ABSALOM KIBANDA MHARIRI WA MBOWE AFUNGUKA MNYUKANO WA TUNDU LISSU NA MBOWE UENYEKITI ATAJA RUSHWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 116

  • @saidmtetwa4363
    @saidmtetwa4363 4 дня назад +8

    Umesahau vizuri sana brother Kibanda maana wanashindwa hata kuuliza maswali ya msingi ,big up Kibanda

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g День назад

    Kibanda aisee,,,anajua kujibu vzuri,,,na hana papara.. Piga kazi kibanda.. Mungu akutangulie.. Rushwa waachie wenyewe..

  • @ChalesLukumai
    @ChalesLukumai 4 дня назад +6

    Absalom Kibanda uko vizuri. Hawa jamaa unawajibu kwa utulivu.

  • @silasephuraim5332
    @silasephuraim5332 22 часа назад

    Kibanda very Calm and Composed. Hawa jamaa wengne too emotional hawan facts

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 2 дня назад +1

    Word Kibanda!
    Bila vyombo vya hbr huru taifa litayumba!

  • @frankngole2341
    @frankngole2341 4 дня назад +4

    Hallow abdsalum umekomaa na unahekima sana na huo ndio uongozi kiongozi unahitaji subila na hiyo ni subira nimekuelewa

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 4 дня назад +4

    We love uuu Mbowe

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 4 дня назад +3

    Kumbe Lisu yuko vizuri maana hajayawahi kusema siri za vikao vya chama.
    Wengine ndiyo wanatoa siri akiwemo Mbowe.

  • @cyprianwarioba3429
    @cyprianwarioba3429 4 дня назад +1

    Nimegundua CHADEMA ndo Maana haiwezi kushinda Dola Maana wengi wanaozungumza Humu Uwezo wao ni Mdogo sana , Maana kuna wanasheria na Baadhi ya Viongozi kwenye Mjadala huu lakini hamna Hoja Ya Msingi Imagine issue ya Mawasiliano ya Kibanda yamewachukulia muda wote huo jambo dogo sana linaloeleweka au halieleweki. Wengi wenu mpo kwenye mjadala huu tayari mkiwa mmechagua Upande hampo Free and Neutral. Uwezo wenu ni Mdogo CCM itatawala Muda mrefu

  • @BozaNassoro
    @BozaNassoro 4 дня назад +5

    KM MBOWE HATAKI KUACHIA UENYEKITI CHADEMA NIAMINI CHADEMA NI CHAMA CHA WACHAGA INGIWA

  • @patrickmashalla3954
    @patrickmashalla3954 4 дня назад +3

    Mbowe huku nje anasema mambo hayo yaletwe kwenye vikao vyetu vya ndani kwamba hayaletwa. Kumbe yalishajadiliwa na mbowe ayaficha tu

  • @dulasaid2581
    @dulasaid2581 4 дня назад +4

    Hakuna upinzani kama mbowe yuko connected na CCM.

  • @titusrobert5890
    @titusrobert5890 4 дня назад +6

    Jamani mbona mnalazimiaha maswali wakati maelezo yanatosha
    Ni kweli kabisa Mbowe siyo wajati wake kurudia u/kiti ila Lisu hatakiwi kuwa kiongozi wa kutoa maamuzi ya mwisho kwa hulka yake

    • @goodluckjohnuiso-gt1fg
      @goodluckjohnuiso-gt1fg 4 дня назад

      Hli group limendwa kwa ajili ya kuua upinzani ndiyo pesa wanazosema za abdul zinapitia huko kuua cdm angalia maswali yao hulka zao kama unakili utawaele hawa

  • @abdallahmkandara4558
    @abdallahmkandara4558 2 дня назад

    Daaah ama kweli Chadema imevurugwa, yaani maswali yanayoulizwa ni ya kipumbavu sijapata kuona kwa sababu wauliza maswali wana MAJIBU YAO kichwani na dhahiri utajua wanachofanya ni kumtetea Lissu dhidi ya Mbowe.

