Bwana mpina nimiongni mwa wabunge walio chaguliwa,,hakuteuliwa nakupitshwa na wakulugenzi,,sasa asilimia kubwa ya wabuge wa ccm walisogezwa kama ndude za draft,,hivyo hawa uja wakuikosoa serikali
Ukiwa mkweli CCM unaambiwa Bye bye Yani Huyu jamaa hana cona cona yani ndo maana hawampendi Long live MPINAA kuna siku haina jina hii nchi Tutaelewana tu na mambo yatanyooshwa na watu watakunjwa😢😮😮😮
Mpina tumwombee ,kwa mungu amlinde huyu jamaa si muda mrefu utashangaa amepotea mungu wa mbinguni mlinde Mpina ,huyu jamaa anajua mambo mengi juu ya hii nchi.
Tuna kazi, wanapopewa watu kazi kama uawziri kwa kutumia urafiki, undugu, ama maelewano mengine hiki ndicho kinachotokea, nepotism is a killer of democracy and development. Haya madudu yanaendelea kwa sababu hii ya kuoneana aibu. Tanzania cannot afford corruption and nepotism, it is costing us so much money and time.
Apewe ulinzi Mh Mpina kwanza hawa watoto watatu mi ninamashaka nao lidhiwani kikwete , makamba ,Mwigulu mchemba na Nape hawa watoto hawana nia mzuri na maendeleo ya Tanzania hawa ni madaraja ya wizi serikalini
Nyie machawa msiingiza siasa kwenye mambo mhimu kama hili.kati ya wabunge wa ccm ni mpina tu. ndio anatusemea wanainchi wengine ni chumia tumbo tuuu.hasa wale wanaitwa viti maalum.wao ni kujipara tuuu.kumsifia mama samia tu.watanganyika hawana kazi wazanzibari wanapewa kazi kwenye wizara ambazo sio za muungano
Mafisadi hawataki kushindanisha mkandakarasi maana uko ndiko viongozi wanakopiga sasa wanauza nchi kwa waarabu ebu watanzania tuitetee nchi yetu kwa kuwaondoa majizi hawa wasio na aibu hata kidgo
Kuna kauli moja nilichukizwa nayo sana ya Nape anasema wabunge wanaongea kizalendo sana sasa wewe ulitaka waungane na wewe kwenye wizi hapa CCM wamefeli sana kuwapa uwaziri hawa watoto hawana huruma na hii nchi kelele nyingi mdomoni ni wizi tu ndicho wanachofikiria wao wakiwa maofisini wanajua kuna backup wakiiba hakuna wakuwapeleka mahakamani
Tatizo mnaongea sana ila hao mafisadi mnaona wanabadilishiwa nafasi za uongozi kila kukicha ila mnawaacha! Nasemaje kama serikali ina waachia mafisadi washughulikiwe kitaa tu live tumechoka na wizi wa fedha unaondelea kufanya na viongozi wa sisimu.Washugulikiwe kitaa tu live kama wezi wengine
Luhaga, wewe ni shujaa wa Nchi yetu. Hayo majamaa yatakuua mdogo wangu. Wewe ni JPM kabisa. Hebu tusaidie tupate katiba mpya mdogo wangu, ili hata kama wakikuengua na kukufukuza U-CCM ugombee urais kwa tiketi ya mgombea binafsi au chama chochote kingine.
Serkali ya ajabu kweli kweli inaharibu inacheza na kodi za watazania ila magufuli aliwatoa wapigaji akina makamba Samia akawarudisha magufuli alisema pia akifa miradi hii haitakamalika ni kweli serikali haina mpango wa kuwasaidia watanzania wizi mtupu na rais anahusika
Hana chuki ila anachokisema kimetokea na ana uchuing na nchi yetu! Ama hapo kakosea, nepotism ndiyo inayoiua nchi yetu na kusabisha corruptions za kila aina na wala hakuna accountability, halafu wewe unasema chuki!
Watamuua kweli. Ila bora aongee ukweli anaoujua.... Mijizi imejulikana... Halafu wanatuambia tulipe mitozo, tozo... Ni vizuri kama wangekuwa wanatumia pesa vizuri....
Huyu amejaa chuki tupu maisha ya chuki ni tatizo kubwa. Yeye alipewa wizara alishindwa sasa anataka wenzie waonekane wamwshindwa eti wakamatwe. Ushauri wangu huyu amechangia kuuwa wananchi kwa kuchoma nyavu zao. Yeye ndiye akamatwe huyu ni mtu wa kupuuzwa
Hii nchi inahitaji sana watu kama hawa ambao wanafuatilia huu ubadhilifu mkubwa sana kutokana na viongozi majambazi... Pongezi sana kamanda 🙌🏾👊🏿
Mheshimiwa Mimi nakuelewa vizuri Sana,.
