Kazi ya Mungu Baba kuumba, kazi ya Mungu Roho Mtakatifu kutakatifuza, kazi ya Mungu Mwana ni kuokoa ulimwengu wewe unabisha sasa Bible ni ya Romani halafu unakuwa mjeuri
Kwa kuwa yeye ni Mungu, na huwezi kugawanya nafsi ya BABA, MWANA na ROHO MTAKATIFU. Ukisoma kitabu cha Mwanzo kwenye Biblia, Mw. 1: 26 imeandikwa; Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale juu ya samaki wa baharini na ndege wa angani, juu ya mifugo, juu ya dunia yote, na juu ya viumbe wote watambaao juu ya nchi.’’ Hakusema nimfanye bali tumfanye. Mwombe ROHO MTAKATIFU Akufunulie haya yasiyoweza kuelezeka kwa fikra za kibinadamu. IMANI tu ndiyo itakayokupa amani ya Moyo. Mungu hachunguziki, ana aminika na kueleweka pekee. Ni hiari yako kuamini au kupuuza. Katika Yeremia 31.31-34, imeandikwa; 31“Wakati unakuja,” asema BWANA, “nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda. 32Halitafanana na agano nililofanya na baba zao wakati nilipowashika mkono na kuwaongoza watoke Misri, kwa sababu walivunja agano langu, ijapokuwa nilikuwa mume kwao,” asema BWANA. 33“Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli, baada ya wakati ule,” asema BWANA. “Nitaweka sheria yangu ndani yao na kuiandika katika mioyo yao. Nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. 34Mtu hatamfundisha tena jirani yake, au mtu kumfundisha ndugu yake akisema, ‘Umjue BWANA Mungu,’ kwa sababu wote watanijua mimi, kuanzia aliye mdogo kabisa kwao hata aliye mkuu sana,’’ asema BWANA. “Kwa sababu nitausamehe uovu wao na sitazikumbuka dhambi zao tena. Barikiwa sana. @@emmanueledward2681
Pia Kumwamini Bikira Maria Siyo Upagani. Inamfurahisha sana Yesu. Na hii Dunia tulipofikia ni kwa Maombezi ya Bikira Maria tu Twaweza kuwa salama. Watu wasali Rozari nyingi hasa wakati huu. Yesu atafanya Muujiza wa amani ya Dunia. Hajakaa Kimya soon mtaona Mama Bikira Maria atafanya kitu kwaajili ya Dunia. Maria Mama wa Maraifa yote Utuombee. Amina.
Imeandikwa wapi kwenye bibilia kuwa tumwombe Maria au Yesu alisema muombeni Maria? Haya ni mapokeo ya watu binafsi ninachokushauri soma bibilia na ufate kinachoelekezwa na sio kutetea dini ambayo haitakupeleka mbinguni
Ni wapi imeandikwa bikira maria atakusamehe dhambi zako???.. bali yesu alisema kuwa mimi ndiye njia ya kwenda uzimani mtu haji kwa baba ýangu pasipo mim
Enendeni Ulimwenguni Mkayahubiri Mataifa na kuwabatiza kwa jina la baba na Mwana na Roho mtakatifu na kuwafunza kuyafuata yote niliyowafundisha na mimi nipo pamoja na ninyi mpaka mwisho wa Dahari .Amen.
UTATU MTAKATIFU Baba Mwana na Roho Mtakatifu. BABA Ndiye Mwenyezi Mungu aliyeumba vitu vyote Duniani, vinavyo onekana na visivyo onekana wakiwemo wanadamu. MWANA ndiye Yesu Kristu aliyekuja Duniani kupitia Maria kuwakomboa Wanadamu kwa sadaka ya kuuawa msalabani ROHO MTAKATIFU ndio ahadi ya Yesu kwa wanadumu, kua ndiye atakae kua nasi wanadamu. Hao Watatu Wote ni Mmoja, kwa maana ni Mungu Huyo Huyo. Ni Mwenyezi Mungu aliye na majina matatu kulingana na nyakati na matendo yake. Ndilo chimbuko la UTATU MTAKATIFU. (Mungu Mmoja aliye na Nafsi Tatu) Aliye Mkristo Wa Kweli Anaelewa Haya..
Edward umeeleza sahihi kabisa, Mungu ni mmoja na huo utatu ni task zikizotendwa kwa nyakati tofauti lkn Mungu ni yeye yuleyule ambaye ni NIKO. Kwa hiyo si sahihi kusema Yesu si Mungu kama wengine wanavyoamini
Mungu akulinde na akupe nguvu za kuritangaza neno la mungu hakika maneno haya Yana uzito wa ajabu hivyo watu vigum kukuelewa angesema hayo mzungu wange yaamini mengi yamefichwa kwenye vitabu .....god bless you
Yesu anapo sema.unasemaje nikuonyeshe baba wakati umeniona alikuwa anamaanisha nn.na pia maana ya Emmanuel maana yake nn.Yesu n Mungu alie jifunua katika mwili.kwa hiyo yesu n Mungu.