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 4 дня назад +1

    Tunakupenda sana Mbowe

    • @dancanmwamafupa6806
      @dancanmwamafupa6806 4 дня назад +1

      Sasa mbona ww unarudiarudia tu unampenda huyo shoga yako vp

  • @mremaelisenguo
    @mremaelisenguo 4 дня назад +3

    Kibanda kaka umejieleza vya kutosha. Wengine hapo si wanademocrasia na wengine ni wapiga deki ulaya na amerika

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 4 дня назад

      NA KUCHAMBISHA VIBIBI NDIO MAANA WAMEKUWA MA ALCOHOLIC 😢😢😢😢😢WAGALATIA WALEVI

  • @cyprianwarioba3429
    @cyprianwarioba3429 4 дня назад

    Yaani Hata Baada ya Mambo haya You guys will never be the Same , Mtarudi chini zaidi , Kifupi Mtarudi nyuma Compared na Mlipo Sasa

  • @MichaelMgudula
    @MichaelMgudula 4 дня назад +4

    Lisu tuna mtaka mboe apumuzike hawez kutawala robo karne

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 4 дня назад +2

    Tuhuma zina utaratibu wake yule mtuhumu anatakiwa kutoa ushahidi maana mwenye kulipunga ndio mwenye kulitetea kwa vielelezo.

  • @gwantwamwalyaje8515
    @gwantwamwalyaje8515 4 дня назад +3

    Kibanda Namwelewa Saana Anaongea Mambo Ya Msingi

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 дня назад

      Kibanda anaeleweka ila hawa wapuuzi wapo kimkakati

  • @matiredms917
    @matiredms917 4 дня назад +4

    Nyie sauti ya Watanzania ni watu wavurugu na uongo. Mnajifanya watu wa kweli lakini ni wanafiki na wapenda vurugu. Mna nia ya kuua CHADEMA. Sijui mtafaidika nini.

  • @gwantwamwalyaje8515
    @gwantwamwalyaje8515 4 дня назад +3

    Mbowe Ni Mtulivu Saana Kuliko Hawa Sauti Ya Watazania

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 2 дня назад

    Wahuni tu hii Club

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 4 дня назад +1

    Ccm sio mpizani wa cdm,cdm ni mpinzani na serikali, ccm na TLP hazina tofauti ila ccm iko kwenye utawala kwa nguvu ya usalama sio wananchi

  • @habibunguvumali3331
    @habibunguvumali3331 4 дня назад +2

    Mbowe tunakupenda sana

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 4 дня назад +3

    Nashauri Abdul awashitaki hawa watu wanaomchafua

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 4 дня назад

      Hawezi kwani anatoa hongo kwa wengi. Watamwanika na atakimbia. Hathubutu

    • @florencejohn6427
      @florencejohn6427 4 дня назад

      @TM-zs3rm Nimetoa hiyo comment makusudi.

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 4 дня назад

      Hawezi kuthubuti... lengo la lissu ni Abdul aende mahakamani...

  • @mremaelisenguo
    @mremaelisenguo 4 дня назад +2

    Jukwaa hili sikutegemea liwe na wahuni kiasi hicho. Kibanda usikate tamaa, waelimishe ili waweze kujipima.

  • @emanuelurio-ok8yl
    @emanuelurio-ok8yl 4 дня назад

    It looks like Mr Mbowe is very wise

  • @michaelmisago3671
    @michaelmisago3671 3 дня назад

    Hapo mwenye majibu ya ushahidi wa hoja yenyewe ni Mhe. Tundu Lissu zaidi ya hapo mnapiga porojo tu mpigieni Mhe. Tundu Lissu athibitishe ukweli wa hoja yake otherwise mtakua mnafanya siasa za maji taka za kuchafuana na pengine kumchafua Mhe. Rais na familia yake, tumieni siasa katika hoja shindani za kujenga chama chenu pengine Nchi kwa ujumla.

  • @emanuelurio-ok8yl
    @emanuelurio-ok8yl 4 дня назад +1

    19:41

  • @aggreyissaya4342
    @aggreyissaya4342 2 дня назад

    Huku tunapiga kelele na kumbe Lissu alishaomba msamaha kamati kuu😂😂

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 2 дня назад

    Club kuna wahuni sana, my wa heshima asiendde huko

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 3 дня назад +1

    Lisu Hana dosari zenye madhara kwa taifa

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 4 дня назад +1

    Tunapata mengin ambyo tusingejuwa. Wana habari wengi wapo kwenye mfomo. ukiingia kwenye eneo hili tutaanza kukupekuwa. Tukujuwe upo wapi kuria au kushoto.

  • @kyaruzilutaadolph1835
    @kyaruzilutaadolph1835 3 дня назад

    Pole Kibanda. Hawa jamaa wapo too directional.

