Biryan / Biriyani ya Zanzibar kwa njia rahisi | How to cook swahili biryan | Suhayfa’s Food

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 98

  • @IMRANSTORIES136
    @IMRANSTORIES136 Год назад +1

    MashAllah tabarakAllah.

  • @maiyaseif1300
    @maiyaseif1300 Год назад +1

    Nzur mashaallah

  • @amraabdallah9446
    @amraabdallah9446 4 года назад +2

    MashaAllah you are the best chef ..shukran kwa elimu yako ... Allah akubarik ...

  • @selmezahor4696
    @selmezahor4696 Год назад +1

    Ma Sha Allah Shukrn 😍 jee kama huna mtindi unatia nin dada,

  • @msegejukitchen1281
    @msegejukitchen1281 3 года назад

    tumejaribu Mashaah Amazing God bless u

  • @faridahjumanne7773
    @faridahjumanne7773 4 года назад +3

    Woyoooooooo piga kelele kwa Suhafya aaake MashaAllah MashaAllah

  • @safiyaalrawahi7526
    @safiyaalrawahi7526 4 года назад

    ahsante sana biriyani nzuri Ma shaa llah . Jazaka llahu khairan

  • @safiasalim2602
    @safiasalim2602 4 года назад +1

    Mashallah

  • @sheikhaalamoudi3390
    @sheikhaalamoudi3390 4 года назад +1

    Mashaallah nzuri

  • @jokhaseifsaid3309
    @jokhaseifsaid3309 2 года назад +1

    Big up my dear sister nimejarib kufany yaan so delicious😋

  • @sabraburaimi
    @sabraburaimi 4 года назад +1

    Mashaallah baraka allah fiik

  • @shadyaalismaily8802
    @shadyaalismaily8802 4 года назад +1

    mashaallah habibty mambo mazuri kuliko maelezo yaani shukran sana habibty😘👍🏻

  • @animeiq9862
    @animeiq9862 4 года назад +1

    dah! for the first time nmeangalia video ya mapishi nimeridhika

  • @salimnassor687
    @salimnassor687 4 года назад +1

    MaashaAllah, Nitajaribu na Mimi InshaAllah, ahsante kwa kwa Maelezo mazuri na yenye kufahamika.

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 4 года назад +1

    Mashallah biriyani tamu

  • @happymsemwa698
    @happymsemwa698 4 года назад +1

    Mmm very delicious food sasa naweza jaribu

  • @shamsaabdallah1077
    @shamsaabdallah1077 4 года назад +1

    Maashallah, easy and nice recipe

  • @khadijaally9745
    @khadijaally9745 4 года назад +1

    Mashallah 😋😋

  • @jokhanassor7932
    @jokhanassor7932 4 года назад +1

    Shukran maa,nimejifunza kitu kipya wallah lazima nitafanya hivyo.

  • @kamilyaibrahim9784
    @kamilyaibrahim9784 4 года назад +1

    Ayy Mashaallah hii kitu nlikuwa naisubiri biriyan yako Allah akubarik eid Mubarak

  • @wahidatofiq8434
    @wahidatofiq8434 4 года назад +1

    Mashalla mashalla mungu akubarik

  • @saadiasalum2471
    @saadiasalum2471 4 года назад

    Mashaallah allah akubarik

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 года назад +1

    Safi sana

  • @mugheramisiriki506
    @mugheramisiriki506 4 года назад

    Mashallah nice

  • @halimarashid9403
    @halimarashid9403 4 года назад +1

    Ma sha Allah habiby i love your recipes😍

  • @fatmakhamis9484
    @fatmakhamis9484 4 года назад +1

    Masha Allah habibty yaonesha ni tamu

  • @shufaashafii967
    @shufaashafii967 4 года назад +1

    Nzuri sana

    • @ceciliafrimant3277
      @ceciliafrimant3277 2 года назад

      Kwa mara y kwanza nimepika biryn Leo Kwa receip yako.imekuwa nzuri sana asante sana

