Shukran sana waziri mkuu wetu kwa kugundua wizi wa pesa zetu za umma. Mtindo huo wa wazi umezoweleka katika mashirika na taasisi nyingi . Zoezi hilo la kuwagundua wezi au wahujumu uchumi hao liendelee na wanapogunduliwa adhabu yao yao ni kifungo cha maisha na kufilisiwa hata kama kama assets zao walizianfika kwa majina mengine. Wezi hai wanatutia uchungu sana. Sisi wengine tumefanya kazi katika mashirika ya umma na makampuni binafsi kwa miaka 50 lakini hatukuweza kujenga hata kibanda cha nyumba
MUNGU amubariki sana Majaliwa Waziri mkuu maana ndo kiongozi pekee aliyebakia juu katika nchi hii ya Tanzania, lakini pia awakumbushe viongozi wengine kutenda haki na Aibariki Tanzania na watu wake wote, Amen
Naamini kama viongozi wetu wangeweza kusikiliza vizuri hii na wakafuata nyayo kweli Tanzania kwa miaka 5 tu walipa Kodi wangesema tulipe Kodi kwa nguvu Sana pesa zetu zinasimamiwa. Hongera majaliwa bwana unakifua na unajitambua Sana kweli wewe ni MZALENDO
Mungu akutangulie Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tunahitaji kiongozi kama wewe ili kuilinda pesa za walipa kodi wenye uchungu na Inchi hii. Tena ufungue Mahakama ya wahujumu uchumi ili watu kama hao wanapelekwa mojakwamoja kwenye hukumu husika. Mungu azidi kukupa mcho ya kuona maovu mengine mengi zaidi ili kuitakasa Serilikari ya Mama Samia Suluhu Hassan .
Hili ni tatzo sana kwa watendaji wachache, serekali ifanye mambo haya;- Kuwashikiria ,kuwafunga na kuwafukuza kazi na utumishi. pia kuajiri watu tuliona hofu ya mungu na kuzingatia kanuni na sheria katika utumishi wa Allah na miongozi mbali mbali
Kwani ukiwa na hofu ya Mungu ndiyo Nini unaijua pesa wewe mchungaji anakula sadaka bila kusaidia waumini wake. Tunaitaji Watu wazalendo kama Makonda na Majaliwa Jpm Rip
Hivi kwanini Serikali isitengeneze mfumo wa blacklist kwa wafanyakazi waliowabadhilifu kwa Fedha za Umma ili wasije wakapata teule tena na kupata any opportunity kwa Makampuni ya ndani na ya kigeni then process zingine ziendeleee koz inaumiza sana
Yote kazi kubwa anayofanya Amiri Jeshi Mkuu.yeye ndio anaetoa Amri na kutafuta watu wakugunduwa madudu hayo hapo Waziri Mkuu anafwatilia coz yeye ndio Mtendaji Mkuu wa Serekali awamu ya Mama SAMIA ni ya kufwatilia.kila.kitu kwa kisheria na sio kuongea tu kwenye majukwaa.
Tunaomba uchunguze kisima cha maji cha mbuyuni vingunguti kombo kisima cha plan tulichonyangwanywa toka 2010 mpaka leo.Kilio hiki kipo mezani kwako tunaomba ufanye uchunguzi na ufanywe utatuzi Mhe Waziri Mkuu
Watz tatizo ni kukosa uzalendo kutok a moyoni .. sio uzalendo wa mdomoni ni ule uzalendo wa kweli kutoka moyoni .. ndo umekosekana kwa watz wengi .. watumishi wanafanya mambo kwa maslahi binafsi na sio maslahi ya taifa ..wizi tu wa mali za umma ..inaumiza sana kwa kuwa sisi wenywe ndo tunarudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu ..
Kuna watu matapeli mitandaho vodacom na tigozateli na zote najifa kuhibiwa pesa nzote bado wanajifanya kusajili hiyolahini wafukunze wote fanya kutapelipesa mtandahoni kote mjinzima kuwakamata wafungwe jela 5 leho
Mhe, ubarikiwe mno.Naomba hata Halmashauri ya Bukoba MC , ichunguzwe uhsusani kwenye fedha za Uhamisho wa watumishi wanalipwaje stahiki zao za uhamisho, maana haiwezekani mtumishi akalipwa disturbance allowance tu ,for what and why ???
