My father always says Kuna mahubiri huwezi fanyia a certain class of people ..sasa Diamond ukimwambia hello Mbinguni nataka Gari...Ako nazo...nataka nyumba..Ako nayoo...itabidi mseme nataka yesu..juu yeye ndie hana
Bibliya gani hunayo hisoma wewe ambayo inasema Mungu angaali mavazi? Hujasoma kuwa maandiko yanasema kuwa kilicho ndani ndicho huzirika inje? Kwani chupa likija maaji, mengine yakianza kumwagika siniyalele yanayo rowanisha inje ya chupa, Asomae naelewe
Yesu kristo alisema imeandikwa katika torati usizini lakini Yesu akasema amtazamaye mwanamke kwajicho lakumutamani tayari amezini naye moyoni, na chanzo chakutamani nikuona na mtu akiva kwa gisi inavyo sahili nivigumu kumtamani kwa hiyo kama siku ile ya hukumu watakao shitakiwa zambi ya uwasharati kwa kusharatika moyoni basi wavao vibiya wataikiya zambi hiyo kwakuangusha wengi kwasababu ya mavazi waliyo yava wakiwa haii
Ameitwa NaMungu mwenyewe mwenye enzi ndiomaana anatiisha Dunia na tunasifu, wee andika coment yako moja ya kuchafua Anazidi kushangazwa Kama anaota❤❤❤❤❤❤❤🎉
So many judges in the comment section. Usihukumu, usije ukahukumiwa. Acheni Mungu amhukumu Bella kama mwamwona hafai kumtukuza Mungu, the comment section isn't pleasing
Few days remaining.
Diamond will accept Jesus Christ as his saviour and Lord. Ameen from Kenya. We love you Tanzanians
That's what I see
Diamond will get born again very soon for the glory of God
Amen
Sure
That's our prayers.and it will come to pass
Wanaotamani diamond aokoke Likes nyingi hapa
Shetani aliitengeza lini
Bella you have a heavenly commanding voice,endelea dada.
Sure.. I always feel goose bumps listening to her songs
Diamond ataokoka sikitambo amen
Huyu dada yaani nyimbo zake zinakusogeza sana karibu na mungu
*Mungu sio mungu😊
Heavenly father may you touch the heart of Diamond and humble him to bow b4 your Holy Name,He's one of your Servant's to your Kingdom, ohh! Lord.🙏🏻🙏🏻
Naona Mercy masika na bella kombo wakifanya collabo
She can really manage the stage very well, anachapa live kamili, hategemei iliyo kwenye rekodi, Good vibe. God bless you Bella Kombo
Napenda huu wimbo...nifinyage...
My father always says Kuna mahubiri huwezi fanyia a certain class of people ..sasa Diamond ukimwambia hello Mbinguni nataka Gari...Ako nazo...nataka nyumba..Ako nayoo...itabidi mseme nataka yesu..juu yeye ndie hana
❤
😂😂😂😂
On point
Bella Kombo anaimba standard!🎉❤ Yesu aendelee kukuinua!
❤❤❤❤❤❤❤
I love you Bella,, I also like the way diamond socializes with other people!
Kapendezaaa bella
Hapo niyesu anatukuzwa❤🎉🎉🎉🎉🎉
From Kenya, love you Bella Kombo, God bless you
kwa ushauri wang diamond okoka
Diamond na Harmonize wote wanatakiwa kuokoka, maana nuru ya Mbinguni imewazukia
😂😂😂😂😂kbs
Masonic gang
Have been praying for Diamond to be saved it's just a matter of time.
I love bellaa❤❤ the voiceee aweee
SIMBA SKUIZI ANACHEZA KARIBU NA DADA SHUSHO ANADAI SALVATION HUYU NDUGU ANYWEI NICE PERFORMANCE BELLA
Mungu awainue viwango waimbaji msitende dhambi
I love the outfit ❤❤❤
Kwani siku hizi light and darkeness are together. Juu wenye wameokoka na wenye hawajaokoka wanashida pamoja. My psalms 1:1
Huyu do ndo Wa bongo star search jaman dohhh amebadilika sana namkumbuka huyu Dada yaan
Love this so anointed woman of God.
I love you bella kombo my lovely sister
this is My favourite song🥰🥰🥰
Omg😯😯😯nice voice my best song ever
Mungu aliye muokoa Paul (Paulo) atamukowa very soon.
