RECAP: KWELI SEAN PAUL HAMJUI DIAMOND?? Hakuelewa SWALI, ALIKIBA, NANDY walifunika JAIVAH ametukosea

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 90

  • @SelemaniKupaza
    @SelemaniKupaza 18 часов назад +3

    Wewe mwenyewe inaonekana ni chawa wa diamond😂😂😂😂

  • @RutahushaSafari
    @RutahushaSafari 22 часа назад +3

    Hamjui bhana usilazimeshe kila mtu amjuwe😂

  • @amanitaura85
    @amanitaura85 21 час назад +4

    sema waandishi wa tanzania hamjui kengereza

    • @josephkessy4512
      @josephkessy4512 3 часа назад

      Sasa ww hata icho kiswahili ujui 😅😂

  • @EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x
    @EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x 15 часов назад

    Bien compris Mr Elmando 🇨🇩

  • @SulutaniMaclab-q1u
    @SulutaniMaclab-q1u 11 часов назад

    Thanks bro for correct your colleagues about junior question it means level of that journalist it still low serious

  • @jumasauti6120
    @jumasauti6120 9 часов назад

    12:41 ,Is it I'm here for learning or for learn...!!!! Sijakuelewa bwana mwandishi pia na wewe hapa

  • @WendoJuma
    @WendoJuma День назад +3

    Sio *Shaa Mpoo* ni *Sean Paul*

  • @jasmineeomary2041
    @jasmineeomary2041 13 часов назад +1

    Uyu kila kitu anajifanya anajua

  • @JijoSawen-v6b
    @JijoSawen-v6b 14 часов назад +1

    You can't force somebody to know someone he doesn't know 😂

  • @AdamLameck-x5n
    @AdamLameck-x5n 13 часов назад +1

    Umeumbuka mzeee

  • @Isaac_Nehemia
    @Isaac_Nehemia 7 часов назад

    Una force jean paul amjue mondi 😂

    • @EvarineTopa
      @EvarineTopa 2 часа назад

      Anakujua wewe si msani pia 😂😂😂

  • @bigwignoel
    @bigwignoel 21 час назад +1

    I'm here to learn, sio I'm here for learn

  • @DFIGHTERBA
    @DFIGHTERBA 18 часов назад +1

    Yaah

  • @MariJunuior
    @MariJunuior 20 часов назад +3

    Sean Paul...kweli amem follow diamond...ila tuoneshe comment yoyote Ile kama ushaidi..Sean Paul alishawai ku comment kwa diamond..kusifia kazi yake au kumpa pongezi..kama tunavyoona wakina Jay z wanavyotoa pongezi kwa kina burna boy.. nasty c wa south..kuna ushaidi wa comment
    .uyo Sean Paul anaweza kum follow mtu Wala asimjue😂😂

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 13 часов назад

      Huo ni unafiki wako huwei kumfollw msanii amabye humjui ng'o, Watangazaji wa tanzania hawajui kingereza vizuri kwa kile ningereza cha kiswanglish Sean Paul unadhani angeelewa ameulizwa nini? acha umbea wewe

  • @DanielGideon-z1y
    @DanielGideon-z1y 11 часов назад

    We mwenyewe mjinga hujui kuchambua unakuja kumdanganya nan Sasa point gan tuielewe ...et elewa point we mbwa kwel

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni День назад +2

    Kwan mziki hunacha uzee hunafaha kuimbaa mpk kikongwee

  • @IreenJuma-b4t
    @IreenJuma-b4t 12 часов назад

    Diamond hajulikan taka bwana chawa.we😂😂😂😂😂😂

  • @MariJunuior
    @MariJunuior 21 час назад +1

    Diamond platinumz akitaka kujulikana international na kufanya vizuri..kwanza ajifunze English nzuri pia ajue kuimba kwa English mwanzo mwisho ata nyimbo 4..kama tyla vile anavyofanya..Sean nyimbo zake ameimba English zote..ambazo zimeshika 10 ya billboard Hadi to 100..ndio maana anajulikana international..uyo diamond platinumz English yake yakuunga UNGA...yani bado Sana...razima tukubali ukweli...tuache kujifanya tumefika kimataifa wakati bado sanaaa😂😂😂

