MPINA ATOA TAARIFA YA KUTISHA HIVI PUNDE! "RAIS SAMIA UKO WAPI?/NCHI YA NAMNA HIYO LAZIMA IPINDULIWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 113

  • @Wiope430
    @Wiope430 5 месяцев назад +7

    Mungu akubariki MH. Mpina. Umeongea points muhimu

  • @jobjohanes9166
    @jobjohanes9166 5 месяцев назад +1

    Asante sana mpina❤❤❤❤

  • @juliusjohnii7823
    @juliusjohnii7823 5 месяцев назад +2

    Mpina weee ni mtetezi wa kweli kwa Taifa letu 👉👉👉👉 Tanzania
    Mungu Akubariki,akulinde, Akuongoze salama tuuu siku zote 💪💪💪💪

  • @osodowilberforce
    @osodowilberforce 5 месяцев назад +1

    Mhe.Mpina,nakushukuru sana kwa kuwa na maono yenye busara kweli.You have a VISION NOT ONLY FOR EAST AFRICA BUT TO THE AFRICAN CONTINENT.

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 5 месяцев назад

    Bravo , bravo Mpina. Yaani tungepata wakina Mpina watu Tu Nchi ingetoka hapa.

  • @kibolasaidikibora3052
    @kibolasaidikibora3052 5 месяцев назад +1

    Mungu akubariki sana sisi madereva tunapuuzwa sana hapo umenigusa

  • @regnbertymgina7164
    @regnbertymgina7164 5 месяцев назад +6

    Mpina we acha mungu anajua,kwasasa tanzania haijulikani tunako kwenda,tushukuru sana watanzania wanauzalendo mkubwa inhekuwa nchi nyinhine machafuko yangetokea

  • @MichaelLaizer-fb5kt
    @MichaelLaizer-fb5kt 5 месяцев назад

    Mh mpina keep it up,

  • @MoJunior-n5o
    @MoJunior-n5o 5 месяцев назад

    Ubarikiwe sana tumekuelewa mno Tatizo kubwa na shina ni watawala wetu.

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 5 месяцев назад +1

    Mpina upo vizuri,unaenea vizuri katika kiti chako.

  • @martiniphilipo5229
    @martiniphilipo5229 5 месяцев назад

    Mpina mungu akulinde kuna kitu umenifundisha leo

  • @fastonsambo-du4rd
    @fastonsambo-du4rd 5 месяцев назад +1

    Uko vizuri Mungu akubariki sana

  • @johnnyoni7571
    @johnnyoni7571 5 месяцев назад +1

    Mpina unaongea mambo mazuri na ya mhimu sana ,mhina upo vizuri sana ,

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 5 месяцев назад

    Mpina ni kiongozi bora mungu akulinde

  • @abdallahnkrumah6237
    @abdallahnkrumah6237 5 месяцев назад +1

    Nakupongeza Sana Mpina japo tunafahamu NABII akubaliki kwao

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 5 месяцев назад +2

    Nina mashaka kama mh Rais anaitizama hii clip ninge coment kitu any way mungu ibariki tanzania

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 5 месяцев назад +1

    Mpina iko vizuri utaaminiwa na wananchi kiujumla.
    Ukiwa humo ndani hutaweza kufanya makuu.
    Nchi hii inahitaji viongozi kama wewe.
    Jiongeze uenxe upande wa pili upaishwe juu.
    Big up.

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 5 месяцев назад

      Upande wa pili nao una shida sana ndugu yangu nako ni kama ccm tu

    • @King_186
      @King_186 5 месяцев назад

      Upinzani wa kweli unatoka ndani,,,

  • @AlbertRemmy
    @AlbertRemmy 5 месяцев назад +2

    Huyu mpina anajua mambo mengi sana kama tundu lisu

  • @daudifungo5521
    @daudifungo5521 5 месяцев назад

    Daaaah!!!!!