Sio kosa lako nikosa lauelewa wako,tunaposema Mungu mwana,maana yake ametoka katika Mungu,maana yake nisehemu ya nafsi ya Mungu aliyo ifanyakuwamwanadamu akaiweka katika tumbo la mariamu ikawa mwanadamu ilikila aiaminiye akombolewa asiye iamini amesha potea,
We mzee nakuchukia sana ungekuwa karibu na mimi ungekuta una majeraha mengi sana upo hapa kwa ajili ya kupotosha ? Si uhubiri tu pasipo kutaja Dini za watu. Hubiri kwamba watu waache dhambi na si kuongelea ya watu
Asee sijawahi kuona jitu ongo duniani kama huyu unawezaje kuuzungumzia ukatoriki wakati wewe hata hukuwahi kuwa mkatoriki kama unataka kujua kwanini kanisani zinawekwa sanamu uliza wenyewe mbona tupo sio unakaa na hao wenzako chumbani mnakaa mnadanganyana Kwa taarifa yako tu hata lile sanduku la agano lilikua limechongewa sanamu pande zote
Mzee, nilifikiri unafanyaga utafiti wa vitu, lakini kwa kweli historia na Ukweli hapo imekupiga chenga kwa mbali sana. Wasomi na watafiti wa kihistoria hapo watakutoa nduki! Haya mambo tunayajua mara kumi kuliko unavyoelezea hapo, na hizi terminology za Kilatini achana nazo tu maana unaenda chaka.
Me nngepewa mamlaka ya kumiliki bunduki we mbwa nngekuua nyau ulolaaniwa ww, unamuona Mungu shoga ako akulete nabii mwny kichwa km embe ng'ong'o, macho hayana ushirikiano . Yan we jamaa ckupendi wallah
Hizi nyakati Mtu asipokuwa makini atapotea na hakuna wa kukurudisha. Yesu Kristu ni Nafsi ya pili ya Mungu na ni Mungu sawa na Baba. Na Roho Mtakatifu ni Nafsi ya tatu ya Mungu pia sawa na Mungu Baba na Mwana. Na matokeo na ukweli huu utauona ukiwa na mahusiano ya karibu nao. Ushindi tuupatao tunapowaita siyo wa kawaida. Na Matokeo kadhaa wa kadha Yesu akijidhihilisha wa awapendao kama Padre Pio, Thresia wa Mtoto Yesu , Mt. Faustina na wengine wengi. Wanashuhudia haya. Iweje nyakati hizo za mwisho/ hatarishi tujifunze kuwa siyo Mungu? Mungu ajitetee mwenyewe. Amina.
Ukweli nliouona ni kuwa Mungu ana nafsi moja tu na vyeo vyake vitatu vya baba, mwana na roho mtakatifu na jina lake moja Bwana Yesu kristo, Mungu hana nafsi tatu huo ni upagani wa kuzimu
Mtumishi kwa kweli mimi ninalupenda sana Kwa nondo zako lakin kuna mambo baadhi sio kweli kabisa kusema bikira Maria pia ni nafs ya Mungu alafu kusema wakristu hatuamin kusema Yesu si Mungu bali ni mwana wa Mungu! Mbona sis wa Rc tunaamin Yesu kristu ni mwana wa Mungu! Pia sis hatuajudu jua tunaabudu Ekarist takatifu ambayo inawekwa mule kwenye kile chomho unakiita jua! Yapo mambo kweli yalimapokeo ambayo sasa kanisa linayapitia kuona yanayanyiwa kazi
tatizo lako huna elimu, unakurupuka tu, kaa usomeshwe uelewe hivi vitu sio rahisi kama unavyodhani. Nakushauri nenda kasome kwanza halafu ukubali kufundishwa na watu wenye elimu acha upumbavu
Huwa nampinga kwa hoja baadhi lakini hii lecture anaongea ukweli kwa zaidi 90% . Hivi vitu vinazungumzwa sana na vina ushahidi ndani ya biblia, siasa, uchumi nk.
Hapo Nabii unapotosha. Yesu ni Mungu na Mwana wa Mungu. Aliwaambia wanafunzi wake mkiniona mm mmemuona Baba. Maana alisema mi ni ndani ya Baba na Baba ndani yangu. Tena amepewa urifhi wa ufalme na jina kuu lipitalo majina yote ambalo ni Yesu. Kwa maana hiyo Mungu muumba mbingu na nchi(Baba) ni Yesu. So Acha kudanganya bro.
