SHEKHE AMEONGEA VIZUR XANA DAH sio watu wa upande wa pili kule aliejenga alitaka kiki na yule shekhe pia alitaka kiki na wasanii waliempongeza pia walitaka tu kiki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila uku dah alietengeneza alitaka ghamar na shekhe pia anatetea ghamar
Mashalhà alikiba mungu akufungulie milango ya kheli nasi pia mungu atupe muongozo wa kuwekeza khamali njema mbele ya mola wetu tusikalie kutaka ya dunia zaidi na sifa zake
Mungu akuongoze King....mambo ya kheri hufanywa kwa kimya kwa kuwa mlipaji ni Allah pekee nasio binadam....binadam watakupa sifa zahapahapa tyu dunian ila kwa Allah inakuwa ni mavumbi hakuna ulichokifanya.
Mashallah Allah akupe jazaa yake Ali Kiba umefanya jambo la maisha daima ytakumbukwa na Kila atakae swali hapa Allah atakuandikia mema umejenga akhera yako mdogo wangu nakupenda kwa hilo
Mimi ni wa yesu ila namwonaga alikiba ana ipenda dini sana ndo mahana apendi majigambo ana ijuwa kesho mungu amjalie ekima sana najuwa na bwana wetu yesu ata mwacha mbele za mungu amina
@@jumasalum5769 nilichozungumza mimi cyo kazi ya mtu wala fani ya mtu kazi yatu mi hainuusu nilichoongelea mimi ni namna gani mtu anafanya jambo pasipo kujifaharisha hata ungefanya wewe ningekuoongeza kabla ya kujibu watu komenti zao jaribu kutafuta maudhui ya comment usidandie gari kwa mbele
Mimi ni Mkiristo kabisaaaa lkn kwa jambo zuri kama hili haliitaji matabaka na tofauti zetu za kiimani,ninampongeza Alikiba sana kwa roho yake hii njema na moyo wake wa ibada,Mungu amzidishie kheri zaidi ktk maisha yake...!!!
Mashaa ALLAH, mashaa ALLAH Ali Kiba mungu atakulipa kheri mbele za khaki, jamani ndugu zangu muache kumjagi binadamu mwenzetu mungu ndiyo Mwenye muhukumu, Ali Katoa sadaka jariya sadaka inayo endelea, in shaa ALLAH mungu atakulipa ujira wako na mimi naomba mungu anijaalie nitoe kwa ajili ya Mola wangu.
allah amjalie wepes ktk kuimarisha kujenga nyumba zaallah naamfanyie wepes ktk mamb yake nakaz zake ila namm pia mwalimu nina eneo nemepewa alina chuo walamsikiti kwahyoo namm pia naomba kujengewa jaman inshaallah
Mashaallah mashaallah!hakika mwenyezi mungu atakulipa kila linalostahk kwako kaka alikiba,na Allah akuongoze ktka misingi hyo mpaka sku yako ya mwisho na azidi kkujaalia rizik zako za halali na swala zako inshaallah.
Shekh sema kweli,hizo pesa una uhakika gani ni zahalali, mziki ni haram,pesa za haram huwezi kufanya jambo is halali,swadaqa haitangazwi,mashaallah angaliya majuto.allah amuepushe na adhabb ya qabri,hatukujua alichokifanya mpaka alipofariki, nyinyi mwajenga miskiti kisha mwaingiya miskitini na tatuu mwaswali,mtu.yoyote mwenye tatuu ni haram kuingiya mskitini,Allah atuongoze njia ya siratallmustaqqynn,killa jamii.islam
Hongera sana allah amlpe kila kher ila upande wa pili ni vizur kuacha mzk ili allah amridhie zaid kwa sababu kwenye din ya kiislam mzk ni haram haufai kabs
Jamani kujenga msikiti Ni Jambo la kher Ila tusitetee ouvu Ikiwa pesa alizo jengea zimetokana na mziki Hakuna kitu hapo Ni vumbi tu maana haramu haiwezi ikazaa halali , lakin ikiwa hainambatani na mziki Inshaallah Allah atamulipa Kama Ni mziki haramu na Kila kinachopatikana kutokana na mziki huo ni haramu Mwambieni arejee kwa Allah na Achane na mziki Tusipakane poda kwenye mambo ya Allah
Jifunze dini juu ya hili ndio ukatae suala la kujenga msikiti......Ali yupo sahihi na imeswikhi....soma khadithi vema msikiti huu ni halali haramu ni muziki wake anaofanya
Surat luqman aya ya 6 Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua maneno ya upuuzi, ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungu pasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha.