  • @jameskagulu4228
    @jameskagulu4228 5 месяцев назад

    Mwamba yupo sahihi sana, kila kitu anaongea point sna

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 5 месяцев назад +2

    Wananchi mkiambiwa dai katiba mpya ili mamlaka ya rais yaounguzwe
    Mnasema mama anaupiga mwingi haya sasa

  • @jacobnghwani1891
    @jacobnghwani1891 5 месяцев назад

    Kazi iendelee kaka

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 5 месяцев назад +3

    Huyu mbunge ana akiri sana Mpina

  • @isaacalex6327
    @isaacalex6327 5 месяцев назад

    Kazi yako nijnema mpina ila kunawatu wasio julikana Mungu akulinde kwa mkono wake mwenyewe

  • @johnnyoni7571
    @johnnyoni7571 5 месяцев назад +1

    Mama ,Hawa ndio watu wakuwapa nafasi huko juu

    • @georgesolos344
      @georgesolos344 5 месяцев назад

      Hawezi kumupa nafasi kwani angalia wateule wa Raisi wengi ni form four failure including Raisi mwenyewe, wakajiendeleza na certificate za kuokoteza na kupata degrees za open university na distance learning lakini uko nyuma ni makalai matupu, makamba form ni mojawapo, nape ni mojawapo etc ndo maana JPM aliwapiga chini. Mama type yao kawarudisha hivyo usitegemee miujiza IQ zao including Raisi mwenyewe ni ndogo sana.

  • @leahmollel6589
    @leahmollel6589 5 месяцев назад +1

    Huyu kama mwenda zake! Mungu atuinulie mtu😭😭

  • @ShamteMohmed-ed2kk
    @ShamteMohmed-ed2kk 5 месяцев назад +2

    Kaka mbona mambo mengi unayozungumza ni ya zamani na ulikuwa waziri. Ungesema wakati huko waziri nikuelewa sana.

    • @jayzeem14
      @jayzeem14 5 месяцев назад

      Na kweli!! Mahali sahihi ni bungeni kuyazungumzia

    • @josephmussa0625
      @josephmussa0625 5 месяцев назад

      Hawapewi mda mzuri pia hii inawakilisha vzur

  • @Niika870
    @Niika870 5 месяцев назад +3

    Hivi mnaenda kujenga Nairobi, Zambia mnaweka kitega uchumi ? Kwani Nini msijenge Dar, Dodoma, Arusha Kwa sababu zile ni chi nyingine je sku ikatokea , Diplomasia imevunjika haya majengo mtayapata?

    • @simonmwaliru8590
      @simonmwaliru8590 5 месяцев назад

      Kumbuka mwekezaji mkubwa huko China, ni umoja wa ulaya. Hata Libya imewekeza sana kwenye mataifa ya Africa.

  • @madenge731
    @madenge731 5 месяцев назад +3

    Huyu ndiye mbunge pekee ninayemtambua

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 5 месяцев назад +1

    Nadhani ni vizuri kuwa na vyombo huru vya kutoa habari za mhimili wa Bunge.

  • @Ahmed-do1wb
    @Ahmed-do1wb 5 месяцев назад

    Sawa mpina

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 5 месяцев назад

    Mpina unaakili sana .

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp 5 месяцев назад

    Kwa kweli Mpina MUNGU AKUBARIKI na AKUINUE KWANI UMEKUWA MTETEZI WA WANYONGE.

  • @NAFTALIMUNDANGA
    @NAFTALIMUNDANGA 5 месяцев назад +1

    Mpina toka CCM nenda kaungane na wenzio akina Mwambukusi, Madeleke na Slaa. CCM watakuchafua. Nawe utaonekana ni MWIZI

  • @chunoKisuma
    @chunoKisuma 5 месяцев назад

    Mpina rais wangu ajae

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 5 месяцев назад

    Kwa faida ya nani?

  • @angelsgabriely3575
    @angelsgabriely3575 5 месяцев назад +2

    Mpina,mpina,mpina,..nakutaja mara tatu!!!...mungu akulinde wasije wakakuuwa km walvyomuuwa Magufuli!..wapiga dili na walaji wa nchi hawakupendi kwasababu unaweka wazi dili zao za upigaji!..Wazalendo tunakupenda na tunazidi kukuombea mungu akulinde

  • @ShabaniMukose
    @ShabaniMukose 5 месяцев назад +2

    Watoto wa Familia wakiwa Wanakulla na kulala kwa Amani wanalindwa, Hawajuii namna ya kulala na njaa kwa juhudi kubwa ya wazazi na ndugu zao, Hawawezi kupanua fikra zao!

