SAJENTI ALIYEPOTEA ZNZ AKUTWA AMEFARIKI, FAMILIA YASUSIA MWILI, UMEHARIBIKA, FAMILIA WAIBUA MAZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 710

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 3 месяца назад +76

    Mkiambiwa tuandamane kulaani utekaji na mauaji mnasema oooh chadema mnaleta vujo ..oooh chadema wabaya sana oooh mkundu unawasha siwez kuandamana

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 3 месяца назад +5

    Namshukuru sana Mungu kwa sababu taarifa hii ya kupotea ilipo repotiwa na AYO TV Nili ifuatilia hapa hapa na leo tena inarepotiwa amekutwa amefariki nimeishuhudia. Aise kiukweli kabisa tukiwa wakweli kuna mambo yanafikirisha mnoo. Ngoja tuone yulee alie kutwa na pochi labda ata tuambia

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 3 месяца назад +82

    Bado kidooogo tutaimba wimbo mmoja hakika Kuna karibia kuchangamka

    • @BabaFarzan-ml4er
      @BabaFarzan-ml4er 3 месяца назад +4

      Taratibu Taratibu wataelewa mfumo

    • @Furaha-q1h
      @Furaha-q1h 3 месяца назад +4

      𝕥𝕦𝕥𝕒 𝕤𝕚𝕞𝕒𝕞𝕒 𝕤𝕖𝕙𝕖𝕞 𝕞𝕠𝕛𝕒 𝕖𝕥𝕪 𝕕𝕣𝕒𝕞𝕒 𝕞𝕙𝕙𝕙𝕙𝕙

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 3 месяца назад +4

      Kbs mana hawishi kutuita wabara makafir na tunauwa

    • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
      @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 3 месяца назад

      Kwani bara hakuna makafiri ht wewe km sio muislam nikafiri tu​@@nishaabdula5015

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 3 месяца назад +35

    Tanzania Tanzania Tanzania tunaelekea wapiiiii😭😭Mungu ampumzishe kwa Amani AMINA 🙏🙏Poleni sana

    • @abouAtqaah
      @abouAtqaah 3 месяца назад +1

      Acha ujinga huku Zanzibar sio Tanzania

    • @WarrenChristopher-o3k
      @WarrenChristopher-o3k 3 месяца назад

      😂😂 unafurahisha ...sasa ina uhusiano gani​@@abouAtqaah

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 3 месяца назад

      ​@@abouAtqaahni wapi Tanzania ni muuganiko wa Zanzibar na tanganyika

    • @AnnaVictor-s2x
      @AnnaVictor-s2x 3 месяца назад +1

      😂😂umesoma Shule gani inayokwambia Zanzibar sio Tanzania😂😂😂​@@abouAtqaah

  • @sakinayahya78
    @sakinayahya78 3 месяца назад +2

    Innalillaahi wainna ilaihi raajiuun Allah ndiye mjuzi wa hili jambo hakika inasikitisha Sana poleni sana familia kwa machungu mlio nayo

  • @alihassan3648
    @alihassan3648 3 месяца назад +4

    Dha pumzika mwalimu wangu nakukumbuka sana
    Hakika damu yako ni njia ya ukimya kwa wengi

  • @KheriAbdallah-t3s
    @KheriAbdallah-t3s 3 месяца назад +2

    Pole sana ila Wanzazibar tusiingize usiasa kwenye hili mana sote tunajenga Zanzibar moja na nindugu kabisa

  • @tumainilaizer6517
    @tumainilaizer6517 3 месяца назад +1

    Wooooi this brother is trying to talk so calm jaman mm cjui ningekuwa naongeajee
    Mungu awape faraja familia

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 месяца назад +13

    Allahu akibarr. Subuhanallah😢 inalillahi wainailahi rajuun. Allah amsamee makosa yake ampe kauli sabity. Kama kunamtu kausika na kifochake. Allah yupo asinzii atlipa lnshaallah😭😭🤲

  • @niwaelally1579
    @niwaelally1579 3 месяца назад +7

    Baba nakuunga mkono usipokee huo mwili. Maumivu ni makali uliyonayo Pole babaangu. Ila usiuchukuwe huo mwili ikiwezekana hakuna ata mtu mmoja kuhudhuria mazishi waachieni. Lieni na Mungu

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 месяца назад +42

    Ney yupo sahihi na ule wimbo wake,tuzidi kukemea hii sio hali la sivyo tutakwisha wallH😢😢😢😢