Hiyo mfumo upo kila mkoa Tanzania labda mpo bease lakini huu mchezo upo ndio maana halmashauli wanategemea pesa kutoka serikali kuu wao wanazipiga tatizo mifumo mibovu utadhani hakuna elimu wakati hao hao ndio wanajitoa ufahamu na wapo Tu.
Mbaka Kuna watu matapeli fungua computer kutumiha number nida yafatahifa chotapesa nzawatu wengi linzwa na liha mtandaoni daresssalaam bongo mjinzima tanzania 🇹🇿 public African bongo
Muheza, Tanga, babara ya kwenda vilimani amani kwenye msitu wa pekee duniani wa bio-anwai, ilikwishatolewa hela zote na Magufuli kujenga kilomita hizo 32 kwa lami. Baada ya kifo cha Magufuli, walisimama kwenye kilomita 12! Zilizobaki watu wanazinywea! Mbunge yupo, anarekodi muziki Dar. A rotten government!
Hii ni halmashauri moja tu anaongelea PM na kugudua madudu hayo . Madudu kama haya yapo halmashari ZOTE, IDARA ZOTE ZA SERIKALI, WIZARA ZOTE . Mfumo wote ni corrupt.
Tatizo hapa ni uozo unaosnzia serikalini juu kabisa. Mnakumbuka Rais samia alipotangazia umma kuwa kuna hela mabilion zimepelekwa china? Kuna siku mmewahi tena kusikia wahusika walichukuliawa hatua gani? CAG alitoa report ikaonyesha kuna ubadhirifu mkubwa hakuna aloyewahi kufukizwa hata kazi achilia kukamatwa. Majaliwa analalama kwa hasira utadhani ni mkimbizi kaja Jana wakati anayo mamlaka ya kufukuza na kuamuru mali za hawa wezi zikamatwe wakati wakisuburi mahakama imalize shauri lao. Kamq majaliwa aliona upuuzi huu anaotueleza kwenye haashauri mbili hakuchukua hatua kali ikiwemo kiwafilisi wahusika wote hadi hao waloopokea pesa za umma wakijua ni za wizi wangechukiliwa hatua za kufungiwa kampuni zao leo hii tusingeona likirudia huko kigamboni.
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Waziri hebu uje na kata ya kikongo wilaya ya kibaha
Iringa mufindi uvujaji mkubwa
Shukran sana waziri mkuu wetu kwa kugundua wizi wa pesa zetu za umma. Mtindo huo wa wazi umezoweleka katika mashirika na taasisi nyingi . Zoezi hilo la kuwagundua wezi au wahujumu uchumi hao
liendelee na wanapogunduliwa adhabu yao yao ni kifungo cha maisha na kufilisiwa hata kama kama assets zao walizianfika kwa majina mengine. Wezi hai wanatutia uchungu sana.
Sisi wengine tumefanya kazi katika mashirika ya umma na makampuni binafsi kwa miaka 50 lakini hatukuweza kujenga hata kibanda cha nyumba
Keep it up mr.majaliwa.(waziri mkuu).
MUNGU amubariki sana Majaliwa Waziri mkuu maana ndo kiongozi pekee aliyebakia juu katika nchi hii ya Tanzania, lakini pia awakumbushe viongozi wengine kutenda haki na Aibariki Tanzania na watu wake wote, Amen
2025 ni Majaliwa ushindi mapema kama Yangaa
Hongera sana waziri mkuu kwa kazi nzuli sana
Naamini kama viongozi wetu wangeweza kusikiliza vizuri hii na wakafuata nyayo kweli Tanzania kwa miaka 5 tu walipa Kodi wangesema tulipe Kodi kwa nguvu Sana pesa zetu zinasimamiwa.
Hongera majaliwa bwana unakifua na unajitambua Sana kweli wewe ni MZALENDO
Hongera sana PM
Kuwafukuza kazi na kuwafunga jela itapunguza wizi kwenye halmashauri nchini. Kudos PM👏
From time in memorial, Halmashauri nyingi ni mchwa😢😢😢
Wawafunge jela wao watuambie wanachukua ngapi!!!!