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga День назад

    Chama ni taasisi maamuzi ni ya vikao mnachekesha mnapompalilia mmoja na mhemkaji akisifiwa nchi hii watanzania wanaelewa tusubiri wakati utatuonesha

  • @matiredms917
    @matiredms917 4 дня назад +2

    Kibanda hawa siyo Watanzania ni mamluki wa Lissu. Sijui wanatoa wapi uhalali wa kuzungumzia mambo ya CHADEMA.

  • @charlesjishuli4355
    @charlesjishuli4355 4 дня назад

    1)Sifa ya Uchaguzi wa Kidemokrasia ni ulio HURU, WAZI na HAKI.
    2)Na Uchaguzi ni Kampeni
    3) Ila mtambue Ushindi ni mbinu.
    4) Pia tambueni kuwa KURA ni maamuzi ya Ushindi wa Kidemocrasia. Huo ni Uamuzi tu. Lakini hauhararishi kama huo ni uamuzi Sahihi. Ndiyo maana hutafasiriwa ni uamuzi wa Madikiteta waliowengi dhidhi ya Madikiteta Wachache.
    ***Ndg Kibanda sijaona Tija kwako, Kwa Mbowe na Kwa Taasisi unazozitumikia Kimawasiliano(Rostam, Mhe Rais).

  • @barakafrancis
    @barakafrancis 4 дня назад +3

    Muwe mnaongea kwa kutumia muda kwa dakika then mje wakati wa maswali na majibu vinginevyo mnakua kama watoto wa vidudu

  • @silasephuraim5332
    @silasephuraim5332 22 часа назад

    Kuna wengne hapo wamelewa sijui, hawajui hata wanachokiuliza

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 4 дня назад +1

    Hao wanaokukuhoji ndio wanaolipwa kuua upinzani tz na wanpewa hela nyingi sana cdm ikifa hutawasikia na ukiona mtu hata kumsikiliza mweanzake na anatoa kauli zisizokua na staha ujue ni mjinga kupindukia hata kama anaishi ulaya

  • @mosesibmshangamshanga7885
    @mosesibmshangamshanga7885 4 дня назад +1

    Mnampa nafasi ya Nini huyu kibanda?
    Katumwa huyu au nichawa huyu

  • @deuskamugisha3627
    @deuskamugisha3627 3 дня назад

    Utaratib wa kuuliza maswali umekaa vibaya sana

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga День назад

    Hakuna tatizo wacha chadema iondokwatanzania wapi vyama vitaendelea kuanzishwa kwa maslahi ya Taifa kuliko kuwa na fikrs za watu wabinafsi

  • @deuskamugisha3627
    @deuskamugisha3627 3 дня назад

    Sasa kama hauzi kuamini anacho sema kibanda bora uondoke sabab unamajib au yeye aondoke ......lkn mnachekesha sana kias kwamba hapakuwepo haja ya kumuita kama atakacho sema hutoamin

  • @kobelochamanga9757
    @kobelochamanga9757 3 дня назад

    Mimi naomba takukulu wakusanye ushaidi juu la Jambo ili kunaonyesha kunarushwa imefanyika

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga День назад

    Acha Tundu lissu aambiwe ukweli hakuna umoja wa chama hapo mtakuja ona baada ya uchaguzi

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 4 дня назад

    Rushwa taasisi ipo pelekeni huko ili washughulikie. Yaonekana hata uchaguzi utakuja kulalamikiwa msipokuwa makini. Wanaoandaa uchaguzi lazima waandae mazingira mazuri ya uchaguzi huru na haki na unawabakiza washindani chamani. Vyama vijenge tabia za kushindanisha uongozi hasa wa juu kila baada ya muda fulani. Kusiwe na dhana kwamba chama bila fulani hakiwezi kwenda.

    • @Ramadhanilawoga
      @Ramadhanilawoga День назад

      Lissu hasafisiki hata mkilazimisha wala haihitajiki kuwa na degree kumi

  • @DenisGodwin-uu6zz
    @DenisGodwin-uu6zz 4 дня назад

    Huyo Ntobi na Yericko kuna siku sio nyingi zinakuja watakuja kulia kwa usaliti.

  • @MrBeerlahairoi
    @MrBeerlahairoi 4 дня назад

    Kibanda amewashinda kwa hoja na hekima wengine wote hovyo the so called diaspora mnatia aibu mihemko tuu..

