SUGU ALIVYOKAMATWA NA POLISI "TWENDE BABU, NITAKUVUNJIA HESHIMA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 1,8 тыс.

  • @chale0ify
    @chale0ify 4 года назад +17

    Polisi wajichunguze vizuri. Sijaona uvunjifu wa amani kwenye hayo maandamano

    • @elizabethebambo6286
      @elizabethebambo6286 4 года назад +1

      Tatizo hana kibali cha kukusanya watu pia hairuhusiwe kuchukua sheria yako mkononi polis yupo sahihi

    • @hamedabashir9
      @hamedabashir9 4 года назад

      Nakushagaa sana wee

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 4 месяца назад

      Ndugu police kweli hujawahi kosea hata ukinyonga alienyongwa ndie kakosea wewe upo sahihi kufanya chochote unachoamliwa ndicho sahihi ​@@elizabethebambo6286

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 4 года назад +2

    Jameni,haya ni maajabu yanayofanyika kwa majirani zetu TZ.Kweli hilo ni jeshi la polisi,sio la kutumikia wananchi ila dola linalotawala.Poleni sana chadema,nimewahurumia sana.

  • @crollinpatrick4964
    @crollinpatrick4964 4 года назад +7

    Kwa mtazamo wangu naamini siku zote katika hali kama hii polisi wetu ndio wanaokuwa chanzo cha uvunjifu wa amani. Na mfano wa hilo ni hivi majuzi wakati Lissu anarudi nchini, kwanza kulikuwepo na kauli 2, moja ni ya chama kuhamasisha watu kujitokeza kwenda kumpokea, na nyingine ni ya polisi kupiga marufuku mkusanyiko wa kwenda kumpokea Lissu. Lakini wale ambao waliona si kosa kisheria kwenda kumpokea, walikwenda. Walipo muona Lissu watu wakaanza kuimba lakini viongozi wakawakataza watu wasiimbe na kweli walinyamaza na msafara ule ukaanza na kuisha salama bila hata ya mtu kukanyagwa. Na kuna mahali lilisimama gari lililojaa askari polisi wakilinda usalama na bila bughudha zoezi lile lilikwisha salama kabisa na maisha yanaendelea. Wakati wa maandalizi adi siku ya uchaguzi wagombea wanasindikizwa kuchukua na kurudisha fomu haija wahi kuwa kosa. Polisi ilitakiwa iimarishe tu usalama kuhakikisha zoezi lile linamalizika bila mikwaruzo. Lakini ni bahati mbaya sana tumefikia hapa kama nchi. Hii ni hatari sana kwa usalama na amani ya nchi.

  • @emmalysious198
    @emmalysious198 4 года назад +1

    Iv ujingagani huu Mweshimiwa anaye wakilishawananchi anakamatwaiv kwadharau kwavile niwaupinzani Narudisha kadi yachama narudisha nanguo hisio sawa kwamarayakwanza nitamuungq mkono Tundulisu nanimeqmini nichaguo la Mwenyez Mungu daah Magufuli mfute kazi huyu afande mwenyeutomvu wanidhamu

  • @sammtundi6983
    @sammtundi6983 4 года назад +5

    H.G.SIBULA tumia heshima kwenye kazi yako na siyo nguvu

  • @mohammedmhina3973
    @mohammedmhina3973 9 месяцев назад +1

    Asante Mungu kwa Mama Samia kwel mwanademokrasia mitano tena🙌🏽 Allah akupe firdaus

    • @gregoryndanu3541
      @gregoryndanu3541 9 месяцев назад

      Demokrasia haileti maendeleo

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 4 месяца назад

      Si kila mtu ataingia firidaus,kule wanaingia wanao jitambua,wenye hofu ya Mungu.

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 года назад +92

    Police sio mahakama
    Tii sheria bila shuruti
    Vingenenyo utaumia bureee

    • @Nyanda506
      @Nyanda506 4 года назад +2

      True

    • @sanimoclassic1917
      @sanimoclassic1917 4 года назад +2

      Ukanye naww ukalale

    • @Jumamaduka240
      @Jumamaduka240 4 года назад +2

      Wameambiwa na Mbelgiji wakaitikia kama mlio gogo. Akili za kuambiwa wakazichukua kama zilivyo shenzi

    • @paulsimon8585
      @paulsimon8585 4 года назад +2

      Hahahahahaaaa nitakuvunjia heshima yako

    • @Jumamaduka240
      @Jumamaduka240 4 года назад +4

      @@paulsimon8585 Kanuni ya Polisi hawaachi mtu wakitaka kumkamata hata kama atajihami kwa Siraha. Sasa Sugu anauliza aspokuwa mstarabu anadhani wanatamuacha? Unavunjiwa heshima kweli. Toto Tundu hapa ndo mwisho. Polisi alisikika ninaona Sugu kawa lainiiiiii

  • @kefaobwangaofficial2522
    @kefaobwangaofficial2522 4 года назад +2

    Huu ni uonevu Tena wa Hali ya juu Ila mjue hamjashikiliwa na Mungu ipo siku mtalia na kusaga meno,mnahisi mmemaliza Ila ipo siku, Mungu hajalala

  • @jokeableking7039
    @jokeableking7039 4 года назад +20

    Leo nataka nione wazalendo wa nchi yetu ya Tanzania......nani ameona kuwa sugu hajaonewa ni halali kwa mjibu wa sheria ya Tanzania ya kutoanza kupga kampeni kabla ya siku???????
    Wazalendo tu ndo nataka wanijibu!!!!
    👇👇👇👇👇

    • @myovelajoseph4730
      @myovelajoseph4730 4 года назад +1

      Ni kweli kabisa Sugu anavunja sheria afu wanasingizia democrasia haipo wapigwe tu ili wajiheshimu hakuna namna nyingine ya kuwarekebisha

    • @myovelajoseph4730
      @myovelajoseph4730 4 года назад +1

      Tena ningekuwa mm ndo huyo Afande sugu angekula na makofi juu hatuwezi kuwapa nchi watu wanaotegemea huruma na kuleta viburi Magufuli baba Lao kanyaga twende

    • @hamiskanama1945
      @hamiskanama1945 4 года назад

      Sugu kakosea maana kikundi kinaanza na kumi, alafu mi nahisi Kuna jambo wamelipanga

    • @jokeableking7039
      @jokeableking7039 4 года назад

      @@myovelajoseph4730 au wanamuona mbeligiji anajigamba nao wanatia ukali na kuvimba vichwa eee kwa jpm ni mwiko penda sana

    • @jokeableking7039
      @jokeableking7039 4 года назад

      @@myovelajoseph4730 nimekubali hoja nyie ndo wazalendo na wapenda aman maana hatutaki wabeligiji wenye vurugu kama marekan hapa!!!