    • @issahassan8361
      @issahassan8361 3 месяца назад +1

      Walinganie watu wasome Qur'an

    • @NadyaSaid-c4w
      @NadyaSaid-c4w 3 месяца назад

      Ndio mfumo kamili wa Allah ​@@issahassan8361

  • @rahema1992
    @rahema1992 3 месяца назад +5

    Inalillah wainailayihi rajiun polen sana zanzibar kwakufikiwa na watu wacyojulikana

    • @Ali-uh9wb
      @Ali-uh9wb 3 месяца назад

      @rehema1992washefika hukowatu hao

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 3 месяца назад

    Pole baba. Uchungu mkubwa. . Allah amrehemu ampe pepo yake ya firdous amin. Yaani Mungu ndie anaejua na yeye ndie mlipaji

  • @dorcasjonathan9793
    @dorcasjonathan9793 3 месяца назад +44

    Baba pole mm najuwa maumivu unayo pitia mungu akusaidie hata mm nimelia sana pole sana baba

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 3 месяца назад +3

      Mimi roho imeniuma pia nimemuonea huruma huyu baba na kaka maumivu wanayopitia machozi yamenitoka.
      Innaa lilahi wainnah ilaih rajioun.
      Allahuma ghfilahu warhamhu wamaskanahuu min riyadh L-Jannah.

    • @AmeirhajjRamadhan-e1h
      @AmeirhajjRamadhan-e1h 3 месяца назад

      Allahumma amin​@@zenaal-baalawy1953

    • @BlandinaBlanddina
      @BlandinaBlanddina 3 месяца назад

      ​@@zenaal-baalawy1953🎉

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 3 месяца назад +5

    Inalilaih wainaillaih rajiuun......kurujuwani inahusika hapo mkisubiri judgment....judgment ya haki Haj ataikuta kwenye mahakama ya M/Mungu ....mzee poleni sn ..M/Mungu akupe subra...

  • @sunrishmussan6958
    @sunrishmussan6958 3 месяца назад +85

    SIMNASEMA NCHI YA AMANI ENDELEENI YANI KADRI LINAVYOMKUTA MTU MMOJA MMOJA HUKO MTAANI NDIPO AKILI INAKUJA. 😢😢

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 3 месяца назад +5

      Usisema hivyo sisi imetukuta tumepata msiba wadada na mwanae na Binti wa kazi 😢inaumaa mno 😢

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 3 месяца назад

      Tuombe Mungu haya mambo yaishe kwenye taifa letu tuombe Mungu maumivu ambayo wengine yametupata wengine wasipitie maumivu ni makali Yana rarua moyo

    • @gracebwimbo1889
      @gracebwimbo1889 3 месяца назад +2

      kweli sisi huku tunapolalamika watu kupotea kutekwa wanasema tunajiteka wenyewe kwa hio nae kajikill mwenyewe?

    • @EliasPaul-qs2ib
      @EliasPaul-qs2ib 3 месяца назад

      Ushauri wako ni upi?

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 3 месяца назад +6

      Yaani wale wanaoendelea kusifia yakiwakuta ndo tunaongea lugha moja

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 3 месяца назад +1

    Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja na jamaa zake mola ampe khauli thabiti ndugu yetu 😢😢😢😢😢

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 3 месяца назад +3

    Mungu isaidie nchi Yetu na Rais wetu. Haya mambo yanaumiza sana

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 месяца назад +4

    Pole baba na familia Allah awape subra kwa wingi. Mtihani sikuzote alikua wapi mpaapatikane amekufa na hizo dalili alizokua nazo sinzuri wachunguze kwa makini

  • @mwanaishamasoud
    @mwanaishamasoud 3 месяца назад +10

    Baba kamstiri mwanao haki ya mtu haipotei mungu halali anaona kila kitu ishallah Allah atawalipia kwa hilo na muwe na subra

    • @AmeirhajjRamadhan-e1h
      @AmeirhajjRamadhan-e1h 3 месяца назад +2

      Hakika dear damu ya mtu huwa haipotea bure allah awape subra wafiwa
      allah awape kauli dhabiti maiti zetu zote za kiislam🤲🤲