  • @maryamkhamis9493
    @maryamkhamis9493 4 года назад

    Shukran habbty

  • @مريمعلي-ر4ش4ن
    @مريمعلي-ر4ش4ن 4 года назад +2

    Ma sha allah inaita beiryani niulizeni mimi nlikula biriani ya ifa utajiramba allah ibarik mikono yako wifi yangu mpenzii

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 года назад

    Nimependa biriani yako. Nilikuwa sijui sasa nishajuwa shukran

  • @Fauziajumaa84
    @Fauziajumaa84 4 года назад +1

    Mashallah pambeee sana Allah akulipe kheri

  • @halimahalum3008
    @halimahalum3008 4 года назад +1

    Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh shukran ntajalib

  • @mohamedayda7756
    @mohamedayda7756 4 года назад +1

    Mashaa ALLAH ADEAR😍😍😍

  • @mamykhadija3981
    @mamykhadija3981 4 года назад +1

    😚mashaaAllah

  • @iluvfood12
    @iluvfood12 4 года назад +1

    I can't wait to see other types of Tanzanian recipes

  • @zinabal-dubae3551
    @zinabal-dubae3551 4 года назад

    Maji moto au bardi

  • @salmaabdulla5214
    @salmaabdulla5214 3 года назад

    MashaAllah Allah bless you ❤️❤️

  • @laylatali9203
    @laylatali9203 4 года назад +1

    perfect thing

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 года назад +1

    Mashallah teacher wang wa Faida😍😍😍

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar 4 года назад +3

    Mashallah, Eid ushafika..

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  4 года назад

      Naam my dear♥️

    • @hafswamuhammadomar2069
      @hafswamuhammadomar2069 4 года назад +1

      MashaAllah 👌chef mwenzako Aroma of Zanzibar nawakubali nyote ❤

    • @chaseray3592
      @chaseray3592 3 года назад

      i guess im asking randomly but does anybody know of a method to get back into an instagram account??
      I somehow lost my password. I appreciate any tips you can offer me

    • @deanroy1747
      @deanroy1747 3 года назад

      @Chase Ray instablaster :)

    • @chaseray3592
      @chaseray3592 3 года назад

      @Dean Roy I really appreciate your reply. I got to the site thru google and im in the hacking process atm.
      I see it takes quite some time so I will reply here later with my results.

  • @ummuamira3885
    @ummuamira3885 4 года назад +1

    I have just subscribe! Watching from Nairobi 🥰

  • @khadijaally9745
    @khadijaally9745 4 года назад +1

    Khajoo😋😋

  • @amneahmed8624
    @amneahmed8624 4 года назад +1

    Nyc Mashaallah 👌👌😋😋

  • @debbievenance4259
    @debbievenance4259 4 года назад

    Ubarikiwe kwa darasa zuri,Yoghurt tunaeka wakat gani mpenzi?

  • @salmahsalim1027
    @salmahsalim1027 4 года назад +1

    Asalam aleikum warakhmatullahi wabarakatu... Kwenye recipe ya biriani skuona mahali ulitia mafuta ya kupikia kwenye Rojo...

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  4 года назад

      W.mslm waramatullah..yes sikuweka😊lkn ukipenda unaweza kuweka

  • @muzdalifafarouk8569
    @muzdalifafarouk8569 4 года назад +2

    Asalama alekumu shukrani

    • @muzdalifafarouk8569
      @muzdalifafarouk8569 4 года назад +1

      Biriyan nzuri mashallha please nimependa hiyo nyama yakoyamifupa umipikiya nyama yakipande gan

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  4 года назад

      Nimetumia sheep leg habbty

    • @munirasaid1893
      @munirasaid1893 4 года назад

      Mashaa Allah tabaraka rrahman Alaalh akubarikie mikono yako biriyani yako mzuri sana.. Sukran

  • @zahrahajj4155
    @zahrahajj4155 4 года назад +1

    Utamu km wote 😘

  • @khayratsalim8576
    @khayratsalim8576 4 года назад +1

    Asante 😍😍😍😍

  • @iluvfood12
    @iluvfood12 4 года назад +1

    I hope she adds the ingredients and measurements in English in the description box

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  4 года назад

      Hi love..sorry i'v already add the ingredients in the descreption box now 😘..

