AL FAUZAN TV 958k views
AL FAUZAN TV 958k views
  • Видео 92
  • Просмотров 65 403

Видео

QISA CHA QAARUN /NA WATU WAKE ABU YAZID
Просмотров 16014 дней назад
QISA CHA QAARUN /NA WATU WAKE ABU YAZID
RAADI KWA WANAO PINGA QADAR//QADAR YATOKA KWA ALLAH ABU JEYSHU MIN JUYUSHILLAH
Просмотров 8614 дней назад
RAADI KWA WANAO PINGA QADAR//QADAR YATOKA KWA ALLAH ABU JEYSHU MIN JUYUSHILLAH
RAADI KWA KUNDI LA TABLIGH NA MAMBO YA AJAABU WAJUWE MiSINGI YAO KUNDI LA BID'AH
Просмотров 35414 дней назад
RAADI KWA KUNDI LA TABLIGH NA MAMBO YA AJAABU WAJUWE MiSINGI YAO KUNDI LA BID'AH
RAADI KWA WASIO TAKA KUSOMA DINI YAO ELIMU KABLA YA MATENDO ABU ZUHEIRAH MAGANYAKULO
Просмотров 5421 день назад
RAADI KWA WASIO TAKA KUSOMA DINI YAO ELIMU KABLA YA MATENDO ABU ZUHEIRAH MAGANYAKULO
RAADI MWOTO KWA MAKHAWAARIJ الخوارج أكبر فتنة في تاريخ الإسلام ABU SUFYYAN
Просмотров 28421 день назад
RAADI MWOTO KWA MAKHAWAARIJ الخوارج أكبر فتنة في تاريخ الإسلام ABU SUFYYAN
MWANAFUNZI WA MAGANYAKULO AWATANDIKA MA SHEIKH WA KISUFI MTUME ALIBASHIRI WALINGANIZI WA POTOFU
Просмотров 1,7 тыс.21 день назад
MWANAFUNZI WA MAGANYAKULO AWATANDIKA MA SHEIKH WA KISUFI MTUME ALIBASHIRI WALINGANIZI WA POTOFU
MWANAFUNZI WA MAGANYAKULO AELEZA HURUMA YA MTUME KWA UMMAH WAKE ABU UNEYS
Просмотров 4021 день назад
MWANAFUNZI WA MAGANYAKULO AELEZA HURUMA YA MTUME KWA UMMAH WAKE ABU UNEYS
RAADI NZITO KWA MASUFI NA URONGO WAO USIKU WA MAULIDI BORA KULIKO LAYLATUL QADRI ABU UNEYS
Просмотров 41321 день назад
RAADI NZITO KWA MASUFI NA URONGO WAO USIKU WA MAULIDI BORA KULIKO LAYLATUL QADRI ABU UNEYS
RAADI KWA MRONGO MWINGINE ANAYE MZURU SHARIFU YOYOTE MAMBURUYI AMEMZURU MTUMI KASIM MAFUTA
Просмотров 287Месяц назад
RAADI KWA MRONGO MWINGINE ANAYE MZURU SHARIFU YOYOTE MAMBURUYI AMEMZURU MTUMI KASIM MAFUTA
BISHARA NJEMA YA UJIO WA MAJIBU KWA DR. ISLAM MUHAMMAD KWA MAKALA YAKE MPYA ABUL FADHL KASIM MAFUTA
Просмотров 171Месяц назад
BISHARA NJEMA YA UJIO WA MAJIBU KWA DR. ISLAM MUHAMMAD KWA MAKALA YAKE MPYA ABUL FADHL KASIM MAFUTA
