Fanya Nyiradi Hizi Mwanzo Mwa Usiku / Muombe Mungu Kwa Majina Yake Matukufu/ Sheikh Hashimu Rusagany
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Fanya Nyiradi Hizi Mwanzo Mwa Usiku / Muombe Mungu Kwa Majina Yake Matukufu/ Sheikh Hashimu Rusaganya
Mashaa Allah Sheikh Hashimu Rusaganya akieleza darsa kwa uzur na ubora wa hali ya juu kabisa tizama video zetu mpaka mwisho usisahau kushare
Sheikh inshaallaah Allah akufanyie wepesi kwa kuiongoza din pia naomba unifahamishe ni majina yapi ya mungu
Mwenyezi Mungu akupe neema nyingi duniani na akhera
Allah akulipe pepo shekhe walakhi mnatuelekeza vyema viongozi wetu najua hakuna aside kosea
Nashukuru shekhe wangu tuwe na yakinit na mungu tutafanikiwa
Mashallah ❤❤❤ allah atijaalie tuwe ni miongoni mwao
Allwa Amhifadhi sheikh huyu kwaidhini yake
maa shaa allah sheikh Rusaganya
Aallah akulipe kheri,nakupenda kwa ajili ya Allah
Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri
Ma Shaa Allah Tabarakallah shukran sheikh Allah akujazie Kila la kheri
Mashalllah nampenda uyushekh kwajili yalllah
Wambiwa allah anamajina 99 ila wazushi wanaona hayatoshi mpk waombe kwa barahatiiih
Soma wewe acha kukataa kitu hiyo ni lugha tu maana ya barhatii ni ya qudus
Jazzakalahu kheir fil dunia wal akheira
Mashallah Muslim💙
Masha Allah tabarraka rahmani Allah akulinde na husda shekh wetu
Mashaallah, Allah akulip kheri
Yazalijalali waliikiram .sijuwi nimepatia
Tuombe Allah anatujibu
Shikran kwa kutuelimisha Sheikh. Allah akubariki.
Allah akulipe
Shukran sana baba angu
Ungu akulinde milele
Jazaka llahu L kheir
Amin
Maa Shaa Allah
Shukran y
Allah akupe umri uzid kutuelimisha
Shkuran shehe kwakutufahamisha
Mashallah
Jazaaka llaah khayra
Jazak Allahu Khairaan Kathiraan
Mashalla allah akulipe kwa darsa yako nauliza aya hii ina patikana sura gani?
Suratul muzzamil
❤❤❤❤❤❤
Mashallah
Mm mwenzenu nasoma izo duwa il kila siku naishia kukopwa tuu
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Idzulu
16641
Jazakka Allahu khayra