KWELI WAKATORIKI WANAABUDU SANAMU NA KUMWABUDU BIKIRA MARIA NI KWELI, LAKINI WEWE PIA UNAPEPO LA UTAMBUZI MDO16:16_18 NAKUOMBEA KWA JINA SAFI NA TAKATIFU LA YESU KRISTO PEPO HILO LA UTAMBUZI LIKUTOKE NALINYESHA DAMU YA YESU KRISTO NA KULISHA MWILI WA BWANA WETU YESU KRISTO (EFESO3:20) AMINA. PIA FUATA LINK HII UJIFUNZE UTACHOMWA MOTO KUMFUATA MUHAMAD KWANI SIYO MTUME, NA YUPO KUZIM ANAUNGUA, TOKA HUMO ACHA KUMFUATA MFU MWENZAKO MUHAMAD NA MUNGU AKUSAIDIE SANA MPENDWA USIMTUMIKIE MUNGU WETU KWA UZEMBE..... JIFUNZE HAPA TAFADHALI ACHA KUMWUBIRI BWANA WETU YESU KRISTO KWA UWONGO HAITA KUSAIDIA KITU NDUGU ruclips.net/video/gY25Oq32Bi4/видео.html
Jamani hawa wakatoliki wanapigwa vita jamani.... kila kona wanapigwa vita, wakristo wenzao na hata wale wasio wakristo wanapambana nao... mhhh. lakini cha kushangaza bado wana exist na bado wanazidi kua juu... kwanini?????
yan naapo bado unazidi kukauka tu mwili na bado shauli ya upotoshaji wako mwenyezi mungu atakuadhilisha mchana kweupe na huo unabii wako wa uwongo embu toka acha kumchezea mungu
ROMA hii na ile ina tofauti gani? Nenda kasikilize lecture iliofanywa na Doug Bachelor inaitwa "New Pope Old Prophecy" katika mkutano huu walialikwa Watu wa madhehebu tofauti. Mimi ni mkristo lakini nilishangaa sana yapo mengi tulikwisha fanya. Usibishebishe tu, anaweza kuwa muongo jana akawa mkweli leo. Huwa na mpinga sana na sipendelei lecture zake lakini amezungumza ukweli kwa zaidi ya 95%
Pale nilipojaribu kukufuatilia naona mafundisho yako yanalenga kuondoa nafasi ya Yesu katika ukristo. Nakwambia categorically kuwa JESUS IS LORD. JESUS IS THE ONLY BEGOTTEN SON OF GOD. YESU NI MWANA WA MUNGU. YESU NI MUNGU.
Kwa mfano huo maana yake ni hii... Alie zaliwa ni hawa na alie ishi ni maimuna alie kufa ni hawa.. Sasa basi.. Alie zaliwa ni mwana wa Mungu alie ishi ni Mungu alie kufa ni mwana wa Mungu..jina Yesu ni jina la Mungu limeridhiwa na mwana.. Kutoka kuitwa Emmanuel akapewa kuitwa YESU KRISTO..Wabran 1:1 Amefanyika boro kupita malaika kwa kadiri ya jina alilolirithi lilivyo bora kuliko lao.. Nisawa na yule hawa alie pandwa na maimuna apewe jina la maimuna.. Kwahiyo watu wanamuona hawa katika mwili anae itwa maimuna.. Na watu wanamuona maimuna anae ishi kupitia hawa kwa kazi zake... Kama hamniamini mimi aminini kazi... Anamaanisha kama hamuamini kuwa hawa ni maimuna aminini kwa kazi atendazo... Watoto wachanga wamepewa kujuwa haya 1wakorint 1:27
Mwenyezi mungu amesema wamekufuru waliosema masihi yani nabii issa ibunu Allah mwana wamungu vipi utuambie tuamini kuwa issa sio mungu ila nimwanawe mwanawamungu wakati Allah ameshakataza tena kwakusema amekufuru atakae amini ivyo wewe pia nimiongoni mwa hao uwasemao
mkristu wa kweli ni yup mimi hawa nakusikiliza sana ila leo umezingua wewe hujulikani unaamini nini huamini utatu mtakatifu du halafu unasema unamwamini yesu kwa taarifa yako utatu mtakatifu umejieleza vizuri sana ndani ya biblia jitahidi Sana kusoma
Kwenye biblia yooote hakuna sehemu imeandika utatu MTAKATIFU, hya si jina tuuuu??? Lkni zaidi ni kia hata tusipojua kua kuna utatu twalitambua kuna Mungu.sawa??
Kitendo cha kuamini isa bin Mariam alikufa na akafufuka tayari wewe ni kafiri kwasababu dhalimu ni yule mwenye kupinga aya za M/Mungu huyo ni kafiri la shaka.
Ahsante kwa mafundisho yako mtumishi wa mungu naamini mungu jehova nis yundani yako
Yesu akuuliwa wala akusulubiwa,kwahiyo soma vizuri Kisha ujeufundishe mambo sahii.