RAADI KWA MASUFI WAPIGAJI NGOMA MANENO YA WANAZUONI JUYA JAMBO HILI LA MAULIDI
Просмотров 125Месяц назад
RAADI KWA MASUFI WAPIGAJI NGOMA MANENO YA WANAZUONI JUYA JAMBO HILI LA MAULIDI
MATUSI YA MUHAMMAD BACHU KAMTUSI ABU RUDUUD MARA_ 32 BACHU KAPANIC NA RAADI#muhammadbachu
Просмотров 388Месяц назад
MATUSI YA MUHAMMAD BACHU KAMTUSI ABU RUDUUD MARA_ 32 BACHU KAPANIC NA RAADI#muhammadbachu
AIBU KWA MUHAMMAD BACHU JUYA NENIO هذيان KIARABU HAKUSOMA ABU RUDUUD ABU FAUZAN #muhammadbachu
Просмотров 762Месяц назад
AIBU KWA MUHAMMAD BACHU JUYA NENIO هذيان KIARABU HAKUSOMA ABU RUDUUD ABU FAUZAN #muhammadbachu
RAADI KWA MUHAMMAD BACHU NA MAHIBI WENZAKE, BARAHIYANI NI NINI UHIZBI ABU KHAUWLAH AL BAAJUNY
Просмотров 3,5 тыс.2 месяца назад
RAADI KWA MUHAMMAD BACHU NA MAHIBI WENZAKE, BARAHIYANI NI NINI UHIZBI ABU KHAUWLAH AL BAAJUNY
RAADI YA MASWALI MAZITO KWA WATU WA MAULIDI MWANAME AJIBU HAYA MASWALI 6 KAMA ANAWEZA
Просмотров 8842 месяца назад
RAADI YA MASWALI MAZITO KWA WATU WA MAULIDI MWANAME AJIBU HAYA MASWALI 6 KAMA ANAWEZA
RAADI YAKUUMIZA KWA MUHAMMAD BACHU NA KUTAKA UMARUFU SAUTI. ZA MA SHEIKH #muhammahbachu
Просмотров 9 тыс.2 месяца назад
RAADI YAKUUMIZA KWA MUHAMMAD BACHU NA KUTAKA UMARUFU SAUTI. ZA MA SHEIKH #muhammahbachu
RAADI KWA SALIM BARAHIYANI KWA JAMBO ALO SEMA KWA LENGO LA KULETA BALBALA ABUL FADHL KASIM MAFUTA
Просмотров 1952 месяца назад
RAADI KWA SALIM BARAHIYANI KWA JAMBO ALO SEMA KWA LENGO LA KULETA BALBALA ABUL FADHL KASIM MAFUTA
DUKTUR AJITETEA KUPITIA KITABU ALICHO MWANDIKIA ABUL FADHL KASIM MAFUTA KUHUSU KUSOMA KWA SHEITWAN
Просмотров 2,3 тыс.2 месяца назад
DUKTUR AJITETEA KUPITIA KITABU ALICHO MWANDIKIA ABUL FADHL KASIM MAFUTA KUHUSU KUSOMA KWA SHEITWAN
RAADI KWA SAID OMAR SHEIRAZY JEE MTUME YUKO HAYI NA ANAUTHURIA MAULIDI I SHEIKH ABU KHAUWLAH
Просмотров 5392 месяца назад
RAADI KWA SAID OMAR SHEIRAZY JEE MTUME YUKO HAYI NA ANAUTHURIA MAULIDI I SHEIKH ABU KHAUWLAH
RAADI KWA MUDIRI WA SHAMSIYA SAMIR JUYA KUMUATHIMISHA MTUME (MAULIDI) ABUL FADHL KASIM MAFUTA
Просмотров 3492 месяца назад
