Mungu watofautishe watoto wangu na wengine,kuongea kwao,kutembea kwao ,ujana na ubint wao uwe wa tofauti na wengine ,Mungu wakumbuke watoto wangu wakutumikie
Dada martha acha mungu akutofautishe na kina christine shusho walioacha injili na kufata tamaa ya fedha. May lord God bless you. Watching from +254🇰🇪🇰🇪
Dada Martha Na Ndoto siku Moja Ya Kukuona for sure Nyimbo zako zinanipa sana Moyo kusonga Mbele Nakupenda sana dada Martha Live Long Dada Yangu Vitalis from TZA
This song take me to 2011 when i was in high school when i used to beg for neighhood school fees .and knowbody didnt help me i used to cry day and night for GOD and now im working in Government officials and now im paying 4 neighboouring schoolfees .and has turning my crying to help the needy😢
Najitahidi ili nifike mwisho mwema,baba naomba nisaidie,unitofautishe na wewe,thanks dada mwaipaja nyimbo zako zinaanibariki sana mungu🙌aendelee kukuinuwa kwa kiwango Cha juu🙏🙏
Dada mungu akubariki,,siku ya mkesha ulipoachia huo wimbo binafsi nibalikiwa Sana.Ninakuombea huduma yako owe kubwa Kama ya Aposto Mwamposa Amina Sana.
Kuzaliwa katika mazingira ya ukristo ,kuongea katika lugha,kusoma neno kumbe bado haijatosha kufikilia ufalme wako Baba ,naomba unifunze na unisaidie nisiikane imani hadi mwisho ,vita vijapo uwe ngao na mtetezi wangu wa karibu
Amina dada niliinjoi sana siku ya mkesha usiyo saulika ubalikiwe sana mtumishi ulifanya Imani yangu ikapanda gafra na mtumishi mwamposa ndo aniondowa kabisa kwenye shimo niliyo takka nitumbukie nikajiona nipo juu mafundisho TU ya mwamposa na nyimbo zako mi na injoi
Maman yangu mungu azidikuku ongoza katika nja yakweli n'a haki wala Yesu asikubali upoteye hilini ombilangu kwa mungu usuige dunia wala usiige wanadamu ❤❤❤❤
Linda musica e com uma mensagem fascinate. Estou a escutar ou assistir a partir de Moçambique, concretamente na Província de Cabo Delgado. Tiro chapeu com as suas musica educativa Senhora Martha Mwaipaja, você merece. Meus parabéns.
@@NelsonbernardoDaleli-jn6lyumelopoka bdo hujasema😏,,yaan umecomment bila kufkiria mara mbili kwa kifup bdo hujajielewa kwa kias chake..and second hucpende kuwasema watumishi wa mungu then hucpende kulopoka hucvyovijua kwsabb kuna kesho😊..km umjui vzr mtu ni bora umtafute mtu anayemfahamu akakueleza kuhusu huyo mtu kuliko kulopoka vitu kiolela ambavyo mwenye akili timamu akikuckilza anakuona hamnazo 😊.jitafakari
Mwamposa ni mtumishi wa Mungu, ila wewe kwa kuwa una *mungo wako Kama ulivyosema sio mbaya ila jehanum inakuhusu kwa kuhukumu usipobadilika utahukumiwa*@@NelsonbernardoDaleli-jn6ly
@@NelsonbernardoDaleli-jn6ly utamjua mungu bila watumishi waliofunuliwa maandiko??..Hakuna alokwambia anamtegemea mwamposa ndugu,..ni kiongoz wa dini kama wengine tunafuata mafundisho yake kama mtumishi wa mungu..chunga kinywa chako ndugu muombe mungu akutofautishe kwa hekima ya kutamka yaliyo mema
Nikiwa nauzuni moyoni mwangu 😢..ila nikisikiliza nyimbo zakotu nakuwa namani Sana ninasahau kilakitu... sister God bless you so much ❤❤❤ u made me happy 😊😊😊
Amen Mama,Martha wangu❤ Asante Yesu wangu. Mungu akutafautishe...usipandirishe ringtone ya Nyimbo zako kama Christina Shusho,nowdays nyimbo zake sipendi
Najitahidi Mimi ili nifike mwisho mwema, Baba naomba NITOFAUTISHE na wengine. Amina . mtumishi Mungu akubariki.