Unampenda sana Mungu Nabii Eliya. Natamani MUMGU akusaidie Yesu ajifunue kwako ktk uhalisia wake wote ili umjue kuwa hakika YEYE NI MUNGU
Sio jua hilo shekhe,ni ekarist takatifu, Mungu mwana katika maumbo ya mkate na divai
Kazi ya Mungu Baba kuumba, kazi ya Mungu Roho Mtakatifu kutakatifuza, kazi ya Mungu Mwana ni kuokoa ulimwengu wewe unabisha sasa Bible ni ya Romani halafu unakuwa mjeuri
Ikiwa ni kuumba ... IWEJE Yesu katika YOHANA 1 anaeleza kuwa vyote vilifanyika kwake yeye!?
Kwa kuwa yeye ni Mungu, na huwezi kugawanya nafsi ya BABA, MWANA na ROHO MTAKATIFU. Ukisoma kitabu cha Mwanzo kwenye Biblia, Mw. 1: 26 imeandikwa;
Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu
kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale
juu ya samaki wa baharini na ndege wa
angani, juu ya mifugo, juu ya dunia yote, na
juu ya viumbe wote watambaao juu ya nchi.’’
Hakusema nimfanye bali tumfanye. Mwombe ROHO MTAKATIFU Akufunulie haya yasiyoweza kuelezeka kwa fikra za kibinadamu.
IMANI tu ndiyo itakayokupa amani ya Moyo. Mungu hachunguziki, ana aminika na kueleweka pekee. Ni hiari yako kuamini au kupuuza.
Katika Yeremia 31.31-34, imeandikwa;
31“Wakati unakuja,” asema BWANA,
“nitakapofanya agano jipya
na nyumba ya Israeli
na nyumba ya Yuda.
32Halitafanana na agano nililofanya na baba zao
wakati nilipowashika mkono na
kuwaongoza watoke Misri,
kwa sababu walivunja agano langu,
ijapokuwa nilikuwa mume kwao,”
asema BWANA.
33“Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya
Israeli,
baada ya wakati ule,” asema BWANA.
“Nitaweka sheria yangu ndani yao
na kuiandika katika mioyo yao.
Nitakuwa Mungu wao,
nao watakuwa watu wangu.
34Mtu hatamfundisha tena jirani yake,
au mtu kumfundisha ndugu yake
akisema, ‘Umjue BWANA
Mungu,’
kwa sababu wote watanijua mimi,
kuanzia aliye mdogo kabisa kwao hata
aliye mkuu sana,’’
asema BWANA.
“Kwa sababu nitausamehe uovu wao
na sitazikumbuka dhambi zao tena.
Barikiwa sana. @@emmanueledward2681
Pia Kumwamini Bikira Maria Siyo Upagani. Inamfurahisha sana Yesu. Na hii Dunia tulipofikia ni kwa Maombezi ya Bikira Maria tu Twaweza kuwa salama. Watu wasali Rozari nyingi hasa wakati huu. Yesu atafanya Muujiza wa amani ya Dunia. Hajakaa Kimya soon mtaona Mama Bikira Maria atafanya kitu kwaajili ya Dunia.
Maria Mama wa Maraifa yote Utuombee. Amina.
Maria alishakufa miaka mingi sana
@@petermatabwa2133mkombozi wetu ni YESU siyo maria.
Imeandikwa wapi kwenye bibilia kuwa tumwombe Maria au Yesu alisema muombeni Maria? Haya ni mapokeo ya watu binafsi ninachokushauri soma bibilia na ufate kinachoelekezwa na sio kutetea dini ambayo haitakupeleka mbinguni
Ni wapi imeandikwa bikira maria atakusamehe dhambi zako???.. bali yesu alisema kuwa mimi ndiye njia ya kwenda uzimani mtu haji kwa baba ýangu pasipo mim
Hamna kitu hapa mpotoshaji ww
Enendeni Ulimwenguni Mkayahubiri Mataifa na kuwabatiza kwa jina la baba na Mwana na Roho mtakatifu na kuwafunza kuyafuata yote niliyowafundisha na mimi nipo pamoja na ninyi mpaka mwisho wa Dahari .Amen.
ubatizo wa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu
Sio ubatizo sahih soma biblia ndugu yangu
@@SunguraShabanikwahiyo bibilia imeandika kitu ambacho sio sahihi?tena hilo alisema Yesu mwenyewe
Yesu siyo mungu wala. Mtoto wa mungu ! Usichanganye watu
UTATU MTAKATIFU
Baba
Mwana na
Roho Mtakatifu.
BABA Ndiye Mwenyezi Mungu aliyeumba vitu vyote Duniani, vinavyo onekana na visivyo onekana wakiwemo wanadamu.