RAADI KWA MUDIRI WA SHAMSIYA SAMIR JUYA KUMUATHIMISHA MTUME (MAULIDI) ABUL FADHL KASIM MAFUTA
RAADI KWA WANAO SOMA KWA WATU WA BID`AH NAMFANO WAO MBARAK AWES ABUL FADHL KASIM MAFUTA
Просмотров 9502 месяца назад
RAADI KWA WANAO SOMA KWA WATU WA BID`AH NAMFANO WAO MBARAK AWES ABUL FADHL KASIM MAFUTA
UONGO WA SALIM BARAHIYANI NA WATETEZI WAKE KINA MUHAMMAD BACHU...ABUL FADHL KASIM MAFUTA part 2
Просмотров 4,1 тыс.2 месяца назад
UONGO WA SALIM BARAHIYANI NA WATETEZI WAKE KINA MUHAMMAD BACHU...ABUL FADHL KASIM MAFUTA part 2
RAADI KWA SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA HUYU JAMA MPOTESHAJI SHEIKH ABU KHAUWLAH
Просмотров 1,9 тыс.2 месяца назад
RAADI KWA SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA HUYU JAMA MPOTESHAJI SHEIKH ABU KHAUWLAH
RAADI KWA SAALIM BARAHIYANI NA GENGE LAKE PAMOJA NA UONGO WAKE ABUL FADHL KASIM MAFUTA part 1
Просмотров 3,1 тыс.2 месяца назад
RAADI KWA SAALIM BARAHIYANI NA GENGE LAKE PAMOJA NA UONGO WAKE ABUL FADHL KASIM MAFUTA part 1
NI UPI USALAFI NA KINA NANI HAWO MASALAFI ABUL FADHL KASIM MAFUTA HAWA HAWAMO
Просмотров 9732 месяца назад
NI UPI USALAFI NA KINA NANI HAWO MASALAFI ABUL FADHL KASIM MAFUTA HAWA HAWAMO
RAADI KWA WATU WA MAULIDI NA MASHEIKH WAO ABUL FADHL KASIM MAFUTA ACHENI MAULIDI NIUZUSHI #2024
Просмотров 1,1 тыс.2 месяца назад
RAADI KWA WATU WA MAULIDI NA MASHEIKH WAO ABUL FADHL KASIM MAFUTA ACHENI MAULIDI NIUZUSHI #2024
RADDI KWA MUHAMMAD BACHU NA DUKTUR ISLAM ✓JEE KOSA MOJA LAMTOWA MTU KWA USALAFI ABUL KASIM MAFUTA
Просмотров 1,3 тыс.2 месяца назад
RADDI KWA MUHAMMAD BACHU NA DUKTUR ISLAM ✓JEE KOSA MOJA LAMTOWA MTU KWA USALAFI ABUL KASIM MAFUTA
RAADI KWA MAHIZBI HAWA || NA NI NINI MAANA YA UHIZBIYA ABUL FADHL KASIM MAFUTA
Просмотров 2,8 тыс.2 месяца назад
RAADI KWA MAHIZBI HAWA || NA NI NINI MAANA YA UHIZBIYA ABUL FADHL KASIM MAFUTA
RAADI KWA MUBARAK AWES JUYA VIGAWANYO VYA BID`AAH KAPOTOSHA ABUL FADHIL KAASIM MAFUTA
Просмотров 6 тыс.2 месяца назад
RAADI KWA MUBARAK AWES JUYA VIGAWANYO VYA BID`AAH KAPOTOSHA ABUL FADHIL KAASIM MAFUTA

