KWA MARA YA KWANZA MKUU WA SHULE AONGEA KUPOTEA KWA MWANAFUNZI, AELEZA HATUA ZILIZOCHUKULIWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 74

  • @DionisiaBaynit
    @DionisiaBaynit Месяц назад +12

    Pole Sana mkuu,poleni sana walimu na wazazi wa Joel, Mwenyezi Mungu akamlinde aliko apatikane mzima

  • @neemaminja286
    @neemaminja286 Месяц назад +4

    Mwenyezi Mungu afanye wepesi kwenu na kwa jamii nzi m a.Pole Sana mwalimu na wazazi.Hongera kwa Moyo wa kijasiri na busara Mwl.Dahaye

  • @neemamsuya6098
    @neemamsuya6098 Месяц назад +9

    Form two nikipindi kibaya sana I'm sure huyo mtoto Yuko mtaani huku

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl Месяц назад +6

    Mimi naomba serikali ikague huo msitu kwa helicopter. Na wale mbwa wanao kagua mabeg yetu airport

  • @NickolathaRwelamila
    @NickolathaRwelamila Месяц назад +8

    Walim hawana tatizo ,Watoto wetu hawasikii na ukute alikuwa hataki shule mambo nimengi tuwaombee watoto wetu tu basi mimi wangu alikuwa anakaa msituni ikifika jioni anarudi kama vile alikuwa shule ila badae Walim walikuja kusema mtoto aendi shule mda nauku nyumbani kila siku anaaga anaenda shule ..Mwisho wa siku aligunfulika nawenzie wengi tu hukaa mapolini tu hivyo basi walim wasilaumiwe ila nikuomba Mungu apatikane tu akiwa hai🙏

    • @EsterMwiru
      @EsterMwiru Месяц назад +3

      kama angekuwa hataki shule siangeshatorokaga kipindi chote toka kidato cha kwanza au unaongeaa tu vile so mwanao nahujui uchungu wa mtoto badala nakumuombeaa unasema watoto wetu hawasikii acha ujinga wewe

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 Месяц назад

      ​@@EsterMwiruNikweli Ndugu Yangu Watoto Wetu Siwasikivu Nahuo Ndio Ukweli Haijalishi Niwatoto Wako Auwetu Nahuo Ndio Ukweli Wenyewe. Kubwa Tuendelee Kumuomba M'MUNGU. Ajaalie Mtoto Weru Aonekane Akiwa Mzima Nasalama.

    • @Filbert-pe2xm
      @Filbert-pe2xm Месяц назад

      Kama siyo mwalimu au haujasomesha mtoto mkorofi usijifanye mjuaji​@@EsterMwiru

    • @VanessaSancho-w4z
      @VanessaSancho-w4z Месяц назад

      Aminaa

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Месяц назад +5

    Ni changamoto za kazi, wote kwa imani zetu tuzidi kuomba Joel apatikane

  • @paulinachimela1315
    @paulinachimela1315 Месяц назад

    Mimi namuomba Mungu, kijana huko aliko awe mzima Mungu amulinde arudishe ufahamu wake,arudi Kwa uwezo wa Mungu, wazazi wake wanaumia kijana Rudi Kwa jina la Yesu

  • @MaryNdondole
    @MaryNdondole Месяц назад

    Mungu wangu wa mbinguni asimamie hili..apatikane akiwa hai mtoto wetu...Mungu ni wetu sote

  • @GetrudarCelestineAmede
    @GetrudarCelestineAmede Месяц назад

    Mungu afanye wepes tu, naamin hajapatwa na jambo mbaya, Mungu atende t🙏

  • @CalysterMbonde
    @CalysterMbonde Месяц назад +1

    Damu ya yesu ikamzunguke joeli mahali popote alipo apatikane akiwa mzima pole sn

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr Месяц назад +1

    Huko mlimani akuna nyoka jmn, study tower milimani jmn, mnatesa wazazi cdhani km wanakula nkupata usingizi