MWANA ndiye Yesu Kristu aliyekuja Duniani kupitia Maria kuwakomboa Wanadamu kwa sadaka ya kuuawa msalabani
ROHO MTAKATIFU ndio ahadi ya Yesu kwa wanadumu, kua ndiye atakae kua nasi wanadamu.
Hao Watatu Wote ni Mmoja, kwa maana ni Mungu Huyo Huyo.
Ni Mwenyezi Mungu aliye na majina matatu kulingana na nyakati na matendo yake.
Ndilo chimbuko la UTATU MTAKATIFU. (Mungu Mmoja aliye na Nafsi Tatu)
Aliye Mkristo Wa Kweli Anaelewa Haya..
Edward umeeleza sahihi kabisa, Mungu ni mmoja na huo utatu ni task zikizotendwa kwa nyakati tofauti lkn Mungu ni yeye yuleyule ambaye ni NIKO. Kwa hiyo si sahihi kusema Yesu si Mungu kama wengine wanavyoamini
Kuna tuvitabu katusoma ila Tatizo mwamba anachanganya sana mafaili😁😁 ukizubaa anakupiga
Mungu akulinde na akupe nguvu za kuritangaza neno la mungu hakika maneno haya Yana uzito wa ajabu hivyo watu vigum kukuelewa angesema hayo mzungu wange yaamini mengi yamefichwa kwenye vitabu .....god bless you
Kweli kabisa
Unasema kweli Mtumishi😮😮
Yesu anapo sema.unasemaje nikuonyeshe baba wakati umeniona alikuwa anamaanisha nn.na pia maana ya Emmanuel maana yake nn.Yesu n Mungu alie jifunua katika mwili.kwa hiyo yesu n Mungu.
Maskini huyu jamaa hajui kitu anapotoshaaa!!
Ubarikiwe sanaaa nabiii huwa unanitoa usingizin mnoo
Bora hakuna mtume alitoka tanzania Wala mtu mwema Mana wajuwaji Sana 😅😅😅
WW UNAKUFURU SANA LAKINI SUBILI KIDOGO HILO JICHO LIFUMBE...MAJUTO AYO YOTAKUSADIA KITU CHOCHOTE
Yesu sio mungu yesu ni mwana wa mungu
Sio kosa lako nikosa lauelewa wako,tunaposema Mungu mwana,maana yake ametoka katika Mungu,maana yake nisehemu ya nafsi ya Mungu aliyo ifanyakuwamwanadamu akaiweka katika tumbo la mariamu ikawa mwanadamu ilikila aiaminiye akombolewa asiye iamini amesha potea,
Sasa mwana wa Mungu hawezi kuitwa Mungu ? ni sawa tu nakuseme mtoto wa paka si paka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Una akili ndogo sana
Upo sahihi sana wanaopinga hawasomi Biblia
Katoliki alisemi maria ni mungu. Hayo ya kwako
Umeongea baadhi ya ukweli lkn kusema Yesu siyo Mungu umechemka, Yesu ndio Mungu mkuu kaselome tito 2:13, isaya 9:6, Ufunuo 1:7-9,
We siyo mkirsto acha habari za uongo ushindwe katika Jina la Yesu
Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana umenifanya nielewe zaidi.
Kukataa yesu siyo MUNGU wakati vitabu vya manabii vinasema (nabii isaya9:6
Ndugu yesu ni mjumbe wa mungu.lakini atasisi ktk kanisaletu tunajua mungu yupo.nayesu ni mjumbe wake
Ulipo simama ni sahihi kabisa mkuu.nakupenda
Ubarikiwe
Neno langu ni mchango wa PESA itakayowezesha hiyo elimu unayotoa
Mahubiri yako yana mkanganyiko mkubwa sana, nenda kasome upate elimu, na Mungu akusaidie sana.
Hujja tumwa Na Mungu yeyote tena uangalie hujulikani mwislamu wala mkristo pole neema ya Mungu ikutafute
Mm.namujua
Mungu aliumba watu,,,,,makundi nliyatengeneza wenyewe
Mbingu sio ya waislamu wala wakristo ila mbingu ni ya watakatifu kwa mujibu wa bibilia
Huyu mchungaji wa uchochoroni chenga kichwani.
Hapa niwachache sana tunamelewa huyu mtumishi Asante Sanaa endelea kuwaamsa watu mana hawaelewa chochote maskini yamungu
Kwanini umetilia shaka kwamba wachache ndo watakaoelewa au unajua kwamba anaongea utumbo
Watu hawa wanatumia akili ya ndani sana huwez wagundua ukiwa ordinary
Huyu jamaa ni wale matapeli yanayoibuka mtaani
Mimi niwashauri, unapotoa comments, chonchonde, usitukane wala kuhukum maana, ck ikifika ukaambiwa kutoa ushahidi, hautoweza, tuwe na busara!
ndio kabixa
Jamaa, anajitahidi na story za changamsha genge
Jamaa ana mafundisho magumu usipokuwa makini humuelewi kabisa. SoMo hili ni k.v ni jipya sana katika akili yangu.