Комментарии

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 8 дней назад

    Katika watu wanao peleka watu motoni ni wasanii na wanamuziki hebu tuitizame nchi yetu watu wanavyokwenda uchi nyinyi hamulioni hili maana munaparurana nyinyi kwa nyinyi wakati nchi yetu iko taabani mimi namkumbuka nasoro bachu ana anza mawaiza yake ilikua kuzungumzia kujistiri kwa wanawake na alifanikiwa nyinyi muna anza kutukana masheikh mbona hivi

  • @AbdallahMbuyu
    @AbdallahMbuyu 13 дней назад

    Sasa mbona hamueleweki mnaojiita salfy, si nyie mnaosema musiwasikilize watu was bidaa, Sasa unamjib VIP awes ambae yy ni Kayla watu was bidaa kwa mtazamo wenu? Mbona umemsikiliza mpaka unamjibu

  • @SuleimanHamis-o5s
    @SuleimanHamis-o5s 13 дней назад

    Alla awahifadhi maxhehe

  • @TalibMuhsin
    @TalibMuhsin 13 дней назад

    𝐇𝐚𝐰𝐚 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐰𝐚𝐣𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐭𝐞𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐣𝐚𝐡𝐢𝐥 𝐰𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡𝐢 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐬𝐡𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐣𝐢𝐭𝐞𝐧𝐠𝐞𝐳𝐞𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐝𝐢 𝐰𝐚𝐣𝐢𝐭𝐚 𝐬𝐚𝐥𝐚𝐟𝐢 𝐥𝐚𝐤𝐢𝐧𝐢 𝐮𝐤𝐢𝐰𝐚𝐟𝐚𝐭𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐤𝐢𝐮𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐤 𝐰𝐚𝐬𝐡𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐰𝐚𝐨 𝐡𝐚𝐤𝐮𝐧 ,𝐡𝐮𝐣𝐢𝐨𝐧 𝐝𝐢𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐩𝐞𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐨 𝐭𝐮 𝐊𝐖𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐦𝐢𝐦𝐢 𝐧𝐚𝐬𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐚 𝐡𝐚𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨 𝐰𝐚𝐢𝐭𝐚 𝐓𝐀𝐁𝐋𝐈𝐆𝐇 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐭𝐮𝐦𝐞𝐬𝐡𝐮𝐡𝐮𝐝𝐢𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐤𝐮𝐟𝐚 𝐧𝐚 𝐒𝐇𝐀𝐇𝐀𝐃𝐀 𝐙𝐀𝐎 𝐌𝐦 𝐧𝐚𝐮𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐰𝐚𝐩𝐢 𝐌𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐤𝐚𝐚𝐦𝐫𝐢𝐬𝐡𝐚. 𝐊𝐰𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐰𝐚𝐢𝐬𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐰𝐚𝐭𝐞𝐧𝐠𝐞𝐳 𝐤𝐮𝐧𝐝𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐭𝐞 𝐬𝐚𝐥𝐚𝐟𝐢 𝐍𝐚𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐇𝐚𝐝𝐢𝐭𝐡𝐢 𝐰𝐚𝐢𝐭𝐚𝐟𝐬𝐢𝐫𝐢 𝐯𝐢𝐛𝐚𝐲𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐣𝐮𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐩𝐨𝐭𝐞𝐚 𝐇𝐚𝐰𝐚𝐣𝐮𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐧𝐚𝐰𝐚𝐨 𝐰𝐚𝐦𝐨 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐚𝐤𝐮𝐧𝐝𝐢 73

  • @shaphishaphi6782
    @shaphishaphi6782 14 дней назад

    Kwani hiyo pepo anagawa babaakoo

  • @HawaMohamedi-s4p
    @HawaMohamedi-s4p 16 дней назад

    Yani daha sheikh mfananishe nabacho acheni ujinga au ushabiki

  • @AbdulazizMohammed-wi8qz
    @AbdulazizMohammed-wi8qz 17 дней назад

    Dah hawa ndo mashekhe zetu watwarika

  • @TwalibHajj
    @TwalibHajj 17 дней назад

    بارك الله فيك

  • @KhamisBaruani-g9o
    @KhamisBaruani-g9o 17 дней назад

    Mpumba saana wey mjinga wende ukalime

  • @binseif2216
    @binseif2216 17 дней назад

    Nawaombeni nyie masalafi kaeni kimya na mshike adabu zenu kwa watu wa tabligh hao hamuwezi kuwafkia wanaacha family zao na mali zao kwa wajili yakueneza dini ya Allah nyie mnanini???zaod ya kukosoa mambo yakijinga

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 14 дней назад

      Wanaabudu makaburi kama masufi tu! Halafu wanalingania bila Elimu. Nia zao ni nzuri ila mapito yao sio ya usawa kwo hawawezi kuachwa na masalafy hata ulie damu!