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 3 месяца назад

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @irenekitomary7271
    @irenekitomary7271 4 года назад +12

    Mwenye kusema atakufa hapa atakufa???? Really in TANZANIA 🇹🇿 the day itakuja

  • @shawnmichaels1893
    @shawnmichaels1893 4 года назад +2

    Askari kajazwa upepo kidogo sana

  • @homesmartrecords3512
    @homesmartrecords3512 4 года назад +21

    Tujitaidi kusoma sana uwenda elimu ikaja kutusaidia

  • @rukiaasnawi3483
    @rukiaasnawi3483 4 года назад +20

    Eee mwenyez mungu tunaomba usichoke kulinda Aman yet Tanzania 🙏🙏🙏

    • @mwambietv7614
      @mwambietv7614 4 года назад

      Akichoka kazi ipo maana cyo kwa uonezi huo

  • @nipolive..2745
    @nipolive..2745 4 года назад +56

    Du kweli hakuna kubisha iyo wwe ludi yumbani acheni kubishana familia zina wategemea achen ujnga

    • @mohamedkashindi7689
      @mohamedkashindi7689 4 года назад +1

      Amakweli uhuru bado nchi maka ukoloni vile

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 4 года назад +4

      @@mohamedkashindi7689 uhuru wa kufanya upumbavu wwe ndio unae tawaliwa na wakoloni jinga wwe yani unaandamana bila kibali alafu vitu vyakipumbavu uachwe tuu we nani hata uko ulaya hawafanyi hivyo we boga

    • @naftalharoon6316
      @naftalharoon6316 4 года назад +1

      Kafanya nn bwege ww mbona unaongea utumbo mbuzi ww

    • @nipolive..2745
      @nipolive..2745 4 года назад

      @@naftalharoon6316 mbuzi ni wewe na kumaramama yako. Na guvi ra baba yako kenge we

    • @healer4282
      @healer4282 4 года назад +1

      Chadema hawana akili, akili zao kama zangi ya nguo za chama chao?

  • @silabongamasenga3314
    @silabongamasenga3314 4 года назад +1

    Sawa sawa hiyo ni office ya serikali hawawezi kwenda kama wanaenda club hapo ni busara imekosekana na huyu sugu ilitakiwa asikilize wito sio kubishana and of the day anasema anaonewa sugu hana ustarabu

    • @adijaniyonkuru9731
      @adijaniyonkuru9731 4 года назад

      Kweli kabisa

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 4 месяца назад

      Wito kwani kabla ya apo alikosea NN we shoga adi aka kamatwaaa

  • @bonabonala42
    @bonabonala42 4 года назад +3

    Mwana hip-hop. Sugu. Bigup

  • @estermpagama9664
    @estermpagama9664 4 года назад +1

    Polisi mpo vizuri wanawajaribu wajue nguvu zenu mkuu wa jeshi la polisi mpe cheo huyo afisa kafanya kazi nzuri na kuleta heshima kwa jeshi tumechoka fujo za chadema

    • @myovelajoseph4730
      @myovelajoseph4730 4 года назад

      Hiyo kijeshi tunaita nguvu ya kadri, ni pale muhalifu anapogoma kwenda ndo inatumika hiyo Sugu aache upuuzi polisi sio mahakama kwamba utabishana ni amri..

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 4 месяца назад

      Nyie mashoga ndio manaaa nlmnasapotii ujingaaa

  • @Kitenge12061981
    @Kitenge12061981 4 года назад +21

    Naona Sugu kapigwa mkubeto anatembelea kucha.

    • @Butondo
      @Butondo 4 года назад

      Ndugu usichekeshe.

    • @sadalasaid256
      @sadalasaid256 4 года назад +1

      Ety siendi🤣🤣🤣🤣

    • @josephbwile8869
      @josephbwile8869 4 года назад +1

      Sio haki uonevu zaili

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 4 года назад +2

      Sio la kufurahia hili Bali kukewa, mbona Wana ccm wanafanya kila kitu kwa Uhuru na ulinz juu?

    • @stevensekagha5829
      @stevensekagha5829 4 года назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @Kipara_brand
    @Kipara_brand Год назад

    🤲🤲ewe yaraab tujalie mwisho mwema

  • @ramlamburi9743
    @ramlamburi9743 4 года назад +19

    Leo nimemuamini tundu lisu, Tanzania hakuna Uhuru.

    • @seifseif4930
      @seifseif4930 4 года назад +7

      Ungeandika iyo sms kungiwa akuna uhuru.fala wewe nyinyi ndo mnataka kuvunja amani kwenye ili taifa na amta weza vibalaka wakubwa wewe na tundu la choo wako

    • @ramlamburi9743
      @ramlamburi9743 4 года назад +2

      @@seifseif4930 angalia wanachama wa ccm walivyoenda kuchukua form, walisindikizwa Hadi ndani. Lakini Chadema wanaambiwa wanavunja amani? Wakaishi wapi? Au wao hawana haki? Mm Sina chama na raisi wetu nampenda Sana, ila kwahili nimevunjika moyo Sana.

    • @ramlamburi9743
      @ramlamburi9743 4 года назад +1

      Mtu mzima, tena mbunge anadhalilishwa kiasi hicho, 😭😭😭 nimeumia Sana.

    • @wilfredmlaki822
      @wilfredmlaki822 4 года назад +3

      Umeshaambiwa tihi amri bila shuruti

    • @estermpagama9664
      @estermpagama9664 4 года назад +4

      Uhuru wa kuvunja sheria na kusababisha vibaka kuiba biashara za watu lisu ni mwehu

  • @President-seed
    @President-seed 4 года назад +2

    Hiyo sio haki kabisa

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 4 года назад +20

    Weee twende bwana kukaa tunasukumana watu wazima mambo hayafai😁😁😁😁😁

  • @taimuliabdallah1984
    @taimuliabdallah1984 4 года назад +1

    Safi sana kamanda maana umetoa tahadhali kwa upole lakini wakajifanya manunda Safi sana hakuna kuogopa mtu wakati wa kaizi ni kazi Safi sana kamanda

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 4 месяца назад

      We shoga ww sio bulee mkundu umelegea uwooo

  • @selemanivanmkungu4637
    @selemanivanmkungu4637 4 года назад +13

    KAAMBIWA KISTARABU HATAKI WHAT NEXT? ILITAKIWA AANZE NA KOFI KWANZA THEN MKWIDO WA MIL 50. BIG UP WW AFANDE KUNYWA SODA HAPO HAPO ULIPO........

    • @irenekitomary7271
      @irenekitomary7271 4 года назад +1

      Mbwa tu wewe

    • @godwilljohanes7864
      @godwilljohanes7864 4 года назад

      Ccm wao ndio wagombea?

    • @frankjoely3313
      @frankjoely3313 4 года назад

      Kuma wewe unashabikia ujinga huna elimu wewe.ndio madhara ya kukimbia shule

    • @idelphoncefrolian9067
      @idelphoncefrolian9067 4 года назад +1

      Huna akili brother mapenzi ya vyama hayawi hivyoo kwa maandamano gani kumsindikiza mgombea kuchukua fomuuu ni aibu kwa police na nchi yetuu Aibuu tunatia doa

    • @teller_julio
      @teller_julio 4 года назад

      Ilo jina lako la mwisho naona lime kosewa sio mkungu bali ni mku...........

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 4 года назад +2

    Haya ndiyo maisha ya sisi wapinzani mungu atusaidie

  • @MohamedHassan-hr6cb
    @MohamedHassan-hr6cb 4 года назад +6

    Wallah kuna mambo nchi hii tusipotumia hekima tutatia supu nazi! Wahenga wanasemaga kunya anye kuku akinya bata kaharisha🤐😷🏃🤷

  • @bahatikengese3603
    @bahatikengese3603 4 года назад

    tukiacha ushabiki suguu huwa ni mbishi tofaut na prof jay sugu mtata sana

  • @sagutihussein3697
    @sagutihussein3697 4 года назад +21

    Police mtaendelea kutumiwa na ccm had lin?????