    • @mwanaishamasoud
      @mwanaishamasoud 3 месяца назад +1

      @@AmeirhajjRamadhan-e1h Allahumma Aamin🤲

    • @ttss7716
      @ttss7716 3 месяца назад

      Kabsa mnyonge haki yake ni kwa mungu subhanallah 😢

  • @fugameza6011
    @fugameza6011 3 месяца назад +3

    Wapuuzi nini 💖 Mbona Salimini Amuri walimtowa roho mzima mzima halafu tukachukuwa marehem wetu tukazika alikuwa askari kama huyo KMKM kwani kufa kwa mtu mmoja mpaka 10 kwakulinda madaraka powa tuu nzamu yenuuu pumbaav unuus halafu unaiomba sirikali ipii kazikeni ndugu yenu kidumu chama mapinduzi kila siku mtajiiii😊

    • @Shafiy-gb9wr
      @Shafiy-gb9wr 3 месяца назад

      Ww malaya kwel unaliwa san mavi pia hayazuwii kamchukue ww bs ukazik kirobot ww

  • @KipembaAli
    @KipembaAli 3 месяца назад +1

    Askari wenziwe wamemuua dalili zote😢 Alaf Ushirikiano hamuuoneshi kumamazenuuu nawachukiaa Na Allah atakulipen hpa hpa dunian

  • @ireneshao7950
    @ireneshao7950 3 месяца назад +73

    Mungu hizi habar zinachosha masikioni mwetu tuhurumie Yesu😢

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 3 месяца назад +4

      Ila yesu sio mungu sasa

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga 3 месяца назад +2

      ​@@JamesJastin-bg1rxbora umemkumbusha

    • @mahfoudhcalender2747
      @mahfoudhcalender2747 3 месяца назад +4

      Yesu Sio Mungu, usituletee kufru zako hapa.

    • @melch3097
      @melch3097 3 месяца назад

      Hakuna cha huruma. Mpaka tupate hakili

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 3 месяца назад +2

      Yesu msalabani kachemka

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 3 месяца назад +26

    Huyo jamaa alikuwa geneus sana so waliogopa atapata cheo akiwa mdogo na kuchukua madaraka so wakaamua kumuua mapema.lkn Allah yupo na atawalipa!!!! Allah akujaalie wepesi katka safar yako.Amin

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 3 месяца назад +1

      Shekhe unamjua au uliwai kua nae karibu ama unaona raha tu kuchochea kelele

    • @ameali5606
      @ameali5606 3 месяца назад +2

      Heee kwaiy kauliwa na wakuu wake?? 😢😢

    • @RamadhaniOmary-z3p
      @RamadhaniOmary-z3p 3 месяца назад +1

      www umejuaje?

    • @RamadhaniOmary-z3p
      @RamadhaniOmary-z3p 3 месяца назад

      www unajuaje?

    • @husnakalumba2578
      @husnakalumba2578 3 месяца назад

      Acha uchochezi nani kakudanganya jeshini wanagombania cheo kule kama mna cfa mtapewa wote huyo zpo sababu zyo hzo

  • @KiringoMtemi
    @KiringoMtemi 3 месяца назад

    Pole sana baba mshukuru mungu mchukue kijana wako uzike allaah atawahukumu waliofanya haya mshitakie mungu muhifadhi kijana wako simama kwa allaah

  • @adamlikati3364
    @adamlikati3364 3 месяца назад +75

    Yakiwa mbali yanasikilizika " Yakiwa mlangoni acha kabisa

    • @paulmashiliba3183
      @paulmashiliba3183 3 месяца назад +1

      Msiba usikie kwa jirani

    • @AnnaVictor-s2x
      @AnnaVictor-s2x 3 месяца назад +1

      Yani we ACHA roho inauma Sana 😭😭 Kam namuona kaka Yule Jaman😭😭

    • @HassanSalmin-f5h
      @HassanSalmin-f5h 3 месяца назад

      Nime kupata vizuritu

  • @RebecaMackenzi
    @RebecaMackenzi 3 месяца назад +3

    Wananchi wakipanga maandamano ili kukemea utekwaji polisi wanajaa barabarani kuwazuia, wanasahau kama wana familia na hata wao pia kuna siku yatawafika either kwenye familia zao au wao wenyewe. What goes around comes around🙌. Poleni wafiwa.

