...naniii suguuuu. ...jamaa mkali toka kitambo kwenye music
2023 still banging the song
tuko pamoj kipind nyie mnaimba nyimbo zenu zilikuw na ujumbe lkn za leo hmn
The shit is fire...we miss this type of hiphop music in Tanzania
🙌🏿👌🏿 haki nimeezeka kweli 🙏🏾🕺🏿
Dawa ya mabisho ni kuwa bisho zaidi yao 💪🏾
LEILAH HASSAN OMARY napata matatizo nayatatua bila chuki
Ulitisha Sana. Brother 👑
Sanaaaaaaa Suguuuuuuuuuu hata mtoto wa demu wangu ananita Uncle Sugu!!!!!!!!!!
Kama Rayvanny amekurudisha hapa gonga LIKE
Jogwe nishida
noma sana suguu
The role model🎉
Stara Thomas kaua ila we nimkali kinoma brother
11 proud enzi hzo noma ni full mashori ku2nuku namna gan vp
Ngoma Kali San
Really hip hop 👍
Namkubali sana legend wa music
Ulitisha Sana. Brother
ihi kitu ya sugu hatari sana sugu sugu sugu sugu we acha stars hatari
2025 still banging 🔥
Tupo wazeeeee 😊😊😊
Nakubal
Sugu mtu wa vurugu...hata nisipo kuwepo sauti yangu itakuepo....dawa ya mabishoo ni kua bishoo zaid yao...
Ata nisipo kuwepo saut yangu itakuwepo wananita sugu na c wezi kukata kuitwa sugu ✌✌✌✌✌
hata mtoto wa dem wangu ananiita anko suguu bonhe ya ngoma
hapo hasifii mademu mziki ndio huo sio vesi demu wako katajwa demu wako mzuri kwako sisi tuna taka burudani siobsifa za demu wako hazituhusu na hatuhitaji
Mastaaaaaa
Dawa ya mabisho ni kuwa bishooo zaidi yao
Still listening to this shit today 🙌🏾
Dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yake
popote heshima ilipo ndipo Mimi nilipo...heshima kwako SUGU.
WANAMUITA JONGWE..
Mwamba
ninakukubari sana sugu pmj sana
the really SUGU in tz hiphop game
Old is gold baba!!
Way back
ATA MTOTO WA #DEMU WANGU ,ANANIITA SuGu
Bado tupo
in TANZANIA no any one more than sugu
He’s good and Legendary but there are few of them like
1. Ngwea
2. Proffesor Jay
3. Solo Thang
4. Mwana Fa
5. Jay Moe
Nice
Mpo badooo?
Wanakwita sugu
20 years later still 😂 a hit
P funk
Stara Thomas ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤29.08.2024
🔥🔥🔥
Sugu salute
2021November
Old is gold sugu 2022
X
Watching February 2022
3:05 ❤❤😮 3:12
❤❤❤
TAITA
Deiwakq
Miaka 80 kuja juu
2021