Si ndio hawa wanaochukua kwa mabilions au
Hongera sana Waziri Mkuu kwa serikali kugundua hili na kuliweka wazi. Je, dawa ya kukomesha wizi huu ni nini? Inaumiza sana.
Mungu akutangulie Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tunahitaji kiongozi kama wewe ili kuilinda pesa za walipa kodi wenye uchungu na Inchi hii. Tena ufungue Mahakama ya wahujumu uchumi ili watu kama hao wanapelekwa mojakwamoja kwenye hukumu husika. Mungu azidi kukupa mcho ya kuona maovu mengine mengi zaidi ili kuitakasa Serilikari ya Mama Samia Suluhu Hassan .
Hongera sana kwa timu uliyoituma kufanya kazi hiyo pamoja na mkurugenzi waziri mkuu msaidiye sana rais samia safi sana duu tunapingwa nawachache
Hongera Waziri Mkuu jembe la watanzania.wafilisiwe kabisa.Inauma jamani.Songa mbele baba.Tunakuombea kwa Mungu akutunze
Nchi nzima imeoza, muheshimiwa waziri mkuu, chunguza nchi nzima. Huwa wanasema wenye meno ndiyo wanakula pesa za umma.
Hili ni tatzo sana kwa watendaji wachache,
serekali ifanye mambo haya;-
Kuwashikiria ,kuwafunga na kuwafukuza kazi na utumishi.
pia kuajiri watu tuliona hofu ya mungu na kuzingatia kanuni na sheria katika utumishi wa Allah na miongozi mbali mbali
Kwani ukiwa na hofu ya Mungu ndiyo Nini unaijua pesa wewe mchungaji anakula sadaka bila kusaidia waumini wake. Tunaitaji Watu wazalendo kama Makonda na Majaliwa Jpm Rip
Hongera MH.Majaliwa mtoto wa mama mwadilifu tunaomba ukomeshe utekaji
Hivi kwanini Serikali isitengeneze mfumo wa blacklist kwa wafanyakazi waliowabadhilifu kwa Fedha za Umma ili wasije wakapata teule tena na kupata any opportunity kwa Makampuni ya ndani na ya kigeni then process zingine ziendeleee koz inaumiza sana
Hii vita ya kupambana na wezi wa pesa za umma yafaa viongozi wote wawe kitu kimoja na si mtu mmoja kama waziri mkuu anavyopambana
Kweli kabisa
Hapa ndo kunatufanya tumkumbuke Magu Pombe wallah ilikua haziliwi hivi
Huyu chura kiziwi busy tu kubinafsisha mali asili 😢😢
Rais Majaliwa
Aseee huyujamaaaa nikiongozi kabisaaa❤
Majaliwa tunakutegemea! Tunapigwa Sana!
Tanzania MUIGE Bukinna Fasso kwa Ibrahim Traore. Huyu ni kiongozi Bora sio Afrika tu Bali Duniani. Ulaya hawampendi wanataka kumuua. Mungu awalaani.
Yote kazi kubwa anayofanya Amiri Jeshi Mkuu.yeye ndio anaetoa Amri na kutafuta watu wakugunduwa madudu hayo hapo Waziri Mkuu anafwatilia coz yeye ndio Mtendaji Mkuu wa Serekali awamu ya Mama SAMIA ni ya kufwatilia.kila.kitu kwa kisheria na sio kuongea tu kwenye majukwaa.
Mungu wangu inauma sana kwakweli yaani majitu hayaridhiki na ajira nzuri walizonazo, wafungwe tu bila hata kupitia mahakaman, mh toa amri tu haraka.
Piga kazi mkuu.wazitapike.
hayo madudu wahiska tamisemi ichunguzwe
Umetumia tafsida ila mkrugenz na mkuu wa wilay wamo
Tunaomba uchunguze kisima cha maji cha mbuyuni vingunguti kombo kisima cha plan tulichonyangwanywa toka 2010 mpaka leo.Kilio hiki kipo mezani kwako tunaomba ufanye uchunguzi na ufanywe utatuzi Mhe Waziri Mkuu
Watu wote wanakula sana pesa hawana uoga kabisa maana wakila wanatolewa tu hawachukuliwi hatua yeyote acha wale wote mnakula serikalini wote waizi
Watz tatizo ni kukosa uzalendo kutok a moyoni .. sio uzalendo wa mdomoni ni ule uzalendo wa kweli kutoka moyoni .. ndo umekosekana kwa watz wengi .. watumishi wanafanya mambo kwa maslahi binafsi na sio maslahi ya taifa ..wizi tu wa mali za umma ..inaumiza sana kwa kuwa sisi wenywe ndo tunarudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu ..
