Baada ya Hotuba ya Lisu, Mbowe, Dr Azavel naye azungumza azungumzia nguvu ya pesa,vigezo vya mgombea

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 141

  • @HamisMtanda
    @HamisMtanda 18 дней назад +6

    Uchambuzi nzuri sana Dr Lwaitama, mwenye macho haambiwi tazama

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 18 дней назад +11

    Upo vizuri Dr Lwaitama umesema kweli My mheshimiwa lisu sijui amebadilika kwa sasa inakuwa kama kajiunga na chama jana my

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 18 дней назад +9

    Lwaitama wenye akili tushakujua😅😅😅😅 af kuwa makin graf Yako kimawazo kama inashuka. CCM oyeee

  • @jimmygerald1212
    @jimmygerald1212 17 дней назад +1

    Dr Lwaitama ni kichwa haswaa.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 18 дней назад +4

    Mzee uko vizuri sana. Mzee wa mafaili CCM hatutamsahau alivyoshikisha wagombea adabu. Ngoja tuone wataweza?

  • @amirimsuya9531
    @amirimsuya9531 18 дней назад +4

    Huyu lissu atakuwa tatizo kwenye chama chetu,mzee upon sawa kabisa

  • @yohanaantony5774
    @yohanaantony5774 18 дней назад +4

    Nlfikir ungetoa maoni yko na sio kubeza yale alyoeleza hvyo kutofautiana popote pale ipo hta ndani ya nyumba mke na mume hutofautiana hvyo unaweza ukashauriwa na usikubaliane na hcho kfp ww upo upande wa mbowe

  • @joseloya1349
    @joseloya1349 18 дней назад +2

    Mzee Lwaitama uko vizuri yaani umetoa dira nzuri yupi wa kwenda nae.
    Ukitumia akili unaenda na aliyepo, ukikurupuka unaenda na anayetaka kuingia. Kiukweli Lisu ukisikiliza ni kama anajiamini kupitiliza haweki nafasi ya mawazo ta wengine. Kwakweli hafai kuwa kiongozi wa taasisi kubwa hana busara na kekima

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 18 дней назад +4

    Hongera Dr kwa uchambuzi murua!

    • @simbozconsultancy
      @simbozconsultancy 18 дней назад +1

      Amechambua Nini yeye ana criticise tena kwa bias km Mzee wa chama alipaswa kuwa makini na kauli zake

  • @rastheunique
    @rastheunique 18 дней назад +4

    Nasikia harufu ya ankara kwa prof!!😂😂

  • @davidjoachim2398
    @davidjoachim2398 18 дней назад +8

    Wazee walioshawishiwa na Mbowe kujiunga chadema ningeshangaa (Amekuwa chawa wa mbowe) . kama ni mitano (5) ya shida sindo apumuzike asaidie, Mzee wa ovyo yaani hakuna maslahi yeyote alafu anang'ang'ania kuwa mwenyekiti

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 18 дней назад +1

      Yaani mtu akiwa kinyume na mawazo au msimamo wako basi hafai au hovyo? Somo la demokrasia bado sana

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq 18 дней назад

      ​@johnmwasilu7mkuu yani ukiongea kinyume na mawazo yao lazima utukanwe. Yani kiujumla hawataki demokrasia itamalaki wao ni wafuasi wa mtu siyo chama. 087

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq 18 дней назад

      Jitafakari

    • @MihayoMageta-k4n
      @MihayoMageta-k4n 17 дней назад

      Mzee si useme tu kwamba unamtaka Nkurunziza, acha bra bra !!!

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 18 дней назад +5

    Big up mzee, wisdom and knowledge be blessed.

  • @nditiPeter
    @nditiPeter 18 дней назад +5

    Mwenye akili kwa kauli hizi inaonyesha kabisa huyu yupo upande wambowe

  • @carolsangawe2024
    @carolsangawe2024 18 дней назад +9

    Kumbe lwaitama ni hovyo kiasi hiki? Uprofesa wa aina gani huu jamani? Ni lini Lisu alisema maridhiano ni basi? Uongo toka kwa profesa anayezeeka mishipa ya ubongo 😢

    • @giztony2009
      @giztony2009 17 дней назад

      Ww hujui chochoteee

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 17 дней назад

      Toa ujinga hapa ,kwani lisu akiingia ndo atawabuluza wenzake

    • @katunzijasson5410
      @katunzijasson5410 16 дней назад

      ni msomi wa ajabu ukifatilia interview zake utaona hasomeki pia...nchi ina shda kila upande...