Maskitiko yangu
Mawaziri Wanaotuhumiwa hawana uwezo wakujibu hoja unazotoa,badala yake wanaleta mipasho,vijembe,nakupoteza muda.
Ila kwakweli hawafai hata kuwepo BUNGENI
Tabia kama hizi za kifisadi hatuwezi kwenda mbele. Hatua zichukuliwe. RUSHWA ni uchawi wa maendeleo ya Tanzania. Wanaturudisha nyuma sana.
Madaraja ya ufisadi yanajulikana that's why Takukuru hawawezi chukua hatua hata Rais mwenyewe hawezi chukua hatua anaogopa kukosa Nafasi ya Urais 2025
Bwana mpina nimiongni mwa wabunge walio chaguliwa,,hakuteuliwa nakupitshwa na wakulugenzi,,sasa asilimia kubwa ya wabuge wa ccm walisogezwa kama ndude za draft,,hivyo hawa uja wakuikosoa serikali
Ukiwa mkweli CCM unaambiwa Bye bye Yani Huyu jamaa hana cona cona yani ndo maana hawampendi Long live MPINAA kuna siku haina jina hii nchi Tutaelewana tu na mambo yatanyooshwa na watu watakunjwa😢😮😮😮
Jamaa anauchungu sana na nchi yake na mzelendo wa kweli nchi inahitaji watu kama hawa Magufuli kaondoka ila mbegu alioipanda imeshaota
Unapigwa vita Mpina lakini watanzania tunakupenda sana na tunaendelea kukuombea. Endelea kupiga kazi. Mungu na sisi watanzania tuko nyuma yako
Wananchi muwe makini sana kwa chaguzi zijazo ccm imeuwa nchi ukweli serikali hii haifai kabisa
Nakupata Sana Mpina
Come to opposition,, we may offer you top Rank.. ugombee urais please
We can't offer him😅
Huyu jamaa ni nondo hata ccm wakimfujuza Jimbo wafe nae Kwa chama chochote
Mpina makofi kwako
Nakuelewa sana
Mpina tumwombee ,kwa mungu amlinde huyu jamaa si muda mrefu utashangaa amepotea mungu wa mbinguni mlinde Mpina ,huyu jamaa anajua mambo mengi juu ya hii nchi.
Mheshimiwa piga kazi
Tuna kazi, wanapopewa watu kazi kama uawziri kwa kutumia urafiki, undugu, ama maelewano mengine hiki ndicho kinachotokea, nepotism is a killer of democracy and development. Haya madudu yanaendelea kwa sababu hii ya kuoneana aibu. Tanzania cannot afford corruption and nepotism, it is costing us so much money and time.
Pina.MUNGU.akubali.pambana.MUNGU.yuko.pamoja.na.wewe
Mh Mpina unaongea vizuri sana tatizo uko peke yako umezungukwa na machawa.
Apewe ulinzi Mh Mpina kwanza hawa watoto watatu mi ninamashaka nao lidhiwani kikwete , makamba ,Mwigulu mchemba na Nape hawa watoto hawana nia mzuri na maendeleo ya Tanzania hawa ni madaraja ya wizi serikalini
Huyu mheshimiwa anatakiwa apewe uraisi wanhi binafusi nimemkubali awepewe mojakwamoja asimamie nchi anafaa hii nihoja binafsi
team msoga inashambuliwa tuliosoma cuba tumeshaelewa aliyekutuma
Nyie machawa msiingiza siasa kwenye mambo mhimu kama hili.kati ya wabunge wa ccm ni mpina tu. ndio anatusemea wanainchi wengine ni chumia tumbo tuuu.hasa wale wanaitwa viti maalum.wao ni kujipara tuuu.kumsifia mama samia tu.watanganyika hawana kazi wazanzibari wanapewa kazi kwenye wizara ambazo sio za muungano
Ila hao mawaziri ni wezi wakubwa sana mmeibia wafanyakazi kwenye kikokotoo
Mafisadi hawataki kushindanisha mkandakarasi maana uko ndiko viongozi wanakopiga sasa wanauza nchi kwa waarabu ebu watanzania tuitetee nchi yetu kwa kuwaondoa majizi hawa wasio na aibu hata kidgo
Luhanga Mpina tunakutegemea Tumbua Majipu na kuyakamua kwa niaba ya hayati JPM
Hizo Trilioni azitapike Watanzania tuwe Macho
Tumuunge mkono Luhanga Mpina.
