"Waziri amepewa mamlaka na nani?" Mpina afunguka MAZITO kuhusu hoja kuongeza MAKALIO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 фев 2024
  • Mbunge wa Kisesa (CCM) , Luhaga Mpina akizungumza nnje ya Bunge kuhusu hoja yake aliyokuwa akiichangia kwenye Taarifa ya Shughuli za Kamati ya kudumu ya Bunge masuala ya Afya na Ukimwi kwa mwaka 2023.

Комментарии • 38

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 Месяц назад +3

    Mpina wewe ni mbunge wa kweli,upo bungeni kiukwelikweli. Wewe unawakilisha wananchi wa Tanzania nzima,wala sio kisesa peke yake. Bando yangu inatumika kihalali kabisaa. Big up mpina

  • @user-to5jr2io6c
    @user-to5jr2io6c Месяц назад +1

    Tuheshimu uumbaji wa mungu,maana kufanya hivi ni kumkufuru mungu.

  • @annamariajackson4842
    @annamariajackson4842 3 месяца назад +1

    Mheshimiwa Mpina. Unayosena ni sahihi kabisa. Madhara ni makubwa saana. Hata huku ughaibuni tunaona watu wanavyoteseka na huo upasuaji. Wengine wana bleed sana . Kuna effects zaidi ya 15. Inasikitisha sana majibu ya waziri wa afya kwa kauli yake.
    Yaani Bunge zima ni Mh.Mpina pekee anayeliona jambo zito namna hii kweli?
    Tanzania Tanzania yangu unaelekea wapi huko. Mbona mnaharibu hata uumbaji wa Mungu.

  • @mengialfred6518
    @mengialfred6518 3 месяца назад +3

    Hakika unaona mbali sana hongera mkuu

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 3 месяца назад +1

      Hiyoo ni kweli hata nchi zilizoendelea Hakuna bali wa clinic zao Za binafsi SIO hospital Za serikali au jamii Kwanza wengi wanahathirika,pia ni hatari sana.

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 3 месяца назад

      Tunashidwa kuwasaidia kusafishwa Figo Bure mnaleta ujinga Huo na mweyezi mtungi katupa shepu Za makalio jmn wasiposikia unachoongea Wacha wake waoze. Na yapasuke ujinga mtupuu

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 3 месяца назад

      Tunashidwa kuwasaidia kusafishwa Figo Bure mnaleta ujinga Huo na mweyezi mtungi katupa shepu Za makalio jmn wasiposikia unachoongea Wacha wake waoze. Na yapasuke ujinga mtupuu

  • @user-ec9ej9yw4t
    @user-ec9ej9yw4t Месяц назад +1

    Mkuu ongera sana, mbunge pekee, anejipambanua kujenga hoja na kukosoa mambo ya hovyo

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 3 месяца назад +1

    Mpina uko sawa kabisa wanakufuru 👍🤝🤝🎉🎉🎉

  • @cosmasmilanzi7117
    @cosmasmilanzi7117 3 месяца назад +1

    Duuuh! Neno la Mungu linahitajika sana kwa viongozi wetu wa juu na wasomi wetu ili tuwe salama!

  • @user-vg4ph5zx8h
    @user-vg4ph5zx8h 3 месяца назад +1

    Hoja ya mheshimiwa mpina iko sawa kama ukichukua mda kufikiria na ukirejea kwa mujibu wa sheria zetu lakini ukiwa mvivu wa kufikiri utabaki na majibu yako ya kienyeji

  • @aminieljohn5475
    @aminieljohn5475 3 месяца назад +2

    Mr. Mpina, your argument is a moral argument...this is a demonstration of total mediocrity and immorality....mawaziri wa afya...God is watching!!

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 3 месяца назад +2

    Mpina yuko sahihi. Watu watawekeana vitu vya ajabu mwilini. Kama hamna sheria. Ulaji hui wa watu.