  • @Kassim-li4mv
    @Kassim-li4mv 18 дней назад

    Hauna kitu ya kusema nyamaza

  • @Kassim-li4mv
    @Kassim-li4mv 18 дней назад

    Mjinga wa kwanza ni wewe

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 18 дней назад

    Na ninyi mbona shekh uthaymeen kawaweka katika kundi hizbu salafi

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 14 дней назад

      Kwamba unakusudia kuwatetea Matabligh sio?!!! Comments yako akiiona Sufi atajua kuwa matabligh ni watu wa haqqi...!!! Mche Allah akhul Kareem. Punguza chuki dhidi ya masalafy. Chuki zako dhidi ya masalafy zinakufanya uongee maneno ya kuwapa moyo matabligh badala ya kuwakandamiza. Mche Allah! Uthaymeen angekuwa anatukusudia sisi basi, asingemzakki sheikh Rabii kwa kusema kuwa: "Sheikh Rabii yupo Katika manhaj Salafy,na akasema kuwa hakusudii Hizbu Salafy" ambapo nyie mahizbi mnaitakidi kuwa Sheikh Rabii ndo mwanzilishi wa Hizbu salafy! Mche Allah, NYAMA YA MWANACHUONI NI SUMU. Kaburini utakuwa peke yako. Usiwafate masheikh zako akina Barahiyani,,, Wao huwenda wana kheri nyingi sana kuliko wewe kwa sabab wamesomesha millions of people, licha ya Manhaj yao kuwa mbovu ila watalipwa kwa yale ya haqqi waliyofikisha! Sasa na wewe unavyojitia kimbelembele kuwafuata katika kuwatwaani maulamaa, kana kwamba hizi qadhwaaya unazielewa vzr wakati Elimu yako ni ndogo mno, hata wewe wajijua vzr!!!

  • @fikratulmuhibbonlinetvismail
    @fikratulmuhibbonlinetvismail 19 дней назад

    Allah anifishe Tabligh ammyn

  • @RAMZANJumma-hr3ff
    @RAMZANJumma-hr3ff 19 дней назад

    Astaghafil llah.....munapo wagusa tabligh kwa kashfa mutaangaamia kama filauni hamuna hadab nyie

    • @alfauzantv123
      @alfauzantv123 19 дней назад

      @@RAMZANJumma-hr3ff twasubiri kuangamia

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 14 дней назад

      ​@@alfauzantv123 Akhy achana na hao makhurafi hawajielewi😂😂😂 Mimi nilikuwa nauliza: huyo Sheikh anayeongea ni nan???!!!!

    • @alfauzantv123
      @alfauzantv123 14 дней назад

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x NI shk Bashir haumjuwi na thani

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 14 дней назад

      @@alfauzantv123 Anhaa! ni wa huko kenya au?

  • @fauznuhu9981
    @fauznuhu9981 20 дней назад

    Kkkkk kundi yote sisawai ila salafi?ujinga na kuosaji adabu na heshima allafu ety hiyo ndo ulimu…kama hawajuwi tauhidi unamanisha siwasilam?tauhidi ya utatu mtakatifu haifate kabissa

    • @ammaarmwinyi1120
      @ammaarmwinyi1120 19 дней назад

      Sheikh mche Allah na qauli unazo toa hamna kundi lililo safi illa unacho wazunguumzia Hawa watu wa tabligh sivyo ilivyo ki haqiiqa..اتق الله أخي فكل ما تتحدث عنه سيسألك الله عنه كأنك تولد أمورا لغيرك من المسلمين دون حرج