Wewe ndo mbunge pekee mzalendo uliebaki wengine wote wapigaji
Wewe ufaa sana
Kweli mbunge Mpina anaongea kwa kumaanisha tofauti na wabunge walio wengi ni vilaza
Kuna kauli moja nilichukizwa nayo sana ya Nape anasema wabunge wanaongea kizalendo sana sasa wewe ulitaka waungane na wewe kwenye wizi hapa CCM wamefeli sana kuwapa uwaziri hawa watoto hawana huruma na hii nchi kelele nyingi mdomoni ni wizi tu ndicho wanachofikiria wao wakiwa maofisini wanajua kuna backup wakiiba hakuna wakuwapeleka mahakamani
Majizi yaliyokubuhu yako serikali mwigulu ameiba mpaka akili zimemtoka mawazo ya viongozi wanasimamia miradi yao tunaona sana watanzania
Asee mpina nakkubali Sana we nakonda ndo mlobaki kuusema ukwel
Tatizo mnaongea sana ila hao mafisadi mnaona wanabadilishiwa nafasi za uongozi kila kukicha ila mnawaacha! Nasemaje kama serikali ina waachia mafisadi washughulikiwe kitaa tu live tumechoka na wizi wa fedha unaondelea kufanya na viongozi wa sisimu.Washugulikiwe kitaa tu live kama wezi wengine
Mpina naona elimu + uzalendo ni tija kwa Taifa letu
Nasikia ameitwa na kamati ya siasa ya wilaya😅😅😅😅
Mpina ario yasema tukiona awajajibu nitaamini kwamba u niupigaji
Mkubwa anajua hayo ya pesa .....na hao mawaziri tajwa wana blessings zake ndio maana hawafanywi lolote !
Kwanini serikali inamvumilia Wazri huyo
ccm na serikali yao ya kifisadi wizi uliokithiri
Luhaga, wewe ni shujaa wa Nchi yetu. Hayo majamaa yatakuua mdogo wangu. Wewe ni JPM kabisa. Hebu tusaidie tupate katiba mpya mdogo wangu, ili hata kama wakikuengua na kukufukuza U-CCM ugombee urais kwa tiketi ya mgombea binafsi au chama chochote kingine.
Hapo nasubiriatu tamko la chama kupitia kwa kaka yetu katibu mwenezi. Wachache hawa wasituharibie chama.
Ona akili mgando wanaharibu chama au wanadidimiza nchi umekaa kichama kuliko kufikiria nchi
Serikali hii hafai
Tusemee
Mama anawalinda hawa.. business as usual. Kartel system
sasa kama issue ni mkandarasi kutozwa faini kwa kuchelewa kumalizia kazi, si tumepigwa vipi? acha ubabaishaji
Serkali ya ajabu kweli kweli inaharibu inacheza na kodi za watazania ila magufuli aliwatoa wapigaji akina makamba Samia akawarudisha magufuli alisema pia akifa miradi hii haitakamalika ni kweli serikali haina mpango wa kuwasaidia watanzania wizi mtupu na rais anahusika
Mbuzi na ng' mbe wakifika kwenye shamba lamahindi hawagombani wao nikushambulia mahindi tu.nasisi wenye shamba bahati mbaya nivipofu lazima shamba lilishe
Mwamba ana maneno mengi yaliyobeba chuki...
Chuki au chaki😅😅😅,
Ww ndio una maneno ya chuki ,yy anaongea open ,
Mjibu Kwa data
Hana chuki ila anachokisema kimetokea na ana uchuing na nchi yetu! Ama hapo kakosea, nepotism ndiyo inayoiua nchi yetu na kusabisha corruptions za kila aina na wala hakuna accountability, halafu wewe unasema chuki!
😂😂(mbu)³
Watakuua
Watamuua kweli.
Ila bora aongee ukweli anaoujua....
Mijizi imejulikana...
Halafu wanatuambia tulipe mitozo, tozo...
Ni vizuri kama wangekuwa wanatumia pesa vizuri....
Nani ambaye hatakufa? Unaishi Ili utende dhambi? Mwisho wake nini?
Kwani watakaomuua wao wataishi milelee?
Serikali isipochukua hatua yoyote mi moja kwa moja najua huyu yupo kimkakati anaandaliwa kuwa raisi,
Huyu amejaa chuki tupu maisha ya chuki ni tatizo kubwa. Yeye alipewa wizara alishindwa sasa anataka wenzie waonekane wamwshindwa eti wakamatwe. Ushauri wangu huyu amechangia kuuwa wananchi kwa kuchoma nyavu zao. Yeye ndiye akamatwe huyu ni mtu wa kupuuzwa
Siyochuki
Sijaonachukibinfsihapo yuposahii
Sio chuki hao mawaziri wezi
Hivi mama unaona haya mambo umenyamaza tu
We ujitambui akili kisoda rudi shule
Alichoma nyavu kwa mujibu wa Sheria hayakuwa maamuzi yake ila ilikuwa shelia