    • @adijaniyonkuru9731
      @adijaniyonkuru9731 4 года назад +2

      Wafate sheria japo mie sio mtanzanie

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 4 года назад +1

      Kutumiwa na serikali siyo chama. Inabidi watanzania tuanze kuelewa na kuchambua serikali na vyama.

    • @sagutihussein3697
      @sagutihussein3697 4 года назад

      @@kambamazig02024 h
      Labda ww ndohuelewi
      Rais ndio aliesema atahakikisha paka 2020
      Upnzani umekufa
      Rais ni serkali ama ni chama

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 4 года назад

      Tundu lissu alisema Tz hatuna uhuru.

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 4 года назад

      @@kambamazig02024 magu kaaribu Hii inchi

  • @azadisalum4189
    @azadisalum4189 4 года назад +3

    Bora mfute vyama pinzani mwavionee sana daah kama hawana familia mungu saidia nchi yangu tanzania uchaguzi upite salama

    • @goldenshadrackmsungu3664
      @goldenshadrackmsungu3664 4 года назад +1

      Umeongea vizuri sana. Sioni sababu ya kua na vyama vingi huku hatuvitaki...tunapoteza hella nyingi kufanya uchaguzi. In heri iyo hela itumie sehemu nyingine

    • @azadisalum4189
      @azadisalum4189 4 года назад

      @@goldenshadrackmsungu3664 vifutwe cyokuzaririshana hv mbona akuna mtu was ccm anafanyiwa hv kilacku wapinzani najickia vbaya ikiwa nchi niyetu sote

  • @mwangonjimwangonji9238
    @mwangonjimwangonji9238 4 года назад +7

    Punguza asila adikuongea unashindwa polisi wa ccm duh mnyumba

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 4 года назад

      Kabisa kaonesha wazi kuwa Sio mlinzi wa Raia na Mali zao Bali Ccm na Amri toka juu.

  • @paulkisatulusana1142
    @paulkisatulusana1142 4 года назад +1

    Kwani kwenda kuchukuwa form mpaka mwende wengi hivyo na kelele zotee kama siyo ushamba mtupu
    Hawa Chadema wanafikili fujo ndo njia ya ushindi

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 4 года назад +81

    Niko mikononi mwa polisi maisha yangu bado ni mikosi "afandeee"

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 4 года назад

      Huu ndo muda muafaka wa kutoa video ya huo wimbo wake

    • @ramadhanimbulu6716
      @ramadhanimbulu6716 4 года назад

      Polisi wananigasi utasema wana kisasi na Mimi, wanatamani watumalize kwa risasi... Sugu mikononi mwa polisi...

    • @boniphacetabu2903
      @boniphacetabu2903 4 года назад +1

      Ila hii hali inaumiza sana hii Nchi ni huru si wawaache tu jamani

    • @bugabyarugaba5242
      @bugabyarugaba5242 4 года назад

      @@boniphacetabu2903 mahaba yako sio ukweri wa jambo

    • @MS.independent8934
      @MS.independent8934 4 года назад

      oyooooooo umeona eeee daaaaa🔥

  • @wistonimnanguje3
    @wistonimnanguje3 4 года назад

    Misingi ya Mwalimu Nyerere sana nimeona haipo kabisa watu wanatetea matumbo na vitambi vyao

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 года назад +14

    Mwenyezi Mungu tunakuomba utupe imani na amani.
    Ameen.

    • @paulokivuyo9990
      @paulokivuyo9990 4 года назад

      Naomba Amani ya nchi tu Jamani

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 4 года назад

      @@paulokivuyo9990
      Ameen.
      Tanzania haikulekea iwe Nchi ya machafuko. Sio utamaduni wetu.
      Kitu gani tena tunatishana.
      Kama riziki mtoaji ni Mungu.
      Hamna haja ya kugombania.

  • @bisekolugola2082
    @bisekolugola2082 4 года назад

    Nyie Askari Polisi,hvi mmesahau kwamba mwajiri wenu ni mwananchi na Wala siyo chama Cha siasa?Hamuwezi kuishi maisha hayo mliyo nayo sasa hadi kiama.Kumbukeni pia kuwa mmetoka kwenye familia duni,na Zingine zinaishi kwa mio mmoja tu Kila siku.Tafakarini sana maneno haya.

  • @aiyaavibes7610
    @aiyaavibes7610 4 года назад +9

    Alie sikia ( atakaebisha hatua za kishish 0.38 s)..... agonge like hapo chini

    • @shabidenis5424
      @shabidenis5424 4 года назад

      😂😂

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 4 года назад

      Shishi baby....😀😀

    • @gitanokambarage8789
      @gitanokambarage8789 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣fualaaaa wewe

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 4 года назад

      Kapagawa uyu polisi coz Amekaa kishari to na kufata maagizo ya Ccm anashindwa kujua Kama police ni Mali ya Umma.

  • @samymdundu
    @samymdundu 4 года назад +1

    Ujue jaman mambo mengine ni kama kiki tuuu .. Sasa jamaa analeta ubiiiiishi alafu kafika kwenye gari tuu kawa mlainii kaingia alafu anadunda iviii kama kwel alikuwa analeta utata ataki kuingia ndan ya ndinga ivi si Angeluka na kuendelea kuleta ubishi plus kukimbiaa .. Mbona kama hatuelewi ... So izi ni kikii ama ninii .... Kama kwel umeona kama mim embu like hapa

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 4 года назад +3

    Wafuasi wa chadema hivi wanashida gani jamani?? Viongozi wa viongozi wa chadema hivi wana shida gani?kwani kuwa kiongozi wa upinzani ndiyo umekuwa mtu wa vurugu???mambo mambo mengine nimadogo tu ayahitaji hata kusukumana???

    • @wemamtafya1831
      @wemamtafya1831 4 года назад

      Mbona tulia alienda na magari, wa bodaboda, wanawake na watu kibao hakusema maandamani?

    • @gloriashirima7254
      @gloriashirima7254 4 года назад

      God knows

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 года назад

    Hii nchi bhana kweli Uhuru hatuna duh!!!!

  • @SalimAthuman-xh7ci
    @SalimAthuman-xh7ci 4 месяца назад +9

    Polisi fanyeni kazi yenu nawapenda polisi wangu wakaandamane kwamama zao polisi wangu nawapenda sana sana fanyeni kazi piga awo safi sana polosi wangu mnaleta mchezo kazi nyema saluti saluti polisi wangu nawapenda sana

    • @SuzanGabriel-tp2cx
      @SuzanGabriel-tp2cx 4 месяца назад

      Unawapenda kwa kuwa uwajuwi vizuri

    • @beratsanoo5778
      @beratsanoo5778 4 месяца назад

      Watakuja wakufire kuma wewe

    • @breymbasa3451
      @breymbasa3451 4 месяца назад +1

      Unajipendekeza unajikuta umejaa kwenye mfumo wa vikaka utaomba maji mpk ukate roho unafinyangwa tu😂

    • @godwinkileo7702
      @godwinkileo7702 4 месяца назад

      Wewe hujielewi kabisa, ipo siku utakumbuka maneno yako unayo yatoa kwa raia, eti wapigwe tu, polisi huwajui vizuri wewe.