  • @FatmaMohamed-yv2vl
    @FatmaMohamed-yv2vl 4 года назад +1

    Masha Allah habibty mpk nimehc njaa saa 5 na nusu ucku saivi😂😂😂😂
    In shaa Allah ntajaribu kupika km ivyoo

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 4 года назад +1

    Uko wapi Habibty nikuletee mwanangu umfundishe

  • @sabahalnabhany3662
    @sabahalnabhany3662 4 года назад +1

    Very nice Mashaallah 😍

  • @sadaawadhi98
    @sadaawadhi98 4 года назад

    Habbty utufundishe na hyo sambaro

  • @marcelinaghuliku6408
    @marcelinaghuliku6408 4 года назад +2

    Jitahid kila mara usiache kupost video my dear hiyo ni Kazi kama Kazi nyingine na utapata watu wengi sana

  • @foreveryoung6036
    @foreveryoung6036 4 года назад +1

    😋😋😋

  • @mesalimsalimgondasalimgond8491
    @mesalimsalimgondasalimgond8491 4 года назад

    Asante

  • @zaharamsafiri825
    @zaharamsafiri825 3 года назад

    😋😋😋😋😋

  • @zuwenanassor5542
    @zuwenanassor5542 4 года назад +1

    Umetumia mchele gani dada?

  • @iluvfood12
    @iluvfood12 4 года назад +2

    Hi new sub from America 👋🏾😊 this looks really delicious 😋

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar 4 года назад +3

    Ubapa neno jipya

  • @MariamAli-ec7qt
    @MariamAli-ec7qt 4 года назад +1

    @suhayfasfood mimi sijui nakosea wapi.Au Michele tofauti!lkn natumia basmat.ila haunyooki km hivyo wako jamani

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  4 года назад

      Inategemea na aina ya mchele unaotumia my dear..jaribu kutumia michele iloandikwa sella rice inakuwa mizuri kwenye kunyooka japo mengine ladha yake inakuwa si nzuri..na pia jaribu kuuchemsha mchele sio zaid ya dakika 7 na ukimaliza kuupambia jaribu usiiupakuwe mda huo huo hiyi inasaidia sana mchele kunyooka na usikatike..

  • @zuwenahamad2068
    @zuwenahamad2068 4 года назад +1

    Hii

  • @ashakassim4351
    @ashakassim4351 4 года назад +2

    Unaprefer viazi vkaangwe au viwive kwa mvuke

  • @innosentishirima2456
    @innosentishirima2456 4 года назад +1

    Huzile ndo nn?

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  4 года назад

      Bizari ya pilau..ama tunaita bizari nzima

  • @sophyismail8296
    @sophyismail8296 4 года назад +1

    Why mda mwingine ukitia vitunguu linakuwa chungu

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  4 года назад

      Vitunguu unaviacha vinabadilika rangii sana😊..hyi inapelekea sana kuwa chungu

    • @sophyismail8296
      @sophyismail8296 4 года назад

      Nijibu dada yangu maana nilishawahi pika nikatia vitungu lilikuwa chunguu

    • @sophyismail8296
      @sophyismail8296 4 года назад +1

      Anhaaa so unavipika kwenye dk ngap

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  4 года назад

      Sophy Ismail vipike mpaka viwe rangi ya gold na wahi kuvitoa haraka.,na mwisho ukimaliza kupika rojo jaribu kuweka sukari kijiko kimoja☺️.,i hope hii itasaidi sana

    • @SuhayfasFood
      @SuhayfasFood  4 года назад +1

      Sophy Ismail fata maelekezo na kila kitu nilichosema hapo i hoope utafanya biriani nzuri😀

  • @nassorhamad8556
    @nassorhamad8556 4 года назад +1

    Mashallah

  • @fatmaali5214
    @fatmaali5214 3 года назад

    MashaAllah