@@sanoureykaroyo2332 quran katika hiyo sura luqman inamaan kwamba miongoni mwa maneno ya. Upuuzi ni muziki watu hununua muziki hali ya kua ni haram,kwa hivyo kitu chochote cha haram huwezi kukifanya kikupe thawabu kwamungu
@@tatuyussuf7574 anamaanisha aya inaeleza upuuz wa maneno yaan nyimbo za mziki yaan hauna manufaa zaid ya hasara na dhambi ata hela zitokanazo na mziki ni haram
Timu domo wanakuja halafu wanachungulia kisha wanarudi. Mtakufa na presha. Huyo ndo king kiba. Pia man water pole yako maana ulitumwa na domo ili kumchafua mfalme ilmefeli
Nilishangaa sana mtu anadiriki kusimama kwenye vyombo vya habari eti Alikiba kashindwa kulipia ngoma ya milioni moja,mtu anafanya mambo ya mamilioni leo aje kushindwa kulipa milioni moja,,,,,,nilishangazwa sana,Man Walter rudi nyuma jitathimini unachoongea
SHEKHE AMEONGEA VIZUR XANA DAH sio watu wa upande wa pili kule aliejenga alitaka kiki na yule shekhe pia alitaka kiki na wasanii waliempongeza pia walitaka tu kiki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila uku dah alietengeneza alitaka ghamar na shekhe pia anatetea ghamar
Mungu ndio anajuwa zaidi..na wote ni wasanii
Nomaaa
Nakubali xana kaka
@@rukyaabdilo7921 umeongea vema sana
ROHITY ALSINA huyo shekhe ni chuma ulete
Said well shekhe.....umeeleweka hao ndy binadam hawakosi kukosoa hata kitu kizuri....Allah ndy mlipaji wakila kitu.
🕌🕌🕋 *wenyewe mzuri inshaallah mwenyezi mungu amuongezee pale alipo toa sio kama wenzetu upande wa pili apo midia zote zingetia team* 🙏🤝
officialjohanes Mkandara
officialjohanes Mkandara ww unajiona umeongea maneno mazuri apo mwenyewe pambavuuu ww
Ameen ya rabbi
Mashalhà alikiba mungu akufungulie milango ya kheli nasi pia mungu atupe muongozo wa kuwekeza khamali njema mbele ya mola wetu tusikalie kutaka ya dunia zaidi na sifa zake
Hongera kaka kiba mungu akulipe inshaallah...akujalie kila la kheri yaarab sema amin kwaku gonga like apa kama u apenda kiba kwel...
Tatizo shekh aongea bila dalili,uislam auko ivyo
Sasa ksjenga kwa kaz gsni?
Mungu akuongoze King....mambo ya kheri hufanywa kwa kimya kwa kuwa mlipaji ni Allah pekee nasio binadam....binadam watakupa sifa zahapahapa tyu dunian ila kwa Allah inakuwa ni mavumbi hakuna ulichokifanya.
Unajielewa hapo vile kunaongelewa
Hamis peter ww ujitambui ata kdg
Hongera shehe 🙏🙏🙏🙏japo Mimi sio mwislamu nmependa n.a. hongera Kiba 🙏🙏🙏🙏
Mungu alisema mkitowa mtangaze?
Mashallah Allah akupe jazaa yake Ali Kiba umefanya jambo la maisha daima ytakumbukwa na Kila atakae swali hapa Allah atakuandikia mema umejenga akhera yako mdogo wangu nakupenda kwa hilo
BISMILLAH MASHAALLAH!!ALLAH amzidishie khair
Mimi ni wa yesu ila namwonaga alikiba ana ipenda dini sana ndo mahana apendi majigambo ana ijuwa kesho mungu amjalie ekima sana najuwa na bwana wetu yesu ata mwacha mbele za mungu amina
Sawa kabixa
Vizur sana
Safi kabisa na wewe pia uwe na moyo wa kusapoit kile mwenzako amekifanya km ni kizuri
FINTANI FERX duuuh ungejua
Bwana yesu ata mwacha mbele za mungu sasa nani mungu apo .
Huyu jamaa alikiba anajielewa sana na anaishi maisha ya kweli hapendi kujinakishi
Usitetee upuuz acha Unafq wew mbn huo msikut wenyew hamuuongelei??? au yeye kazi yake n ya kuuza dagaa???