    • @janejoel2465
      @janejoel2465 4 месяца назад

      ​@@SuzanGabriel-tp2cx hayajamfika, dunia ipo atajua

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 4 года назад +1

    Ama kweli maneno yanaumba bado nakumbuka songi la Lisu enzi hizo "NIKO MIKONONI MWA POLISI MAISHA YANGU BADO NI MIKOSI AFANDEEE"
    Mpaka leo haishi polisi hahahahaha na bado

  • @hasanikajembe8848
    @hasanikajembe8848 4 года назад +30

    Hakimu wa haki ni Allah pekee,naamini atawahukumu hapahap duniani kwa vitendo wanavyowafanyia watu wasiokuwa na hatia.mnatia aibu demokrasia yetu

    • @yasinirashidi6656
      @yasinirashidi6656 4 года назад

      Sure
      Wanaboa Yani

    • @danielalphonce1653
      @danielalphonce1653 4 года назад +2

      Hivi kila chama kikifanya hivi sasa hapa kutakuwa na nchi kweli

    • @evamlay8997
      @evamlay8997 4 года назад

      Wasenge sana

    • @mtatiromgeka7270
      @mtatiromgeka7270 4 года назад +1

      Sijaelewa jamn alie kosea hap ni nani yaani mnaraumu police bure..

    • @laurentkayoya1754
      @laurentkayoya1754 4 года назад +1

      Kaka jua kila mtua ana haki kisa wewe umesimama usimweshimu aliyechuchumaa

  • @shedrackmwaipopo7253
    @shedrackmwaipopo7253 4 года назад +1

    Da hawa askali kazi sana

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro 4 года назад +9

    Eti "nasema siendi fanya unachofanya",,,hata Mimi sikuachi huyo kamanda ni askari hasa!
    💪

  • @masundelwa
    @masundelwa 4 года назад +1

    Wataalam wa movies tunasemaga hapo pamenogaaaa..... Ni mwendo wa kutafuna clips huku nikicheki siasa ya Tanzania msimu huu wa uchaguzi🤗😋

  • @mwambarock3696
    @mwambarock3696 4 года назад +6

    Umeluhusu maanda Mano. 🙆🙆🙆🙆 Serikali ya magufuli. ....... ,🤔🤔🤔Wapinzanj wenye wachache masikini ya mngu. .... Eti hatuluhusu kumusindikiza mtu na magari .haaaa. Siyakwao . ... CCM chama Cha wahuni kweli ✌️🤘 🤘✌️ #ACT#chadema ....pole sugu utaludi tunakupenda Sana 🤙🤙 🤙 🌈🌈🌈✌️✌️✌️✌️

  • @dianadouglas9054
    @dianadouglas9054 4 года назад +2

    Askari wa bongo wastaarabu sanaaaaa.. Ingekua kenya angechezea rungu za usoni.

  • @erastoshedrack7118
    @erastoshedrack7118 4 года назад +6

    “Tanzania yetu inaamani, ila kuna watu wachache wanatuvurugia amani” Mheshimiwa mmoja alisikika akisema hivyo. Amani iko wapi hapo, kisa cha kumkamata ni nini? 🙀🙀🙀🙀

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 4 года назад +1

    Safi Sana. Ifike mahala watu waheshimu sheria bila shurti.

    • @mtakamatv
      @mtakamatv 4 месяца назад

      Acha ujinga wewe

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 4 месяца назад

      sasa polici mbona awaja eshim mkutano wa chadema shoga wewe

  • @manofpeople4648
    @manofpeople4648 4 года назад +11

    Mkijifanya vichwa mtashushwa miguu🤣🤣

  • @sospetermungai7733
    @sospetermungai7733 4 месяца назад

    Sugu hajaonewa alitakiwa kutii amri bila shuruti kimusingi huyu polisi kwanza kamuomba sugu hayumo wewe unae ropoka unategemea askari huyu angefanyaje 3:13

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 4 года назад +4

    Safi afande maana hao wamesha sema watafanya fujo hao wote ni vicha

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 4 года назад

      @Thomas Patrick fala mamko msenge wewe

    • @dvjezekia
      @dvjezekia 4 года назад

      Una uchizi wewe ww ndo maana unachochea ugomvi

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 4 месяца назад

      We Kuma

  • @jacksonmawole4029
    @jacksonmawole4029 4 года назад +1

    Mbona kama kila mtu mjuaji tanzania mtuumiwa anaelewa kuliko police na police anaelewa kuliko mtuumiwa. Mimi kwa upande No comment kwa hili

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 4 года назад +12

    Mkifanya nyinyi siasa powa wakifanya wao roho znawauma.
    😂😂😂😂😂

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 4 года назад +1

      Nani kafanya siasa zaidi ya lissu anayetembea nchi nzima saivi kufanya kampeni kabla ya muda?? Acheni hizo bhana. Upinzani wa Tz mna hira sana. Mkiachwa mnasema mnaogopwa mkishikwa mmeonewa. Hii ni nchi inataratibu zake na lazima ziheshimiwe. Mbona CCM wametulia hatuoni kampeni zao kama nyinyi. Huko ni kuichokoza serikali arafu mseme hakuna demokrasia.

    • @petromagehema6621
      @petromagehema6621 4 года назад +3

      Nawe acha zako anachofanya lissu sio kampeni nimkutano kwaajili ya uzamini wa fomu ya uraisi kwa hata mh magufuli siana fanya hivyo ongeeni ukiwa na uhakika sio kusema kampen si angekamatwa Kama ndo hivyo

    • @mtatiromgeka7270
      @mtatiromgeka7270 4 года назад

      Huyu anaye sema sio kampeni nae akili hana mbn lowasa, mbowe, silaha, au membe hatuoni haya hata jpm ulimuona akikusanya watu kwa ajili ya wazamini.. kumbe ndio maana waliweka somo la histolia kumbe ni kam ushaidi wa yalio pita

    • @petromagehema6621
      @petromagehema6621 4 года назад +1

      Mjinga ww fwatilia ndo ulopoke unazijua kampen ww na unajua maana ya mkutano wa fomu ya udhamin na usianze taja vyama vingine ndio maana hata kwa mpila upinzani ni yanaga na Simba wanavyo fanya yanga na Simba huwezi linganisha au vifanywe na vilabu vingine be careful 🏃🏃🏃

    • @mtatiromgeka7270
      @mtatiromgeka7270 4 года назад

      Kweli ni wale wale matusi ya nn ili mtu umujue ni chama gan matusi tu mm sijatukana.. mhemko wa nn ssa..

  • @salumhongo3955
    @salumhongo3955 4 года назад

    Tusingependa mambo yaenda namna hii! Tuna imani na serekali uchaguzi ni kipindi kifupi sana ila kina matokeo makubwa sana yakiwa ktk njia zote mbaya au nzuri. Tuwe watanzania wale wale wapole,wanyenyekevu,wasikivu na tunaoishi ktk misingi ya uhuru na amani.

  • @hamzahamisi7029
    @hamzahamisi7029 4 года назад +19

    Yanakera sana haya mambo.....

