Bro fanya research zaidi Nigeria wanatoa nyimbo kila leo, hapo kitambo wakati wa kina pro j miziki ilikuwa inatoka kila uchao, ukitowa nyimbo nzuri itapendwa tu ila midia za wabongo munatajirika kwa kufitinisha wasanii hamna ubuni wa kupitiliza.
yani tulipofikia sasaivi msani furani akitoa wimbo wengine ote wanatakiwa wakae kimya muda ote sio apa tulipofika mbona madogo wanaongea ujinga kabisa music wa tz umekua kila mtu anaweza fanya music wake watu wakasikiliza msiamze kukuza mambo alafu uyu dogo yani yeye ni nani internet ndo inafanya tunawafikia awa watu basi kila mtu anaweza ongea chochote mfano leo uyu dogo akikutana na diamond anaweza muuliza swala kama ilo😂😂😂
Aaaaah ww mando cku zote huwezi panapo ukweli yaani ww ni wcb damu coz mbona marioo anajitoa saana kwenye events za wasafi??? lakini hao kujitokeza kwake ziiii... Marioo sai ni awe kma konde asiwe na shobo na wcb afanye kazi zake kivyake tuu
Zuchu alishatangaza zamani kuwa kuna Albam na iko tayar kuiachia sasa anabadiwa Marioo vp halafu msanii ukiw na wimbo usitowe kisa kuna msanii ameachia wimbo biashara gni iyoo wasanii wangap hp Tz kwaiyo wote wasitowe wimbo kisa kuna Albam ya Msanii katka hiyo Albam mna nyimbo ngapi sasa wimbo mmoja zogo bc hamna kitu kwenye hiyo Albam ya Marioo kama wimbo mmoja wa Zuchu tu ikaipoteze Albam nzima vichekesho hv 😂😂😂😂 kwa wasnii wetu
Na hizo nyimbo Antenant na Wale wale vile ni nyimbo? , hapo hakuna nyimbo bro hizo ni nyimbo mbovu, kuanza maneno , melody vyote vibaya sana , amehishiwa tu.
HIV ZUCHU NAYE NI MWANAMUZIKI? NDO WIMBO HUO WALIOFANYA KIKI IKABUMA? DIAMOND HADI LEO WA KUTEGEMEA KIKI? NI KUFELI SANA:::HALAFU WEWE MWANDISHI NI WASAFI;HUCHAMBUI VITU KITAALAM;UNAFELI SANA:JIANGALIE
Chwa wa wasaf mazim kiukweli kipind iki wamemkosea san kumuweka uyu jamaa diamond kila siku wasaf anazingua san jamaa ujui kitu nda ndomaan watu Wan kutuz
Acha byako nyimbo za zuchu nitamu.acha wivu zuchu towa ingine dada❤❤❤❤
Zuchu ako mbioni kutoa album
Huyu pia anajisahau pia
Mond alikuwa anatoa nyimbo Kila wiki nahaku drop
Huyu pia anajisahau! Kwani hajui hii wale wale iko Kwa album?
Marioo nyimbo zake zote nzuri, hiyo wale wale sio mwimbo nzuri, hahuwezi kuzuhia Album ya Mario isi trend.
Wacha uongo sema ile unaipenda
Courage vraiment je te suit dépuis le Congo 🇨🇩 Kinshasa
Kweli, zuu ni moja 2 ❤️❤️❤️
leo ww dogo ukikutana na diamond unaweza muuliza kama amamchukia marioo acheni uchochezi marioo mbona kashakua mkubwa tayari ivi diamond anamchukia marioo kwa mafanikio gani alokua nayo uyo dogo 😂😂😂 msipende kukuza vitu 😂😂😂
Kabisa
Uwongo nandy kaupiga mwingi mwaka huu
Nakukubali sana
Muacheni zuchu afanhe mamboyake❤❤❤
Kwan hujaskia zuchu anataka kutoa album ww
Zuchu ana andaa album kwani hujui?
Wewe kwani hujui Zuchu anatoa album bro
❤❤❤❤
Brow iyo Recap usiwe pekeyako hili tupate maoni tofautitoufauti itaku unyama sana 🇹🇿🇲🇿🙏
Kaka muziki unaitaji uwekeze kwa mashabiki ukipendwa na mashabiki wasanii wenzako watakupenda midia zitakuongerea na kilamutu atatamani awe kalibu yako kuchota upepo so marlio apambane kuteka myoyo ya mashabiki nasiyo wasanii wenzake atanishukulu asante
Umesema
Bro fanya research zaidi Nigeria wanatoa nyimbo kila leo, hapo kitambo wakati wa kina pro j miziki ilikuwa inatoka kila uchao, ukitowa nyimbo nzuri itapendwa tu ila midia za wabongo munatajirika kwa kufitinisha wasanii hamna ubuni wa kupitiliza.