Mungu amsamehe mpotoshaji huyu.Kamezeshwa wapi maudanganyifu hayo?
Mimi sijui kitu Ila jamaa atanye fibet na pasta wapingane kwa hoja
We mzee nakuchukia sana ungekuwa karibu na mimi ungekuta una majeraha mengi sana upo hapa kwa ajili ya kupotosha ? Si uhubiri tu pasipo kutaja Dini za watu. Hubiri kwamba watu waache dhambi na si kuongelea ya watu
Vita vyetu siyo juu ya damu na nyama, usimpige mwili wake kwa mambo ya imani ni ushetani.
We ujui kitu Mungu kumuona siyo jambo dogo acha kuiponda Roman ili upate umaarufu si unaweza tu kutumia njia nyingine
Asee sijawahi kuona jitu ongo duniani kama huyu unawezaje kuuzungumzia ukatoriki wakati wewe hata hukuwahi kuwa mkatoriki kama unataka kujua kwanini kanisani zinawekwa sanamu uliza wenyewe mbona tupo sio unakaa na hao wenzako chumbani mnakaa mnadanganyana Kwa taarifa yako tu hata lile sanduku la agano lilikua limechongewa sanamu pande zote
Mzee, nilifikiri unafanyaga utafiti wa vitu, lakini kwa kweli historia na Ukweli hapo imekupiga chenga kwa mbali sana.
Wasomi na watafiti wa kihistoria hapo watakutoa nduki!
Haya mambo tunayajua mara kumi kuliko unavyoelezea hapo, na hizi terminology za Kilatini achana nazo tu maana unaenda chaka.
Me nngepewa mamlaka ya kumiliki bunduki we mbwa nngekuua nyau ulolaaniwa ww, unamuona Mungu shoga ako akulete nabii mwny kichwa km embe ng'ong'o, macho hayana ushirikiano . Yan we jamaa ckupendi wallah
Ukwl unaumaa tulia na auwezi kuelewa
Hiyo pope aloshika sio jua ni mkate jaman acha kuongopea watu
Hizi nyakati Mtu asipokuwa makini atapotea na hakuna wa kukurudisha. Yesu Kristu ni Nafsi ya pili ya Mungu na ni Mungu sawa na Baba. Na Roho Mtakatifu ni Nafsi ya tatu ya Mungu pia sawa na Mungu Baba na Mwana. Na matokeo na ukweli huu utauona ukiwa na mahusiano ya karibu nao.
Ushindi tuupatao tunapowaita siyo wa kawaida. Na Matokeo kadhaa wa kadha Yesu akijidhihilisha wa awapendao kama Padre Pio, Thresia wa Mtoto Yesu , Mt. Faustina na wengine wengi. Wanashuhudia haya. Iweje nyakati hizo za mwisho/ hatarishi tujifunze kuwa siyo Mungu? Mungu ajitetee mwenyewe. Amina.
Hapana sio hvyo
Ukweli nliouona ni kuwa Mungu ana nafsi moja tu na vyeo vyake vitatu vya baba, mwana na roho mtakatifu na jina lake moja Bwana Yesu kristo, Mungu hana nafsi tatu huo ni upagani wa kuzimu
Nabii ilyaas/ eliya MAANA YA PAGAN KWA KI GREEK NI MTU WA MTAA. WAACHA UDANGANYIFU
Kweli tukiwambia jamani tumwabudu Mungu hawaelewi
Hhhh eti kaingizwa roho Mungu ukurasa wa mitume na manabii alishaufunga ww icho cheo kakupa nani
Kama hujui din au huna elimu yadin, usimpinge hyu bhna, mm naskiliza mafundisho
Fundisha watu kwanni nyota ya david ipo i ktk ya mwezi na kwanii hii symbol ipo pale msikitini ?