  • @macksokaempire5233
    @macksokaempire5233 4 года назад

    Tanganyikajeki yamaana na heshima ikavunjika palepale😂😂😂😂😂

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 4 года назад +20

    Mambo haya Chadema wanayapenda sana

    • @samwelkagesha4921
      @samwelkagesha4921 4 года назад +1

      Mamb yapi kwan wamfanya kip kbaya ...? Kafie mbali huko

    • @husseinmillinga1920
      @husseinmillinga1920 4 года назад

      Msenge

    • @happykimaya2762
      @happykimaya2762 4 года назад +1

      😀😀😀

    • @Jumamaduka240
      @Jumamaduka240 4 года назад +2

      @@husseinmillinga1920 Ngoja wanyooshwe tena ingekuwa mm hapo angesimulia. Toto Tundu Hapa ndo mwisho

    • @Jumamaduka240
      @Jumamaduka240 4 года назад +2

      @@husseinmillinga1920 Dawa yao ni hii ujinga wapeleke

  • @jacklinejonas5096
    @jacklinejonas5096 4 года назад +5

    Police hajiheshimu ki2 kizur ilikuwa n kuongea vzr na sugu so kumfanya ivyooo.... Inakera na so ki2 zur cna usiasa ila inaumiza

  • @barakamwakapoma2702
    @barakamwakapoma2702 4 года назад +9

    Yani polisi yupo sahihi kabisa coz kuomba Mara ya kwanza ya pili lkn sugu kakaidi sasa afanyaje hapo?

    • @amanimanase5794
      @amanimanase5794 4 года назад +1

      Na unatakiwa ufahamu ubishi huo unatokana na kosa gani ndo ujue kabisha au kaonewa

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 4 месяца назад

      We Kuma jitambui Sasa ana mkamata kafanya kosa Gani kumawee alafu anamuambia panda kwenye galii kafanya kosa Gani lazima akatae chokoweeee

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 4 месяца назад

      Tz Kuna misenge kama hiiii aijielewi ndio maana nchi yetu tunaonekana wajinga kwa ajiliii ya wajinga wa chacheee kama awaaaa

  • @Antelopeaccessories
    @Antelopeaccessories 4 месяца назад

    huyu askar ameenda shule ya wapi hicho kiswahili next level 😂😂😂

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo8672 4 года назад +20

    Dah ninyamaze wazee mctumike fanyeni kazi yenu kwa mujibu wa sheria nafikiria huyo ni kumwita tu akatae wito ndio aone

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 4 года назад +1

      We unaonaje si anatafuta sifa na huruma kwa wananchi

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 4 года назад

      Kaambiwa twende huku kakataa Sasa angefanywaje police akikwambia lala chini una lala stop stop

    • @tegezdomin8363
      @tegezdomin8363 4 года назад

      Tatizo na yeye anajifanya mbishi,wakati amefanya kosa,kwanini wasikutane sehemu moja kuliko kufanya maandamano barabarani

    • @simonlukiko2850
      @simonlukiko2850 4 года назад +1

      Erode Shayo NDUGU SAWA TUNAJUA BILA UPINZANI ATUWEZI FIKA POPOTE ILA MAMBO MENGINE NI UJINGA MTU ANA KWAMBIA KISTAARABU UTAKI UNAGOMA AKU FANYAJE SASA TUSI TETEE ETI KISA MTU NI UPINZANI ANGEKUWA MLALA HOI ASIYE NA KITU JE? SI ANGEBISHA ANGEKULA VITASA ILA YEYE KAESHIMIWA BADO ATAKI WAMFANYAJE SASA TENA BORA HATA YEYE ANA ICHO KIJI AJIRA IKO MTAANI ALI NGUMU UTABISHANA NA ASKARI HVYO UO NI UJINGA WALA TUSI TETEE

    • @frankjoely3313
      @frankjoely3313 4 года назад

      @@simonlukiko2850 SASA KAMA MNAJUA HALI NI NGUMU MBONA KILA SIKU MAPAMBIO KUISIFIA SERIKALI😂😂😂

  • @samwelbulikanwa9383
    @samwelbulikanwa9383 4 года назад

    Inamaana hawa Chadema huwa wanaona raha kupandishwa karandinga,??? Eti me nishaenda sana polisi Sugu Bhana 😃😃😃

  • @wiliampaulo5556
    @wiliampaulo5556 4 года назад +17

    Mungu aliumba mbwa kwa jinsi yake .alakuumba wewe ukiwa mwanadamu mzuri kabisa.unamtukana muumba kwa sababu ya siasa.tubu kwake kabla hujapata laana kutoka kwake

    • @fidifelix6557
      @fidifelix6557 4 года назад +1

      Mungu ibariki jeshi la polisi tanzania

    • @fidifelix6557
      @fidifelix6557 4 года назад +1

      Kazi nzuri ingelikuwa ni Kenya huombwi unakula chuma naipenda sana nchi yangu🇹🇿

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 4 года назад

    Yesu aliyapitia haya kumbe hata sasa eeeee mungu tunusuru watu watambue kwamba banda. Ya kazi kuna uzima wa milele

  • @hadithizetutv
    @hadithizetutv 4 года назад +9

    Sugu ameyataka yeye mwenyewe kumbe, ilikuwa jambo la kistaarabu kabisa pandeni magari rudini makwenu wangerudi. Anakamatwa kistaarabu anagoma sometimes mnaboa sana mnapenda Shari kila wakati

  • @sammtundi6983
    @sammtundi6983 4 года назад +2

    Polisi mmezingua tumieni akili na ustaraabu huyo Ni kiongoz mkubwa huyo kamanda atumie heshima kwenye kazi na sio nguvu🖋️🖋️

    • @migutasangudi2424
      @migutasangudi2424 4 года назад +1

      Hekima gan itumike ameambiwa kwa mdomo live twende kituon kwa mahojiano anakataa live mbele ya umati siendi fanya unachotaka asa jamaa wafanyeje sasa au waondoke wafke kituon wampigie cm tena ndio atakuja? Tusipende kulaum sana angetii tu yasingetokea hayo

    • @akshaydavid159
      @akshaydavid159 4 года назад

      Kwa hiyo kiongozi mkubwa ulitaka wamlambe tako

  • @sumayesu6493
    @sumayesu6493 4 года назад +46

    Kua mpinzani sio dhambi lkn

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 4 года назад +4

      hii nchi bhana

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 4 года назад +4

      Sasa kwani upinzani ni kuvunja sheria na kufanya fujo?

    • @imbatokamoyoni2209
      @imbatokamoyoni2209 4 года назад +1

      @@teddyoscar6876 kavunja Sheria ipi,,,,

    • @yasinirashidi6656
      @yasinirashidi6656 4 года назад +1

      @@teddyoscar6876 kuna fujo uliyoiona hapo
      Ila ukiwa opposition parties ndo unaonekana mvunja amani of which is not true
      Same upon them

    • @tanzaniakwanza9564
      @tanzaniakwanza9564 4 года назад +2

      @@yasinirashidi6656 Tii sheria bila shuruti kwani wangekubali mapema nguvu gani ingetumika

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 года назад

    Mwisho wa siku kaenda! Aliwahi imba nipo mikononi mwa polisi Mr.Jongwe

  • @michaelmalima2833
    @michaelmalima2833 4 года назад +6

    HV HUWEZI KUCHUKUA FOMU BILA MAANDAMANO?

