Luhaga Mpina amvaa tena Mwigulu Bungeni; Simbachawene aingilia kati amtega kwenye Vifungu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2023
  • Vita ya maneno kati ya mbunge wa Kisesa na Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba bado ni mbichi ambapo leo Jumatatu Februari 6,2023 Mpina amemchokonoa tena Dk Mwigulu sasa akitaka akiomba bunge lipitishe Azimio la kuitaka Serikali kupeleka bungeni taarifa ya matumizi ya fedha zilizokopwa nje ya bajeti lakini akipendekeza Waziri wa Fedha awajibike.
    Akochangia leo katika taarifa ya Kamati ya Bajeti, mbunge huyo amesema Kuna kusuasua katika usimamizi wa matumizi ya fedha ndiyo maana kumekuwa na malimbikizo ya deni la Taifa ambalo litapelekea riba kubwa kwa siku za usoni na hivyo kuongeza mfumuko wa bei.

Комментарии • 67

  • @polloz77
    @polloz77 Год назад +3

    Luhaga mpina next President

  • @edwardlutema6006
    @edwardlutema6006 Год назад +6

    Mpina mitano tena wakizingua hamia Airtel tuko na wewe wewe ni rafiki wa kweli uko upande wetu Rip Magufuli

  • @Atmospherec3
    @Atmospherec3 Год назад +11

    Mpina ananifurahisha sana

  • @bullekisimikwe3852
    @bullekisimikwe3852 Год назад +5

    Kuna dua moja tukiiomba vizuri kila mtu kwa wakati wake, Mungu atatupa majibu haraka sanaa

  • @mwenem8130
    @mwenem8130 Год назад +3

    Safi sana MB Mpina, Mungu Akulinde🙏🙏

  • @kokukarokola4974
    @kokukarokola4974 Год назад +3

    Nakuelewa kaka namungu anakuelewa msemakweli mpenzi wa mungu. Japo majibu nimepesi mnoooo.

  • @nestor384
    @nestor384 Год назад +6

    The Real Man Undisputable remained standing. We are living the spirit of the true son of Africa The Late H.E Dr. JPM🙏🏻💪🏻

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Год назад +1

    Nchi ina kopa kama wendawazimu mwigulu ni mpuuzi sana alafu ana ita watu waganga wa kienyeji

  • @thomaschambala1475
    @thomaschambala1475 Год назад +3

    Ndio maana nasema wasukuma ndo wamebak waaminifu kwenye hii mchi sisi wengne tunajal matumbo yetu tu

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 Год назад

      Msukuma hagai hata kuongoza nchi hii wachilia mbali uwaminifu unaousema.
      Tumeona miaka mitano ya kidikteta chini ya muwaaji mkubwa mwendazake jiwe na kikosi chake cha SUKUMA GANG.
      Tunamshukuru M/Mungu kwa kumuangamiza huyu kiumbe ambae alitawala kwa mkono wa chuma. Hata Nyerere aliacha wosia, kati ya wasukuma, wachagga na wahaya haya makabila yasiachiwe uongozi wa juu ni nukxi.
      Sasa huyo Mpina ndie aliyewafilisi wavuvi kwa kiasi kikubwa wakati akiwa ktk utawala wa kishenzi wa jiwe magu.

  • @gagalinodenatrick1652
    @gagalinodenatrick1652 2 месяца назад

    Ikitokea wabunge wanafanya mtihani basi mpina atakuwa kwenye top3

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 Год назад +1

    Jamaaa amna anae muung mkono bungeni acha ktu siasa na tumbo

  • @mbwanamtessa8607
    @mbwanamtessa8607 Год назад +9

    Maranyingi nakuwa wa Kwanza ktk notification ya global channel. Naomba kuungwa mkono jamani na like zenu wadau.

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 Год назад

    Mpina uko sahihi unafaa kuwa Raisi wetu

  • @beatricefilbert1171
    @beatricefilbert1171 Год назад +1

    Una akili sana

  • @johnhaulepesambili6905
    @johnhaulepesambili6905 Год назад +2

    Wanauziwa mawe jana nimeona foleni ya kutosha tena walikuwa wazee hadi huruma ase

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 Год назад

    mwananchi media nakupongeza sana kwa kukata huo ushuzi wa " taarifa mwenyekiti".

