Songa feat. Double-HISIA ZA MOYONI(Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 287

  • @husnahassan2199
    @husnahassan2199 8 месяцев назад +8

    🎉🎉aah mm ntacoment tu nna sbb kibao z kuipenda hii ngoma❤

  • @harunskawa230
    @harunskawa230 Год назад +27

    Kila nikaa wiki moja au mbili lazima nirudi kuisikiliza hapa❤

  • @LevisJeremia
    @LevisJeremia 27 дней назад +2

    Duniani hakufai ndo maana ukizaliwa tu unalia🙌🙌🙌

  • @Kelvinkalol
    @Kelvinkalol 19 дней назад +2

    Hip hop maisha ya kweli blo

  • @dottombilinyi5979
    @dottombilinyi5979 3 месяца назад +18

    kama bado unasikiliza 2024 chapa like bas🎉

  • @innocentcostantine2687
    @innocentcostantine2687 2 месяца назад +6

    Kipi kinaongoza uongo au dhambi ya kuzinii 💥💥💥💥

  • @gloriadesdery9705
    @gloriadesdery9705 6 месяцев назад +7

    Imani ni Bora kuliko dini👊👊

  • @mlwanikamchizi3507
    @mlwanikamchizi3507 2 года назад +5

    Unaweza ukawa bora hata kama usipo Win... - Mandonga mtu kazi ni mfano wa huo mstari

  • @Joekwid960
    @Joekwid960 Год назад +5

    Nasikitika kuona vijana wanakufa kwa madawa na ukimwi. S.O.N.G.A your the best😢

  • @evaristmunaku5526
    @evaristmunaku5526 8 лет назад +55

    niamini kaka Kwenye hii Dunia CRITICAL THINKERS kama wewe mnahesabika..I respect kazi zako kaka.big up

  • @tonlove164
    @tonlove164 15 дней назад +2

    Mambo vp brooh

    • @tonlove164
      @tonlove164 10 дней назад

      Brooh ninajambo nataka tuongeh

  • @omarykomba4302
    @omarykomba4302 4 года назад +14

    2020 hapa kimara duh we ni mkariiìi IMANI ni bora kuliko Dini

  • @AlhajiSefu
    @AlhajiSefu 6 лет назад +10

    Duh cichoki kuitzama hii ngoma songa nakubl sana bro pale ninapokua mnyonge nyimbo yako inanifariji

  • @catherinfabiani5265
    @catherinfabiani5265 5 лет назад +6

    Katka wanahrkat wa hop songa namuelewa sana kama naww unaelewa anachofanya gongs like

  • @dariusmsagha
    @dariusmsagha 10 месяцев назад +4

    Undoubtedly my best and most played song by a Tanzanian artist.

  • @happymbwamboo8873
    @happymbwamboo8873 3 года назад +4

    S.O.N.G.A...........Ipo cku watanzania wataelewa unafanya nn......Safi sana

  • @calvinmshanga9077
    @calvinmshanga9077 Год назад +3

    Mzaliwa 2000✝️lakin naelewa sana nyimbo za mwamba

  • @abdillahkitwana5974
    @abdillahkitwana5974 2 года назад +3

    yani mpk leo namckiliza uyu mchizi na lazima awepo kwny playlist yngu...Respect Songa

  • @boeihongoa1436
    @boeihongoa1436 4 года назад +3

    Kina Nash Mc, kina Songa, kina Bonta, kina nani... kina One the incredible kina nani....nyie ni watu makini sijawahi ona.
    💥💥💥💥💣💣💣

  • @mjtv4966
    @mjtv4966 3 года назад +2

    Usiulize nipo chimbo kama mlipuko WA TALIBAN👍👍

  • @ibrahimmakame5304
    @ibrahimmakame5304 5 лет назад +2

    nikapate upepo kisiwa cha Zanzibar ahsante Songa kwa kutawakilisha utalii wetu zanzibar karibu Zanzibar

  • @daudikipelo8761
    @daudikipelo8761 3 года назад +2

    Nakukubali Sana Sana an nimejaza mangoma yakoo

  • @isayamlawa410
    @isayamlawa410 11 месяцев назад +2

    Duuu Songaa hii ni nomaa@Songa n nchi ya flow no flag

  • @rasibuga5428
    @rasibuga5428 3 года назад +3

    Respect tamaduni bob

  • @husnahassan2199
    @husnahassan2199 Год назад +2

    Nmejskia kucoment mara nyinyinying ila hii y mwisho"maisha sio shida tu...