    • @BenMamadou-w9e
      @BenMamadou-w9e 19 часов назад

      Nonsense unaongea music sio English warabu na Latino hawaimbi English Ila ni level zingine ao hujui music sio mpaka English music mzuri unajiuza wenyewe na diamond anajulikana international sio unataka internation ya aina gani

  • @heritierpaluku7320
    @heritierpaluku7320 15 часов назад +1

    El bando chawa kabambi

  • @DanielGideon-z1y
    @DanielGideon-z1y 11 часов назад

    Nyie waandishi mna shobo sana tulizeni vimbelembele hivyo

  • @wilonjaalex
    @wilonjaalex 18 часов назад +1

    kwenda zako Sean paul amjui diamond kk😂😂😂😂

    • @coolbz133
      @coolbz133 18 часов назад

      😂😂 duu wampiga za uso nomaaa

  • @Don.26Alien
    @Don.26Alien День назад +1

    🎉 wakwanzaa leo

  • @EleRicardo-t2p
    @EleRicardo-t2p 9 часов назад

    Bumbafu alisema amujuwi uyo diamond Acha usamba amujuwi uyo Boss wako mondi pumbafu

  • @omarzinga7046
    @omarzinga7046 День назад

    In terms of musish🤣🤣🤣

  • @AlainShogonya
    @AlainShogonya День назад

    Ma reporter wenye hawakusomea kazi zoa ndo hivo tu.
    Just continue to educate them mdogo mdogo hivo bro.

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 11 часов назад

    Kwani wasanii wote wanamujua diamond wako?

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 19 часов назад

    Shampoo ni nani wacha ujinga wewe 😂😂😂

  • @EmileClaver
    @EmileClaver 22 часа назад

    Inabidi ukamuhoji liamujue

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 День назад

    tupromot muziki
    tuimbe live
    mapungufu
    msanii mkali
    africa mashariki na zenginezo
    hizo maneno jamaa hawezi kosa kuzitaja kwa kila vide hebuu mskize vizuri😂😂😂😂

  • @zainabuabdul7852
    @zainabuabdul7852 16 часов назад

    Hivi kwani ni laxima amjue hamjui

    • @Kiyama-g8f
      @Kiyama-g8f 13 часов назад

      HAJIELEWEI HUYU DOGO;NJAA ITAMUUA

  • @coolbz133
    @coolbz133 18 часов назад

    hamjui diamond usituletee

  • @AdamLameck-x5n
    @AdamLameck-x5n 13 часов назад

    Ulitaka ajibu vp

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 День назад +2

    Kama kawaida yako Unajitekenya na kucheka Mwenyewe

  • @blesmedia689
    @blesmedia689 22 часа назад +2

    Acha kujisumbua hamjui Diamond sikilamtu anamjua 😂😂😂😂

  • @johnnchora3215
    @johnnchora3215 День назад +1

    2

  • @SulePonda
    @SulePonda 21 час назад

    Pia mm cmujui diamond

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 15 часов назад +1

    Kwani kutomjua mtu ni kosa?wanaomtukana. No wasenge

  • @DanieliFalesi
    @DanieliFalesi 14 часов назад

    Kumbe ww waga matako sana

  • @V.6ixEmmanuel-w2g
    @V.6ixEmmanuel-w2g 18 часов назад

    Nenda huko kenge ww diamond Bado ni mdogo angeulizwa kuhuxu unajua burna boy au davido au wizkid ungeona

  • @amanitaura85
    @amanitaura85 21 час назад

    watanzania jifunzeni kuuliza maswali msikurupukwe tu hilo swali huyo mwandishi wa habari hakuuliza vizuri sababu hajui kingereza

  • @hassanYusuf-n4o
    @hassanYusuf-n4o 17 часов назад

    Tatizo ujuwaji mwingi wandishi wanajipendekeza kwa wasanii

  • @kenrifambi
    @kenrifambi 17 часов назад

    Kama Sean Paul alisema pia hajui Bongo flava

  • @jamiljamal5067
    @jamiljamal5067 19 часов назад

    Wewe Nani mpaka mpaka unakosoa wasanii... Kama kweli unajua imba na wewe basi kama vipi imba na shampoo nawee...