  • @annamshana
    @annamshana Месяц назад +2

    Hii ni mitihani ya Dunia jamani kikubwa ni kuomba tu rehema za Mwenyezi Mungu maana haya yanayotokea sasa fumbo kubwa sana kila mtu anamtupia mwenzie lawama lakini Mungu ajuaye haya, poleni walimu , wazazi na jamii mungu pekee akawe kiongozi na amlinde kijana huko aliko arudi salama, Amini, 👃👃

  • @GoodluckSamwel1994
    @GoodluckSamwel1994 Месяц назад

    Zimekua muv jaman Tena !!!!😢😢😢

  • @EvaMguss
    @EvaMguss Месяц назад

    Jamani wazazi achilieni sadaka mathabahuni mtapata majibu juu ya Hilo Kuna wakati mwingine mambo yakiwa magumu yabidi kumtafta Mungu zaidi sadaka itatoa majibu 🙏🙏

  • @EsterMwiru
    @EsterMwiru Месяц назад

    mungu alinde alipo joeli na ambuepushe na vitu vibaya wanyama na wanadamu wa baya mana sasahivi tunawaogopa binadamu kuliko wanyama napia wanafunzi wanasema walimuona yupo tofauti kwann hawakuwaambia viongozi wao wa msafara au ni njama ru

  • @simonetz7036
    @simonetz7036 Месяц назад

    Bila shaka haya matukio mengine yanayoendelea ni maigizo ya serikali ili kufunika matukio wanayotuhumiwa nayo na ionekane ni wimbi kubwa la ujambazi unaohatarisha maisha ya wanasiasa.

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala Месяц назад +1

    Poleni sana. Kwenye safari za kishule wanafunzi hupenda kuwa kwenye makundi yaani marafiki huongozana pamoja. Je? Huyo kijana hakuwa na wenzake? Wao wanasema ni wakati gani waligundua hawako nae?

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r Месяц назад +1

    Lokoo ya juu ya mlima mbona ilikuwa haijasemwa na wote waliozungumza awali???

  • @alawi-n2n
    @alawi-n2n Месяц назад +4

    Jamani Mm Ni Mtu Wa Tanga Uyo Kina Aliepotea Uko Mlimani Kunaushirikina Apo Watu Wabaya San

    • @IsanHomi
      @IsanHomi Месяц назад +1

      Mtu wa Tanga una msaidiaje

    • @aaminaasljbgbvf745
      @aaminaasljbgbvf745 Месяц назад

      Kama unaweza kusaidia msaidie mzazi wake anaumia😭

  • @VeronicaMacha-pl3xt
    @VeronicaMacha-pl3xt Месяц назад +2

    Ee Mungu wa huduma mlinde huyo kijana apatikane akiwa hai.

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 Месяц назад +1

    Kupanda mlima sio tatizo shida ni baraa la huyu mtoto tu ila nadhani Kuna mahali yupo tuna watu kwenye vijiji kuchunguza

  • @MariamHamidu-h5w
    @MariamHamidu-h5w Месяц назад

    Pole sana mkuu

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu Месяц назад +1

    Joel nipigie basi simu nikufata ulipo

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu Месяц назад +1

    Hivi joel huoni kama unatutesa njoo bhana baba hatakupiga rudi shule.

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 Месяц назад +1

    Africa mnajibebesha mambo mengi kwa watoto.nchi zilizoendelea hakuna huo ujinga.kundi kubwa hilo kurisk maisha yawatoto kwa usalama mdogo bila hata kujali. Study tour inamsaidia nini mtoto ambae hata masomo yake akimaliza huo msitu hautamsaidia .mnashindwa kufanya utaratibu wa magroup tofauti wachache ambao mnaona kwa macho na kuwaongoza mnaamua kuchukua watoto wengi na kuwapandisha mlima kama ng'ombe wanaofata majani.hovyo kabisa hii ombeni Mungu mtoto apatikane na ujinga wa kufanya watoto wawatu kama mifugo mwache.inaingia akilini watoto zaidi ya 100 na waongozwe na watu 3 real?? Then mnasema magroup 3 kuvuruga akili za wananchi. Haina maana magroup yachanganyane mpaka mtoto shame magroup nikwamba magroup yalikuwa karibu karibu hakuna tofauti mlitakiwa kila group na siku yake au mpishane muda wa kupanda mlima.