  • @lucaspaulo5371
    @lucaspaulo5371 Год назад +2

    Kiboko yenu ccm alikuwa ni pita msigwa na tunamuombea 2025 arudi bungeni harafu wengi wa ccm wabunge mnapigwa chini tembeeni mkijua mlibebwa na hayati magufuri wote ni mbeleko kuanzia mama mpaka nyie tunajua kwa hiyo lingeni tu kwa sahii tutakutana 2025

  • @user-ic3jn4uz9f
    @user-ic3jn4uz9f Год назад

    Hv huyu kwann asipewe cheo kikubwa zaid

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 Год назад +1

    Mbona hatujasikia Mpina alipotaja kwamba serikali ilikopa Trillion360(Tshs)?
    Alichosema Mpina kulingana na ripoti ya serikali jedwali No.2 serikali imekopa zaidi ya Billioni322(Tshs).
    Halafu akasema kwa mikopo ya ndani serikali iliidhinishiwa na Bunge kukopa Trillioni 1.84 badala yake ikakopa Trillioni 2.5(Tshs)!
    Mengine ni yale aliyosema ni kwamba Apr2021-Jun2022 deni la Taifa limeongezeka kwa Trillioni 10.83,May na Jun2021 serikali ilikopa zaidi ya Trillioni 3.9.
    Halafu akasema huko nyuma deni lilikuwa linakua kwa 4% lakini miaka 2020/2021 na 2021/2022 limekua kwa (12.33)%
    Kulingana na clip hii hayo ndiyo aliyosema.
    Hivyo basi kama ni kumkosoa
    fuatilieni hlzo data alizotoa kama ni sahihi au la.

  • @Noricssa
    @Noricssa Год назад +4

    HIVYO VITI VISIVYO NA WATU VIUZWE PESA ILIPE DENI LA TAIFA
    Mnaweka vipi VITI vingi na havina Watu wa kukalia? Hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali za Umma

    • @jan6703
      @jan6703 Год назад +1

      Kweli kabisa. Hapo bungeni wanahitaji viti kama kumi tu na chumba kama sebule za mitaani. Tuache kuchezea pesa za wananchi!!!

    • @Noricssa
      @Noricssa Год назад

      @@jan6703 Wameharibu pesa kujenga midude mikubwa maviti haryana hesabu watu wanaoingia humo kila siku wanahesabika alafu wanaongelea uchumi, pesa wanachezea MUNGU TUNAHIJI HURUMA ZAKO hawa wanasiasa wanafanya utupende zaidi kabla ya wakati kwa msongo ya mawazo 😭😭😭

    • @emanuelkatambi6902
      @emanuelkatambi6902 Год назад +1

      Nimekuelewa!

    • @gagalinodenatrick1652
      @gagalinodenatrick1652 2 месяца назад

      Hahahahaha matumiz mabaya ya viti

  • @plujorilugano9489
    @plujorilugano9489 Год назад +1

    Mpina mbunge Jemedali wa KARNE, pmj na itikadi kwa chama tawalablkn serious yupo kwa sjili ya kutetea wananchi Tanzania

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 Год назад +1

    huyo mwigulu alishatumbuliwagwa na mhe magufuli kipind cha uhai wake,alishaona hapo hakuna mtu.

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 Год назад +1

    Sisi ambao hatuna ushabiki tumefuatilia hoja za mpina na kisha tukafuatilia majibu ya Mwigulu, tukagundua ukweli uko upande gani.
    Wengine wanaumia kwa sababu walinyang'anywa uwaziri tu.

  • @tembeleadunia
    @tembeleadunia Год назад

    Taarifa mbona umefutwa ???