Nimependa ❤
Why am I crying 😭
This song is a blessing
Lord please nitofautishe 🙏
Any Kenyan here
Martha Mwaipaja more love ❣️
Ombi langu hili Baba nitofautishe na wengine .......hongera dadangu kwa wimbo huu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu watofautishe watoto wangu na wengine,kuongea kwao,kutembea kwao ,ujana na ubint wao uwe wa tofauti na wengine ,Mungu wakumbuke watoto wangu wakutumikie
Amen and Amen
Nahisi uwepo wa Munyu niilipousikiliza huu wimbo,Yesu naomba nitofautishe na wengine ,amen
Mungu akure maisha marefu dada angu nyimbo zako huwa zinanibariki mnoo
Wa Zambia🇿🇲, Tanzania🇹🇿, Kenya 🇰🇪, Uganda🇺🇬 Na Inchi zingine njooni apa tuseme Mungu ni wa milele and apewe sifa. Thank you woman of God👏👏👏👏
Aya ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ameen
🙏🙇👏🇺🇬🇺🇬
Nyimbo za Martha inanipendeza nishaapata mawaidha sana, feel love from Kenya mummy jah bless you.
I remember one day you came to the international airport of Goma 🇨🇩🇨🇩when I was sick you prayed for me and I was so healed in the name of Jesus Christ
Much love from KENYA 🇰🇪 I do really love this song GOD bless you Martha TANZANIA wapi likes za KENYA 🇰🇪
❤❤❤❤
Kenyans let's gather here for the love we have for Martha ....Gods message at home
From Kenya 🇰🇪🇰🇪Mungu azidi kubariki huduma yako @Martha uzidi kubariki wengi kupitia nyimbo
Hii nyimbo Jana kawe kwa Mwamposa ulipoimba kwa Mara ya Kwanza nilisisimkA kwa hisia nyimbo nzuri❤
Amen hatar mm pia nifika mbalisana
Martha mwaipaja barikiwa sana Kenya 🎉🎉tunakupenda sana,,,,,, wapi likes za wakenya
Martha Mwaipaja nakupenda saaaana unanifurahisha sana katikati ka nyimbo zako Mungu Mwenye mbalaka nakuombeya mwisho mwema dada yangu
🇰🇪Nitofautishe na wengine yesu.Nitofautishe Baba niwe baraka kwa wengine🙏Amina
From lubumbashi drc 🇨🇩
Asante sana Mungu kwa kipaji ulimupa sista mwaipaja.
Nyimbo nzuri sana na enjoy.
Dada martha acha mungu akutofautishe na kina christine shusho walioacha injili na kufata tamaa ya fedha. May lord God bless you. Watching from +254🇰🇪🇰🇪
Watching from Kenya,dada huyu nyimbo zake zagusa moyo ❤wapi like zake martha ❤❤❤❤🎉🎉
Martha hata sasa uko tofauti na wengine kabisa Mungu keshakutofautisha na wengine kabisa! Nakupa Big Up!!Glory to God kwako!! Martha.
Ni ombi langu mungu nitofautishe na wengii kuongea kutembea kuwaza kwangu niwe tofauti na wengi👏
Wow a very powerful song,naomba nitofautishe na wengine yesu
Iwe kwako kama ndio ombi lako...Amina..usiwe zuzu daraja la waovu kuelekea kuharibu kwa sababu unataka kuwa tofauti...Amina.