  • @amanimoses121
    @amanimoses121 4 года назад +2

    Jamaa nakubar uandish wako, sichok kisikiliz nyimbo za huyu jumaa

  • @ki2maestro24
    @ki2maestro24 8 лет назад +9

    nachotaka kuona ni furaha inapatikana SUDANI YA KUSINI ..(FACT: HIP HOP LIVES)

  • @EmmanuelZenda-ji5gc
    @EmmanuelZenda-ji5gc 10 месяцев назад +2

    Best song,I almost play everyday!

  • @addyboy_93
    @addyboy_93 2 месяца назад +1

    Oya hatari sana 🔥
    Naamini hata dunia ianze upya hakuna wa kuzishisha hip hop hizi

  • @issankoweboy803
    @issankoweboy803 4 года назад +3

    Hii ngoma duuh kali sanaa

  • @Joekwid960
    @Joekwid960 Год назад +2

    Songa ni NCHI YA FLOW BRO NO HUG 💥🥘🔥🔥🔥

  • @HassanKaiss-w6q
    @HassanKaiss-w6q День назад

    Imani ni bora kuliko dini❤❤

  • @emmamikate4741
    @emmamikate4741 Год назад +1

    DUNIANI HAKUDAI NDO MAANA UKIZALIWA TU UNALIA

  • @pmall8867
    @pmall8867 3 года назад +2

    Ila songa wewe Ni Kipaji....
    #HisiaZaMoyoni

  • @dorothymchatta3560
    @dorothymchatta3560 8 лет назад +16

    Respect my man

  • @shedrackagawamo7991
    @shedrackagawamo7991 2 месяца назад +1

    Nyimbo nzuri kwa wote wanaopenda mziki mzuri

  • @phwasound4448
    @phwasound4448 6 лет назад +3

    goood song pamoja brother

  • @astongllo725
    @astongllo725 3 года назад +2

    Ata wakikutupa Kenya uta run +254 wamuulize OG😀😀🤣

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 3 месяца назад

    My Favorite Track Of ALL TIME...Haiwezi Pita Siku3 Sija Play Huu Wimbo Aisee! Nipo Humu 2024🔥✊🏾

  • @georgedeo3726
    @georgedeo3726 Год назад +2

    Nimekuelewa zaidi 2023

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 6 лет назад +11

    From UAE +971
    Dah Duniani hakufai ndio maana ukizaliwa tu unalia
    Songa big up man

  • @georgezabron2891
    @georgezabron2891 5 лет назад +7

    Ilipotea simu yangu nikaipoteza hii hip hop, bonge la songe

  • @WilliamZablon
    @WilliamZablon 7 месяцев назад +4

    Nyie mko slow san me per day lazima nisain hapa... Ety

  • @yusuphmyinga
    @yusuphmyinga Месяц назад

    Nmerud tena November 11 ngoma haijawah kinai kwang hii madin ya kutosha pen ilitendewa haki humu🔥🔥🔥🔥

  • @EMANUELAMMA-c6s
    @EMANUELAMMA-c6s 10 дней назад

    Hisia za moyoni.......nasikitika kuona vijana wanakufa kwa Madawa na ukimwi😢

  • @MubarakaSaid-w7w
    @MubarakaSaid-w7w 9 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤songaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @MgombaJunior
    @MgombaJunior 8 месяцев назад +3

    songa

  • @SamuelMbwiloh
    @SamuelMbwiloh 2 месяца назад +2

    Songa songa songa

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 6 месяцев назад

    Naipenda sana tena sana ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @michaelkisingi8650
    @michaelkisingi8650 8 лет назад +23

    bonge la mdundo kiukweli umeongea vtu vkali sana aisee wasanii inatakiwa wawe dzain hii . big up broo songa

