HUZUNI: MAFURIKO MAKUBWA RUFIJI, VIJIJI VIMESOMBWA, NYUMBA, MAKABURI, KANISA, MISIKITI VIIMESOMBWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 апр 2024

Комментарии • 103

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 Месяц назад +6

    Poleni Sana wengine acheni uchonganishi wakuilaum serikali huku. Oman piya nyumba zimezama na watu wamekufa jee huku serikali hiyo ni mipango ya mungu tu

    • @user-hp6pq9fb2l
      @user-hp6pq9fb2l Месяц назад

      Mipango ya mungu mvua kipindi hiki Dunia mzima Allah atujaalie mwisho mwema

  • @Shamsia-shangani
    @Shamsia-shangani Месяц назад +1

    Duh! Poleni sana Allah sw awafanyieni wepes kwa mtihan ulowakuta

  • @user-wc7ek6ir9h
    @user-wc7ek6ir9h Месяц назад +5

    Hapo ndipo mungu anaonyesha uwezo wake,mrejeeni mungu.

  • @MasterG-dc1tx
    @MasterG-dc1tx 2 месяца назад +2

    Poleni sana wenzetu,sallah zetu ziko pamoja nanyi amen

  • @MussaAthuman-er9gw
    @MussaAthuman-er9gw Месяц назад +2

    Poleni sana

  • @yasakilube9946
    @yasakilube9946 2 месяца назад +8

    Poleni sana, tutubieni kwa madhambi tunayofanya

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr Месяц назад

      We hujuwi tu rufiji maji sio mwaka huu tu mafuriko miaka yote yamvuwa mtihani

  • @JanethChaula
    @JanethChaula Месяц назад +1

    Dash aisee Mungu fantastic jambo

  • @pastormoseschami7208
    @pastormoseschami7208 2 месяца назад +6

    Aisee ndugu zanguni poleni sana, Mungu awalinde kwa malaika wake

  • @abdallahnongwa8356
    @abdallahnongwa8356 Месяц назад +2

    Daa nyumbani ndo kumeefikia hali hii ram pole sana

    • @user-hp6pq9fb2l
      @user-hp6pq9fb2l Месяц назад

      Acha tu mpk nakosa la kusema mungu ndo jibu

  • @CristabellaHIZZA
    @CristabellaHIZZA 2 месяца назад

    Poleni sana ndugu zetu wa Rufiji kwa majanga ya mafuriko mungu awe pamoja nanyi.

  • @user-cv6lo2dj5f
    @user-cv6lo2dj5f Месяц назад

    Poleni namafuriko huko rufiji

  • @selinalawala2270
    @selinalawala2270 2 месяца назад +1

    Dah poleni wanarufiji, kwa kweli serikali iwasaidie sana.

  • @daudmtoba191
    @daudmtoba191 Месяц назад

    Yesu ana kuja

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 2 месяца назад

    Poleni sana wapendwa mkono wa MUNGU utulizao dhoruba utawaokoa na kuwareejeshea amani,mwaminini YESU tu,atawashindia hii vita.Amen

  • @user-fi8jc6jj6y
    @user-fi8jc6jj6y Месяц назад

    Daa poleni sana ndug zet

  • @msombanehemia7503
    @msombanehemia7503 2 месяца назад +2

    Dahhhh

  • @wastarangayonga8562
    @wastarangayonga8562 Месяц назад

    Mungu awafanyie wepesi amin

  • @hashimuchikayuma
    @hashimuchikayuma Месяц назад

    pole yaooo

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 2 месяца назад

    Mikondo ya maji hii itakuwa!! Poleni sana

  • @Halard-hi1jb
    @Halard-hi1jb Месяц назад

    Kwa kweli Rufiji poleni Mungu awasimamie

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk Месяц назад

    Poleni sana wananchi wenzetu MUNGU awasaidie

  • @DamasyNdamanyoso-bv1fe
    @DamasyNdamanyoso-bv1fe Месяц назад +1

    😢😢

  • @jumamarco-mh1hg
    @jumamarco-mh1hg 2 месяца назад

    duh polen sana

  • @OmyGizo
    @OmyGizo 2 месяца назад

    Mungu awajalie subira kwa mitihan uwo

  • @kanaelikanuya7919
    @kanaelikanuya7919 2 месяца назад

    Poleni sana jamani

  • @user-tp7ql4oj9j
    @user-tp7ql4oj9j Месяц назад

    Mungu awalinde

  • @claratango9262
    @claratango9262 2 месяца назад

    Poleni sana ndg zetu😢😢😢

  • @kassebo
    @kassebo 2 месяца назад

    Count me in

  • @suzanbegas4139
    @suzanbegas4139 2 месяца назад

    Polen Sn Ndugu Zetu

  • @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
    @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 2 месяца назад +1

    Polen san n dugu zetu eid imekuja vibay upande wenu

  • @Zaharazephaniah
    @Zaharazephaniah Месяц назад

    Polen sana Mungu awe nanyi 😢😢😢

  • @user-xd9kw6nt8w
    @user-xd9kw6nt8w 2 месяца назад

    Eee Mungu tunusuru

  • @user-lb1nr2fw7t
    @user-lb1nr2fw7t Месяц назад

    Poleni Sana rufiji

  • @Zaharazephaniah
    @Zaharazephaniah Месяц назад

    Polen sana 😢Mungu awe nanyi

  • @Namanda425
    @Namanda425 Месяц назад

    Waombeni viongozi husika wayatengezee njia maji hayo.