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 18 дней назад +2

    Lissu akichaguliwa chama kitakufa😅

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 16 дней назад

    Lwaitama oyeeee❤❤❤❤

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise 18 дней назад +4

    Lissu anafaa kuwanyoosha ccm acha usenge kosoweni samia aacha kuuza bandari na misitu na kufukuza wamasai shenzi

    • @actormkoma
      @actormkoma 17 дней назад

      Atawanyosha anajeshi kwani?

  • @joyceharris2093
    @joyceharris2093 17 дней назад

    Uchambuzi mzuri Prof. Tumekuelewa

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 18 дней назад +4

    Kiukweli Dr Lwaitama utakuwa umewaudhi wanaharakati na akina Dr Slaa na hata huyu mwandishi

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 18 дней назад +2

    Mbowe is still the best

  • @wirangamochemba7063
    @wirangamochemba7063 18 дней назад +3

    Mzee nakushukuru kwa niaba ya wanachadema wote ubarkiwe sana profesa

  • @stevenmengo8356
    @stevenmengo8356 18 дней назад +2

    Mzee una akili nyingi, halafu unatu wekea in a very simple way. Hongera kwa busara zako

  • @isaacemily1889
    @isaacemily1889 11 дней назад

    Lissu ni CCM maazimaa

  • @amirimsuya9531
    @amirimsuya9531 18 дней назад +2

    Hizi sisi wachangiaji wa mitandaon nao watapiga kura,tuwaachia wajumbe ila lissu hatufai

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 18 дней назад +2

    Kenyata kumuunga mkono Odinga haumanishi kuwa atashinda,, Ruto kuchukiwa na Kenyata haimsnishi wapiga kura kuwa hawata mchague..

  • @abdallavictory6723
    @abdallavictory6723 18 дней назад +1

    Huyu Mzee Msomi, anajua kujenga sio kubomoa, pongezi zako Professa

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 18 дней назад +2

    Prof umeonesha njia kwa wenye akili washajua tayari ushindi unaenda wapi kuna kiongozi na mvuruga nchi kuhamasisha vurugu na mandamano kabeba visasi dhidi ya viongozi wa Serikali pigeni chini huyooo Tundu LISSU

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 18 дней назад +3

    Kumbe unapenda mtu mmoja,aongoze milele,huna akili

  • @habibunguvumali3331
    @habibunguvumali3331 17 дней назад +1

    Lwaitama❤❤❤❤

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 17 дней назад

    Team Lisu kuwa na busara matusi sio sera sana sana ni kuonyesha ufinyu wa akili.

  • @dennislihepa2247
    @dennislihepa2247 18 дней назад +3

    Dr. Watu wanabadilisha pale wanapoona wanataka radha fulani haya ya zamani yameisha

  • @katunzijasson5410
    @katunzijasson5410 16 дней назад +1

    Yaani kama hadi wewe Dr.lwaitama unaona kuwa Mbowe ana uzoefu na Lissu hana ...Mh.Majaliwa na Mh.biteko nani mwenye uzoefu....je Biteko kapita watu wangapi ambao hawajashika hcho cheo na serikalin hatukuwahi kumsikia katika nafasi kubwa serikalini...Bashungwa wizara 8 sio akiwa Naibu je alikuwa waziri wapi kabla....Ndo maana hujawahi pewa teuzi yoyote kuna ndimi unazo hazisomeki ila TISS walishakusoma muda mrefu....ndo maana jina halipelekwagi naelewa why, watu kama Prof.Shivji wapo wachache katika vyuo vyetu....

  • @GoodTeck90
    @GoodTeck90 18 дней назад +2

    Kigezo cha Mbowe kukaa muda mrefu, hiyo siyo sababu ya kutokuchaguliwa

  • @stevenmengo8356
    @stevenmengo8356 18 дней назад +1

    Upo sawa

  • @maxwellking9399
    @maxwellking9399 18 дней назад +1

    Every one has own PRICE tag!