  • @JanetKwamboka-nk6rh
    @JanetKwamboka-nk6rh День назад

    Alielewa alicho ulizwa sikiza tena ayo maojiano 😂😂😂 ajulikani bro

  • @selemanially-c3h
    @selemanially-c3h 18 часов назад

    Wewe ni mshabiki wa diamond au una tafuta kazi wcb au basi njoo marecan ufike Ohio State Cleveland nikupe job

  • @alishahame9294
    @alishahame9294 18 часов назад

    Hili suala la lakuumiza sana. Pole kaka kilichomleta sio Mwambino so wewe mbebe unaempenda ila siye aliyemleta .....

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 22 часа назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @filskischannel9737
    @filskischannel9737 23 часа назад

    Mwandishi: do you know Diamond?
    Sea Paul: No , I'm here to learn .
    Mwandishi: komasava
    Sea Paul: ça va bien mambo poa abari gani you know what I'm saying.
    Sasa apo mutasemaje Sea Paul alielewa swali ? Jibu ni kwamba Sea Paul hakuelewa chochote alichoulizwa na mwandishi....
    Waandishi wa Tanzania hawajui kingereza(kizungu)... accent mbovu sana...how can you expect an American artist to know what you are talking about with such poor accent 🤔🤔🤔

  • @JacksonMwanyamba-r1n
    @JacksonMwanyamba-r1n 18 часов назад

    unapambana sana kumkuza dia aonekane mkubwa duniani lkn ujue tu Tanzania hatuna msanii mkubwa duniani.hakuna msanii mkubwa anafanya show ulaya kwenye viukumbi vidogo ukiona msanii anafanya show kwenye viukumbi vidogo ujue huyo sio mkubwa

  • @Kibabe2024
    @Kibabe2024 14 часов назад

    Jamaa hamjui mond mond unamjua wewe 2 ulaya hawamjui kama kunamsanii anaitwa mond sio km hakuelewa swali Arimondo wewe unalipwa ili uharibu maisha ya watu ndio ujue km kimasava nisalamu2 sio nyimbo ndio mana

  • @josephkessy4512
    @josephkessy4512 3 часа назад

    Wabongo hawapendi watu wafanikiwe watu wako na chuki na watu wa sio wajua

  • @Busagotz
    @Busagotz 15 часов назад

    Unajua wewe nashindwa kukuelewa wewe ni wasafi au mchambuzi sasa wewe unataka ulazimishe Diamond mpaka wamjue ni mdogo wewe kubali sio kubisha😂😂😂 wewe wa wasafi tuu

    • @Kiyama-g8f
      @Kiyama-g8f 13 часов назад

      KIAZI SANA HUYU DOGO;INAONEKANA NI TAWI LA WASAFI

  • @issashabani-c7r
    @issashabani-c7r 19 часов назад

    Kwaiyo ku mfollow mtu ndo kumjuwa mtu na msanii mkubwa kwako wewe swali kalielewa na kasema hamjuwi usilete usenge wewe

  • @JacksonMwanyamba-r1n
    @JacksonMwanyamba-r1n 19 часов назад

    inamana wewe unavyomjua diamond unahisi kila mtu anamjua? swali alielewa vizuli hamjui kweli kama hamfuatili atamjulia wapi

  • @DeoZabron
    @DeoZabron 11 часов назад

    Ila wewe jamaa fala kweli kwann usingemuliza wewe

  • @MariJunuior
    @MariJunuior 21 час назад +1

    Unajaribu ku defend rakini aimeki sense still...kiukweli diamond ajulikani marekani Wala wingereza..jaribu kuenda marekani kwenye street..arafu Fanya interview na watu wa America..waulize mnamjua diamond platinumz..watakwambia atumjui kwasababu akuna nyimbo yake ata Moja iliyowai kuwa kwenye top 10 zao..huo ndio ukweli uwezi badili chumvi kuwa sukari...never ever my brother...au nenda U.K kwenye different Areas uliza wazungu 10.. akuna ata mmoja atakae sema anamjua diamond platinumz.. that's the fact bro..we can bet for that me and you.