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 3 месяца назад

    Hongera sana Mpina, hao wenzako wapo bungeni kupiga makofi tu, kulinda maslahi yao, tatizo kwa waliopewa madaraka huwa hawana ujasiri wa kuhoji kazi yao ni kukurupuka kama kwenye mikataba, sasa ikitokea tatizo wala hawajali ni watu hatari sana

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 23 дня назад

    🙏🙏

  • @zachariajustine873
    @zachariajustine873 3 месяца назад

    Congratulations mpina😮😮

  • @sundayyohana-qx3ys
    @sundayyohana-qx3ys 3 месяца назад

    Uko sahihi mh,mpina vibuli vimewajaa serikali kama nb waziri yule hamna kitu mle

  • @gaspermatovu2899
    @gaspermatovu2899 3 месяца назад

    Mheshimiwa Mpina, sasa hapo ujue ni bunge la namna gani tulilo nalo🤔

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 3 месяца назад

    Ummi akaongeze ya kwake ili awe wa mfano kwa mama na dada zetu

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 3 месяца назад

    Waziri mkuu wa moyo wangu

  • @user-on6im4oi5q
    @user-on6im4oi5q 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @narcissusmakenge4710
    @narcissusmakenge4710 3 месяца назад +2

    Shabibi nae kahonga watu kwenda bungeni kulinda maslahi yake. Hivi kuna mgogo au mwafrika ataende uarabuni apewe ubunge? Hata angekuwa na fedha kuliko mfalme wa saudia?
    Hii nchi bwana inatawaliwa na watoto na vijukuu ya watumwa na watwana. Tunatakiwa tuirudishe kwa wenye nchi.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 месяца назад

      Barrack Obama alikuwa Rais wa USA na asili yake ni Kenya. Hivyo physical appearance na uraia ni vitu tofauti. Mhe. Shabibi ni Mtanzania ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kama Mtanzania yoyote mwenye sifa.

    • @gaspermatovu2899
      @gaspermatovu2899 3 месяца назад

      Mama yake ni Mkaguru pure.
      Achanana nae

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 3 месяца назад

    Mpina mimi nakukubali lakini hili ni baya lakini sio muhimu. Matabaka yapo tayari na yanasababishwa na wezi wa mali za Uma kuanzia juu mpaka chini. Pigania kumaliza wizi na ubadhirifu wa mali za utapunguza matabaka, pigania wananchi watibiwe bure wenye hela za makario na matiti waache waweke.

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 3 месяца назад

    Na vilevile Sasa hata kama makalio na matiti yake ni ya kuzaliwa nayo atakejeliwA kwamba kaongeza makalio! Kina mama hawatakuwa na heshima Tena.

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 3 месяца назад

    Hii nchi bhaaana Ina mambo mazito sometimes Aaaah!

  • @mh9251
    @mh9251 3 месяца назад

    Unasema ukweli. Mantiki kabisa.

  • @fredgonga
    @fredgonga 3 месяца назад

    😂inchi inategemea mapato ya makalio na matiti.

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 3 месяца назад

    Laana inaitambaa nchi hii

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 3 месяца назад

    Hivi mawaziri wengine wanafanya Nini ? Nadhani huyu anastahili kuwa waziri mkuu pia Rais mtarajiwa. ni mengi tumemsikia. Haya yote ni hujuma za kimataifa kupitia vibaraka mawaziri na wabunge

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 3 месяца назад

    Wamelewa madaraka,

  • @jacksonmwakatika2372
    @jacksonmwakatika2372 Месяц назад

    😂

  • @queenpiscator6117
    @queenpiscator6117 3 месяца назад

    Aliye toa ruhusa mwenyezi mzungu amulaani kumkufulu mwenyezi mungu aliye tuomba hiyoo Waziri moreli bungeni alitaka kukufanyasisi wajinjinga hivyo ninataka kutuletea magonjwa.mapato ndio tutor utu wetu ndo mwaziri wa vyeti feki

    • @goduwinsalum8562
      @goduwinsalum8562 3 месяца назад

      Aiseee kweli wasiri kweli una akili sana

  • @ShamteMohmed-ed2kk
    @ShamteMohmed-ed2kk 3 месяца назад

    Kaka mpina komaa na mambo ya msingi, hivi vingine vinatupotezea mda. Watu wanaangaikia miswada ya uchaguzi na katiba mpya. Engine wanaomboleza msiba wa Mzee Lowasa wewe bado unaangaika na matiti na makalio.