Bado hujajibu kwanini imamu suyutwi hakutolewa kwenye manhaji? Naumesema kosa moja tu laweza kumtoa mtu kwenye manhaji sasa kwanini imamu suyutwi hakutolewa kwenye manhaji wakati kafanya makosa mengi yakumtoa katika manhaji lakini pamoja nahivo hakutolewa kwenye manhaji,,,hebu leteni hoja enyi majadida msijifiche mchana kweupe
Allah mpe afya sheikh Muhammad Bachu kwa juhudi zake kutuelimisha haki!..Ukweli ni kama Jua haufichiki..tumeshakuelewa hatujisumbui tena!
Hata Sheitwan alikuwa na Elimu nyingi lakini alipotezwa na Hasad sembuse Mwanadamu?..
Bado hujajibu kwanini imamu suyutwi hakutolewa kwenye manhaji? Naumesema kosa moja tu laweza kumtoa mtu kwenye manhaji sasa kwanini imamu suyutwi hakutolewa kwenye manhaji wakati kafanya makosa mengi yakumtoa katika manhaji lakini pamoja nahivo hakutolewa kwenye manhaji,,,hebu leteni hoja enyi majadida msijifiche mchana kweupe
yaani hilo swali hawajibu mpaka ardhi ipasuke.....kibri kingi na kukubali makosa wanatuhofia sisi tutawaonaje SubhanaAllah
Kuishiwa hoja ndio huko..bado hakuna majibu..we call it beating about the bush!
Mpka leo hajajbu suala la Imamu Suyyut
Shekh wetu unaanguka nilitegemea huyu imamu suyutwi utamtoa nae kwenye manhaji kwasababu ndiyo hoja ambayo bachoo kakomaanayo
Wewe kasimu Maoil usituvuruge jibu hoja, je Al imam Suyutwi ni mtu wa Sunna au mtu wa Bida'a??
Hahaha eti Kasimu maoil duh
Hawa jamaa hawafai kila sku maneno hy hyo
Hata mm na subiri ya Suyuti