TUNDU LISU AMJIBU KINANA AMCHEKA KWA HOJA ZAKE ALIZOSEMA "AKITAKA ALETE MJADALA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 май 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    RUclips : www.youtube.com/@kusagatv6320...
    Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Комментарии • 80

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 Месяц назад +10

    Lisu upo vizuri sana

  • @isaacmwakosya5493
    @isaacmwakosya5493 Месяц назад +5

    Nakubariki kwa jina la Yesu Kristo sababu unatutwambia ukweli.. Ukweli utatuweka huru si kwa ubaya... Mungu akulinde kweli kweli

  • @LinusAmanimbeye
    @LinusAmanimbeye Месяц назад +12

    Ccm mjibuni tundulisu kwa hoja sii kwa kusema ataigawa inch mala mbaguzi toa hoja ccm

  • @vicentmakoye237
    @vicentmakoye237 Месяц назад +4

    Safi sana lisu

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b 28 дней назад +1

    asante sana tundu LiSU waaambieni nikweli. Ni nchi. Mbili Tanganyika na Zanzibar muungano auna afya kwa watanganyika tumejua tuwachane na muungano bila hayo tutafika wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika

  • @user-ij6eo6pq6z
    @user-ij6eo6pq6z Месяц назад +2

    Safi Sana tundullisu

    • @abdalahgunda1319
      @abdalahgunda1319 Месяц назад +1

      We talk about Abrahaman kinana crush tundundulisu explanation is Abrahaman kinana got capacity crush tundundulisu pin point what point do you want me to explain remove such creatisise my English l know what am doing l born in Tanzania my national language is Swahili if fulishnes sane of we Africa if chaines speaks broken English no comment if wait people speaks one of Africa broken language no comments no creatisise so you just get way of creatisise language under your capacity of understand because you don't understand proper English that why you don't get my point peek point

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 Месяц назад

      @@abdalahgunda1319 ni vizuri ungeandika kiswahili tu

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 Месяц назад +2

    Ni kweli hapakuwa na ridhaa ya wananchi wa pande zote mbili,

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya Месяц назад +4

    Endelea kuelimisha ili wajinga wajinasue na ujinga wa kutokuelewa haki zao. Safi sana Lisu. Wapinzani wote wangekuwa kama wewe,CCM, ingeondolewa dakika Moja.

  • @user-lt1nr4tk9r
    @user-lt1nr4tk9r Месяц назад

    Mungu akupe maisha marefu sana

  • @user-td1mk2tk6h
    @user-td1mk2tk6h Месяц назад +2

    Madini mazuri

  • @hadadsaid8246
    @hadadsaid8246 Месяц назад +2

    Waelimishe Lissu

  • @shabanadam4476
    @shabanadam4476 Месяц назад

    Brother lissu uko number one big commonsense enough respect for you🙏

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 Месяц назад +2

    Hoja hizi ni nzito zingejibiwa kwa hoja na kwa uzito wake.

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy Месяц назад +1

    CCM tunasubiri majibu ili kuinusuru nchi mana vyenginevyo nchi inakoelekea siyo kuzuri

  • @SalambaPeter
    @SalambaPeter Месяц назад +2

    Mwalim wa taifa nakupongeza kwa hoja zako ambazo màccm hawjibu wamekaa kulaum badala ya kudhibitisha natamani watoke wafafanue kama zanziba si inchi na kama hawaja wafukuza wamaasai na kama bandari hawajawapa wadubai naomba wakatae mbele ya hadhara nawatusomee kila kifungu hapo natamani kweli lisu ni muongo lkn nawasikia wakilalamika bila kujibu nina mshaka nao

  • @mzeewaukoo661
    @mzeewaukoo661 Месяц назад +7

    Kaka MUNGU Akikusaidia andika kitabu kitatusaidia sisi wazalendo

    • @feliciankavishe6792
      @feliciankavishe6792 Месяц назад

      Mheshimiwa makamu Mwenekiti,kuwa makininisana nahizohoja za muungano hayonimambomazito ya inchi hii.

    • @cosmaswilliam3805
      @cosmaswilliam3805 Месяц назад

      MUNGU tusaidie tuipate TANGANYIKA maana ccm wanawafanyia wananchi shele.

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 Месяц назад +2

    Duuh wewe ni hazina, najiuliza ungekufa maskini tungeyajua wapi haya!

  • @JoelRichard-hj3bi
    @JoelRichard-hj3bi Месяц назад +3

    Mungu uliye juu mbinguni naomba tusaidie tuwe na akina Tundu lissu wengi mno ili nchi yetu wajinga na mazuzu watoweke kabisa,Maana Nchi ya Tanganyika wajinga wasiojitambua ni wengi mno.