    • @yustinhhari5085
      @yustinhhari5085 4 года назад +2

      kwahiyo wananchi wanapokaaga njiani kumsubiria raisi huwa ni maandamano?

    • @frankmichael1968
      @frankmichael1968 4 года назад

      Kwan maandamano ni nn

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 4 года назад

      Si yule roboti wao keshawaambia wafanye hivyo na wao ndio wanafanya walivyoambiwa

    • @presseg.6362
      @presseg.6362 4 года назад

      Chadema hawati maelekezo, wakifanyiwa kitu, wanaanza kulalamika

    • @oscarpaul6327
      @oscarpaul6327 4 года назад

      Kwani bwana mkubwa kachukua form peke yake bila watu?

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 4 месяца назад

    Inalilah wainailaih kiukweli Dunia hii tunapita2 ✌️🙏🏼

  • @vitalismmas9603
    @vitalismmas9603 4 года назад +16

    Polisi acheni ubabe na uonevu kuwa mpinzani sio dhambi.

    • @johnjoseph763
      @johnjoseph763 4 года назад +1

      Acha ujinga ww

    • @mapenzi_tz1511
      @mapenzi_tz1511 4 года назад +1

      Ndio unaruhusiwa kuvunja sheria au?

    • @marthalucas9377
      @marthalucas9377 4 года назад +1

      Na ni mjinga kweli

    • @manasengobei9968
      @manasengobei9968 4 года назад

      Inashangaza sana watu wanaodaiwa kuvunja amani ya nchi ni wale wanolalalmikia haki zao!

    • @happydaniel729
      @happydaniel729 4 года назад

      Lakini kaambiwa kistarabu kagoma sasa kusema afanye anachotaka nae kafanya

  • @ModimoMendoza
    @ModimoMendoza 4 года назад +2

    😂😂😂😂😂CHADEMA haya mambo wanapenda

  • @dominickalume2891
    @dominickalume2891 4 года назад +6

    Polisi anamvunjia heshma mbunge baada ya kumlinda ....Tanzanian's woow

  • @paulojohn5504
    @paulojohn5504 4 месяца назад

    Sugu nakupenda ila sikwa kwakubishana na polisi ila polisi wameonyesha unyenyekevu mkubwa sana

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 4 года назад +4

    Polisi unaongea unatetemeka kwasababu unajua unachoongea ni unafki,NGURUWE WEWE

  • @habibumdetele6530
    @habibumdetele6530 4 года назад

    Mbona magufuli alienda chukua fomu na maandamano hata lisu alienda na maandamano,double standards ndio zinaleta vita kwakweli.Mkiambiwa polisi mnakadi za ccm mnazionyesha waziwazi mnabisha.

  • @healer4282
    @healer4282 4 года назад +10

    😀😀😀😀😀😀😀😀 Huendi na umepelekwa

    • @gipikilindu9607
      @gipikilindu9607 4 года назад +2

      Nunda kaingia mwenyewee ndan anawaelewa awo

    • @husseinmillinga1920
      @husseinmillinga1920 4 года назад

      Msenge wewe ibirisi ndio nn ss

    • @healer4282
      @healer4282 4 года назад +1

      @@husseinmillinga1920 kumbe ww mwehu kama sugu na wana wote wa chadema😀😀

    • @husseinmillinga1920
      @husseinmillinga1920 4 года назад

      @@healer4282 kuna siku wehu huu utakupata wewe , Allah yupo atakufundisha wewe waone wehu wenzio wanao kamatwa kwa kesi za kubambikiwa

    • @husseinmillinga1920
      @husseinmillinga1920 4 года назад

      @@healer4282 Mimi ni muumini wa haki na sio chama chochote

  • @petermachondo8285
    @petermachondo8285 4 года назад +1

    Huyo police yupo sahihi tena mvumilivu sana.

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 4 года назад +4

    Funga kabisa shenzi sana

    • @sanimoclassic1917
      @sanimoclassic1917 4 года назад +1

      Shenzi mamaako alokuzaa

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 4 года назад +1

      @@sanimoclassic1917 kuma mamako msenge wewe unafirwa shoga mkubwa

    • @bakarikayugwa237
      @bakarikayugwa237 4 года назад +1

      Shenzi mamayako

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 4 года назад +1

      @@bakarikayugwa237 mkundu wa mama yako

    • @zakayomepuyinywe1400
      @zakayomepuyinywe1400 4 года назад

      Hamida police hana uwezo Wa kumfunga MTU ni mahakama pekee sema huyu askari ni Zero brain hana akili kabisa ndo maana kaja kwa Jazba! Ningekuwa Mimi ningemzibua ngumi moja ya maana ili nikalipe mahakamani

  • @ramsaymtando1742
    @ramsaymtando1742 11 месяцев назад

    Sasa huyo office police anaye shika tena watu wanao kwenda .tz bwana police force yani siyo kuliko kuwa police service inakuwa police force. Hapo mimi sioni kama kuna sababu ya kutumia nguvu kuwaambiya waende tu.

  • @simonmsola3423
    @simonmsola3423 4 года назад +16

    Asikali huyu anafaa, asikari hupaswi kubembeleza.

    • @malingazeboss9351
      @malingazeboss9351 4 года назад +1

      Unatiiii

    • @mosesmwailenge6749
      @mosesmwailenge6749 4 года назад +1

      Hakika umenena vyema kaka simon kweli niaskali mzuri saana mungu ambaliki

    • @ericstephenm.844
      @ericstephenm.844 4 года назад

      @@mosesmwailenge6749 Ila alichokifanya hapa sio haki hususani ukizingatia wagombea wa CCM wanafanya hata zaidi ya hivyo! Hatupaswi kuwa na double standard ktk kusinamia haki. Mimi ninamkubali sana JPM lakini nadhani ni muhimu tuzingatie haki kwa uwazi bila ushabiki!

    • @fadhilikyando9483
      @fadhilikyando9483 4 года назад

      Weeeee si kuma tu weewe

    • @adilhabibu7958
      @adilhabibu7958 4 года назад

      Likisha mkuta baba yako au mama yako ndio utaona kweli anafaa

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 года назад +1

    Ingekuwa kenya tena kisumu hao police wangefurahi😃😃😃😃😃😃 Sema wanasiasa mambwa tu tena wote hakuna la mana wanafanyaga mwananchi anateseka juu yako kesho unawanyanyasa...
    Na mm nilisema nikipiga tena kura labda mamangu arudi tena duniani...maana huku kwetu the moree twabadilisha viongozi ni the moree maisha inakuwa ngumu pls endeleeni kumuacha magu aongoze...