  • @moddy8744
    @moddy8744 18 дней назад +1

    Kweli kabisa

  • @rastheunique
    @rastheunique 18 дней назад +2

    Sema kwa sababu Prof. Umezeeka na Mbowe amezeeka basi msepe tu tutaenda na Lissu nyie mnatuongezea maumivu tu wapuuzi nyie!!😠

    • @giztony2009
      @giztony2009 17 дней назад

      Hujui chochote ww mjingaaa

  • @JohnBosco-d3g
    @JohnBosco-d3g 18 дней назад +1

    Hahaha Jamaa timu Mboweeee!!!!

  • @melch3097
    @melch3097 18 дней назад +3

    Lisu kweli kwakweli anasikitisha sana, hata kama anataka kugombea, a Georgia vizuri na wenzake

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 18 дней назад +1

    Lissu anataka kugombea urais tena😢Hawezi kushinda labda akawaongoze machizi wa Mirembe na siyo wtz wenye akili ti m amu😢

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 17 дней назад +1

    Pale anapotoa ushauri wa hekima halafu Anacheka

  • @sturmiusbs
    @sturmiusbs 17 дней назад

    Nadhani huyu ni mchekeshaji kama mmefuatilia uchambuzi wake. Binafsi sijaona hoja za kisomi kufuatilia maongezi ya hoja zilizotolewa.
    He absolutely a comedian

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 18 дней назад +3

    Huyu kavua suruali ukweni, hakuna falisafa hapo jinga sana

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 18 дней назад +2

    Kumbe mzee hovyo kilo 800

  • @fadhilimsafiri216
    @fadhilimsafiri216 17 дней назад

    Umeongea vzr

  • @RichardBituro-x9g
    @RichardBituro-x9g 17 дней назад

    Huyu mzee ndiyo wale wanaoenda kuvurugiwa maslahi na lisu ,ni cm original.😂mwaka huu lisu atawajibika

  • @kirariwilanya1850
    @kirariwilanya1850 17 дней назад

    Huyu Mzee huyu anapotosha kweli,Yan ukiwapuuza Wananchi kwa sababu hawapigi kura mtajuta na udadisi huu wa kipuuzi

  • @jumamchungu2326
    @jumamchungu2326 17 дней назад

    Duh, mzee rwaitama .......

  • @saimonmsigwa1093
    @saimonmsigwa1093 16 дней назад

    Mbowe kabainika hadi anamtuma huyu mzee 😅 kweli anang’oka huyu mbowe

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 18 дней назад +2

    Team mbowe mwingine huyu😂😂😂

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 18 дней назад +1

    Viongozi wakanda wako wako 9 tu,,,wajumbe tuko zaidi ya 1200,,,,sasa toa hao 9 wanabaki wangapi..

  • @omarinyahegs4539
    @omarinyahegs4539 17 дней назад

    Lwaitama naye ni Ccm😊

  • @simbozconsultancy
    @simbozconsultancy 18 дней назад +1

    Jamaa ameshamnasa

  • @sturmiusbs
    @sturmiusbs 17 дней назад

    Unaona hata swali la mwandishi wa habari kashindwa kulijibu. Anatoa sweeping statements. Mnaomwita huyu profesa na kuona ana hoja. It is sad. Absolutely an entertainer and a comedian

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 13 дней назад

    Ashibae hamujui mwenye njaa

  • @brycesonmathias6112
    @brycesonmathias6112 17 дней назад

    Dk. Lwaitama asitumike vibaya

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 18 дней назад +1

    Lisu kahongwa yeye na abduli

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 13 дней назад

    Huyu anazunguka ni kambi ya Mbowe. Sio mkweli Ajue Makamu hana Nguvu sana. Ana mzuia Lisu asigombee ajui au anajua Demokrasia kila mtu ana haki. Mchunguzeni sana huyo Professor asemacho ni Kigeugeu

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 18 дней назад +1

    Ukimsikiliza tu unajua unajua ni mfuasi wa nani. Team...