  • @ttss7716
    @ttss7716 Месяц назад +7

    Masomo mengine achaneni nayo kutafutia wanafunzi bala na masaibu kwa wazazi milimamani kuna mambo mengi 😢😢utoe pesa na mwanao apote me wangu uwa sikubali mtandao uko wazi si enzi za zamani mpaka muende wafanya utafiti mweyewe na simu ama labtop wengine wataka kutoa kafara 2😢😢😢😢😢

    • @SadatTesha
      @SadatTesha Месяц назад +2

      Nikumuomba tu mungu anaweza kupotea hata barabarani

    • @raphaelnambombi3709
      @raphaelnambombi3709 Месяц назад +1

      Kweli hii ni changamoto ya kazi lakini shule pia una makosa kwa Nini upeleke wanafunzi huko mlimani Tena maporini maana kunaweza kuwa na manyoka au wanyama wakali

    • @RehemaMtono
      @RehemaMtono Месяц назад +1

      Yaani haya mambo mara watoto sijui wanaenda wapi kishule sio mazuri kabisa utasikia gari imepata ajali na watoto wengi wamekufa jamani haya mambo yasio namsingi waachane nayo huko mashuleni sasa nikitendawili mtoto yuko hai ama kafa MUNGU saidia

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 Месяц назад

      Mimi nikiwa kama mpelelezi huru kwa maelezo ya wanafunzi na huyu mwalimu nimegundua pasi na shaka kua Joel hajafa,hajatekwa,hajagongwa na nyoka.
      Joel yuko mtaani ametoroka shule kwa7bu zake mwenyewe inaonekana Joel alkua na changamoto hapo shule eidha kutokana na mazngira ya hapo shule, au hataki kuendelea na shule....
      Ila atapatikana tu Inshallah

  • @bernadetaemmanuel1824
    @bernadetaemmanuel1824 Месяц назад

    Pole sana mwl wangu Dahaye kwa yaliyokukuta lkn naamin mtoto huyo atapatikan tu

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 Месяц назад

    Warimu walikuwa wapi wakati joeli yuko juu ya mti inashangaza sana

  • @HareneKipande
    @HareneKipande Месяц назад

    Jamani waite hata watumishi na mashehe ijurikane amenda wapi maana nimeshaona mtt alipotea akakutwa pembeni tu lakini akiwa amefariki kama wanaweza tafuteni maanabi na mashehe jamani sku zote hajurikani nini Mungu simama?

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 Месяц назад +1

    Joel popote ulipo rudi nyumbani

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s Месяц назад

    Mungu jaalia apatikane anawapa watu kihaihai

  • @petro8010
    @petro8010 Месяц назад +2

    Mkuu row call unayoongelea ni ipi wakati mtoto abainika mapema tu mlimani kuwa hayupo. Hata vijana wenzake huko huko mlimani waliliporti mwenzao hayupo

    • @jaytalented_tz
      @jaytalented_tz Месяц назад +1

      Usiongee kama ulikua nao kaka, kikubwa tumuombe Mungu Joel apatikane akiwa mzima na ajiandae kwa mitihani wiki tatu zijazo

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy Месяц назад

      @@jaytalented_tz ila mpk leo jmn atakua anakula nn ss?!! dah mambo ni mengi kwakwl

  • @steramwanakira7183
    @steramwanakira7183 Месяц назад

    Yaani looking for a child and parents have no clue, number one is to inform parents then police

  • @steramwanakira7183
    @steramwanakira7183 Месяц назад

    Did you informed his parents???

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 Месяц назад

    Kumbe kwara kileleni kuna ziwa

  • @alawi-n2n
    @alawi-n2n Месяц назад

    Uyo Kijana Alice Potea Ayo Ni Mambo Ya Kishirkin

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 Месяц назад

    Sio mia na mbili saivi mia natatu mbona hamueleweki sasa lipi la ukweli

  • @MAGRETHSANDO
    @MAGRETHSANDO Месяц назад +1

    Walimu wako ni wazembe...kwenye kuwaongoza wanafunzi...