2025 CCM Twende na Mh Majaliwa Ushindi mapema sana kama Yangaaa
Wizi kila mahali sheria hazing'ati mpaka lini pesa za wananchi zitaliwa bila watu wajibishwa
KUMBE MCHENGERWA ANAFUGA WEZI KWENYE WIZARA YAKE, BASI NAE ACHUKULIWE HATUA ZA KINIDHAMU, KWA KUTOTEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU
Yani hao ni kufukuza kazi na anakula viboko apasavyo akawe konda uko kawe
Ila watu wanapiga ela jamani
Tunaomba tupangiwe bei halisi za kulipia vibali wilayani au kwa madiwani tunapotaka kujenga ghorofa.
Mkuu uje na mufindi
Kila siku mambo ni hayo hayo tu, tuchukue hatua ili tukomeshe tatizo hilo
Raisi wangu ajae
Waziri mkuu ujage na huku kwetu
Kuna watu matapeli mitandaho vodacom na tigozateli na zote najifa kuhibiwa pesa nzote bado wanajifanya kusajili hiyolahini wafukunze wote fanya kutapelipesa mtandahoni kote mjinzima kuwakamata wafungwe jela 5 leho
Mwizi wa mali ya umma anaitwaje NDUGU? Hawa ni watu wabaya
Yaani hii haitoisha shida ipo kwa mkuu wako maaana akivaa sura yako ndo itakuwa simple laasivyo mmh
Tuwaige china kama Tulivyoiga Ujamaa Wapigwe Risasi hadharani Fedha za Umma Zitapona Bila hivyo Ayataisha mpaka kiyama
Mhe, ubarikiwe mno.Naomba hata Halmashauri ya Bukoba MC , ichunguzwe uhsusani kwenye fedha za Uhamisho wa watumishi wanalipwaje stahiki zao za uhamisho, maana haiwezekani mtumishi akalipwa disturbance allowance tu ,for what and why ???
HIYO MICHEZO ICHUNGUZWE HALMASHAURI ZOTE BAADHI YA WATUMISHI NA WAKURUGENZI HAWAAMINIKI ,
uje na mwanza,jiji la Mwanza,ardhi wamekula ela zetu za urasishaji Makazi.
Hiyo mfumo upo kila mkoa Tanzania labda mpo bease lakini huu mchezo upo ndio maana halmashauli wanategemea pesa kutoka serikali kuu wao wanazipiga tatizo mifumo mibovu utadhani hakuna elimu wakati hao hao ndio wanajitoa ufahamu na wapo Tu.
Hao jela haiwatoshi mpelekeeni p ddiy
Wachokonoe na wafilisiwe manahujumu nchi wakati hatuna mbolea wakulima
Wanaiba huku wakijificha kwenye mgongo wa uchawa
Wewe majaliwa jembe unafuata nyayo za jembe JPM. WEWE HATA.UKIGOMBEA URAISI KESHO NAKUPA KURA YANGU BILA KINYONGO
PIGA KAZI JEMBE LANGU!
Mbaka Kuna watu matapeli fungua computer kutumiha number nida yafatahifa chotapesa nzawatu wengi linzwa na liha mtandaoni daresssalaam bongo mjinzima tanzania 🇹🇿 public African bongo
Tunaomba wafilisiwe pia.
Camera man sijamuelewa hapo
Muheza, Tanga, babara ya kwenda vilimani amani kwenye msitu wa pekee duniani wa bio-anwai, ilikwishatolewa hela zote na Magufuli kujenga kilomita hizo 32 kwa lami. Baada ya kifo cha Magufuli, walisimama kwenye kilomita 12!
Zilizobaki watu wanazinywea! Mbunge yupo, anarekodi muziki Dar.
A rotten government!