  • @kassimmachela8259
    @kassimmachela8259 3 месяца назад +3

    Innalillah wahinnahillah rajiuun😭😭watanzania tunamalizwa na wasio julikana 😭😭

  • @ayoubali-x6n
    @ayoubali-x6n 3 месяца назад

    Mungu awalaaani wote walohusika na kifo chake😢😢😢 Allah atulinde pamoja na familia zetu na nchi yetu kiujumla naipenda sana nchi yngu ila cjui inaelkea wp kwakwely

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 3 месяца назад +12

    Allah ampe kauli thabit.
    Amiin.

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 3 месяца назад +1

    Inna lillah wainna ilaihi rajiun
    Allah amsameh makosa yake ampe makaazi mema peponi
    Amiin

  • @ZABIBUKASSIMMBWANA
    @ZABIBUKASSIMMBWANA 3 месяца назад

    Poleni wahanga wailo lililo tokea muachieni mwenyenzi mungu ila akika mungu atalipa kwa uyo kijana ambae alikuwa anatumikia taifa poleni sana familia

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 3 месяца назад +3

    Kaka poleni sana kwa msiba ila shitakieni kwa mungu vitabu vipo namajibu mutayaona inshalaah inauma sana

  • @LeilaShaban-c8j
    @LeilaShaban-c8j 3 месяца назад

    kwa ushauri wangu naomba mmpumzishe mpendwa wetu maana malipo ni hapa hapa dunia aliefanya ivo mungu atamuazibu😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭mungu waumbue wote waliofanya ivi

  • @saidambarouk2804
    @saidambarouk2804 3 месяца назад

    Kila nafsi itaonja Umauti na kila kifo kina sababu zake 9:37 Mungu atupe Mwisho mwemaa✊✊

  • @StevenKisinda-x8n
    @StevenKisinda-x8n 3 месяца назад +38

    Ukisikiliza wimbo wa ney wa mitego utajua vizuri

  • @FatumaJuma-b2g
    @FatumaJuma-b2g 3 месяца назад +1

    Innalillah wainna lillah raajuun jmn MTU naenda mafunzoni inakuaje kutekwa nakuuwawa???? Kuna nni tz jmn???Allah atulinde atuna pakwenda

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 3 месяца назад

    Pole Sana baba angu. Taarifa zilitolewa sana lkn ushirikiano wa serikali hakuwepo leo mtu anapatikana maiti tena ameshaanza kuharibika katobolew kakatwa mapanga. Huyu kauliwa Kisha wakamtupa hapo

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 3 месяца назад +46

    Khaaaa, siku zotee izoo ndo asionekanwe kwenye iloo jengo nyuma na alikuwa tyri anatafutwa lazima apo kuna jambo

    • @ashachitemo7816
      @ashachitemo7816 3 месяца назад +8

      Yaani huyu inaonekana kama ameuliwa hivi karibuni maana ingekuwa tangu trh hiyo ya mwezi wa wa nane agekuwa keshaonekana na watu wangeshajua

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 3 месяца назад

      Kwer pqngenuka sanaaaa kuna tafuta mwez wa 2 usingebebeka​@@ashachitemo7816

    • @ahmmadaaly5112
      @ahmmadaaly5112 3 месяца назад

      Hizo ni iman za kishirikina tu hapo iliwahi tokea hyo zanzibar mtu alipotea sehemu inapita watu lakin mwili hatukuona baada ya cku tatu ndio tuliona mwili umekaa njian kabisa

    • @subiraibrahim8100
      @subiraibrahim8100 3 месяца назад

      ​@@ahmmadaaly5112acha hizo

  • @NeemaSamueli
    @NeemaSamueli 3 месяца назад

    Pole family hao wanaoteka watu mungu ndo hakimu atawapa adhab ya milele

  • @Graceyusuphh
    @Graceyusuphh 3 месяца назад +2

    Ooo God, usinyamaze Mungu umebaki peke ako tunayekutegemea😢😢😢

  • @annachilasa8265
    @annachilasa8265 3 месяца назад +1

    Hatimaye mmefikiwa😮
    Hii nikama AZAM burudani kwawote
    Bali yote kwayote poleni family

  • @ttss7716
    @ttss7716 3 месяца назад

    Washa muuwa kamzikeni mshukuru mungu dunia hii ina siri mingi someni albadiri ya mbayana alafu watajitoa wenyewe mungu ata waumbuwa 😢😢😢😢😢

  • @stellamwasenga6205
    @stellamwasenga6205 3 месяца назад

    Hongereni sana watu msiojulikana huenda siku moja tukajua kinachoendelea kwenye usalama wa nchi yetu

  • @jumamahiza2997
    @jumamahiza2997 3 месяца назад

    kasilikizen njimbo ya ney wa mitego mtaelewa Polen sana family kwa kuondokew na ndugu yenu

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 3 месяца назад

    Allah awapofue macho watu wasiojulikana kwa mauwaji wasiweze kuua amiin.