  • @hellenmassawe7284
    @hellenmassawe7284 Месяц назад

    Ndiyo mjifunze tena iwe mwanzo na mwisho

  • @dotomanda-h9q
    @dotomanda-h9q Месяц назад

    Amechukuliwa msukule huyo

  • @gracewilliam4102
    @gracewilliam4102 Месяц назад +1

    Poleni sana kokote alipo huyo mtoto arudi

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq Месяц назад

    Maskini 😢

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 Месяц назад +1

    Mkuu Acha ulofa wako ulikuwa wapi

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 Месяц назад

      Unajua mkiwa porini pengine mtu anaweza kwenda haja,na kama ndiyo anaweza kuarifu mwenzake.
      Ila kama harudi baada ya dk 10 kuna haja ya kwenda kumuita.Sasa hiyo ya kwao sijui,huyo dogo waligundua hayupo baada ya muda gani

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt Месяц назад

      saana namipia najiuliza mdagani​@@mataypanga5262

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 Месяц назад

    au kuna chatu wakubwa huko msituni labda kamezwa

    • @SagulePazi
      @SagulePazi Месяц назад

      Mawazo yako kama yangu

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Месяц назад

    Mashule yafute hizo study za nje km hawawenzi kutunza na kuthibiti idadi ya wtt uliokabidhiwa na wazazi kurudi km mlivyoende Kwa uzembe km huu Bora mfute kabisa hakuna mzazi atakuelewa mjue Hilo yaani nikabidhiwe wanafunzi kamili na warudi pumngufu labda km Kuna ajali au Nini niseme tuu ila hivihivi ni ngumu

  • @FurahaMbuya-ut9yi
    @FurahaMbuya-ut9yi Месяц назад +2

    Tokea jmosi mwanafunzi kapotea leo ndio unakuja kujiongelesha apa tunamtaka ndugu yetu kwasababu uzembe ni wawalimu wenu kutokua na ulinzi mkubwa kwahao wanafunzi

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Месяц назад

      Wapo walioongea.. waalimu wengine, wanafunzi, wapanda milima..nafikiri mkuu alikuwa kwenye mshtuko kidogo siku za mwanzo. Bagara ni kati shule yenye waalimu makini

  • @novatusabond9253
    @novatusabond9253 Месяц назад

    Acha story mtafute mtoto paka wewe,kilicho kufanya uwapeleke watoto huko maporini ni nini?mbona dar hakuna milima na watoto wanafaulu vzr

  • @ubuntubantu2404
    @ubuntubantu2404 Месяц назад +1

    Kwa umri wa kijana ni wa kujitambua. Nina imani atakuwa hai.

    • @alfoncejohn2104
      @alfoncejohn2104 Месяц назад +1

      Kwani wanaopotea wanakuwa hawajitambui?

    • @alfoncejohn2104
      @alfoncejohn2104 Месяц назад

      Angekuwa mtaani asingepotelea mlimani naona mnaangalia pllan B.JOEL siamini kama YUPO mtaani TAARIFA imesambaa Tz na Dunia nzima atajificha WAPI?TUANGALIE KWA JICHO LA PILI

    • @ubuntubantu2404
      @ubuntubantu2404 Месяц назад

      @@alfoncejohn2104 mfano mzuri ni wewe hujitambui ukipotea itakuwa tabu kupatikana huna akili ya kustahimili mazingira uyajuayo sembuse mapya

    • @ubuntubantu2404
      @ubuntubantu2404 Месяц назад

      @@alfoncejohn2104 kapatikana, inathibitisha anajitambua ameweza kupambana na changamoto za porini za kukosa chakula na mahitaji

  • @betty4o43
    @betty4o43 Месяц назад

    Huyo kijana nikaa hataki kusoma amejificha😮

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Месяц назад

    Naona umepata content, wengine wanamajozi wengine Nd sehemu ya kupatia pesa ama kweli kichaa akiwa siyo ndugu yako Nd huchekesha