Mtumishi kwa kweli mimi ninalupenda sana Kwa nondo zako lakin kuna mambo baadhi sio kweli kabisa kusema bikira Maria pia ni nafs ya Mungu alafu kusema wakristu hatuamin kusema Yesu si Mungu bali ni mwana wa Mungu! Mbona sis wa Rc tunaamin Yesu kristu ni mwana wa Mungu! Pia sis hatuajudu jua tunaabudu Ekarist takatifu ambayo inawekwa mule kwenye kile chomho unakiita jua! Yapo mambo kweli yalimapokeo ambayo sasa kanisa linayapitia kuona yanayanyiwa kazi
Jesus is my only God,kama siyo Mingu bas atajua jinsi ya kunisaidia kujieleza kwa huyo Mungu mwingine ila for now wacha nimuabudu yeye tu
Aisee Mtumishi Nabii Elisi una elimu kubwa ,mm binafsi nakuelewa sana na ninafuatilia sana elimu hii unayoitoa
Kumbuka ww ninabii Elia,,usitumie lugha za kihuni,,eti kidume,,kidume ndo nn bwana elia
tatizo lako huna elimu, unakurupuka tu, kaa usomeshwe uelewe hivi vitu sio rahisi kama unavyodhani. Nakushauri nenda kasome kwanza halafu ukubali kufundishwa na watu wenye elimu acha upumbavu
Tatizo unachanganya uongo na ukweli kwa ambaye hajasoma akafuata kila ulisemalo lazima apotee muogope Mungu ndugu yangu
NAOMBA UANDIKE WARAKA au kitabu kikubwa sana kisomwe miaka na miaka
kama unakubaliana na mm kwamba jamaa mpotoshaji gonga like za kutosha
ruclips.net/video/gY25Oq32Bi4/видео.html
Nabii eliyas ni mpumbavu
Huwa nampinga kwa hoja baadhi lakini hii lecture anaongea ukweli kwa zaidi 90% . Hivi vitu vinazungumzwa sana na vina ushahidi ndani ya biblia, siasa, uchumi nk.
Kwa kweli nakubaliana nawe 💯.
Historia na tafiti zake ni za Wikipedia kabisa. Dah! 🤔
Hhhhh hili jamaa ongo ata historia ya mtume Muhammad haijui linadanganya tuu hapa wape watu pumba baba
Nabii Elia ni mmoja hakufa hakuna nabii wa kujiita cku hz kibao
Umo kwenye kingeleza usiende baki umu umu kwenye kiswahili mzee
Hilo siyo jua jamani, jamani, jamani.
My mentor nakukubali Sana.
Ubarikiwe sana Mpendwa
Hapo Nabii unapotosha. Yesu ni Mungu na Mwana wa Mungu. Aliwaambia wanafunzi wake mkiniona mm mmemuona Baba. Maana alisema mi ni ndani ya Baba na Baba ndani yangu. Tena amepewa urifhi wa ufalme na jina kuu lipitalo majina yote ambalo ni Yesu. Kwa maana hiyo Mungu muumba mbingu na nchi(Baba) ni Yesu. So Acha kudanganya bro.
KWELI WAKATORIKI WANAABUDU SANAMU NA KUMWABUDU BIKIRA MARIA NI KWELI, LAKINI WEWE PIA UNAPEPO LA UTAMBUZI MDO16:16_18 NAKUOMBEA KWA JINA SAFI NA TAKATIFU LA YESU KRISTO PEPO HILO LA UTAMBUZI LIKUTOKE NALINYESHA DAMU YA YESU KRISTO NA KULISHA MWILI WA BWANA WETU YESU KRISTO (EFESO3:20) AMINA. PIA FUATA LINK HII UJIFUNZE UTACHOMWA MOTO KUMFUATA MUHAMAD KWANI SIYO MTUME, NA YUPO KUZIM ANAUNGUA, TOKA HUMO ACHA KUMFUATA MFU MWENZAKO MUHAMAD NA MUNGU AKUSAIDIE SANA MPENDWA USIMTUMIKIE MUNGU WETU KWA UZEMBE..... JIFUNZE HAPA TAFADHALI ACHA KUMWUBIRI BWANA WETU YESU KRISTO KWA UWONGO HAITA KUSAIDIA KITU NDUGU ruclips.net/video/gY25Oq32Bi4/видео.html
😂😂😂😂😂😂
Ndugu umeandika kwa uchungu sana! Ubarikiwe sana
Jamani hawa wakatoliki wanapigwa vita jamani.... kila kona wanapigwa vita, wakristo wenzao na hata wale wasio wakristo wanapambana nao... mhhh. lakini cha kushangaza bado wana exist na bado wanazidi kua juu... kwanini?????
Baadhi ya vitu vipo sawa lakini uchambuzi wako utakuwa sawa ikiwa utashirikisha usilam
Kwani huyu chizi aliludi lini mirembe
Kama kunakaukwelihivi ebu nisaidiwe kujua zaidi tukowapi sasaa
yan naapo bado unazidi kukauka tu mwili na bado shauli ya upotoshaji wako mwenyezi mungu atakuadhilisha mchana kweupe na huo unabii wako wa uwongo embu toka acha kumchezea mungu
ROMA hii na ile ina tofauti gani?
Nenda kasikilize lecture iliofanywa na Doug Bachelor inaitwa "New Pope Old Prophecy" katika mkutano huu walialikwa Watu wa madhehebu tofauti. Mimi ni mkristo lakini nilishangaa sana yapo mengi tulikwisha fanya.
Usibishebishe tu, anaweza kuwa muongo jana akawa mkweli leo. Huwa na mpinga sana na sipendelei lecture zake lakini amezungumza ukweli kwa zaidi ya 95%
Anaota huyo.