Dada Martha Na Ndoto siku Moja Ya Kukuona for sure Nyimbo zako zinanipa sana Moyo kusonga Mbele Nakupenda sana dada Martha Live Long Dada Yangu
Vitalis from TZA
Najitaidi mimi ilinifike mwisho mwema, baba naomba nitofautishe na wengine🙏🙏
Nitofautisheee na wengineeee mungu wanguuuuu ,,,,, God bless you sister martha
Pamoja kenya nipo ndani ndani na likes zote atahazitoshi nyimbo za martha zinanitia nguvu sana❤
What a powerful prayer, that's my prayer too, Mungu anitofautishe n anipe mwisho mwema 🙏🙏
This song take me to 2011 when i was in high school when i used to beg for neighhood school fees .and knowbody didnt help me i used to cry day and night for GOD and now im working in Government officials and now im paying 4 neighboouring schoolfees .and has turning my crying to help the needy😢
Amen
nakupenda sanaaaaa😘, MUNGU akupandishe viwango vya juu zaidi........,.
Baba naombaaaaaa nitofautishe na wengine,ili nifike mwisho mwema🙏 Amen
Baba naomba nitofautishe na wengine 🙏🙏.......am blessed with the song❤❤❤❤❤❤
NITOFAUTISHE,🙏 Amen barikiwa sana Martha mwaipaja watu wamegeuka misumari siku hizi tutofautishe MUNGU❤❤🔥
This lady is lifting most of us by her songs 😢🙏 God bless you Martha
From Kenya napenda hizi nyimbo zako Sana ningekua Na uwezo ningetamani niwe Karibu nawe ningefika mbali zaidi
Kenyans we are in the house 🇰🇪🇰🇪piteni na likes za martha
Amen ❤🇰🇪.
Najitahidi ili nifike mwisho mwema,baba naomba nisaidie,unitofautishe na wewe,thanks dada mwaipaja nyimbo zako zinaanibariki sana mungu🙌aendelee kukuinuwa kwa kiwango Cha juu🙏🙏
Kongole kongole kongole Martha,nimesubiri hii kibao kwa hamu na gamu. Mungu akunyenyekeze akikuinua kwa utukufu hadi kwa utukufu mwengine
Dada mungu akubariki,,siku ya mkesha ulipoachia huo wimbo binafsi nibalikiwa Sana.Ninakuombea huduma yako owe kubwa Kama ya Aposto Mwamposa Amina Sana.
Na kumbuka wimbo tusi kate tamaa 🤭 ngoja ni utazame tena, kweli huyu mungu ni mwema 🇨🇩🇹🇿✔️🙏
This is so amazing ❤❤ baba naomba nitofautishe na wengi
Masterpiece. From 254 naomba nitofoutishwe na wengine.Amina
Her songs are a big motivation and of hope for another day...God bless her so that she continues blessing us too😊 Much love from Kenya 🇰🇪
Amen Yesu tutofautishe na wengine be blessed mamy love your songs from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mungu akutofautishe zaid uzidi kumoendezaaa 🙏🙏🙏
From RDC my name is MALISAWA BIN MLONGECA JUNIOR napenda kazi zako Martha Mwaipaja Mungu azidi kukupa nguvu upige atua zaidi ❤❤❤❤❤
Amen🙏nyimbo zako hunipeleka katika level nyingine Kila ninapo sikiliza barikiwa sana na hiyo neema iendelee kuwa kubwa zaidi na zaidi
Mungu azidi kukuinua... jana ulinibariki sana huu wimbo kwenye mkesha wa chako ni chako ❤
Jaman hata sjui niseme nn jaman kwanjins nyimbo za dada martha zinavyo nibariki MUNGU amlinde ❤❤❤❤❤❤❤
Nakupenda sana dada martha, mungu akubariki zaidi, napenda nyimbo zako
J'écoute pas beaucoup trop le swahili mais je suis touchée toujours par cette chanson merveilleuse.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏🙏
Mungu akuongezeye kipaji. Tunabrkiwa sana kwa nyimbo zako
Natazama nikiwa nchini zambia !! Dada nyimbo zako zinanifariji mno !! May the Lord bless u !!
Waaah data yangu we unibariki sana nanyimbo sako jamani ninani ubarikiwa kama mimi wakenya wenzangu nipe like yako please ❤
Umenibarikii sana na hio nyimbo
Kenya twakupenda dada yetu ...we love your music ministry u minister in a special manner .. ubarikiwe sanaa
Amen dada kwa wimbo mzuri 😂😂😂😂umewapa kweli madui kipoko kweli😅😅 chuma chao kiliiva kweli
Sister martha mwaipaja mungu akubariki sana wimbo mzuri sana nimesikiliza hadi mwili umesisimka be bless woman of god❤
Mungu akupandishe juu. Nilikuwa niki isubiria sana.
