sikuwa bahatika kusikiliza nyimbo za sugu na huenda nilikuwa cjitambui au nilikuwa bado cjazaliwa time jamaa ana hit lkn leo nimetumia zaidi ya masaa mawili nisikiliza nyimbo za sugu.. kiukweli nadiliki kusema mr.2 nimsanii mmoja anauwezo mkubwa sana wauandishi wa mashairi yanayolenga ukweli. nyimbo ya sema nao pamoja na hold on ni moja ya nyimbo ambazo binafisi zimetokea kuushika sana moyo wangu
I don't speak or understand his language but as a casual 80s/90s hiphop music listener that I easily listen to how he flows with versatility in an early 90s conscious-era hiphop way. This my first anything on this dude/track but this is str8 hiphop already international representatives with more unheard-dopeness worldwide. Universal instrumental/beat too!!
sugu au mr 11 unatakiwa kupewa heshma kubwa ktk hip hop. ulivyo vifanya kitambo ndo sasa tunajaribu kuvifanya . Master J pia , wewe ni mlezi wa hip hop. heshma kwako ingawa kwa sasa unadeal na Mawaki sana yaani wasanii wao igiza sana kuliko ukweli wenyewe. kwenye BSS kule dah!!!! miyeyusho man, sio kwako, kuna maproducer wanatika kule na sio wewe au hata P funk. ahsante .
Then kuna matapeli wanakwambia Sugu hakuna kitu anabebwa tu aisee, Sugu ni moja ya waandishi bora kabisa wa hip hop kuwahi kutokea bongo, Prof, FA, Sugu, kwenye uandishi ni untouchable.
sikuwa bahatika kusikiliza nyimbo za sugu na huenda nilikuwa cjitambui au nilikuwa bado cjazaliwa time jamaa ana hit lkn leo nimetumia zaidi ya masaa mawili nisikiliza nyimbo za sugu.. kiukweli nadiliki kusema mr.2 nimsanii mmoja anauwezo mkubwa sana wauandishi wa mashairi yanayolenga ukweli. nyimbo ya sema nao pamoja na hold on ni moja ya nyimbo ambazo binafisi zimetokea kuushika sana moyo wangu
Skiliza Kiburi ft. Stara Thomas
Hillary toka Kenya,mbeya boy naikubali rhythm toka zamani
I don't speak or understand his language but as a casual 80s/90s hiphop music listener that I easily listen to how he flows with versatility in an early 90s conscious-era hiphop way. This my first anything on this dude/track but this is str8 hiphop already international representatives with more unheard-dopeness worldwide. Universal instrumental/beat too!!
This man from my country. He is a legend out here. He is official in Tanzania. Man rapped so hard he ended up as a member of parliament in Tanzania.
He was ahead of time man
Got a cassette from Mr urassa kanyura from Tanzania in 99.until now I have bn rolling with Gee.anyway shout out to urassa!from Namibia
2021 - Nasema nao kuwa wewe ndio MC no 1
Hahahaha dayz has gone so faster. Who is with me 2019
Wow hashana
Wow Haha Haha
Kama hujui mimi nina kichaa kuliko chako kama hujui muulize dadako😅... old rap era was insane
This is a certified hood classic
Hakika sugu ulifanya makubwa Sana,elimu fundisho ,burudani,,,
Wwwe king
2020 who is there..?? Jongwe hatari sana
Dah...jamaa aliondoka vzr sana kwenye huu wimbo. Look at the pace! yaani ni kama Hili Game ya Nature
Hili game ni moja ya hip hop classics za bongo. Back then watu walikua na talent sana
sugu au mr 11 unatakiwa kupewa heshma kubwa ktk hip hop.
ulivyo vifanya kitambo ndo sasa tunajaribu kuvifanya .
Master J pia , wewe ni mlezi wa hip hop.
heshma kwako ingawa kwa sasa unadeal na Mawaki sana yaani wasanii wao igiza sana kuliko ukweli wenyewe.
kwenye BSS kule dah!!!! miyeyusho man, sio kwako, kuna maproducer wanatika kule na sio wewe au hata P funk.
ahsante .
Eastafrica tv ..hizo dayz eishhh
Sugu,mheshimiwa!!tell dem old skul hiphop!
kweli chimba chimba!...big up uliechimba haya madini
Aaaaaghhh m’nipeleka mbali bongo 👊🏿
Wow! This is Too Dope @africanhiphop Africanhiphop
Jamani nakumbuka mbali sana kama vipi upload Kwa Penzi ya huyuhuyu kipindi hicho anajiita 2Proud
Is this 2 proud? That's who I'm looking 2 Proud. Guy was fire in the 90s hapo tz
2015 nasema nao,wasenge. Wee ona...
Mr 2 2023 bado inanikonga moyo
SEMA NAO MR TWO. OLD GOOD STAFF
kipind hyo nami nachana mbaya oldskull
Hatareeee sna
this is very nice!! haha!! reminds me way back!!
ni naniiiiiiii SUGUUUUUUUUUUUU...............
Great Music
The real OG.
Hakika kazi nzuri
Bro big up
JUST GREAT...
old is gold
Then kuna matapeli wanakwambia Sugu hakuna kitu anabebwa tu aisee, Sugu ni moja ya waandishi bora kabisa wa hip hop kuwahi kutokea bongo, Prof, FA, Sugu, kwenye uandishi ni untouchable.
Miss you guys
wakali wa longooo faka nakubali
Suguuuuuu 2021
Hii imeenda
watu waliokuwa addicted na kuchana hadi noma
Wa kwetu
hey nani anajua wimbo wa mr II ulio na chorus.... wanakwita sugu nani, wanakwita sugu sugu sugu
ruclips.net/video/WNhHJpXUMbw/видео.html
2024 🔥🔥🔥🔥🔥
props yo, smooth sound
TheOriginalBRad I
:
Jongweee
Tiktaka mpaka ujione taka taka
shuguli niwatu na watu ndo cc
Nimepamiss scandinavia
I had the album.. kwa tape
Mr II
💪💪✌️✌️🇹🇿
Saigon mwenyewe kasema sugu anauwezo mkubwa sana ndio hizo kazi zinajielezea
2020
Great mheahimiwa
Jongwe
noma
S aruti sugu
dice kilombo?
R.I.P sugu