  • @TalibMuhsin
    @TalibMuhsin 20 дней назад

    𝐒𝐮𝐛𝐡𝐚𝐧𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡 𝐡𝐢𝐯𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐞𝐧𝐲𝐚 𝐦𝐮𝐧𝐚 𝐥𝐚𝐧𝐚 𝐠𝐚𝐧𝐢 𝐦𝐛𝐨𝐧𝐚 𝐝𝐢𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐚𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐚 𝐦𝐳𝐚𝐡𝐚 𝐲𝐚𝐧𝐢 𝐥𝐞𝐨 𝐦𝐚𝐬𝐡𝐞𝐤𝐡 𝐰𝐚𝐬𝐡𝐚𝐤𝐮𝐚 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐧𝐠𝐚𝐧𝐢𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐦𝐨𝐭𝐨 ? ,𝐦𝐛𝐨𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐢𝐭𝐚𝐨 𝐬𝐚𝐥𝐚𝐟𝐢 𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐣𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐡𝐮𝐰𝐚𝐨𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝐬𝐢𝐨 𝐢𝐥𝐥𝐚 𝐰𝐚𝐨 𝐧𝐝 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐩𝐞𝐰 𝐟𝐮𝐧𝐠𝐮𝐨 𝐳𝐚 𝐡𝐮𝐤𝐮𝐦𝐮 𝐝𝐚𝐡! 𝐙𝐚𝐦𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐟𝐢𝐤𝐚 𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐄𝐋𝐈𝐌𝐔 𝐖𝐀𝐎𝐍𝐄𝐊𝐀𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐉𝐈𝐍𝐆𝐀 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐉𝐈𝐍𝐆𝐀 𝐍𝐃𝐎 𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐄𝐋𝐈𝐌𝐔 𝐧𝐚 𝐩𝐨𝐫𝐨𝐣𝐨 𝐳𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 20 дней назад

    Huyu anaupumbavu mimi ni salafi ila cna msmamo huu nawapenda sana hawa masheikh na nawaombea dua waingie peponi

  • @AllyHozza
    @AllyHozza 20 дней назад

    Jamani ?? Mbona mimi sijaona baya alozungumza kikubwa angalia linalokufaa ondoka nalo! kama hakuna mbona shekhe sio yeye peke yake kamsikilize yule unaemtaka kumsikiliza tumuogopeni allah jamaa kila tunachofanya allah anatuhifadhia tutakuja kufilisika siku ya kiama maisha yenyewe sasa watu twalala wazima twaamka tuko na majina mengine na hatukuumwa.

  • @aidarusalnadhir3139
    @aidarusalnadhir3139 21 день назад

    Ufunguo za pepo na moto uko nazo wewe kumbe

  • @fadhilimatano3213
    @fadhilimatano3213 21 день назад

    Muogope Mungu acha kujitukuza na kujiona msafi wewe ni nani wakuingiza watu motoni na Maganyakulo sio kigezo cha kuingia pepo Muogope Allah

  • @MohammedMohammed-y8c
    @MohammedMohammed-y8c 21 день назад

    Fanyeni daawa zenye tija km hamuwezi nyamazeni. Acheni mambo ya kushambuliana na wallahi mtaenda kuulizwa kwa Allah (s.w.) kwa mnayoyafanya.

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 21 день назад

    mawahabi nyie nyote mbwa, tena waahenzi km nyie hakuna, mingurue tu, km wanaume iteni mihaadhara km alivyo adhiriwa kibachoo

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 21 день назад

    jamani huyu ni khatari kwa sbb hakisoma, wote wanalingania kheri ila tofauti ya mash hab nenda kasome mbwa wee ngurue mshenzi wewe, wewe utaingia peponi wajijua km utaingia peponi

    • @TalibMuhsin
      @TalibMuhsin 20 дней назад

      𝐖𝐚𝐣𝐢𝐣𝐮𝐚 𝐡𝐚𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐟𝐮𝐧𝐠𝐮𝐨 𝐳𝐚 𝐩𝐞𝐩𝐨 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐣𝐢𝐨𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐤𝐨𝐬𝐞𝐢

