Ngoja nikwambie kitu Mshana, hiyo 5000 au 19k unayoisema kwa hapa bongo je inapatikana? USA life is very expensive kwel, lakin pesa inapatikana when you are hard work Bongo even if you're hard work, pesa haipatikani kirahis ivoo. Uchumi wa USA ni friendly kwa wanaojituma, ila bongo uchumi sio friendly kabisa kwa wanaojituma. I think you get a point sasa.
Ni kweli kabisa lakini pia kama unataka connection ya host marekani na Kuunganishwa na kazi basi unaweza kuwasiliana nami na tukasaidiana lkn gharama yake ni $1500
Hie bro unaweza kutusaidia kutengeneza werk experience kuandika vizuli werk experience I'm doing uber eat pls kama inawezekana nimbie na burundi pia tunakufuatilia bto bless 🇧🇮
Habali ndugu? Asanta kwa hizo Information za maisha ya marekani ni vizuri kwa kutu juisha ginsi marekani ilivyo hasa kwa sisi tuna hitaji kufika uko na tena Asante. naku vwata kutoka Rwanda
Brother mi nazani ni Tanzania tu ndio wa kingaliki nyuma kujua kama ukitoka tu tz maisha yana kua expensive huwezi kumwambia mtu kutoka DRC eti kutumia dollars 10 au 20$ ni gharama apana kwasababu mkongomani ata mishahara ya kazini analipwa mpaka dollars akifika marekani sizani Kama iyo itakua ishu kwake
Kazi kama yako ya ususi marekani inalipa sana ukipata kazi ya fani hiyo ila cha muhimu kwanza uingie marekani je mpk Sasa tayari umeshatafuta hata passport ya kusafiria
Kama bado unaishi bongo wakati ukishafika US utateseka mno,kwaiyo tuache watoto hahaha Nahiyo kitu yakuwazia madafu wakati ukiwahuko,psychologically ina distorts,nahiyo ku convert inatesa😅
Sana kaka mshana
asante
Thanks for knowledge of USA
Karibu tunachanuana vijana tufanikiwe pamoja
Je kwa wale washindi wa greencad
Shkrn brother
Unafanya kitu kizuri sana
Mshana
Pamoja brooo
🙏🏻👍
Nina miaka 62 bado nina nguvu nawezaje kuja kupata kazi, mimi ni mstaafu
Unaweza kwenda marekani na kupata kazi je kwanza tayari una passport ya kusafiria ?
Kwema huko nielekeze njia ya kufika marekani
Saluti brother
Ngoja nikwambie kitu Mshana, hiyo 5000 au 19k unayoisema kwa hapa bongo je inapatikana? USA life is very expensive kwel, lakin pesa inapatikana when you are hard work
Bongo even if you're hard work, pesa haipatikani kirahis ivoo. Uchumi wa USA ni friendly kwa wanaojituma, ila bongo uchumi sio friendly kabisa kwa wanaojituma. I think you get a point sasa.
Kweli kabisa 👍
Ni kweli kabisa lakini pia kama unataka connection ya host marekani na Kuunganishwa na kazi basi unaweza kuwasiliana nami na tukasaidiana lkn gharama yake ni $1500
Hie bro unaweza kutusaidia kutengeneza werk experience kuandika vizuli werk experience I'm doing uber eat pls kama inawezekana nimbie na burundi pia tunakufuatilia bto bless 🇧🇮
Habali ndugu? Asanta kwa hizo Information za maisha ya marekani ni vizuri kwa kutu juisha ginsi marekani ilivyo
hasa kwa sisi tuna hitaji
kufika uko
na tena Asante.
naku vwata kutoka Rwanda
Kaka unatumia jina gani Ig?.
🤲
Mentally nothings changed
kaka naomba namba zako..!!
Brother mi nazani ni Tanzania tu ndio wa kingaliki nyuma kujua kama ukitoka tu tz maisha yana kua expensive huwezi kumwambia mtu kutoka DRC eti kutumia dollars 10 au 20$ ni gharama apana kwasababu mkongomani ata mishahara ya kazini analipwa mpaka dollars akifika marekani sizani Kama iyo itakua ishu kwake
🇨🇩 fact🤝
Sasa ndugu yangu kama nitashinda Green card sheria inaniruhusu mimi kuja bili wale nilio wajumuisha kwenye application form?
Unaruhusiwa ndio kwenda wewe mwenyewe au na familia yako ila kama haujashindwa green card basi inabidi uanze mchakato wa kuomba visa
Mshana ivi stet gani USA inagharama nafuu ya kuishi
Minnesota
Dola 15 kwa Saa au siku nzima?
Kwasaa 1
Kwa saa muheshimiwa😂
Kaka mimi sijui kizungu na sikusoma wakike miaka 33 nitafanya kazi gani?lkn ni msusi mzuri na make-up naweza
Kazi kama yako ya ususi marekani inalipa sana ukipata kazi ya fani hiyo ila cha muhimu kwanza uingie marekani je mpk Sasa tayari umeshatafuta hata passport ya kusafiria
@@InformationMarketer007 ndio ninayo
Broo habari ya asubuhi naweza kuongea na wewe
Kama bado unaishi bongo wakati ukishafika US utateseka mno,kwaiyo tuache watoto hahaha Nahiyo kitu yakuwazia madafu wakati ukiwahuko,psychologically ina distorts,nahiyo ku convert inatesa😅