  • @jeremayageremy9882
    @jeremayageremy9882 2 года назад +3

    Sijawahi choka sikiliza hii nyimbo bro... na nikiisiliza after sometimes naona nilimisi kitu kikubwa mno BIG UP SONGA ✌

  • @sebachaz6483
    @sebachaz6483 6 лет назад +2

    duniani hakufai ndo maana ukizaliwa tu unalia ngoma gonga like twende sawa

  • @African2TheWorld
    @African2TheWorld 7 лет назад +4

    "kama kazi yako dhambi,unadhani malipo nini"

  • @RamaNevi-fs6zr
    @RamaNevi-fs6zr 2 месяца назад

    Wanauliza ety mwisho wa kifo ni lini nawaambia kipo hai nadhan mwisho n chini 😢

  • @alwatanpecks4571
    @alwatanpecks4571 Месяц назад

    songa the legend niga anaweza mpka amepitiliza

  • @davidmpulumba4039
    @davidmpulumba4039 2 года назад

    Huyu 😂mwana kanikumbusha mbali sana nakumbuka enzi zire nipo home msosi wa shikamoo na shinda beach ila right now nimeoa nipo Germany one love to tanzania one love t😂 songa kilingeni

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo Год назад +1

    Huu mdundo tumchapie Kali mzeee😂😂

  • @abubakaralimohammed3388
    @abubakaralimohammed3388 3 года назад +1

    Ati songa utaflow wapi muulize dem wako nishafanya show gapi.....HISIA ZA MOYONI

  • @andrewfullington9777
    @andrewfullington9777 3 года назад +7

    How does this have not pass 50M views its amazing

  • @ntawurusigajaphet813
    @ntawurusigajaphet813 5 лет назад +2

    Songa nnakukubali, 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 huku tunakupata

  • @isakakipalule9749
    @isakakipalule9749 Месяц назад

    Sema hii ngoma ni ya karne

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 4 месяца назад

    Unaweza ukawa Bora hata usipowin

  • @abdulmngombe5384
    @abdulmngombe5384 Месяц назад

    Hii nyimbo kali sana

  • @MotraRhymes-e4c
    @MotraRhymes-e4c 2 месяца назад

    daaah I wish nipigie kazi nawewe bro

  • @mashengajunior5129
    @mashengajunior5129 2 месяца назад

    MPAKA LEO NDIO NGOMA YANGU PENDWA

  • @abdalahsambala6667
    @abdalahsambala6667 8 лет назад +2

    Mara zote wewe uko vizur makuamin

  • @JeremiaDimo
    @JeremiaDimo 3 месяца назад

    Daaah nakubali

  • @more_stanzas
    @more_stanzas 2 месяца назад

    Hii Ngoma itaishi Milele na Milele

  • @chiyughajr.9968
    @chiyughajr.9968 8 лет назад +7

    Ninapoitazama top ten ya nyimbo bora kwangu kwa mwaka @2015, hii moja ya nyimbo kali sana na huwezi kuitoa ndani ya top five,
    Respect kwako @niitesonga, shoutout kwake @Double

  • @astongllo725
    @astongllo725 3 года назад

    Unaweza kua Bora ata usipo wini ✌

  • @malemiconstruction1449
    @malemiconstruction1449 Месяц назад

    Hisia za moyoni❤

  • @ontrending2554
    @ontrending2554 3 месяца назад

    All time best hip hop song to ever dropped 🔥🔥🔥

  • @ianmwaliko9834
    @ianmwaliko9834 5 лет назад +4

    Man me sikujui nimeskia tu song yako Y254 n nikaipenda sana. Great song. Straight to the heart.