  • @AugustineMigeke
    @AugustineMigeke 3 месяца назад +1

    Pole kwa familia ya Hajji Mwenyezi-Mungu awe mfariji wenu

  • @JustinMwanzeni
    @JustinMwanzeni 3 месяца назад

    Allh ampemakazi mema na allh awapesubra wanafamilia inaumasana dogo anamasta tumepoteza msomi uchunguzi ufanyike

  • @allyiddakizimana7103
    @allyiddakizimana7103 3 месяца назад

    Dah inauma sana,poleni wafiwa .tumshitakie Mungu

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 3 месяца назад

    Chukueni mwili mkazike Allaah atajaalia kila la kheir mustahamili kwa huo mtihani sote tunapita tu hapa hakuna atake bakia milele😭

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud 3 месяца назад +2

    Washukuru kuuona mwili juma wa juma kapotea huu mwaka wa 5 hatujamuona,hatujampata,hajuilikani alipo na alikuwa mtu mkubwa serekalini serekali kimyaaaa tunaumia sana kama familia

  • @stonetown578
    @stonetown578 3 месяца назад

    Poleni sana wafiwa, Allah atawalipa hapa hapa duniani.

  • @HadiaAme-x5f
    @HadiaAme-x5f 3 месяца назад +1

    Mungu amlaze pahala pema peponi

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 3 месяца назад

    Mlikuwa mnaimba wacha waisome namba, sasaivi tutaisoma namba wote hasa kwa Sema kweli, poleni kwa msiba baba na Familia.

  • @JamilaKelota
    @JamilaKelota 3 месяца назад

    Pole sana baba yangu unaongea kwa uchungu kabisa Mungu wa mbinguni akasimamie haki ishallah

  • @sankofaman4112
    @sankofaman4112 3 месяца назад +23

    Mzee yupo sahihi, sajenti wa jeshi anawezaje kuzikwa bila wanajeshi kuhusika? Hpo kuna kizungumkuti.

    • @HidayaIbrahim-b4h
      @HidayaIbrahim-b4h 3 месяца назад +4

      Ndio inaumiza jamaniii😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 miinalia kapotea nimuda miii nilikuw namfatilia masikini amekutwa akiwa maitiinaumiza jamani😢😢😢😢😢😢

    • @abrahmanhmd2557
      @abrahmanhmd2557 3 месяца назад

      Pole sana ​@@HidayaIbrahim-b4h

    • @saydatramadhan5091
      @saydatramadhan5091 3 месяца назад +1

      unajuaje ww

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 3 месяца назад

    Dah 😢😢😢😢innalillah wainaillah Rajiun pole sana family

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 3 месяца назад

    Poleni sana ndugu zetu ni mtihani mkubwa yule aliekutwa na kile kipochi wakati anapotea aulizwe vizuri

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 3 месяца назад

    Inalillah wainaillah rajighuun poleni sana wafiwa😢😢😢😢😢😢😢

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 3 месяца назад

    Ayo matusi ndoyenu tu wabara nyooni hasbiyallwahu waniimalwakil ...hebu semeni innalilahi wainnailaihirajiun

  • @jamilahali-jg8er
    @jamilahali-jg8er 3 месяца назад

    Inalilahi waina ilahi rajiuni muifadhini Allah atawlpia in Sha Allah

  • @hassanjongo4309
    @hassanjongo4309 3 месяца назад

    Mungu amuweke mahali pema Pe... A....