Mungu atusaidie tuelewe
Pale nilipojaribu kukufuatilia naona mafundisho yako yanalenga kuondoa nafasi ya Yesu katika ukristo. Nakwambia categorically kuwa JESUS IS LORD. JESUS IS THE ONLY BEGOTTEN SON OF GOD. YESU NI MWANA WA MUNGU. YESU NI MUNGU.
Nyongeza kwa Eliya Injili ya.yohana 1:1--------Huyu jamaa anachohubiri sio kweli,Yesu anavaa kanzu zote
Thank you, for sharing with us it's all the truth well done keep it up brilliant.
Mjinga anaamini kila neno,ila mwenye hekima huchunguza sana
We can go out and have some
Kidume anapigwaje?
Hilo siyo jua ni Ekaristi takatifu
Haezi elewa kabisa
Uchiziii uwooo
Lk
Walawi26:1 Inatuonya kutosujudia mifano ya chochote..... Mbona Waislam wanasujudia Jiwe Jeusi mtumishi Ilias?
Hakuna mwslam anaesjudia jiwe halafu lile siojiwe
Tafuta elim
Kwa mfano huo maana yake ni hii... Alie zaliwa ni hawa na alie ishi ni maimuna alie kufa ni hawa.. Sasa basi.. Alie zaliwa ni mwana wa Mungu alie ishi ni Mungu alie kufa ni mwana wa Mungu..jina Yesu ni jina la Mungu limeridhiwa na mwana.. Kutoka kuitwa Emmanuel akapewa kuitwa YESU KRISTO..Wabran 1:1 Amefanyika boro kupita malaika kwa kadiri ya jina alilolirithi lilivyo bora kuliko lao.. Nisawa na yule hawa alie pandwa na maimuna apewe jina la maimuna.. Kwahiyo watu wanamuona hawa katika mwili anae itwa maimuna.. Na watu wanamuona maimuna anae ishi kupitia hawa kwa kazi zake... Kama hamniamini mimi aminini kazi... Anamaanisha kama hamuamini kuwa hawa ni maimuna aminini kwa kazi atendazo... Watoto wachanga wamepewa kujuwa haya 1wakorint 1:27
Iviwew unjiita nabii
Hivi unatumiwa na roho wamungu au roho wa shetani?
Amina
MUNGU ANISAMEHE ILA WEWE JAMAA KWA JINSI ULIVYOKUWA HAUNA AKILI NA MAFUNDISHO YA UONGO NASEMA WAZI WAZI WEWE NI MATAKO SANA
Mwenyezi mungu amesema wamekufuru waliosema masihi yani nabii issa ibunu Allah mwana wamungu vipi utuambie tuamini kuwa issa sio mungu ila nimwanawe mwanawamungu wakati Allah ameshakataza tena kwakusema amekufuru atakae amini ivyo wewe pia nimiongoni mwa hao uwasemao
Exactly! That's from the Qur-an, wallaah amekufuru atakae amini hvo
Kueni makini na madajali kabla dajali mwenyewe kuna madajali 30 eatajitokeza watakua naushawishi mkubwa sana na watu watawafata
Nabii eliya acha kusema emetumwa na Mungu kila wakati,matendo yako yatasema tu
Acha kupotosha imani unatumia na devals power
Mwalimu ukueli unapeana but unabii yatimia ama upo uweso ya kusimamiza
BABA NAKUKUBALI ILE MBYA
Unaongea vitu vizito sana hakuna jasiri anaweza kuongea hivyo bila kudhuriwa, wamuulize askofu Ngogo na Imani Petro kilichowakuta
Kwanz tafadhali tunakuomba usiongee kitu kuhusu quran maana huijui ongea kile ulichokua na elimu nacho
Ukueli mwalimu
Uko nyuma ya calender man !!!!!!
Huyu jamaaa yuko sawa msimtukane
mkristu wa kweli ni yup mimi hawa nakusikiliza sana ila leo umezingua wewe hujulikani unaamini nini huamini utatu mtakatifu du halafu unasema unamwamini yesu kwa taarifa yako utatu mtakatifu umejieleza vizuri sana ndani ya biblia jitahidi Sana kusoma
Alla.syo.mungu
Kwenye biblia yooote hakuna sehemu imeandika utatu MTAKATIFU, hya si jina tuuuu??? Lkni zaidi ni kia hata tusipojua kua kuna utatu twalitambua kuna Mungu.sawa??
Very strong. Hii ni The best lecture
You're being cheated and you concur....
Kitendo cha kuamini isa bin Mariam alikufa na akafufuka tayari wewe ni kafiri kwasababu dhalimu ni yule mwenye kupinga aya za M/Mungu huyo ni kafiri la shaka.
Wala hapana jina jingine chino ya mbingu ambalo litupasalo kuokolewa kwalo but JINA LA YESU PEKEE.