  • @aggreykwilabyanoni1581
    @aggreykwilabyanoni1581 Год назад +1

    Tunaramba asali

  • @saidimohamedimgotomgoto979
    @saidimohamedimgotomgoto979 Год назад

    Hakuna kitu

  • @nyamnyororosaid7027
    @nyamnyororosaid7027 Год назад +1

    Ila huyu simbachawene sijui huwa Ana shida gani

  • @nixonjohnson4908
    @nixonjohnson4908 Год назад

    Huyo ni waziri wa nchi ..huyo kalewa ...haoni wala hasikii ..tumbo hilo duuuh

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 Год назад +4

    Kaka wewe ni mtanzania

  • @johnhaulepesambili6905
    @johnhaulepesambili6905 Год назад

    Usimtishi ase

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 Год назад

    Mbn mnakata mnaunga why

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Год назад

    Kwani kitabu chenu kimeandikwaje

  • @lucaspaulo5371
    @lucaspaulo5371 Год назад +1

    Bunge hili bana mpina watakuuwa hebu jiulize mara hii tu wakati tumesikia umesema bilioni wamekugeuzia wanakuambia trioni ili uonekane umekosea lengo lao usieleweke kwa wananchi

    • @frankphiri9132
      @frankphiri9132 Год назад

      Wanaonyangangwa uwaxiri muwe mnajitathimin Luhaga unatafuta mamna ya kurudia uwaxiri utateuliwaje Kwa kiwango Cha uelewa ulionao sometimes najifunza kuwa mawaziri wengine wanatolewa ktk nafasi zao kulingana idhaifu wa kucatchup mapema unaweza kwenda shule lkn ukawa mgumu wa kuelewa mambo Kwa haraka mpk nguvu ya ziada itumike, mpina kasoma ila ni wale Maslow learner Mwigulu nenda nae trtb atakuelewa usimchape viboko

    • @mandelamandela3150
      @mandelamandela3150 Год назад

      @@frankphiri9132 Wewe ulioyaandika yote hayana ukweli wowote !!!! Pole sana hujitambuwi.

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 Год назад

    Tunarudi kule kuleeeeeeeeee.

  • @geofreyraphael8367
    @geofreyraphael8367 Год назад

    Unafiki tu mbona kuna rais alikuwA anafanya matumizi nje ya bajeti na hamkusema wakati ule?

  • @abednego3876
    @abednego3876 Год назад

    Watz wamekufa kama video hii ina like 88 tu watu wamekufa akili hazipo

  • @celinamosha9420
    @celinamosha9420 Год назад +2

    Namuona rais wa wanyonge ajae

  • @yasiniswedi8835
    @yasiniswedi8835 Год назад

    Hyu mheshimiwa mpina kwawakatihu vilaza wameshikahatam inabidialindwe ss cjuwiatalindwananani namuachiamungu

  • @yasiniswedi8835
    @yasiniswedi8835 Год назад

    Wbunge wanaoliteteataifa ni mpna alikuwa polepole bashiluali kakulwa basi

  • @yasiniswedi8835
    @yasiniswedi8835 Год назад

    Huyu mbunge anauchungu nataifalake sijuinae atapewaubalozi ili wabakie pangupakavutupu?

  • @nixonjohnson4908
    @nixonjohnson4908 Год назад

    Acheni kumtishia mpina ni msomi jemedari

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 Год назад

    Huyu jamaa Anaelementi za Kidikiteta uchwara

  • @sharifaabdala1565
    @sharifaabdala1565 Год назад

    TUNALAMBA ASALI BWANA MPINA TUACHE 🤣🤣🤣

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 Год назад

    Tunaludi kulekule ambako dola inakuwamfukonikwamtu ukihitaji mtuanakubadilishia anavyotaka Rip JPM

  • @majigedioniz8049
    @majigedioniz8049 Год назад

    Mwamba huyapa natamani kujua Mh ruhaga mpina anatoka mkoa gani

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 Год назад

    Bilioni bwana tumeskia sio trillion aache uongo huyo

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 Год назад +1

    Nchi inarudi kule kuleee... sijui kwanini Rais anaendekea kumuacha Mwigulu kwenye nafasi yake...

  • @janettemalipula8476
    @janettemalipula8476 Год назад

    0000

  • @johnhaulepesambili6905
    @johnhaulepesambili6905 Год назад

    Usimtishi ase