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 18 дней назад +1

    Lwaitama pesa za mauzo ya bandali na la silimali za taifa la tanganyika umekula kissing gani maanake umo huko

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 18 дней назад +1

    Lisu ukikuta manyoya ya kuku wako ujuwe ameliwa. CCM HOYEEE

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we 17 дней назад

    Analolote na uchambuzi wake kama boss unamshauli alafu maamuzi yake anazingua unajua tu kuwa uyu kalongwa na upande wa pili ngoja mm mwenyewe niingie kazini uyo ndo lisu apendu chenga chenga

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 17 дней назад

    Huyu ni professor ataki kuingizwa kwenye mtego, hapo ana jipeleka kwa mzee mwenzake, lakini ana onekana hasa kutete wale wote wanao pata nafasi za uwenyekiti kwa kukaa kwa miaka mingi !! Bila kujali kuwa je ana jenga chama au ana kibomoa, siasa ni mchezo mchafu

  • @barryrioba3934
    @barryrioba3934 17 дней назад

    LWAITAMA Nimekusikiliza Hapa Kwa Umakini Na Nimegundua Unampenda MBOWE Na Kama Utapiga Kura Naamini Utampigia MBOWE. Wewe Ni Mwana Chadema Kama Sisi Na Una Haki Ya Kupenda MBOWE AU LISSU.
    Huo Sio Uchambuzi, Hayo Ni Mawazo Yako Na Una Haki Ya Kupenda Fulani Ukaacha Fulani.

  • @JesusJesus-ny1sm
    @JesusJesus-ny1sm 17 дней назад

    Mbowe anastahili kumwachia mwingine mwenyekiti watu waone uongozi mpya unakuwaje na tofauti yake, ajipime miaka 20 amefanyaje km juzi tu Chadema wameonewa sana serikali za mitaa uchaguzi, Mbowe hajasema lolote Zito Kabwe peke yake amelalamikia wizi kwenye uchaguzi wa mitaa.

  • @ULUMBIADAM
    @ULUMBIADAM 16 дней назад

    Mzee uongozi huu tayari umegubikwa na tuhuma za rushwa kwa hio imani ya wanachama imepotea kwa hio inatakiwa kupumzika wapishe wengine waendelee kwani na ulazima wa mbowe kuendelea ni nini?

  • @edsonkilatu5211
    @edsonkilatu5211 17 дней назад

    Mzee analinda ujumbe wa Baraza la wadhamini aliopewa na mwamba. Tutafute fedha ili uzeeni tusiyumbe msimamo

  • @RobinsonKadogo
    @RobinsonKadogo 17 дней назад

    Ukizeeka na Akiri inazeeka

  • @jeremiahkarulema3062
    @jeremiahkarulema3062 18 дней назад +1

    Ndowalwale waliopolea za abduli

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 18 дней назад +1

    Sasa ccm mnawaondoa Kwa sababu Gani,acheni ujinga profesa.kuanzia Leo ccm msitoke ,mapak haya,kumbe Kila mtu hata msomi ni waganga njaa

  • @victorishengoma5724
    @victorishengoma5724 18 дней назад +1

    Huwa cmwelewi huyu mzee.....

  • @davidngogo4011
    @davidngogo4011 18 дней назад +1

    Prof. Kafika bei 😂😂

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq 18 дней назад

      Tumia busara.

    • @dismasmtui729
      @dismasmtui729 18 дней назад

      Kila anayemuunga mkono Mbowe kafika bei, It's only a fool who can believe you!

  • @AloiceMwanga
    @AloiceMwanga 15 дней назад

    Silas ni Latina bora

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 18 дней назад +2

    Huyu mzee kituko sana, nimemzarau leo

  • @edsonkilatu5211
    @edsonkilatu5211 17 дней назад

    Njaa mbaya

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 17 дней назад

    Hatari ya uchaguzi huu ni pale wajumbe wa kamati kuu wameshaonyesha upande mmoja kumshinikiza Mbowe kuchukua form ni kosa na naiona CDM ikifa kifo cha kishindo kikuu

    • @giztony2009
      @giztony2009 17 дней назад

      @@Kwelihukuwekahuru Endelea kuona ndoto za mchanaaa

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 17 дней назад

    shida ya lissu ni kitendo cha kuibomoa chama ambacho wewe ni mgombea? inawezekanaje unatoa siri za chama nje? lissu afai kuwa m/kiti hata kidogo, hana hoja zaidi ya kumshambulia m/kiti?

