Shukrani sana sana,yani nilipika hi Biryan sikukuu,na sikuwahi kupika au kujua kupika before,familia yangu ili enjoy sana,Mwenyezi Mungu akubariki kwa kuwa mwalimu kwa watu wengi tena usiowahamu.
maa shaa Allah very simple mlo mzuri mtamu rahisi safari hii nitawaalika wageni maana sina wasiwasi na mapishi kupitia kwako Ukhty juziiti khaira dadangu
Great recipe, just a question ( maybe you have answered it before, is it better to put the rice in boiling water or bring the rice to the boil from cold water? Pia watumia basmati aina ipi?
Hi dear, I have included all the ingredients and some of the important details in an English subtitles, sorry for not providing the English version video.
Shukrani sana sana,yani nilipika hi Biryan sikukuu,na sikuwahi kupika au kujua kupika before,familia yangu ili enjoy sana,Mwenyezi Mungu akubariki kwa kuwa mwalimu kwa watu wengi tena usiowahamu.
MashaAllah shukran umekuwa mwalim mzur kwetu tunajifunza mengi kupitia kwako Allah akuweke tuzid kujifunza mengi kutoka kwako
ameen asante sana kwa dua
@@ShunasKitchen can you cook it using rice cooker at the finall stage
@@anawa2726 yes you can
Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah
Shukran habibty
Kwa mapishi mazuri
First one to comment. Masha Allah exactly what I was waiting for . Thank you sis. Jazaka Allah kheir
Shukran dear for watching and take your time to leave a comment, jazakillah kheir
@@ShunasKitchen Thanks Habibty,Ninaweza kusaga hiliki, watoto wanazitupa zikiwa nzima hawatafuni.
Mashallah allah akubarik akulinde na macho ya husda akupe uzima na afya njema uzidi kutuelimisha in shaa allah Amiin
Ameen dear asante sana
Mashallah napika Sasahivi in shaa Allah
Mashallah my ticha Allah akubarik akufungulie kl la kheri jee kuku mwepesi ni yupi
maa shaa Allah very simple mlo mzuri mtamu rahisi safari hii nitawaalika wageni maana sina wasiwasi na mapishi kupitia kwako Ukhty juziiti khaira dadangu
shukran
Thank you so much😋😋wanna try it Tomorrow..May Allah Accept All your Fasts
Blessed hands Ma Sha Allaah! Be blessed and Eid Mubarak
Shukran, Eid Mubarak
MashaAllah master chef 👌
Mashallah sister...nimependa Sana mapishi yako ..so yummyyyy
Tamu sana ma sha allah ndio naangalia nikaijaribu in sha allah
Mashaalah Allah akulipe kheir kwa kutufunza mengi shuna
ameen asante
Wewe ni mwalimu mzuuuuri sana wa kupika, Ubarikiwe!
asante
Mashaa Allah ....mambo mazur tunazid kupata maujanjaa kwa kweli...Allah akulipe khery
ameen asante
Thanks Shuna..Your the best..Allah akujaalie maisha marefu
ameen asante
Ma shaa Allah looks amazing 😍
thank you dear
Maa shaa Allah dada shuna eid mubarak Love you Sanaa
Mashallah nzuri na tamu sana shukraan
mashaallah mashaallah habibty mambo mazuri jamani 😋👌🏻Allah akujazeni kheiri vipenzi vyetu😘👏
ameen shukran dear
Mashaallah. Nice recipe
😍 Asante kwa recipe
Masha Allah yummy 😋.
Shukran now naelekea kulipika 😘👌
Masha Allah shukran jazila
MashaaAllah ukhty nimeipenda biriani .inshaAllah nitajaribu .MashaaAllah
shukran sana dear
Waooo looks so yummy mashallah
This is really delicious and great 😋😋
Yummy yummy
Mashallah tabarak Rahman Inshaallah skukuu nitapika jazaka Allah kheir
ameen shukran sana
MashaAllah ❤️ your blessed mamy!!
Thank you dear
Mashaaallhu very nice and ymy
Mashallah
Both looking delicious and healthy,,
Thank you so much for watching
Masha Allah shukrani
Mashallah teacher wang wa faida😙😙😙😙😙😙lup u ❤
Thank you so much dear for the love 😘❤
MaashaAllah shuna
shukran dear
Maashallah 😘
MashaAllah mashaAllah 😍😍😍😍😍😍😍
shukran
Ungonjwa wangu biriyan inyooke ehhh Mashaallah Mashaallah kitu na box hapo mpenz
Asante Kamilya
Plz tuekee ingredients kwa description box
MashaAllah MashaAllah Madam
Manshallah
shukran
Jazakillah khayra habibty
shukran
Asalam aleykum naomba uniambie jina la mchele unaotumia unanyooka vizuri
Waalaykum Salam, nimetumia mega basmati
@@ShunasKitchen ok thanks babe
💯💯💯💯🙏❤👌
Mashaa ALLAH😍😍😍😍😍
shukran
Mashallah pambeee mchele umenyooka Allah akuzidishie ujuzi
ameen shukran
Mashallah😘
shukran
Mashaaallah mate yananitoka
Great recipe, just a question ( maybe you have answered it before, is it better to put the rice in boiling water or bring the rice to the boil from cold water? Pia watumia basmati aina ipi?
Mashallah cha edd icho insha'Allah
in shaa Allah, shukran sana kwa kuangalia
Shukrani sana.
Yaan kufundisha kupika
Waooh
thanks for watching
Masha Allah sister ❤. What is the name of the basmati rice that you used?
I used mega basmati rice, thank you dear
mashallah yummy
Shukran
😋😋😋
Assalam Alaykum mm maomb kuulz kabil ya uo mchel uliotumia
Nimeipenda sana
asante sana
Hili ndo la eid sasa😋😋😋😋😋😂
kabisa, mashaAllah 🙂
🔥🔥🔥🔥🔥
Asante dear
Karibu tena Khayrat
Asante dear🙏
Karibu dear
Thanks
You are welcome
Njaa ya ghafla hii..nani atanialika Eid jameni?
hakuna lol ukipata mahala namimi niambie🤣
Mkuje uku musubscrib na mshee ili tumpe support teacher wetu😙😙
Thank you dear 😘😘
@@ShunasKitchen u are welcm hsbibty😙😍😍😍❤👌
Sijui kwanini huwa nakirihika mtu akitumia gloves na chakula ni chako jamani
No english varsion
Hi dear, I have included all the ingredients and some of the important details in an English subtitles, sorry for not providing the English version video.
Thanks dia
Waoooh,,,
😋😋
Asante dear
Waoooh,,,