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 21 день назад

    Shekhe maneno yako mazuri lkni cha ajabu umebusiya kukashif upande mmoja hiyo sio inswaf ktk Dini kwani hao mashekhe wa upande kwengine hawana mambo wayoyaleta Mtume SAW hakuyafanya wala hayana Dalili ktk Sunna wala Aya za Quran, afadhali ungezungumza kama hivo ulivyosema watoto wanajua mambo ya mipira kuliko Dini yao, yaani mashekhe kama nyinyi ndio wanaopenda kuzungumza na hamasa nyingi na makelele ilhali nyinyi pia mwafanya mambo haya kuthubutu, kisha kama kweli wataka kubainisha haqqi si ujitokeze waziwazi wajifichia nini na kama wajua uko kwenye haqqi pia ikiwezekana ungewaita hao mashekhe ujadiliane nao kuhusu hayo madai unayosema kuwa sio kweli kwa sababu hata haukutowa hata Dalili ya kuyapinga kubwa sana ulilolifanya umezungumza mpira nadhani hata wewe pia ni shabiki wa mipira

  • @AbdulkarimShosi
    @AbdulkarimShosi 21 день назад

    Inavyo onekanamwanafunzi huyu ilmu alokwenda kusoma ni ya kukufurisha watu maskini namuonea imani sana anapoteza mda wake hapo

  • @AbdulkarimShosi
    @AbdulkarimShosi 21 день назад

    Hili ndilo kundi la firqatu najia kundi la walokole wao peke yao ndio walosalimika mengine yote ni motoni huu ni uyahudi umepachikwa kwenye uislamu hii sio dini alokujanayo mtume s.a.w.

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 21 день назад

      na wewe kundi la katoliki jibwa wewe

  • @mzeemmwinyihajihatibuhatib9331
    @mzeemmwinyihajihatibuhatib9331 22 дня назад

    Sallaaaaaaala huyu ni mzima kweli?

  • @Asiaha-l7q
    @Asiaha-l7q 22 дня назад

    Nani uko kwetu

  • @Modyb
    @Modyb 22 дня назад

    Ukiangalia mitandaoni zama huzi kisha uone jinsi wapotevu wanavyoungwa mkono, na majaahiil, na maruweibidhwa, utajua kwamba fitnah inazidi kuwa nzito sana.

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 23 дня назад

    Huyooo anataka umaarufu naye

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 Месяц назад

    Si bure itakuwa anatumia bangi za Mambrui

    • @alfauzantv123
      @alfauzantv123 Месяц назад

      @@ameirameir4349 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq Месяц назад

    Makhurafi ni wendawazimu

  • @skaterlly
    @skaterlly Месяц назад

    Hahaha 😂hata chizi hawi hivi

  • @mringikijuu659
    @mringikijuu659 Месяц назад

    Ushauri wangu kwa mhamad bacho kwa sasa ni kwenda kusoma tu tena akasome kwa masalaf ndo salama yake

  • @AllyHamran
    @AllyHamran Месяц назад

    Iyo mnamsingizia au mnamzania .lkn mkjibu hoja anazozitoa Bachu ndo mtakuwa mnafanya ibada mkipuuza hoja na kuanzamipasho mtakuwa hamna hoja.