  • @mohamedsiaga7651
    @mohamedsiaga7651 4 дня назад +1

    Sanduku la kura litaamua Chadema si chama cha nyie wanaharakati chadema ina wanachama ww uliekuwa na utofauti na Mbowe unawasiwasi gani? na uchaguzi unakuja?

  • @silasephuraim5332
    @silasephuraim5332 День назад

    Kama hawa nd wapo nyuma ya lissu, ajitafakar sana.

  • @ChalesLukumai
    @ChalesLukumai 4 дня назад +4

    Kwanini watu wasiache kura iamue?

    • @PeterMandata
      @PeterMandata 4 дня назад

      Huwezi kusubiri kura kuchambua sifa ya kila mgombea ni vinzuri baadaya hapo watu waamie kwa kura

    • @DenisGodwin-uu6zz
      @DenisGodwin-uu6zz 4 дня назад +1

      Tatizo sio kura, shida inakuja kuwa Mbowe anaonekana kama mpenda madaraka.

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 дня назад

      ​@@DenisGodwin-uu6zzkugombea ni haki yake, na wapiga kura kuchagua kuchagua ni haki yao kwhy tuache Box liamue na hiyo ndio Demokrasia

    • @emanuelurio-ok8yl
      @emanuelurio-ok8yl 4 дня назад

      Kwani nani asiyependa madaraka?​@@DenisGodwin-uu6zz

    • @aggreyissaya4342
      @aggreyissaya4342 2 дня назад

      Wana uoga

  • @samsonpaschal5044
    @samsonpaschal5044 4 дня назад +1

    Hivi Huyu Mbowe yuko wapi? Aje aseme mwenyewe humu kuliko kuwatuma nyie akina Vibanda.

  • @ChalesLukumai
    @ChalesLukumai 4 дня назад +1

    Kuna mpuuzi humo space anamlzimisha Kibanda kumtukana rais.

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 3 дня назад

    Hii club house mbona kama inataka kua kama ya wahuni

  • @artsonkimath2917
    @artsonkimath2917 4 дня назад

    Tunaenda na Mwamba ......huyo mropokaji...abakie kwenye jukwaa la sauti ya wachochezi huko

  • @alfredmwasandele6922
    @alfredmwasandele6922 3 дня назад

    Haongeiyeye jamani

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 3 дня назад

    Mnabisha Nini wakati lissu mwenyewe kakiri aliomba radhi kikaoni japo anadai alifanya hivyo baada ya kuona wanataka kumshughulikia kama nyerere alivyomshughulikia mzee jumbe...aliyasema hayo alipokua akijibu hoja za wenje kuna mtu alimuuliza swali

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 3 дня назад

    Kwa mimi hawa jamaa ninavyo wasikiliza mfano wake ni kama majambazi vile wamezathulumu vile sasa wapo kwenye mgao wa walichoiba mfano wake yaaani hao ndiyo wasomi wetu wa Tanzania. Kwa mimi sasa nimemuelewa Mw. J.K.Nyerere kwa kutuchelewesha kupata elimu kwanza atuweke pamoja kwanza kwa makabila yote baadaye elimu bila hivyo tungekuwa kama wa Kenya kila mtu ana juwa na akili nyingi ni ivyo

  • @samsonpaschal5044
    @samsonpaschal5044 4 дня назад

    Hearsay rule inamu-exclude huyu kibanda na mazungumzo yake yote na huyu Mbowe- anapoteza muda tu, Anayupanga-period, labda tu kama rules of evidence on hearsay iwekwe kapuni.

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 3 дня назад

    Kama namba huyo Abdul kuwa unayo au huna ni sir yako

  • @charlesjishuli4355
    @charlesjishuli4355 4 дня назад +1

    Haujawa na tija kwa hao wote kuwepo keako ktk huu MJADALA. Hapa Umechochea fikra za kufikirika (you SENSITIZING allegations)

  • @ZeynabAlly-c2m
    @ZeynabAlly-c2m 4 дня назад +1

    Zitto kabwe ni kamanda mwenye nguvu na anijiamini sana hila watanzania hawamjui tu

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 4 дня назад +1

    Hata mkisema yoteha tuna enda nalisu tuna akili ya kutosha

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 4 дня назад +1

      Unayo kura kwenye uchaguzi wa chadema?