Nyimbo zako unibariki Sana dada.Niko hapa Kenya.Mungu akuzidishie baraka na nehema
Huu wimbo ni mzuri sana niliusikia jana kanisani kwa mwamposa
❤❤❤ love you siz Martha nabarikiewa sana. Na uimbaji wako siku sote na wimbo wako wowote unaoimba bb blessed,l believe one day l will sing like you 🎉❤
Kuzaliwa katika mazingira ya ukristo ,kuongea katika lugha,kusoma neno kumbe bado haijatosha kufikilia ufalme wako Baba ,naomba unifunze na unisaidie nisiikane imani hadi mwisho ,vita vijapo uwe ngao na mtetezi wangu wa karibu
Feel love from Kenya mummy jah bless you, nyimbo zako imenitoa mbali
Wimbo Wa nguvu sana, nimependa sana mtumushi Wa Mungu Mch. Martha
Najitahidi mimi ili nifike mwisho mwema baba naomba NITOFAUTISHE na wengine❤❤
Ni maombi yangu, kuwa baraka kwa wengi, Mungu ninaomba nitofautishe na wengi
Daaaah ❤❤ siseme tuu nyimbo ni 🔥 Mungu naomba nitofautishe na wengine😢
Mungu akuzididhie maisha marefu mamaa nampenda Sana nyimbo zako zanifariji moyo wangu ❤❤ kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
ameen mtumishi Martha..tangu jana kwa Mwamposa nilianza kupenda huu wimbo.umenibariki sana huu wimbo❤❤❤..nakupenda Odo wngu❤❤
Amina dada niliinjoi sana siku ya mkesha usiyo saulika ubalikiwe sana mtumishi ulifanya Imani yangu ikapanda gafra na mtumishi mwamposa ndo aniondowa kabisa kwenye shimo niliyo takka nitumbukie nikajiona nipo juu mafundisho TU ya mwamposa na nyimbo zako mi na injoi
Naomba nitofautishe na wengine.......am blessed with the song❤❤❤..........
Baba naomba unitofautishe na wengine nifike salama🎉🎉
Be blessed dadaangu. Ee Mungu naomba nitofautishe na wengine naomba unipe mwisho mwema
Maman yangu mungu azidikuku ongoza katika nja yakweli n'a haki wala Yesu asikubali upoteye hilini ombilangu kwa mungu usuige dunia wala usiige wanadamu ❤❤❤❤
👍✔☑✅🏌️♂️🏌️♀️🤝💗💕💟❤🧡💞🤾♂️
yesu akutunze nimeusikiliza zaidi ya kusikiliza najiunga manisha na maombi haya.bwana NITOFAUTISHE NA WENGINE👐
Wimbo mzuri sana...Bwana nitofautishe🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽.
Ila nyimbo zako zote nazipenda na huzisikiliza kila wakati
Mungu wangu hili ndilo ombi langu,nitenge na Dunia na yote yalio chukizo kwako.Naomba unipe mwisho mwema.Amen
From TikTok to here dear blessed Martha Asante kwa huu wimbo saana ..barikiwa saana
Wow! Amen. Wimbo MZURI sana. Mungu azidi kukutenda mema Mtumishi wa Mungu
Huu wimbo unanibariki sana 😌’’Bwana naomba nitofautishe na wengine’’ 🙏
Mungu akuinue Zaidi Dada yangu Martha.Uendelee kupata kibali mbele za Mungu Na wanadamu
It's has really touched me personally.
Speaking badly of others, what I won't like to be talked on
This is my prayer at the moment. Thanks for the touching lyrics and prayer.
What a worship song, something that I'll play every morning when I wake up
ee mungu muumba wangu,nitofautishe jehovah nisi, Elohim,nakulilia nitofautishe nionekane wa mwanya kwa wengine....