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 Месяц назад

    IQ kubwa inawatesa Sana CCM, unafundisha elimu iliyopotea ndani ya Taifa letu, Mungu akuongoze kwenye Taifa letu,

  • @Nicolasmosereta
    @Nicolasmosereta Месяц назад +1

    Ukimtoa marehemu jpm msema kweli aliyebakia ni comrade lissu tu huyu jamaa kama ni nyeupe ni nyeupe nyeusi ni nyeusi

  • @isaacmwakosya5493
    @isaacmwakosya5493 Месяц назад +2

    Uteanfukie kitabu cha historia ya Tanganyika na Zanzibar useme yote itasaidia vizazi hata vizazi

  • @salummichael87
    @salummichael87 11 дней назад

    unaeleweka lisu kweli wewe mzalendo mungu akupe nguvu lengo lako likawe Na uzima

  • @aristidisamba1573
    @aristidisamba1573 27 дней назад

    Huyu Mh. Lissu yuko vizuri sana kichwani

  • @MartinSamson-dr6pl
    @MartinSamson-dr6pl Месяц назад

    Asante lisu.tunataka kua huru.tunataka raisi wa tanganyika

  • @mokiaolenaputu7648
    @mokiaolenaputu7648 Месяц назад +1

    Wakili andika kitabu uza laki tutanunua

  • @khalfannahayimbekwa1440
    @khalfannahayimbekwa1440 27 дней назад

    Kikumbwa nakubaliana na Mawazo ya kulumbana huku kila Moja na wakati wake nikuwaburuza wanachi.fanyeni midahalo ya vyama vyote yenye usajili.wananchi watapima.kuliko inavyofanyika sasa Nape akipata Nafasi anazungumza kivyake.vilevile vyama vingine napendekeza Midahalo ya vyama wananchi wake watapima.

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu Месяц назад +1

    Huyiu mama no jinamizi la tanganyinika hafai tumkatae

  • @shabanirashidi2218
    @shabanirashidi2218 29 дней назад

    nikweli hauko sawa nikwanini hoja hizo zije pale tu anapo tawalahuku kiongozi toka zanzibara acha wehu

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 Месяц назад +1

    Huyu ndie mrithi wa magufuli

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 17 дней назад

    Kama Tanganyika ingeungana na Kenya ingezaa TANKENIA
    Ingeungana na Uganda ingeitwa TANUGANIA
    Ingeungana na Burundi ingeitwa TANBURIA
    Ingeungana na Rwanda ingeitwa TANRWANIA
    Ingeungana na Zambia ingeitwa TANZAMBIA
    Ingeungana na Msumbiji ingeitwa TANMSUMIA
    Ingeungana na Malawi ingeitwa TANMALIA
    Ilipoungana na Zanzibar ikaitwa TANZANIA

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m Месяц назад

    Shikilieni hapo hap000

  • @khalfannahayimbekwa1440
    @khalfannahayimbekwa1440 27 дней назад

    Umewahi kusikia kujamiana njinsia Moja anyeitetea ni Nani Kuna Rushwa ambaye zimejificha sana tukijenga hoja zetu tusiwatete kuwa huyu Hali Rushwa .nchi inakula Rushwa tusipende kuteteana kwenye Rushwa kwa kuwa hatujaipatia dawa ya kuiondoa.

  • @AlexChawe
    @AlexChawe Месяц назад

    Huo ndo ukweli msema ukweli lazima achukiwe na waovu ccm ni waovu mnapata faida Gani kwa ujinga huu

  • @juliusmwanyonga2877
    @juliusmwanyonga2877 Месяц назад

    Vijana waliokata tamaa na ndiyo wengi katika nchi hii vameletewa pombe Kali za kuanzia elfu mbili Kila duka na kamali Kila bar, katika mitandaoni. Pia elimu inayotolewa Hainwezeshi kijana kujitegemea Matokeo yake vijana wengi hawajui maisha Yao miaka ijayo yaweje. Uwezo wa kufikiri umefifishwa na uwepo wa vitu hivyo tuzinduke .

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 Месяц назад

    Jamani kiongozi lisu ulikuwa mkoa gani huko mbona kama laia mbumbu sana yani unawauliza mambo ya mungano hawajui lolote 😢😢

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 Месяц назад +1

    Lissu anapiga za usoni

  • @EmmanuelGabriel-zm6nv
    @EmmanuelGabriel-zm6nv Месяц назад

    Ccm toeni majibu kwa tundu lissu.

  • @rahmahimba2734
    @rahmahimba2734 Месяц назад

    Hekoooo!! TUNDU

  • @hassanrwitita2503
    @hassanrwitita2503 Месяц назад +1

    Ajabu ajabu

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 Месяц назад

    Ccm mjibun basi huyu mtu anazid kupotosha watu.msiseme mchochez muwai kumjibu jaman.