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 5 месяцев назад

    Anafaa kuwa Wazili Mkuu,Ila changamoto ni Moja Kisha pewa cheo hicho hawezx ongea tena😢 bora aendelee kuwa hivohivo😅

  • @PULKERIAIZIDORY
    @PULKERIAIZIDORY 5 месяцев назад

    Mpina wewe unafaa Mungu akusimamie umetetea sana vijana wetu waziri huyo ni mdhaifu sana ni mpiga diri si ulimuona kwenye nishati hana sifa za kuwa waziri ila basi tu

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 5 месяцев назад

    Kwakweli hili jambo linanidhi sana tena sana unakuta bunge lipo live halafu linakatwa

  • @yamungungendu4839
    @yamungungendu4839 5 месяцев назад

    Hotuba Imeshiba sana na ina Akili nyingi

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 5 месяцев назад

    Hakuuliza bungeni? Waandishi watampa taarifa gani?

  • @saidymbila57
    @saidymbila57 5 месяцев назад +3

    Acha roho mbya mpina mama Samia siyo chaguo lako Wala Hana mpago nawewe

    • @LameckLameck-v9r
      @LameckLameck-v9r 5 месяцев назад +1

      Hevi watanzania tutabadirika lini mpina anaeleza kitu cha maana ww unajibu utumbo, tu sijui shule ya kata ndy umesoma

    • @josephngassa7073
      @josephngassa7073 5 месяцев назад +1

      Ukijielewa utaacha ujinga.mpina tunamweleea wegi kuliko wewmojapumbavu

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im 5 месяцев назад

      Hana shida na Samia, Ana shida na wanaohusika na mambo ya nje na pia waziri Nape. Kupanga kuwekeza kujenga nyumba nchi za nje, wakati hata bara bara zetu hazipitiki. Huu ni uwekezaji wenye nia ya kuwadanganya watanzania na kuwaibia. Tuna nyumba na viwanja nchi za nje ambazo serikali haina habari na nyumba hizi, ziko kwenye hali mbaya. Tunaruka na kutaka kuanzisha uwekezaji ambao utawafaidisha watu wachache na ndiyo wanalenga kuanzisha, ujinga huu. Sio kwa manufaa ya watanzania bali kwa watu binafsi

    • @martiniphilipo5229
      @martiniphilipo5229 5 месяцев назад

      We jamaa ww

    • @mwambaimara1950
      @mwambaimara1950 5 месяцев назад

      BORA UKABILA KULIKO UDINI ULIVYO SASA HIVI!!

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 5 месяцев назад

    Changamoto kubwa sana

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 5 месяцев назад +1

    Mpina wewe ni zaidi ya wapinzani unaikosoa sana serekali yako ya ccm uko tofauti na wanaccm wenzio wenzio wanasifia wewe unakosoa

  • @josephngassa7073
    @josephngassa7073 5 месяцев назад

    Mh Mpina komaa na wizi huo mkubwa

  • @onesmomashembo8495
    @onesmomashembo8495 5 месяцев назад

    Azam tv itoshe tu kusema ndio TV ya Taifa big saloot mh Mpina

  • @johnmlangi6890
    @johnmlangi6890 5 месяцев назад

    Uwiii! Mbona tunashida kubwa sana na wengi wa mawaziri wetu? Majority of them lack Integrity, and the appointing Authority & Parliamentarians including the Speaker, don't seem to be bothered at all. Anabaki Mbunge moja tu anakuwa bothered na Kutujuza Wananchi?

  • @lucianoshija1292
    @lucianoshija1292 5 месяцев назад +1

    Hata mimi ninaunga mkono matazo haya hayatakiwi katika nchi yetu

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 5 месяцев назад

    Mweshimiwa Mpina nasikitika uko na mawazo mazuri lakini walio juu yako wapo kama vibalaka wwazungu

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 5 месяцев назад

    Na ndo wenzake wa chama chake wanachukia anapotuvumbua macho wa Tz lkn sahizi hatudamganyiki mungu wetu halali

  • @salimusafuko8594
    @salimusafuko8594 5 месяцев назад

    😂😂😂 mpina unahaha kutafuta uwazli huupati ng'o 😂😂😂😂 magufuli alishakutumbua 😅

  • @ElibarikiEliud
    @ElibarikiEliud 5 месяцев назад +1

    Hamza ww ni mtanganyika kweli.unamkandia mpina kweli.huyu anapaswa kuwa rais wa nchi..sio hawa waliopo

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 5 месяцев назад

    Huyonaye ...mifipailiyomshindafisi au vinginevyo kama kamashirikisho la Afrikamasharikililivunjika kwahujuma .

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 5 месяцев назад

    Usichoke kushauli wara usiogope wewe njelukasaka tutemeke sanga dr.lamwai mungu atawalipa

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 5 месяцев назад

    watanzania tuache umbu mbu!!tukajenge Kinshasa? hatukubali,hatukubali,hatukubali!