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 19 часов назад

      Wacha ujinga! Wewe ukijulikana marekani inatosha

    • @kenrifambi
      @kenrifambi 17 часов назад

      Sean Paul lakini ni msanii sio the general mass

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni День назад +8

    Inawezakan wamfollow mtu hamjuwi alafu wewe sio mchambuzii uko shabiki wa wcb fala ww hujielew

    • @cboymusik
      @cboymusik День назад +1

      Acha uboyaaa

    • @filskischannel9737
      @filskischannel9737 23 часа назад

      Anaongea point , Sea Paul hakuelewa swali aliloulizwa. Waandishi wa Tanzania siyo professional hata kidogo... Kwanza hamujui kingereza.... accent zenu mbovu ...

    • @sagatv4306
      @sagatv4306 17 часов назад

      Point Gani? Mbona ni shabiki wa wcb
      Tumecoka na content Moja ya kusema mwambino

    • @simbaedouardo8499
      @simbaedouardo8499 16 часов назад

      Wewe ndo hujielew mpaka unakuj kutukan comment

    • @MogelaNdasa
      @MogelaNdasa 15 часов назад

      Acha makasiliko huu mchezo hauitaji hasiraaa😂😂😂😂

  • @RamaMatongo
    @RamaMatongo День назад

    Mwana habari chawa

  • @hamidukhatibu
    @hamidukhatibu 18 часов назад

    tukuweke bas wewe uchambue acha ukuma wewe et shabik wcb yani mtu asiongee ukweli kweli nmegunduwa wewe ni mk wa amonaiz kaka wambie ukweli

  • @kishokasalim8316
    @kishokasalim8316 День назад +1

    Hajulikani huyo mtu wako ja waongea mengi ju ya huyo bibi ya p Diddy

  • @Divar01-tx8wl
    @Divar01-tx8wl День назад +3

    Kaka ujui aki ya mung nakwambia uyu diamond na COMASAVA yake uka jua kila mtu atamjua dhuuu kweli Akili Mali uyo Ni mkubwa Tz seem zingine

    • @habelvumbi7016
      @habelvumbi7016 21 час назад

      Nd huyu Jamaa hua anaskia vibaya saile MTU amesema hamjui diamond 😂

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 13 часов назад

      ​​@@habelvumbi7016 Watangazaji hawajui kingereza vizuri, sean Paul hakuelewa aliulizwa nini? huo ndio ukweli tena ulio uchi

  • @NelmiceMusic037
    @NelmiceMusic037 День назад

    Huyu naye Kila siku anamprotect diamond...ama unakula sahani moja na babalevo

  • @eliud21savage48
    @eliud21savage48 День назад

    We jamaa ni chawa kumbe

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 День назад

    Ko we pekeako ndo unaamaanisha ulimwelewa?? Huo ujinga unaoufanya unajishuahua Brand.

    • @filskischannel9737
      @filskischannel9737 23 часа назад

      Ndo ivyo hakuelewa swali...clip video iko wazi wazi.... waandishi wa Tanzania hawajui kingereza(kizungu) accent mbovu sana , Sasa unategemeaje yule Sea Paul na accent ya America aelewe accent zenu zauongo za tz

    • @benedictinelusambo069
      @benedictinelusambo069 16 часов назад

      @filskischannel9737 hii ni changamoto sana yan

  • @onyangoduncan-f2z
    @onyangoduncan-f2z День назад

    Kwenda uko huelewi ata kingereza chepesi hii chanel ni ya upuzi huelewi kitu acha ushabiki ongea sense

  • @Divar01-tx8wl
    @Divar01-tx8wl День назад

    Kaka ujui aki ya mung nakwambia uyu diamond na COMASAVA yake uka jua kila mtu atamjua dhuuu kweli Akili Mali uyo Ni mkubwa Tz seem zingine

  • @Divar01-tx8wl
    @Divar01-tx8wl День назад

    Kaka ujui aki ya mung nakwambia uyu diamond na COMASAVA yake uka jua kila mtu atamjua dhuuu kweli Akili Mali uyo Ni mkubwa Tz seem zingine