  • @mashaurimasolwa2601
    @mashaurimasolwa2601 5 месяцев назад

    2024 tukutane hapa👉🏿

  • @bakarifundi4351
    @bakarifundi4351 5 лет назад

    Gud song songa songa mbele

  • @samstive665
    @samstive665 Год назад

    Daaaaah 😢namkumb manzi angu😢😢😢

  • @rodgersgregory7198
    @rodgersgregory7198 3 года назад +1

    Umefanya mziki uonekane kitu rahisi sana# Big up

  • @kelvinchuhila3780
    @kelvinchuhila3780 2 года назад

    Imani ni Bora kuliko dini

  • @georgekarundabenard2739
    @georgekarundabenard2739 3 года назад +2

    Respect broo!

  • @poolwiztz6118
    @poolwiztz6118 3 года назад

    Daah talanta kubwa sanaaa kaka

  • @HamisKhalfan-df5kk
    @HamisKhalfan-df5kk 6 месяцев назад

    Respect bloo

  • @official_rayob.8351
    @official_rayob.8351 2 года назад

    Nakuelewa kaka naiflow yote hii ngoma

  • @yuzzomanboy
    @yuzzomanboy 11 месяцев назад

    Keep going 2024

  • @mukakathejoker6504
    @mukakathejoker6504 11 месяцев назад

    Hisia za moyoni
    Wanapagawa naamini......napata huzuni kuona vijana wanapagawa na mihadarati, unga na ukimwi

  • @khaledeponera6070
    @khaledeponera6070 2 года назад +1

    Aisee this Songa guy is dope....

  • @allendeusdedith8482
    @allendeusdedith8482 8 лет назад +1

    nipe shavu nirushe kofi kwa ruksa pasipo mwinyi

  • @Elfuego257
    @Elfuego257 2 года назад +1

    December 07 2022, kichwa imejaa mawazo sana...najikumbusha umuhimu wa kupambana na Songa👊🏿

  • @heavenonearthchannel3748
    @heavenonearthchannel3748 8 лет назад +2

    niite songaa. naskiliza siku nzma ngoma atariii..big up ..

  • @costantinejoseph4907
    @costantinejoseph4907 5 лет назад +1

    ni wachache tunaoujua mzik mzr hata kama unastrace zote zinakwesha ni mwendo wa kutikisa kichwa tu

  • @mcdadedady7777
    @mcdadedady7777 7 лет назад +1

    duniani hakufai ndio maana ukizaliwa tu unaliaaaaaaaaaa

  • @simodash
    @simodash 2 месяца назад

    Timeless flow

  • @dicksonokanda9091
    @dicksonokanda9091 8 лет назад +7

    "anayenifanya nisimame ndiye anayenifaa.,,,," ngoma kali san mwana.
    naikubali sana tamaduni music

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 6 месяцев назад

    Duuuh..mura.inanikumbusha.tarime nyamongo 2023...nikiwa nakula k2 Cha 250..v2.500😂😂😂😂😂😂😂

  • @joramkitime1101
    @joramkitime1101 4 года назад

    No ma bro song a ulifikili sana kuandika hiyo ngoma

  • @abdulrahmankanduka1977
    @abdulrahmankanduka1977 5 лет назад +1

    Hii ngoma imetulia kinyama

  • @chibamzembe6188
    @chibamzembe6188 3 года назад +1

    Duuuuuh pa1kaka nakubal

  • @legsmediatz
    @legsmediatz 6 месяцев назад

    Kali bila ukali vikal. Cjui nmesema nn

  • @samwelsamwel2692
    @samwelsamwel2692 4 года назад +1

    Songa unafikiria sana una mistari yenye logic ila the way unarap bado inabidi ubadilike

  • @clemenceolivery9427
    @clemenceolivery9427 8 лет назад +2

    big up bro Songa,nakuombea umri mrefu,HIPHOP ifike songe mbali zaidi

  • @speaklifeafrica
    @speaklifeafrica 5 лет назад +1

    Penda sana