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 месяца назад +1

    Jimi nin miaka 53 nikiwa na iaka 8.kukikuwa na kitabu kikeandikwa.mafurikonya mto rufiji

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 Месяц назад

    Life jackets 🛟 please msije mkaanguka humo kwanini lakini

  • @MwigulushinalaEmanueli
    @MwigulushinalaEmanueli Месяц назад

    Polen saana

  • @MariaGeremana-ml4zj
    @MariaGeremana-ml4zj 2 месяца назад

    Polen ndg ze2.

  • @euniceruhasha6528
    @euniceruhasha6528 2 месяца назад

    Mlishaambiwa kuhama hapo siku nyingi sana mkashupaza shingo.

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 2 месяца назад +1

    Haya maeneo sio mazuri nilishawai mwaka fulani kupita hapo na hali ilikuwa km hvy ,, sija shangaa kuona hali hii kwa mda huu tena , Mungu azid kuwa nanyi na kuzifumbua akili zenu

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr Месяц назад

      Upo sahi sana man sina ugeni napo hapo rufiji wasio juwa wanaona Rana mazambi sijuwi nani Kawa ambia

  • @AdamSoldier1999
    @AdamSoldier1999 Месяц назад +1

    😮‍💨🤧

  • @majaliwawilson9372
    @majaliwawilson9372 2 месяца назад +1

    Kitu ambacho malazote binaadam huwa nilaic sana kushangaa kitu ambacho sisiwenyewe tunakijuwa maji nikama tembo akipita Mahal miaka Mia kunasiku atapita Tena Ivo ukwel hayo maeneo niyamaji ilakwakuwa binaadam niwajeuli saiz wansema viwaja hapana maji hayajawai pita maeneo yasio yao.tujenge Ila siku yakitaka kipita njiazao pia tusitafute wakumlaum

  • @user-yo3td8vp8k
    @user-yo3td8vp8k Месяц назад

    Polen xana ndg zangu

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 Месяц назад

    😢😢😢😢😢😢

  • @rinoboy200
    @rinoboy200 Месяц назад

    😢😢😢

  • @user-tm6gv9kp7v
    @user-tm6gv9kp7v 2 месяца назад +16

    Kuna vitu vyengine ukiviangalia kiuhalisia asa unakuwa impossible kutokea ila hizi ni dhambi zetu zinatutafuna turudini kwa MUNGU😢😢😢😢😢😢😢

    • @btsanime6138
      @btsanime6138 2 месяца назад

      Uko sahihi ndugu dhambi ninyingi sana dawa ni kutubu na kumrudia MUNGU WA UKWELI ili nchi isamehewe na Mungu. Kumbukeni Ninawi yaliyowakuta mpaka mfalme akatoa amri watu wote wafunge ili wapate kusamehewa inchi isiteketee tujifunze kwa Ninawi.

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 2 месяца назад +1

      Hayo ni Maji yamefunguliwa makusudi huko seloo mloka katika bwawa la umeme wala sio bahati mbaya hiyo

    • @dadamuebrania1539
      @dadamuebrania1539 2 месяца назад

      Tanzania tunamwaga damu zisizo na hatia sana

    • @dadamuebrania1539
      @dadamuebrania1539 2 месяца назад

      ​@@aishajuma18Uko arusha Nako Kuna Bwawa la umeme?

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 2 месяца назад

      @@dadamuebrania1539 Nimezungumzia ya hapo Mim sasa Arusha imeingiaje hapa

  • @Josephatmathias-kl2pd
    @Josephatmathias-kl2pd Месяц назад

    Jamani pore sana

  • @HaniferMwiru-wn9wq
    @HaniferMwiru-wn9wq Месяц назад

    😢😢😢😢

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 2 месяца назад

    Pole wana Rufiji kwakweli huu ni msiba mzito. Kwani hilo bwawa limekatika au imekuwaje?