  • @SalmaMohamedi-bz6xy
    @SalmaMohamedi-bz6xy Месяц назад

    Kam Taasisi Ni Tajiri Na inawazamini Matajili Mbona Sasa inadhulumu Watu Mali Zao

  • @SalmaMohamedi-bz6xy
    @SalmaMohamedi-bz6xy Месяц назад

    Ansaar Ni Taasisi Ya Matapeli Ambao Wanatumia Dini Kam Kifichio Cha Kudhuluma Watu Mali Zao Maskini Na Wanyonge Na Wajane Na Mayatima

  • @SalmaMohamedi-bz6xy
    @SalmaMohamedi-bz6xy Месяц назад

    Ansaar Ni Taasisi Ya Matapeli Ambao Wanatumia Dini Kam Kifichio Cha Kudhuluma Watu Mali Zao Maskini Na Wanyonge Na Wajane Na Mayatima

  • @SalmaMohamedi-bz6xy
    @SalmaMohamedi-bz6xy Месяц назад

    Ansaar Ni Taasisi Ya Matapeli Ambao Wanatumia Dini Kam Kifichio Cha Kudhuluma Watu Mali Zao Maskini Na Wanyonge Na Wajane Na Mayatima

  • @SalmaMohamedi-bz6xy
    @SalmaMohamedi-bz6xy Месяц назад

    Mwambieni Na Nyinyi Aache Dhuluma Na Taasisi Yake Na Wamrudishie Mzee Singo Kiwanja Chake Duga Ambae Amewashinda Kesi Zote Mahakama Kuu Mpka Mahakama Za Rufaa Lakn Bado Hawataki Kuondka kwenye Kiwanja Chake Sasa Hiyo Ni Taasisi Ya Dini Ansaar Au Taasisi Ya Mabedui Na Majangili Wasiokuwa Na hofu Ya Mungu

  • @SalmaMohamedi-bz6xy
    @SalmaMohamedi-bz6xy Месяц назад

    Achana Nae Hao Matapeli Wa Mji Wa Tanga Wanadhulumu Watu Mali Zao Alfu Wanajifichia Kwenye Dini

  • @SalmaMohamedi-bz6xy
    @SalmaMohamedi-bz6xy Месяц назад

    Mwambie Salimu Barahiani Na Taasisi Yake Aache Dhuluma Na Warudishe Mali Za Masikini Za Wajane Na Mayatima

  • @SalmaMohamedi-bz6xy
    @SalmaMohamedi-bz6xy Месяц назад

    Wambie pia warudishe Kiwanja Cha Mzee Singo Duga Ambae Amewashinda Kesi Zote Mahakamani Lakn Bdo Hawataki kuondka kwenye hiko Kiwanja Duga Ansaar ni Mabedui Tu Hakuna Dini

  • @SalmaMohamedi-bz6xy
    @SalmaMohamedi-bz6xy Месяц назад

    Salimu Barahiani Ni Dhulumati Na Taasisi Yake Ya Ansaar Wameweka tamaa Ya Mali Mbele Kuliko Hata Mungu Na Wala Hawamuogpi Mungu

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c Месяц назад

    Mh nyie asa hamna kitu yaani baada ya kusoma munashabikia upuuzi

  • @NuryaMusa
    @NuryaMusa Месяц назад

    😂😂mnavyoitkad nyinyi maswaafiqah majadidah waovu hicho nichakisalaf kweli mbona ww kijana kama unaubweg. Na ujulikan. Manhajj yako niipi 😅😅

    • @alfauzantv123
      @alfauzantv123 Месяц назад

      @@NuryaMusa I will block you and report you if you comment such stupid things on this account last worning sio pesa NI bure

  • @saidali9255
    @saidali9255 Месяц назад

    Kuishiwa hoja ndio huko..bado hakuna majibu..we call it beating about the bush!

  • @abdalahhasani6855
    @abdalahhasani6855 Месяц назад

    ndo mtume kakufundisha kuwa shambulia maiti huyo mze kasha kufa kitambo sana bado unamwandamatu walo hai huwaoni

  • @Cherehanitanzania
    @Cherehanitanzania Месяц назад

    Majadidah Wameelewa Zile nyundo Za Bachu Wamezielewa Ndomana Hata Kumtusi Wamepunguza Kila wakiradd Wanasema Twampa Nasaha Bachu Aache Kutafuta Umaarufu Mitandaoni😂