AJALI MBAYA IRINGA: WATOTO 3 na BODABODA WAKANYANG'WA na MATAIRI ya LORI BAADA ya KUINGIA UVUNGUNI
HTML-код
- Опубликовано: 4 фев 2025
- AJALI MBAYA IRINGA: WATOTO 3 na BODABODA WAKANYANG'WA na MATAIRI ya LORI BAADA ya KUINGIA UVUNGUNI
WATU wanne wakiwemo watatu wa familia moja wamefariki kwa Ajali iliyohusisha pikipiki almaarufu 'BODABODA' na Gari aina Faw mali ya kampuni ya TRANSAFRICA usiku wa juni 28,2024 eneo la Mlima wa Ipogolo iliyopo Mjini Iringa.
Inaelezwa chanzo cha ajali hii ni uzembe wa Dereva wa 'Bodaboda' kujaribu kulipita Gari hilo kwa upande wa kushoto hivyo kugonga ubavuni na kuingia uvungu wa Gari hali iliyo pelekea kukanyagwa na matairi ya Nyuma.
Miongoni mwa waliopoteza Maisha ni Dereva Hassan Buruhani (17) mkazi wa Ipogolo abiria watatu, Helena Thomas (12) mwanafunzi darasa la saba, Ally Tenywa (09) mwanafunzi darasa la kwanza na Gabriel Gongo (05) mwanafunzi wa awali wote kutoka Shule ya msingi Ipogolo.
Hata hivyo pikipiki hiyo baada ya kutokea kwa ajali ilitoroshwa na watu wasiojulikanaaa.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Poleni wapendwa
Mungu awapumzishe kwa amani
Kijana alikua mdogo sana na kawahi maisha ya kujikita kwenye boda boda jmn zambii 😢
wapumzike kwa amani amina
Poreni sana iringa😢kwa msiba
Poleni taasisi ya boda boda
Inalilah wainalilah rajuuni
Poleni
Inalilah wa inalillah rajiun
"Apande mtoto nyuma yake apande mtu mkubwa" si ni mshikaki au🤔
😢😢😢
Kumbe bodaboda Wana kamanda mkuu
Ndio kwan c umeskia ni taasisi😎
Kamanda mkuu wa Bodaboda kwa ajili ya nini sasa kwa sababu pikipiki ni yangu halafu uwe kamanda mkuu mavi yako waongoze watu wasiojitambua na hawana akili ya utambuzi
Alafu hata alichokiongea sijaona maana ake 😢