  • @user-de8ly6ck8x
    @user-de8ly6ck8x 28 дней назад

    Somo la Muungano lifundishwe mashuleni ili kujenga Umoja wetu

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 Месяц назад

    Uzuli tundulisu alisema hamna kiongozi wa sisiemu amejibu tundu anaongea uongo

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 Месяц назад

    Kwan general Mkunda ni wa Mpwapwa?

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj Месяц назад +2

    Nakupenda bure Lisu tutapambana hadi mwisho

  • @CheupeSaid-ny5ud
    @CheupeSaid-ny5ud Месяц назад

    Hhhhhhh ma ccm yenu hayo tuigawe bwana

  • @saidimdoe5246
    @saidimdoe5246 Месяц назад

    Duh 🙄🙄🙄🙄🙄🙄 tumwamini nani

  • @shabanimaijo9148
    @shabanimaijo9148 29 дней назад

    Ukiwa mkweli huwez pendwa,huyu anaongea ukweli,anatafuta kula pesa zipi ambazo hazijawah kuliwa??hujisikii kutoa maoni kaa kimya matusi sio hekima hiyo.

  • @frankpaulofrank9302
    @frankpaulofrank9302 Месяц назад

    Me. Sikubali mambo yakishamba tu ufisadi mwingi utapeletu mmekula san ela za watanzania mimi wewe sikutaki pamoja nahuyo

  • @khalfannahayimbekwa1440
    @khalfannahayimbekwa1440 27 дней назад

    Kula fedha Maana yake ni Nini
    Kwa ufupi ni kuumkwamisha mtu yeyote kupata huduma anazohitaji mpaka umlipe fedha ambazo hazipo kisheria.
    Tutafute njia ya kupingaa na kuipiga Rushwa .hata ikibanika kuwapigia Risasi hadharrani.kwa china wamefikiaje wao kuwapigia hadharani walarushwa ingawa Marekani inadai yakwamba haiongozi kwa haki.kwa kuwa sasa hivi Tanzania yetu mtu yeyote anayegombea cheo chechote kile cha kisiasa Rusha imeshika hatamu ni Lazima utoe Rushwa hakuna aliyesalama .ndio Maana wanaiita siku ya Mavuno.kwa wananchi.haya nayo ni Mageni machoni na Masikini petu..

  • @shabanirashidi2218
    @shabanirashidi2218 29 дней назад

    mwehu ndie atakae muunga mkono lisu au mashoga

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 26 дней назад

      Me namuunga ni mwehu ila ww ambae humuelewi ni (K) nani zaidi?

    • @user-ti8fn1wn1w
      @user-ti8fn1wn1w 17 дней назад

      Kafilane na mama ako huna akiri xhoga wew

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 Месяц назад

    Majonda mikutano yake yote lazima uwone watu wote.laki nyinyi mkutano yenu mnaonyesha mutubiaji tu sijui.mnafel wapi?mnaoigiwa bao.

    • @sylivanusbernard3325
      @sylivanusbernard3325 Месяц назад

      Eti majonda....(Makonda)
      Mutubiaji(mhutubiaji)
      Yale Yale majinga yatabaki kuwa majinga kama hili ambalo limejua kusoma na kuandika hivi majuzi

  • @omaryyusuph7877
    @omaryyusuph7877 Месяц назад

    Bandari ngorongoro ccm msipoangalia itawangoa watanzania wanaasira sana

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 Месяц назад

    Hizi ni nchi mbili huru zilizo kubaliana kushirikiana katika mambo kadhaa na mengine yako ndani ya kila mshiriki

  • @DjJohnBashir-oy7cx
    @DjJohnBashir-oy7cx Месяц назад

    Nimeamini haya mambo yanahitaji Elimu tulikua hatuelewi

  • @frankpaulofrank9302
    @frankpaulofrank9302 Месяц назад

    Kaongo haka kazee huwezi kutulia tu njaaa kali unataka pesa zetu tu

    • @peterjengela1770
      @peterjengela1770 Месяц назад

      Kama ni mwongo, ni vizuri ukatwambia ukweli unao ufahamu ili jamii ielimike badala ya kulalama uongo tu.

    • @user-ti8fn1wn1w
      @user-ti8fn1wn1w 17 дней назад

      Pole

  • @ShamteMohmed-ed2kk
    @ShamteMohmed-ed2kk Месяц назад

    Mpuuzi tu wewe utugawi hata kidogo nenda beligium kwa mabwana zako.

  • @adammlonganile7921
    @adammlonganile7921 Месяц назад

    Kitu kizito kipi upuuzi tu huu

  • @Nicolasmosereta
    @Nicolasmosereta Месяц назад +2

    Ukimtoa marehemu jpm msema kweli aliyebakia ni comrade lissu tu huyu jamaa kama ni nyeupe ni nyeupe nyeusi ni nyeusi