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 4 дня назад +2

    Mbowe tuna imani na Mbowe

  • @dogodogo595
    @dogodogo595 4 дня назад +2

    Ccm B 😂😂

  • @aggreyissaya4342
    @aggreyissaya4342 2 дня назад

    Kitu ambacho nakijua, huku ni propaganda tu inapigwa lakini wapiga kura ni wengine na wanauelewa mpana

  • @salimamri6738
    @salimamri6738 3 дня назад

    When something is said to be on record,does it mean it is video or tape recorded?Are you folks serious?

  • @emanuelurio-ok8yl
    @emanuelurio-ok8yl 4 дня назад

    Kimsingi swala la rushwa ndani ya cdm nani kalianzisha? Na kwanini mjadala huu uwe mkubwa hivi ndani ya cdm. Je mtoa rushwa je anakubali au anakana

  • @silasephuraim5332
    @silasephuraim5332 22 часа назад

    Hawa jamaa ni mapopo

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 4 дня назад

    Sasa nimeamini chama cha wachaga kwaubabe wa mboe

  • @StephenKudaka
    @StephenKudaka 4 дня назад +2

    Fanyeni haraka mutuambie siku ya mazishi ya chadema ni lini

  • @brycesonmathias6112
    @brycesonmathias6112 4 дня назад

    Ķwa ni habari za kwwnye kikao zitoke nje

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga День назад

    Suala si wewe kukubali bai watanzania wanawasikiliza ubabaishaji unaoendelea kwenye sakata lao lisu si malaika anamaungufu mengi kwa mwomba ridhaa ya nguvu ya umma

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 4 дня назад

    Haya mwaswal yote yanajirudia hili group wote akili zao zinafanana na wewe kibanda ni mvumlivu sana unatoka wapi na hawa watoto?

  • @brasiomsugu1957
    @brasiomsugu1957 4 дня назад +1

    Hawa Sauti ya watanzania wanachuki

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 4 дня назад +2

    Tunataka tuongee na mwenye mbwa hatuongei na mbwa tunamtaka huyo mbowe ajitokeze mwenyewe asiwatume viumbwa vyake

  • @StephenKudaka
    @StephenKudaka 4 дня назад

    Hakuna tuhuma hapa chadema munachukua hela za CCM

    • @johnsinyinza7450
      @johnsinyinza7450 4 дня назад

      Najaribu😮

    • @johnsinyinza7450
      @johnsinyinza7450 4 дня назад

      Najaribu ulinganisha watoto wa baba wa taifa na watoto wa marasi wa leo.kuna tofauti kibwa .mnafahamu kuwa mzoto baba wa taifa ameolewa na mtoto wa rais msitafu kaunda mliwahi sikia chochote kama mnavyo wasema hawo..mimi nina miaka 80.naijuwa tanganyika kuliko mnavyo sema.

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 4 дня назад +3

    MBOWE UMEJITOA KWA HALI NA MALI

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 4 дня назад +2

    Mbowe kuwa mtulivu na mkomavu

  • @HatibuSozi
    @HatibuSozi 4 дня назад +2

    Mbowe tamaa zako ndio zimetufikisha hapa tunakushauli mwaka ishilini inatosha punzika Sasa

    • @elikyusimsigwa6608
      @elikyusimsigwa6608 3 дня назад

      Mtoeni, kwenye Sanduku la kura sio mbwembwe za mitandaoni

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 4 дня назад

    Duh

  • @johnrizi5978
    @johnrizi5978 4 дня назад

    Duu!!!!!

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 День назад

    Kuna mjadala unabadilishwa sana na hawa wanaojadili huu mjadala. Na wanataka wamuweke Kibdanda kwenye Utaratibu wanaoutaka

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 4 дня назад +2

    MBOWE USIJALI UTASHINDA TU

  • @cyprianwarioba3429
    @cyprianwarioba3429 4 дня назад

    Imagine Mambo ya Lisu, Wenje, na Abdul mnamhoji vipi Kibanda? Hamuoni hoja Mnazoziibua Kutokea hapo mnaoneka Mna uwezo mdogo sana , Hoja zilizokua zinamhusu Kibada ni Kuhusu Kupeleka Fedha kwa Mbowe, Mmehama huko mmehamia Kwingine , Hamna facts just hearsays mnaweka Bonge la Mjadala kweli CHADEMA hamna kitu

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 4 дня назад +1

    Mbowe tuko nyuma yako

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 4 дня назад

    wewe mfumo na r

  • @StephenKudaka
    @StephenKudaka 4 дня назад +2

    Hakuna tuhuma hapa chadema munachukua hela za CCM