    • @adijaniyonkuru9731
      @adijaniyonkuru9731 4 года назад

      Ni kenya watanzania awapendi fujo wako smart kwa nchi yao

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 4 года назад +7

    Wallah hii serekali dah

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 4 года назад

      Unalijua kosa lake au unalalama tu

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 4 года назад

      Serikal hii mavi tu,uonevu mwing sana,lkn mwisho wao utafika tu

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 4 месяца назад +1

    Huu Ni zaidi ya unyama na ukatili ktk nchi inayojiita huru hakuna Uhuru hapa

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 4 года назад +9

    Dadek unaleta utata kwenye hamna? Dakika 0 tu unatembelea ukucha mwendo wa Tanganyika jeki

    • @georgemaduga2406
      @georgemaduga2406 4 года назад +1

      😲😲😲😲atari sana nipo mikononi mwa police lakni maisha yangu bado ni mokosiiiii😂😂😂😂

    • @salymkitumbika8644
      @salymkitumbika8644 4 года назад +1

      @@georgemaduga2406 Afandeeeeeeeee

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 4 года назад

      Uwe na akil we kuma,kwenye hamna nn hapo ?wap alipokosea sugu hapo

    • @Wastara001
      @Wastara001 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @salymkitumbika8644
      @salymkitumbika8644 4 года назад

      @@lindambilinyi6253 Kukumaji mmoja ww unaletashobo kingese utatatuliwa malinda maku ww

  • @ibrahim10chimah64
    @ibrahim10chimah64 4 года назад +1

    Hii nchi serikali ya ccm wakitoka madarakani watanzania watakuwa na amani sana ipo siku mungu atalipa kwa haya yote wanayoyafanya,

  • @ramadhanahmad1183
    @ramadhanahmad1183 4 года назад +32

    Hawa naona kuna jambo wamepanga

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 4 года назад +2

      Ndio yani washenzi tu looh sina hamu na chadema, huko naona zitto nae anajipanga na Membe wake mpaka uchaguzi uje kwisha watu kibao watakufa yani hakuna usalama

    • @evansmlalo4049
      @evansmlalo4049 4 года назад +1

      WATANZANIA MNARUHUSU WENYEWE MFANYIWE HIVI NA POLISI. HAMJAWAHI KUWAONYESHA HASIRA ZENU. CHOMENI VITUO VYAO NDIO WATAWAHESHIMU. AMANI YA TANZANIA INAVUNJWA NA CCM NA HAWA POLISI. SAFARI HII CCM NA POLISI WENU MTATUTAMBUA. TUTAWACHOMA MAJUMBANI KWENU.

    • @Movation01
      @Movation01 4 года назад

      This is too much

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 4 года назад +1

      Wanapenda kiki

    • @mapenzi_tz1511
      @mapenzi_tz1511 4 года назад

      @@evansmlalo4049 ikiwemo n wewe pia umejisahau kujitaja ivi kauli km izo nikiwa km Askari nitakuachaje usalama niwetu sote wangepigwa na raia wangesema Polisi wazembe

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 4 года назад

    Aiseeee😠😠hara trafik anikamate ntammalizia hasira zangu kwa alichofanyiwa sugu😠huu utumwa.bora nife Wallahy bora nife

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 4 года назад +1

      Unahakika unataka kufa :) ama unasema tu basi kama unataka kufa si afadhari umeze tindikali na kama huna kanywe gongo bila kula :)

    • @khalidballeth5957
      @khalidballeth5957 4 года назад

      @@kambamazig02024 bora nife kuliko unyanyasaji huo l..asee mi c mwanasiasa lkn haki lazima itendeke

  • @sanchezmmary8986
    @sanchezmmary8986 4 года назад +10

    Waandishi uchwara eti wanazima Camera hamkutaka kuonyesha alivyokamatwa Tanganjika jeki #Mungu anawaoneni nyie police

  • @mshigenilussingu6
    @mshigenilussingu6 4 года назад

    Mmmh Ila haya Mambo ni hatari, yanazaaga chuki mbaya Sana ndani, Mungu atusaidie coz ndani ikijaa itahamia nje kwenye mikono Amani itatoweka. Mungu atusaidie kwakweli

  • @zeldamlay4276
    @zeldamlay4276 4 года назад +4

    Huyu askari mbona mpumbavu sana?

  • @lahauonline217
    @lahauonline217 4 года назад

    Duh tukisha staafu sijui tunajisikiaje tukiona hizikumbukumbu kwakweli? 🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @arafatreje2523
    @arafatreje2523 4 года назад +3

    Njooni 254 muone 255 nchi ya ubinasfsi

  • @mtakamatv
    @mtakamatv 4 месяца назад

    Sasa wamevunja sheria gani na wameharibu amani ipi,huo ni uonevu tu,ila ipo siku kwa kuwalazimisha watu wavunje sheria watakuja kuvunja kweli na itakuwa zamu yenu kuumia,acheni hayo mambo,mnatangaza amani hali polisi ndio mnakuwa wa kwanza kuvunja sheria na amani ya raia,ni nani alirusha hata jiwe,mnalaana nyie,njaa zenu,zinadharirisha utu wenu,heshima ya jeshi la polisi 3:13

  • @peterezrom5194
    @peterezrom5194 4 года назад +12

    Da hata Mimi mama kaniambia nisiseme kitu niangalie tu. Mungu mkubwa kuliko wote.

    • @juliusntengu3305
      @juliusntengu3305 4 года назад

      Wpendwa katika Bwana wamajeshi yote MUNGU wa Amani katika jina la YESU KRISTO, Samaani kama mtu atakwazika na ujumbe huu, maana kwenye kuhubiri haki, ukweli wa haki huwa una maumivu yake yaliyo pelekea watu kuchomwa mioyo yao nakuokota mawe ili wampige YESU KRISTO, Amen, Mweshimiwa Raisi mpendwa wa MUNGU nawanadamu, ametangaza uchaguzi uwe wahaki na Amani na uhuru, vema kabisa, katika nafasi zawagombea mbalimbali wa vyama vyote, sasa, hawa wagombea wa vyama vyote, wanawafuasi wao, ambao kwa mapenzi yao juu ya mtu huyo, huwezi kuwazuia kuonyesha hisia zao zafura juu ya mtu huyo, za kuandamana naye kokote anako kwenda, alimladi wasivunje sheria yakufanya uharibifu, Maana hata YESU KRISTO, Ambaye wakristo tunaamini kupitia jina hilo, alitembea namaandamano ya watu walio penda maneno yake nakumwamini nawakapokea sawasawa na imani yao, nasiyo kwamba, YESU alipo pita katika nchi hiyo hakukuwa na utawala, la hasha, utawala ulikuwako, lakini, hakuzuiliwa wala kuwazuia walio mfata, kwahiyo, Ninacho omba, jeshi la polisi, lisitumike kwakufanya kazi kana kwamba wanatafuta sifa kwa mweshimiwa Raisi, lifanye kazi kwa kuwalinda laia na mali zao, kwamaana yakulinda laia, nikuhakikisha fujo ya kupigana wenyewe kwa wenyewe au namtu wakutoka nje haitokei, nakuhakikisha usalama wa mali zote unaimalika, siyo kuwazuia watu kuonyesha furaha yao, Tunapo muomba MUNGU utujalie amani katika nchi yetu, ili ujue amani ipo, nikuona furaha katikati ya watu wanchi husika tunayo iombea, hatutarajii kuona amani inakosekana kwakuzuia wananchi wasionyeshe furaha yao, hesabu ya gharama ya uharibifu itakayo tokea tanzania jeshi lapolisi mtatoa mbele ZAMUNGU, haijawahi kutokea kama Raisi magufuli kusema kwamba polic msiwachokoze wakati wakufnya siasa zao, lakini na ninyi wanasiasa msiwachokoze polic, lakini Raisi wetu mpendwa amesema, Raisi magufuli hana mpinzani katika mambo aliyo yafanya, achana nayote sijui leli, barabara, stigras goji, umeme, maji, n,k, kubwa ya hayo yote, linalo mpa salio lakupendwa nawatanzania, ni IMANI aliyo ionyesha mbele za MUNGU katika kipindi cha corona, paka saizi watanzania hatuna hofu ya Corona tena, hata siasa hizo zinafanyika ni MUNGU kusikia, maneno yakinywa cha Raisi wetu mpendwa magufuli aliyo sema tujinyenyekeshe mbele za MUNGU na kuomboleza siku tatu MUNGU atasikia nakutuponya, naikawa hivyo, sasa nyinyi, jeshi la polisi mnawasi wasi gani mbele ya ushindi wa magufuli? Kama hamtaki watu wengi kwenye kituo chakuchukulia fom, wambieni wafuasi wakila mgombea msubilieni hapa, humo ndani hamrusiwi kuingia, wanaingia watu wa3 kama walivyo fanya kwenye Ofsi zawachukua fom ya Uraisi na Amani ikaendelea kuwepo, paka sasa, hii Amani inayo endelea kuwepo usivunjike kwa kuzuia furaha ya watanzania, nawapenda jeshi la polisi MUNGU awatangulie kwa kila jambo kuidumisha amani kwa watu wote katika jina la YESU KRISTO Amani.