uzuri Mungu wetu hatazami mavazi anatazama moyo wa mtu.keep on going bella
Bibliya gani hunayo hisoma wewe ambayo inasema Mungu angaali mavazi? Hujasoma kuwa maandiko yanasema kuwa kilicho ndani ndicho huzirika inje? Kwani chupa likija maaji, mengine yakianza kumwagika siniyalele yanayo rowanisha inje ya chupa, Asomae naelewe
Yesu kristo alisema imeandikwa katika torati usizini lakini Yesu akasema amtazamaye mwanamke kwajicho lakumutamani tayari amezini naye moyoni, na chanzo chakutamani nikuona na mtu akiva kwa gisi inavyo sahili nivigumu kumtamani kwa hiyo kama siku ile ya hukumu watakao shitakiwa zambi ya uwasharati kwa kusharatika moyoni basi wavao vibiya wataikiya zambi hiyo kwakuangusha wengi kwasababu ya mavazi waliyo yava wakiwa haii
Kabisaa mungu hutazama moyo
You song's really blessed me❤❤, enjoying it from Kenya
Kati ya wote...Bella Kombo imetendeka haki dakika zako ulizopewa ..big up
Huyu anajua kuimba live wengine wanabebwa na studio ila wote wapo katika kumtumia Mungu ,YESU awatunze🙏🙌
Safiiiiiiii utukufu kwa Mungu
Bella nakupenda usimuache Mungu
The voice she gat...🥳🥳🥳
Diamond ni mpotovu Bella kombo usijidanganye akakupotosha kama shusho
Vaa kawaida usi pambe mavazi sana
Mungu tusaidiye utupe roho ya utambuzi 😭
I love the girl Kwa kweli!
Kwa yesu ni raha jmn😊
Sanaa naonahipsi wapo kibiashara kutataza soko kutamanisha tu wanaume
Yuko vzr sanaa
Wow praise be to God because his servant is amazing
Your the best
Amen. Praying for your salvation 🙏🏽
Iyo sketi Tena madhabahuni kwa Bwana sio sawa, Mungu atusaidie hatuna hata hofu ya Mungu
Hakuna cha Mungu hupotea
Wow nice
Good 🙌🙌🙌🙌
Nice job
Mungu ni umoja mubarikiwe sana❤❤
Daaah I love this woman ❤❤❤❤
Diamond bado around 60% aokoke
Thank you woman of God🎉
Lovely 🌹 song sana ubarikiwa
Amn ❤❤ gud s
Good
This is great heaven is celebrating🥳🥳🥳🥳🎺👍
Nice
😂😂😂 so beautiful and sweet music
🎉🎉❤❤❤
Favoured bella
Mungu akubariki sana
Well done Diamond🙏
A lady has good voice ....mmwaah 🥰🥰
My favorite song ❤❤❤
Ameenii
Nouma sana Bella ❤❤ 1
Vaa kwa heshima bella na utainuliwa zaidi na mungu.Anyway you have got the talent.Be blessed
Ameimba vizuri Sana mungu amubariki
I love Bella kombo from Kenya
Mungu ni mwema sana
Daa Yani mtoko wa pasaka ya mwaka huu Ni diamond tyu kwani wengine hawakuwepo alikuwepo diamond tyu jmn
😂😂😂
Mbarikiwe xana mungu awabariki
Watu mara ooh mavazi mara sijui dance😂😂😂kwani nyinyi ….aaaii
Na mshukuru mungu kwa Aliemualika uweponi mwa mwenyezi mungu
I highly doubt
Mungu amsadie jaman
Ameitwa NaMungu mwenyewe mwenye enzi ndiomaana anatiisha Dunia na tunasifu, wee andika coment yako moja ya kuchafua Anazidi kushangazwa Kama anaota❤❤❤❤❤❤❤🎉
Wonderful munipe likes nifurahie
HALLELUJAH AMEN
Ameeen🙏🙏
Mungu atusaidie tusienende sawa na Dunia inavyoenenda Kwa stahili hii ni ngumu kuiyona mbingu
❤️❤️
Natamani siku Moja gershonis wafanye live parfomans alafu tumwalike na diamond platnum are aserebuke Kwa yesu.
Wabadili mavazi kiogo
❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉moreee vibe B
So many judges in the comment section. Usihukumu, usije ukahukumiwa. Acheni Mungu amhukumu Bella kama mwamwona hafai kumtukuza Mungu, the comment section isn't pleasing
Dada amebarikiwa huyu
Naomb mungu anipe kipaji Kam chako mtumishi mm napnda San kuimba nyimbo za kuabudu bt Sina wa kunishauri kuhusu hicho kipaw
Mond aliisha anza kumukulu christine shushu macho yangu tu
Ameen
Jamani. Let us be careful when praising God. I fear that we are coping circular sana. Fear God in our dressing and even how we "dance " for God.
This Is not circular it is a congolist type ngugu
wanafundishwa what it means to perform live music,,,,,wasome lebo sasa
Mbona anavaa vizuri tuu siyo skirt fupi iyooo ndugu zangu
Amezoea stage coz ndio anatumia kurekodi mziki wake
Diamond umkiriyesu ufanye Toba uokoke
Duuuh simba kavamia kanisa
Anaenda kua mtu Mwingine ndio mana anasema yeye hataimba milele kuna sehemu ataacha kuimba
Huyu dada ni kama kajchanganya na dunia,mavazi apana
Na ajui kuimba
Hapo anajichosha bure.
Kujinenesha kwa luga nini maana yake