  • @MakameUssi-vl9tz
    @MakameUssi-vl9tz 3 месяца назад

    Mungu amsamehe makosa yake in shaallah mbeleyake nyma yetu

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 3 месяца назад

    Subhannallah. Inaumasanaa. Poleni Sanaa wanafamilia

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 3 месяца назад +2

    MUNGU ingilia kati .haya mauaji amen 🙏😢so painful r.i.p

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 3 месяца назад +2

    Eti aritoweka,Arafu kapatikana maeneo ya kambi jamani,muogopeni mungu

  • @abdulhafidhkhalfannassor827
    @abdulhafidhkhalfannassor827 3 месяца назад +1

    Tanzania ni sawa na kiti chenye ncha kali ukiketi keti kiakili #Zanzibar

  • @salmakirundu2076
    @salmakirundu2076 3 месяца назад

    Polee baba allah akupe subira

  • @JumaMohd-i6y
    @JumaMohd-i6y 3 месяца назад

    Kwa hakika sisi ni waja wake allah na kwake tutarejea

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 3 месяца назад

    Poleni sana Sijui hii ninini mmm Kaz kweli

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 3 месяца назад +1

    Wasiojulikana hao washafanya mambo yao, Tz plus Znz😢

  • @AbiaWilliam-s1s
    @AbiaWilliam-s1s 3 месяца назад +1

    Mwenyez mungu utuurumie 😢😢😢

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter2770 3 месяца назад +3

    Ila wauwaji angalien mnaua mtu moja kimwili ila kiroho mnaua zaid ya moja kama hivi wzazi ni wazee wanamtegemea wamaumia kiroho ameacha mke nae kiroho ameimia sana, jaman tumrudie Mungu kwa damu za wenzetu zinazo lia

  • @annakletayohana4561
    @annakletayohana4561 3 месяца назад +1

    😢huyo kiongozi anaongea kwe simu kama ameandikiwa na anasoma mwandiko wa mtu mwingine,ila kichaa akiwa kwa mwenzio anachekesha akiwa kwako ni huzuni

  • @NnalaNsangalufuMwangati
    @NnalaNsangalufuMwangati 3 месяца назад

    Pole sana baba😢😢 inaumaa kwakweli

  • @dianajohn8520
    @dianajohn8520 3 месяца назад

    Jamani kama mwili umepatikana uchunguzi ufanyike mbona ni jambo muhimu yaan mtu afe halafu azikwe tu,,hapana hapana ,,inabidi majibu yatoke mbona vifaa vya uchunguzi vipo ...inaniuma sana sio huyu watu wengi wanakufa hivi hivi ,,,,achana na mwili ukae huko wasipoleta majibu. Msimamo mzuri sana ,leo amepotea huyu na kesho ni wewe na mimi..sio haki kabisa

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 3 месяца назад

    Pole sana baba angu inauma sana 😢😢😢😢😢

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 месяца назад

    Pole mzazi,tukio hilo ni zaidi ya msiba.

  • @nathanielshauri5135
    @nathanielshauri5135 3 месяца назад +12

    Mungu wewe ndio unajua ukweli..

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 3 месяца назад +8

    Hapa kuna neno. Mazingira yenyewe yanazua maswali mengi kuliko majibu.

  • @Jamila-h1w
    @Jamila-h1w 3 месяца назад +52

    Nei.wa mitego kaimba nyimbo nitasema kaambiwa anaimba uchochezi hio ndio serekali yenu

  • @FatumaAli-y3y
    @FatumaAli-y3y 3 месяца назад

    😭💔JAMANIIIIIIII ,JAMANIIIII,JAMANIIII MUOGOPENI ALLAH NA ALLAH NIMJUZI WA YALIYOFICHIKANA NA YALIYOWAZIIII HII NIDUNIA TUTAIWACHA NA TUTAKWENDA ULIZWA KUNA NA MOTO AMBAO SS HATUUWEZI

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 3 месяца назад

    Allah anaona Kila kitu na amweka kiama na siku ya hukumu kwa AJILI ya mambo kama haya ambayo kwetu Yana utata ila kwake hakuna utata

  • @HajiFaki-n9v
    @HajiFaki-n9v 3 месяца назад

    your president fatilia haya maswala kwasababu kwann huyu mtu amefuka kambini sio nyumbani kuna kitu kimejificha hapa 😢😢

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 3 месяца назад +8

    Haya waznz yalikuwa yakitokea kwetu utawasikia wabara wanalaana imekuwaje na nyingi h8ko Zanzibar KULIA KIPOKEZANA na wali mtamu kwa msiba usokuhusu POLE NI FAMILY

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 3 месяца назад +2

      Umesahau wazanzibari wamekufa wengi tangu 64 tunapiga kelele wabara mnasema SS ni wachochezi