  • @elishuaisaya4176
    @elishuaisaya4176 18 дней назад +1

    Kakaaaaa magufuli ndio samia kweli kumbuka ilivyo kuwa head is about overall

  • @willykaovela5485
    @willykaovela5485 16 дней назад

    Prof anakula 😅

  • @masanjaelias5829
    @masanjaelias5829 17 дней назад

    Lisu anaona oya oya hao wanamoenda kumbe wanamuharibu anaropoka sio kuongea

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 17 дней назад

    Lwetama huyu?😂😂😂

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 18 дней назад +1

    Hawa ndio wazee wablaa blaa! hawana la kupoteza wameshazoea kushauri wanaoshindwa na hawana hata shida

  • @allypeter1951
    @allypeter1951 17 дней назад

    Mmmmhhhhhh,!!

  • @carolsangawe2024
    @carolsangawe2024 18 дней назад +2

    Naamini hela za kina wenje na jamaa yake zinasambaa mpaka kwa ma profesa feki kama lwaitama

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 18 дней назад +1

      Duh kwahiyo mtu akiongea mawazo yake tofauti na yako basi hela za kina Wenje zimesambaa?

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq 18 дней назад

      ​@@johnmwasilu7087kwa ujumla hao watu wanapotoka

  • @VitalisMmassi-oh4jb
    @VitalisMmassi-oh4jb 17 дней назад

    Lisu hana hekima ana mihemko.

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 15 дней назад

    Huyu CCM B

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 18 дней назад +1

    Jinga amelamba nae,prof wa hovyo kabisa

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 18 дней назад +1

    Chama kinajengwa na wafuasi nyie puuzen wafuasi kwa kutegemea hao wajumbe

  • @mshombozimbanda3418
    @mshombozimbanda3418 17 дней назад

    Kujiamini kupita kiasi ni mapungufu makubwa.

  • @rastheunique
    @rastheunique 18 дней назад +2

    YAANI PROF. KUNA VITU UMEONGEA NONSENSE!! UKIONDOA KUCHEKACHEKA HAMNA ZAIDI YA KUMLAMBA MAPAJA MBOWE

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 17 дней назад

    Huwezi kumwita mtu mjinga kwa kutoa mawazo yake.Huwezi kulazimisha watu wafuate mawazo yako.

  • @rastheunique
    @rastheunique 18 дней назад +1

    Eti kama mchambuzi 🚮🚮

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 18 дней назад +1

    Kumbe wewe ni mjinga sana,nilikuwa sikujui

  • @ivanrobert3071
    @ivanrobert3071 17 дней назад

    Haka kazee kamechagua upande wa mlamba asali yaani kamechagua kuwa ka chawa ila mjue tu kwamba Mbowe hatumtaki hata kwa bure hata meno wala makucha ya kupambana na ccm kbsa

  • @FlorianKawamala
    @FlorianKawamala 17 дней назад

    Uyo mzee ana oja chama si mali yamtu

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 18 дней назад +1

    Msomi wa ovyo. Msomi wa kweli huwa anajadili mambo objectively na sio kwa biases kama huyu babu. Anazeeka ovyo. Kambi yako tumeshaijua

  • @SolamhelaKulwa
    @SolamhelaKulwa 17 дней назад

    Mzee ankara imetiki mzee ndo maana unalala na upande wa ankala

  • @giztony2009
    @giztony2009 17 дней назад

    Huyu jamaa ana akili sana ya kujenga hoja huku akicheki ila anajua kupangua makombora

  • @jumamchungu2326
    @jumamchungu2326 17 дней назад

    Sera za huyo wa kwako ni zipi mzee?

  • @pmfalila
    @pmfalila 18 дней назад +1

    Profesa kachagua upande. Mengine ni blah blah