    • @eliarichard9218
      @eliarichard9218 4 года назад +1

      @@juliusntengu3305 hamna kitu hapo Unamuonea Yesu wangu tyuu.

    • @juliusntengu3305
      @juliusntengu3305 4 года назад +1

      @@eliarichard9218 sikiliza ndugu yangu nikwambie, ukisema ninamuonea YESU, sijui niyesu gani unaye msema wewe, kwasababu YESU ninaye msoma mimi kwenye biblia ndiyo yule wajana nahata leo na hata milele aliye sema sikuja kuleta amani kwa kuisema iliyo kweli ,na kwasababu ukweli unauma, wapo watakao kubali kupoke ukweli kati yenu, nawapo watakao kataa kuupokea ukweli, kwahiyo, ukiyaangalia maneno haya ya YESU yalileta mafalakano kati ya mtu aliye kubali kuupokea ukweli na aliye kataa kuupokea ukweli,ambapo huyu YESU angekuwepo leo katika jinsi ya mwili Kati kati yetu watu wengi mngemchukia kwa ukweli wake, Alipo watuma wanafunzi wake baada ya kuwapa mkono wa shirika akawapa Amri juu ya pepo wa baya waende wakawaponye watu wale wanafunzi walipo fika kule wanafunzi wake walikuta nini walikuta nawengine wanatoa pepo kwa jina la YESU KRISTO walipo rudi wakamwambia Bwana tazama tumekuta nawengine wanatoa pepo kwajina lako, YESU akawajibu maadamu mmekuta wanatoa pepo kwajina langu hawana kosa lolote akawaambia nawala msione wivu juu yao, nawale kumsindikiza yule kwenda kuchukuwa fom kikatiba kwa sheria za nchi yetu siyo kosa kosa wakileta uharibifu ukiangalia kulikuwa na uharibifu gani walio ufanya wananchi hakuna ndiyo maana wakamwachia sugu baada ya mda kidoga kwasababu waliona hana kosa, Nakama umemsikia IGP SILO amesema sisi polisi hatutaki tuwe nichanzo cha furugu wala wanasiasa wasiwe chanzo cha vurugu tunataka kama Mweshimiwa Raisi magufuli kama alivyo sema uhuru, amani, na umoja, na kutenda haki viwe nikipao mbele chetu kwa ajili ya kumaliza uchaguzi salama, shida nikwamba wewe ndugu yangu unaongea kwa ushabiki wa kisiasa mimi sipo kwenye ushabiki wakisiasa mimi ni mumini wa haki na neno la kweli ndilo linatuweka huru, nahaki ndiyo huinua taifa, namaandiko yanasema mfalme asipo tenda haki Ufalme wake umefitinika, napengine panasema, wakati wanasema kuna amani ndipo uharibifu uwajipo, kwahiyo ndugu yangu, ninakuomba kama wewe ni mwamini wa YESU KRISTO simamia neno katika kutenda haki na katika kutetea haki, kwasababu YESU alisema yule atakaye nionea haya mbele zawatu nakunikana kwa kukosa kweli ndani yake namimi nitamkana mbele za Babayangu na mbele za malaika wamungu, kwahiyo angalia usitekwe na siasa ukaacha kutekwa na neno la YESU alilo sema mtu akilisoma neno langu nakuliweka Moyoni mwake mimi na Babayangu tutaweka makao kwake, mamboyote yatapita kilakitu unacho kiona wewe machoni pako kitapita lakini neno litasimama, Amini hivyo, YESU alitembea akihubiri akiesma, niaminini mimi ninayo yasema kwamaana aliye nipeleka kwenu niwakweli, kuliko mnakaa nakusema sisi tunaiamini sheria ya musa, na hiyo sheria ilikuja kwa mkono musa, bali neema nakweli zimekuja kupitia mwana wa Adamu, tourati hamuiwezi nifuateni mimi mjifunze kwangu namna ya kumwendea mungu maana njia yangu siyo ngumu, mimi nimpole na mnyenyekevu mizigo iliyo juu yenu nitawatuwa na kuwapumzisha, kipindi kilekile walimwambia mafarisayo na masadukayo na waandishi, wakasema, nimuongo huyu analeta elimu mpya, anatufitinisha sisi nawatu wetu ili wamfuate mzuieni asiendelee kutuchonganisha nawatu wetu wasije wakamfuata kwa wingi, haya maneno aliyo yasema YESU kipindi kile ingekuwa leo angeitwa nani? Mchochezi, nakipindi hicho bahati nzuri hazikuwepo bunduki, kulikuwa na mawe tu wakaona haya haya ndiyo yakupiga nayo mpaka afe, ingekuwa leo kunamabunduki hivi siwangesha mshuti afe, Kwahiyo nduguyangu epuka kuwa miongoni mwawatu wakukanwa na YESU KRISTO mbele za MUNGU wetu kwasababu ya ushabiki wakisiasa ukaiacha kweli bayo inatumika popote pale, ubarikiwe sana ndugu katika jina la YESU KRISTO Aman ?

    • @eliarichard9218
      @eliarichard9218 4 года назад +1

      @@juliusntengu3305 Barikiwa.

  • @jamsonpeter3917
    @jamsonpeter3917 4 года назад

    Yani Mimi kwa upande mmoja Magufuli namkubali ila hawa wanaovunja uhuru warai wa Tanzania kwakujipendekeza ndio wanaochafu roho za watu.

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 4 года назад +4

    Kwa sheria ip polisi kwa maandamano gani!??

  • @mohammedkhatibu5744
    @mohammedkhatibu5744 4 года назад +1

    Chadema ndioo wanavotaka hivoooo

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 4 месяца назад

      We kuma chadema Wana taka akiiii kumaweee Kwan kuzaa bandalii nisawa chokoweee au kufukiza wamasai sawa kumaweee