  • @edefridalivigha6049
    @edefridalivigha6049 2 месяца назад

    Ee Mungu utuhurumie sisi na dunia nzima

  • @neemamgona1072
    @neemamgona1072 2 месяца назад

    Jamani mu gu awasaidie

  • @LeahpatrickMwalugelo
    @LeahpatrickMwalugelo 2 месяца назад

    Duuh polen jamani

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Месяц назад

    Hata mto umbu,n balaa,kambare ndan nyumba,mafuriko,barabara imajaa maji,tunaomba caterpillar, kuchimba mitaro,

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 месяца назад

    Ni kweli mwaka huu mvua zimekuwa nyingi, watuambie kama hali hii huwa inajitokeza mara kwa mara mvua zinapokuwa nyingi. Kama sivyo basi ufanyike utafiti nini kinasababisha, kitajulikana tu

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 2 месяца назад

      Mafuriko yalikuwa yakitokea Sana tu. Mafuriko makubwa zaidi yaliyokea 1974 ambapo hadi Helkopta za Jeshi zilitumika. Kwahiyo ndio asili yake.

  • @user-hf7dz1zh5v
    @user-hf7dz1zh5v Месяц назад

    vijiji vimesombwa

  • @RozinaGabriel
    @RozinaGabriel 2 месяца назад

    Pollen jamn

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 2 месяца назад +1

    Kuishi kwenye mikondo ya maji ni hatari

    • @user-hp6pq9fb2l
      @user-hp6pq9fb2l Месяц назад

      Rufiji kwa jumla iko hivyo tambarare ina vyanzo vikubwa vya maji mito mikubwa milima ni michache wanahishi umo na kufanya shughuli za kilimo humo hata uvuvi ndo maisha yao sasa hili Allah ni mjuzi zaidi tuombe atupe mwisho mwema

  • @BlandinaMassawe
    @BlandinaMassawe 2 месяца назад

    Mbona kama baharini maji hayatembei kiama

  • @amonezekiel4893
    @amonezekiel4893 2 месяца назад

    hamieni kigoma huku ni mirima TU, hakuna jam

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i 2 месяца назад

    Bahari imetema hiii. Kwa hiyo maji yamerudi

  • @fridamossony2821
    @fridamossony2821 2 месяца назад

    Huku Arusha kisongo magari watu wanasombwa

  • @user-bw9ib5ir1c
    @user-bw9ib5ir1c 2 месяца назад

    POLENI NDUGU ZETU HUKO MUHORO

  • @mohammededy7086
    @mohammededy7086 2 месяца назад

    Asar za mkupatwa kw jua

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 Месяц назад

    Yaar rabby wanusuru viumbe wako tunakuomba yarrabi

  • @Chekakidogo2
    @Chekakidogo2 2 месяца назад

    Unabii unatimia

    • @chingaboy1149
      @chingaboy1149 2 месяца назад

      Wewe unaunabii gani shetani mmoja wewe unaemuasi mungu kwatamaa zako zakidunia😂😂😂😂

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 2 месяца назад

      Hakuna cha unabii hapo wala nin Maji yamefunguliwa makusudi hayo katika bwawa la umeme la mwalimu Nyerere na kila wanapoyafungulia huwa wanatangaza tatizo wametumia utaratibu mbovu kuyafungulia mbaka yameletamadhara makubwa ivo

  • @jumalimbende4021
    @jumalimbende4021 2 месяца назад

    kigogo alitoa tahadhari siku sio nyingi

  • @moviccreativestudio
    @moviccreativestudio 2 месяца назад

    Aaaaaaah

  • @alisalambert6819
    @alisalambert6819 2 месяца назад

    So sad. Ukiona umeamka salama bila shida yoyote. Sema Asante Mungu

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 2 месяца назад

    Kuna nabii alisema hii kua dar itakumbwa na mafuriko

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 2 месяца назад +1

      Ndo haya sasa yanatokea wanamuhasi mungu usiku na mchana mambo wanaofanya hadharani wanajua mungu hawoni

  • @SolomonJohn-yw6pg
    @SolomonJohn-yw6pg Месяц назад

    Kima

  • @PaulMtemi
    @PaulMtemi Месяц назад

    Poleni sana

  • @abdallahnongwa8356
    @abdallahnongwa8356 Месяц назад +1

    Chamwenge imekua bahari😢

  • @seifsaid9905
    @seifsaid9905 2 месяца назад

    Hilooo ni jesh la Allah

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 2 месяца назад

      😂😂😂...ati jeahi la allah.... hovyooooo...kwa hivyo wale mende makha kwenye al-kahba nao walikuwa ni jeshi la allah au???
      Au wewe hukuona yale mafuriko Makka nayo ilikuwa jeshi la allah 😂😂

  • @MasterG-dc1tx
    @MasterG-dc1tx 2 месяца назад

    Poleni sana wenzetu,sallah zetu ziko pamoja nanyi amen

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i 2 месяца назад

    Poleni sana.

  • @vincentmbaire2666
    @vincentmbaire2666 2 месяца назад

    Poleni sana

  • @BraitoniMtivike
    @BraitoniMtivike Месяц назад

    Poleni sana

  • @remypastory9047
    @remypastory9047 Месяц назад

    Poleni sana