Kwellly kbsaa
yani tulipofikia sasaivi msani furani akitoa wimbo wengine ote wanatakiwa wakae kimya muda ote sio apa tulipofika mbona madogo wanaongea ujinga kabisa music wa tz umekua kila mtu anaweza fanya music wake watu wakasikiliza msiamze kukuza mambo alafu uyu dogo yani yeye ni nani internet ndo inafanya tunawafikia awa watu basi kila mtu anaweza ongea chochote mfano leo uyu dogo akikutana na diamond anaweza muuliza swala kama ilo😂😂😂
Kwaiyo mziiki ukisubiri mwengine atoe unafikiri msanii atatoa lini ngoma si miaka kumi 😂
Você não percebeu, o diamond usou forma de como impedir o álbum de Mário e como forma de nos atrapalhar
We jamaa kuna muda unaongea point kuna muda unaongea utumbo... Na kuchonganisha
kweli.kabisa kaka. ❤
Maana yake hujaskia lyrics bro tumia akiliiii basii hiii nyimbo haiusu mapenzi
Mapenzi yapo
Unaongea ukweli broh🔥🔥🔥🔥🫡🫡🫡
Una sema kweli❤❤
Mbona weye unasemeyaka wasafi sana ?? Way wala Mondi Ka ku pidid 😂😂
Kwel mkuu
Kaka umeongea vizuri mimi ni shabiki wa zuchu sana ila kweli anatoa mara kwa mara
Diamond wakat anajitafuta alikua anatoa nyimbo kila week
Inaman bdo umeshindwa kuchanganua kua hizo nyimbo ni za kwenye album mzeee😂
Nilikua nakusikiliza lakini leo wapi unasahabu anaanda album!
Hawa WCB wanakukipanga pesa ngapii
HAKUNA MATATA ILIPANDISHIWA COMASAVA KATOA UNANICHEKESHA ZUCHU KAMPANDISHIA ANTENA LEO TENA DIAMONDI KAMPANDISHIA NYIMBO SIMBA ANAZINGUA
Na mwakani wakimpa Nandy ata tuzo Moja wamempendelea
Aaaaah ww mando cku zote huwezi panapo ukweli yaani ww ni wcb damu coz mbona marioo anajitoa saana kwenye events za wasafi??? lakini hao kujitokeza kwake ziiii... Marioo sai ni awe kma konde asiwe na shobo na wcb afanye kazi zake kivyake tuu
Wale wale atar
Sasa kwani diamond asipo kuwa sehemu munaumia 😂
Mmmh mbna imebsmba ebu tazama ipo trading no ngap
Hata akiacha kupoxt album ni yamoto
wee mzee wa promo tukuelewe aje sasa??msanii akinyamaza walalamika.. msanii akitoa ngoma mfululizo pia walalamika
Nyimbo haina ujumbe wowote ule zaidi ya mipasho tu na wala usituambie kwamba ngoma kali haina ukali wowote ule usitake kutuletea ujinga wako
Na asipo toa mnasema anapotea we vip babu
Sasa watu watamu attack Ali kiba kwani Ali kiba ana lipi la kuwa attacked!!!!
Zuchu alishatangaza zamani kuwa kuna Albam na iko tayar kuiachia sasa anabadiwa Marioo vp halafu msanii ukiw na wimbo usitowe kisa kuna msanii ameachia wimbo biashara gni iyoo wasanii wangap hp Tz kwaiyo wote wasitowe wimbo kisa kuna Albam ya Msanii katka hiyo Albam mna nyimbo ngapi sasa wimbo mmoja zogo bc hamna kitu kwenye hiyo Albam ya Marioo kama wimbo mmoja wa Zuchu tu ikaipoteze Albam nzima vichekesho hv 😂😂😂😂 kwa wasnii wetu
Diamond nikiboko
Unajifanya unajua si ubadilishe muonekano wa studio mzee pia ww tumemuzoea 😂😂
Zuchu ni msani wa Diamond… wake up bro😂
Wewe ni mbwa
Hii ndo promotion yote ambayo DIAMOND PLATINUMZ katimia ili Ku promote album ya Mario bro.
Acha uchonganishiii kijana mind your business unaongea sanaaa
Anaongea kweli
Wimbo wa zuchu na mondi ni zeeeeeerooooo
Imebuma sio kama haija bamba
Na hizo nyimbo Antenant na Wale wale vile ni nyimbo? , hapo hakuna nyimbo bro hizo ni nyimbo mbovu, kuanza maneno , melody vyote vibaya sana , amehishiwa tu.
Kutoka baba levo uyu ndo namba mbili chawa wa wasafi bro ipo Siku utakua aibika tu
hamtaki ukweli usemwee
HIV ZUCHU NAYE NI MWANAMUZIKI? NDO WIMBO HUO WALIOFANYA KIKI IKABUMA? DIAMOND HADI LEO WA KUTEGEMEA KIKI? NI KUFELI SANA:::HALAFU WEWE MWANDISHI NI WASAFI;HUCHAMBUI VITU KITAALAM;UNAFELI SANA:JIANGALIE
😂
Sasa kwani huyo wenye Diamond ndo mgawa riziki kwa wasani wa bongo fleva?.
Kama unajua alafu unaongea ulofa ganii sasa watu ganiii wanaongeaaa wew sahizi ushakua msemaji nini
Nimekuja kugundua huyu jamaa anapigwa nyuma na diamond. Kila wakati kumsifu domo
Tazama mdomo wako brother, au uhuru wa kuongea unakulevya!
Utaulizwa kwa mungu wewe unawakika kama anapigwa nyuma😢
HIVI HUYU MARIOO HANA MASHABIKI?? MASHABIKI WA MARIOO KWANI NI WA WCB??SINGLE SONG ITAUWA VIPI ALBUM SERIOUSLY??
Roho mbaya na wivu Marioo Heinis a best wivu
Acha unafki na wewe ndo wale wale
Sasa wewe ninani wakuapangia chakufanya tumia akili yako vizuri naujue kinacho kupasaa wew njo unapandikizaa chukii nahuo ulimi wako jiheshimu bhanaa
Chwa wa wasaf mazim kiukweli kipind iki wamemkosea san kumuweka uyu jamaa diamond kila siku wasaf anazingua san jamaa ujui kitu nda ndomaan watu Wan kutuz