Nyimbo uzo imba kila leo,zime ni bariki,MUNGU azidi kuku inuwa
Mungu akubariki dada napenda nyimbo zako sana uko na sauti ya malaika be bless martha verry nice song très belle chanson avec une voie angelique
🙏Emwenyezi mungu naomba nitofautishe na wengine katika kila kitu nikifanyacho.Heko dadangu
I like the song
Hakika wimbo wa nitofautishe na wengine nakumbuka mengi sana dada angu Martha mwaipaja from tanzania
❤❤ 🙏🙏🙏Ameni Martha God bless you 🙏 nakupenda sana dadagu much love ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🙏🙏🙏🙏🙏
Linda musica e com uma mensagem fascinate. Estou a escutar ou assistir a partir de Moçambique, concretamente na Província de Cabo Delgado. Tiro chapeu com as suas musica educativa Senhora Martha Mwaipaja, você merece. Meus parabéns.
Tulio toka kanisani kwenye mkesha tujuwane hapa. Nilikua nasubili kwa hamu. Ameen ubarikiwe mtumishi🙏
Alaniwe MTU yule anayo mtegemeya mwamposa kuwa kinga yake, atupo KWA mkesha wa mwamposa 😞❌, tupo kwajili ya mungo pekee aliyo mbinguni, etc
@@NelsonbernardoDaleli-jn6lyumelopoka bdo hujasema😏,,yaan umecomment bila kufkiria mara mbili kwa kifup bdo hujajielewa kwa kias chake..and second hucpende kuwasema watumishi wa mungu then hucpende kulopoka hucvyovijua kwsabb kuna kesho😊..km umjui vzr mtu ni bora umtafute mtu anayemfahamu akakueleza kuhusu huyo mtu kuliko kulopoka vitu kiolela ambavyo mwenye akili timamu akikuckilza anakuona hamnazo 😊.jitafakari
Mwamposa ni mtumishi wa Mungu, ila wewe kwa kuwa una *mungo wako Kama ulivyosema sio mbaya ila jehanum inakuhusu kwa kuhukumu usipobadilika utahukumiwa*@@NelsonbernardoDaleli-jn6ly
@@NelsonbernardoDaleli-jn6ly utamjua mungu bila watumishi waliofunuliwa maandiko??..Hakuna alokwambia anamtegemea mwamposa ndugu,..ni
kiongoz wa dini kama wengine tunafuata mafundisho yake kama mtumishi wa mungu..chunga kinywa chako ndugu muombe mungu akutofautishe kwa hekima ya kutamka yaliyo mema
Mm
Mpaka nikainama kuomba🙏🙏🙏🙏🙏.
Mungu nitofautishe na wengi❤❤❤❤.
Amen
Natamani niwe baraka kwa wengi
Baba naomba unitofautishe Na wengine🎉🎉🎉🎉
Hakika hiyo siku anaimba nilifurahi mno Hongera da Martha may Almighty God be with you ❤
Nampenda sana dada huyu pamoja na nyimbo zake zinanibaliki sana
Nikiwa nauzuni moyoni mwangu 😢..ila nikisikiliza nyimbo zakotu nakuwa namani Sana ninasahau kilakitu... sister God bless you so much ❤❤❤ u made me happy 😊😊😊
From Kenya, but I love your songs mummy,,, congratulations mum, love you ❤❤❤❤❤, good songs, may God bless you 🎉
Amen I like it,mungu naomba nitofautishe na wewe Kwa vyovyote vile
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Natamani niwe baraka kwa wengi
❤❤❤❤I love your music 🎶🎼🎶🎼 too okwitwi
@@lumosinewton9333 amina Asante saaana 🙌
Amen Mama,Martha wangu❤ Asante Yesu wangu.
Mungu akutafautishe...usipandirishe ringtone ya Nyimbo zako kama Christina Shusho,nowdays nyimbo zake sipendi
We can’t get there by our own righteousness and good Deeds but from GOD only and his Holy Spirit guidance 🙌🏾🙏🏾barikiwa mama❤
ALISHADAI, ADONAI nitafautishe na wengi...n JESUS NAME ❤
Barikiwa mtumish kazi yako njema sana Mungu akutunze❤