  • @HashimuHashboy-bo2wl
    @HashimuHashboy-bo2wl 5 месяцев назад +4

    Mpina ww utabaki mtanzania pambana unaeleweka

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 5 месяцев назад

    Upo sahihi kabisa Waziri tatizo nchi nyingi za Africa zinatumiwa na manyang'au bila kujali maslahi ya Africa ni mtihani mkubwa..Huwezi kushirikiana na nchi inayoongozwa na Ruto anakodisha ndege mpaka marekani kwa kwa maslahi ya manyang'au unategemea nini hapo? 😂😂 Africa asimilimia kubwa ni uozo mtupu

  • @macleanuronu2899
    @macleanuronu2899 5 месяцев назад

    Mpina una mawazo mapana sana sijui utafanyaje viongozi wa Africa wakusikie wakuelewe ikiwezekana wakupe nafasi ushirikiane nao kuwafanyia kazi mawazo haya yenye lengo la Africa kujikomboa

  • @AlbertRemmy
    @AlbertRemmy 5 месяцев назад

    Huyu muheshimiwa mpina huwa namuelewa sana. Tungeweza kupata wabunge kumi tu wenye moyo wa kizalendo kama mpina tungefika mbali.

    • @leahmollel6589
      @leahmollel6589 5 месяцев назад

      Hata watatu tuu😭🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @godwinnkya2023
    @godwinnkya2023 5 месяцев назад

    Bunge hili limekosa uhalali kutokana na lenyewe kuwa zao la wizi wa uchaguzi 2020,hivyo kuifanya hata serikali yenyewe kuwa dhaifu,msikilizeni Mpina na Chadema,Rais yuko wapi,anamwachia Kinana ??

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 5 месяцев назад

    Vichwa vinavyo kula samaki na maziwa ni kama hivi

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 5 месяцев назад

    WAACHENI HAO MAJESHI WAFE TU MAANA KAZI YAO NI KUIBA KURA TU KWA AJILI YA CHAMA CHAO CCM. KUFENI TU WANAJESHI NA MUAANGAMIE🤣👁️👁️

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 5 месяцев назад

    Nchi hizo miakayote mapiganohayaishi niviongoziwengi nivibaraka wamabeberu wanagawamali zanchi zaokwamabeberu wakiawaacha uchiwananchiwao .

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 месяцев назад

    Hivi kwa nini ni Mpina peke yake ndiye anaye ongea peke yake ndiyo anayeona mambo ya ajabu? Na atatumia mabillion ya pesa tele? Hivi ninyi watawala wa CCM kwa nini mbadhani mnaweza kuzichukulia mapesa bila hata wanainchi kujua kinachoendelea? Hivi Inchi ni kama ya wabunge tu sisi tunakumbukwa tu ikifika kutafuta ubunge. Ninyi wabunge wa CCM ni wabunge ni waajabu mkiingia bungeni mnakuwa miungu na ndiyo sababu hamtaki kubadirisha KATIBA ili iwalinde CCM kufanya mnavyotaka. Mkiwa miungu wa Inchi hii. Nasi wanainchi tukiwa watumwa wenu.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 месяцев назад

    Tulisgaongea tbc ni mali ya watanzania tax payer ya watanzania watanzania Wanaitaji kupata habari zote za upinzani na chama tawala

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 месяцев назад

    Lessening mp.mpina you have big brain into c cm leadership as the mp on ccm leadership but stand of ccm put big brain on high position but vary disappointed to see Africa leadership is about been papet select pasonol on been papet position all this your explain vary understand thing underground but they hart you like njelu kasaka tim temeke sanga and ather politician into ccm leadership but they have been crust under ccm leadership you have big history kenya Zambia tanzania tell ccm leadership but because if been have coruption people saround exelence president Samia sluu snd are clouse advise exelence president Samia sluu all big challenge vary braiv mp mpina under ccm leadership as the mp they wont leasening you complite but you have spoken reality underground

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 5 месяцев назад

    Suk Gang

    • @sebastiansalamba313
      @sebastiansalamba313 5 месяцев назад

      Acheni hakuna kitu kama hicho na kama kitaamliwa hivyo kitatisha lkn nchi hii Haina ukabila isipokuwa mnataka kuuleta Kwa kauli zenu,sikiliza hoja haijalishi katoa nani anatoka wapi unahiari ya kukubari hoja au kupinga hoja !!