    • @yustomwaisomania2587
      @yustomwaisomania2587 3 месяца назад

      Inapidi vifo vya kuuwawa kwa kuwekwa viongezeke ili tuzungumze Lugha Moja sasa😂😂

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 3 месяца назад

      Hiviiiiii Tz ina ukabila na udini Bado sio,,,msimo ziro

    • @raniy0262
      @raniy0262 3 месяца назад

      Kama huyajui nyamaza,,angalia historia ya wazanzibar kila siku wanalia mara hii nyie ndo tunawaangalia kuliankupokezana kweli

    • @taturamadhan5940
      @taturamadhan5940 3 месяца назад

      Kwani huku zanzibara sasa hivi pia wabara si wapo

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 3 месяца назад

    Inalilah wainalilah rajuuni poleni sana family

  • @ZawadielyGabriel
    @ZawadielyGabriel 3 месяца назад

    Manake ndo nimeilewa zaidi, ila Pole kwa familimia kwa kumpteza kija wao

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 3 месяца назад

    Innalilahi wainna ilaihi rajiun .....lkn msiache kusoma halalbadiri kwa alie muuwa nayeyete alieshiriki kwanamna moja ama nyengine nawao wafe km alivokufa marehemu huyu

  • @AdmAlhinai
    @AdmAlhinai 3 месяца назад

    Kwaserikali akuna kitu chukueni tuu mwili mzike msimdhalilishe maiti hukumu ni yamwenyezi mungu basi tukipata mtihani tulie na Mungu lkn serikali nimtihani kwakweli

  • @mohammedsaid3045
    @mohammedsaid3045 3 месяца назад

    Kama tadinu tudana wenyewe kwa wenyewe sasa Mungu amsamehe makosa yke mjaaliye awe ktkwatu wema ila tz hii kwa serikali km haitoangalia jambo hili litaendelea maisha

  • @ChidyKenny-dc1ue
    @ChidyKenny-dc1ue 3 месяца назад +3

    Mbele yake nyuma yetu mungu ampe kauri dhabiti

  • @AliMahmoud-p7o
    @AliMahmoud-p7o 3 месяца назад +35

    Mtu afariki kwenye Kambi asionekane au apotee mpaka anakufa Tena ndani ya Kambi hajaonekana,Sasa hiyo Kambi kweli inawalinzi?

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 3 месяца назад +5

      Cku tatu tu mtu akifa anatoa harufu je uyo alooza kabisa tena kambini mudawote watu wanazungukazunguka wasisikie harufu

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 3 месяца назад +3

      Sio Mtu sema Askari

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 3 месяца назад +2

      Mwanajeshi afia kambini hiyonikambi au nitambiko

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 3 месяца назад

      @@PeterMahona-zd3oz Ni kambiko

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 месяца назад

      ​@@PeterMahona-zd3ozTambiko

  • @AliMahmoud-p7o
    @AliMahmoud-p7o 3 месяца назад +19

    Mkuu wa hicho kikosi na mkuu wa Kambi lazma wawajibishwe na wajibu kifo Cha huyo Askari

  • @igulug5450
    @igulug5450 3 месяца назад +15

    Watu wakisema munaona waongo watu wanakufa mama anasema sawa tu kufa ni kawainda waachieni maiti wazike waoooo serikal inazalau sana

  • @ezekielwaree2378
    @ezekielwaree2378 3 месяца назад

    Ninyi mnaoyafanya haya mambo ole wenu Mungu hakimu wa haki atakaposimama mtalia na kusaga meno hakuna kitu kitakachofichika mbele zake,hakuna uzuri au ubaya usiokuwa na malipo mtapokea malipo yenu

  • @DaheerK
    @DaheerK 3 месяца назад

    Kauliwa kauliwa uyo duuh zanzibar km bongo saiz maana mh

  • @SakinaValy
    @SakinaValy 3 месяца назад +6

    Hivi hamjiulizi mbona matukio kama haya hayatokei kwenye family za viongozi wajuu!!! Tukishindwa kusoma hata picha hatuoni,,,,,,,,,,, walioleta amani Tz wamepita mbele ya haki wote waliobaki,,,,, wengine ata ungozi walipata Kwa kulenga na manat

  • @josdandanjos6546
    @josdandanjos6546 3 месяца назад +3

    Daaah inauma saana 😢

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 3 месяца назад +2

    Yani kambi ya jeshi apotee mwanajeshi alafu walale kweli. Ina maana ingekuwa msako usiku na mchana mpaka apatikane.

  • @rayahaji8842
    @rayahaji8842 3 месяца назад

    Poleni sana ndugu zangu