  • @saidymbila57
    @saidymbila57 5 месяцев назад

    Sukuma gen utaumie Bure mzee wewe ni fala tu

    • @dennisbarongo2411
      @dennisbarongo2411 5 месяцев назад

      matusi ya nini tumia akili yako vizuri

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 5 месяцев назад

      "Sukuma gen" ndiyo nini? Haya mbunge anayoongea hayawezi kueleweka kwa "ngumbaru" maana uwezo wa ufahamu, kutafakari na kujenga hoja kimantiki huna na badala yake unajificha nyuma ya ushabiki, unafiki, uzandiki, ubaguzi na matusi!

    • @victoriabernard5287
      @victoriabernard5287 5 месяцев назад

      Ufala wake nini? Kama huelewi anachoongea nyamaza

    • @vicentkibirit9637
      @vicentkibirit9637 5 месяцев назад

      Hakili Yako Niya kamasi, siyo ubongo

  • @saidymbila57
    @saidymbila57 5 месяцев назад

    Acha kumsifia raid Samia kinafik

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 5 месяцев назад

    Kuwepo na gazeti la Bunge,radio ya Bunge na hata TV ya Bunge ili tupate sisi wananchi taarifa zilizochujwa vizuri siyo hizo za serkali au watu binafsi.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 месяцев назад

    This brain could be foren minister of tanzanian has big brain sense weekiness of Africa and how could we solve Africa problem

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 5 месяцев назад

    Ni kweli unajitahidi kuongea ukweli shida hivyo kuyasikiliza na kuyafan yia kazi

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 5 месяцев назад

    Wabunge wetu hawana jipya zaidi ya kuchezea fedha za serikali na hawajali yeyote kama watumishi wa umma
    Mfano wabunge miaka mitano tu zaidi ya million 250 na magari ya thamani ya juu , wakati mtumishi anakaa miaka 38 kazini alf analipwa million 85 na inategemea na kada yake na wakati huo hata baiskeli hapewi na yupo kazini asubuhi hadi jioni
    Wakati huo wabunge jimboni hawaonekani na hakuna sheria ya kuwabana
    Kwa ufupi UZALENDO hakuna na roho mbaya zinatafuna mno nchi nyingi za Afrika

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 5 месяцев назад +2

    WEWE MBONA UNAKUWA NA MUAMKO POTOFU WEWE MBONA UNAKUWA NA ROHO KAMA ZA WATUSI NA WA HUTU UKABILA SANA KAMA NIWASUKUMA HAUWAKOSOWI WEWE UKIPATA URAISI. UNAWEZA KUHAMISHIA MAKAO MAKUU YANCHI UNAWEZA KUHAMISHIA CHATO

    • @isaacvtv547
      @isaacvtv547 5 месяцев назад +2

      Kutokujua ndio kutokuelewa. Makabila yote hayo yamejaa Tanzania ila wengi hawawajuwi. Wahaya ni Akina nani kama unaelewa, wamasai ni Akina nani? Duh

    • @misanaantipas8338
      @misanaantipas8338 5 месяцев назад +1

      wewe jamaa hujaelewa kamwe

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 5 месяцев назад +2

      Tombanyoko

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 5 месяцев назад +1

      RIP JPM

    • @fredysiwale5413
      @fredysiwale5413 5 месяцев назад +1

      Angalia hoja zake na sio kuangalia kabila lake hoja ya mh mbunge ni ya kitaifa sio ya kijimbo

  • @saidymbila57
    @saidymbila57 5 месяцев назад

    Wewe kumbe ni mjinga kias hicho mbona wakat wa magufuli haukusema hayo ya bunge love mzee wewe utaisoma no January makamba oooyeee

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 5 месяцев назад

      Magufuli alikua ana uzalendo wa hali ya juu sana.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 5 месяцев назад +1

      Saidy. Dunia ni ya watu walio hai. Sio waliokufa.

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 5 месяцев назад

      Anayoongea Mpina, ndio yalitakiwa ayaongee Makamba. Unasemaje Makamba oyeee? Unaelewa kinachoongelewa?

  • @user-sr9js6rj5v
    @user-sr9js6rj5v 5 месяцев назад

    Tueleze kuna amani gani america kama sio kuua watu wa nchi zingine. Achana na siasa za nje wewe fuatilia ya ccm

  • @madenge731
    @madenge731 5 месяцев назад +2

    Huyu ndiye mbunge pekee ninayemtambua

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 5 месяцев назад +1

      Mtambue na waziri wa kilimo, anza kumfuatilia.