@@jumasalum5769 nilichozungumza mimi cyo kazi ya mtu wala fani ya mtu kazi yatu mi hainuusu nilichoongelea mimi ni namna gani mtu anafanya jambo pasipo kujifaharisha hata ungefanya wewe ningekuoongeza kabla ya kujibu watu komenti zao jaribu kutafuta maudhui ya comment usidandie gari kwa mbele
If'frc cy
@@aboubackhrkassangullah8380 safi safi tena gari yenyewe gari linalonyonya choo
Aboubackh'r Kassangullah anae penda kujinadisha ni nani baba ako au mama ako unaongea pumba ww mbwa wa shughuri
shee umejibu vizuri sana kwa ustadi wa hali ya juuu sana
Mashaallah Mwenyezimungu amnusur Na azabu ya kaburi pamoja Na akhera
vldeo
MASHA ALLAH. ALLAH amjegee nyumba yake peponi amin amin yarabi amin.
Allah anazikubali SHUGHULI za ALLY KIBA au ikoje hii.
Maashallah Maashallah......M/Mungu amuongezee kule alipotoa InshaAllah
Its sadaqa Ali alijitolea c vyema kutangaza alietenda,may Allah give him long life to continue building more of it,always humble guy
Ongera shekhe wangu nimejifunza mengi kutoka kwako kwa maerezo mazuri Asante baba
zemgo Tanar chuma ulete huyo
🇹🇿
Asante mungu kwamjaaliya uwezo Ali kiba Ali kiba endeleya kujali sana ahera usimfate huyo madani ya msalaba Usiyache swala mungu akusaidiye amin
Maashaallah dada unaongea vizuri nakwaheshma.
SHEIKH UMEELEWEKA SAANA MKUU ALIKIBA MUNGU ATAKULIPA KWA JAMBO ULILOLIFANYA
Mimi ni Mkiristo kabisaaaa lkn kwa jambo zuri kama hili haliitaji matabaka na tofauti zetu za kiimani,ninampongeza Alikiba sana kwa roho yake hii njema na moyo wake wa ibada,Mungu amzidishie kheri zaidi ktk maisha yake...!!!
Mungu akuongoze kiba nakukubali sana maana mambo yako si yasifa japo ufahari unao unafaaa kuwigwa king mungu akuzidishie inshaaalllaaahhh
Mola amzidishie Ally kiba
Mashaa ALLAH, mashaa ALLAH Ali Kiba mungu atakulipa kheri mbele za khaki, jamani ndugu zangu muache kumjagi binadamu mwenzetu mungu ndiyo Mwenye muhukumu, Ali Katoa sadaka jariya sadaka inayo endelea, in shaa ALLAH mungu atakulipa ujira wako na mimi naomba mungu anijaalie nitoe kwa ajili ya Mola wangu.
Mashaaallah. Daa hakika hii. Familia imelelewa kwenye maada sana. Kiba anajielewa sana. hp tz
Allah ,ambarik na amuongezee iman na rizk ktk kaz zake na awape mwisho mwema wte walohusika kutmiza jmbo zma Inshaallah"
Mashaallah tabaraka Allah MUNGU amzidishie imani zaidi
Ahsant sana alikiba mungu atazid kukusaidia katik maisha yako
MashaAllah hongera sana king kiba
Nakupenda sana kiba mung akuzidishie kaka ang ka
Mungu amwongezee Alikiba pale alipo toa.
Na kumjalia yote mema yanayompendeza Mwenyezi Mungu.
Walkm musalam mungu amzidishie nasi pia tuwe muogoni mwao amiin nnshaallah
Mashallah kaka Ally kiba Allah akupe hitaji ra moyo wako kaka kilalagher ishallah
Mungu amjaalie na amuongezee kheri
Nawow ooo, king K... Mashalllah, deco on point, classic. God bless
allah amjalie wepes ktk kuimarisha kujenga nyumba zaallah naamfanyie wepes ktk mamb yake nakaz zake ila namm pia mwalimu nina eneo nemepewa alina chuo walamsikiti kwahyoo namm pia naomba kujengewa jaman inshaallah
MashaAllah tabarqAllah...Allah akjalie heri leo apa dunia n kesho ahera
safi sana kijana,mungu anajua zaidi japo wapo watakao pinga mana ya diamond yalimkuta,hapa watakao swali ni waumini na sio kiba wala diamond.
Maasha Allah Ally Kiba Allah akufanyie wepesi na malipo stahiki mbele ya Allah 🤲🤲
Mashaallah,Ali kiba,Allah akujaliye kwa kila hatua unayepiga ameen ya rabbi
M/Mungu akuongezee pakubwa zaidi ya ulipotoa Allikiba 🙏🙏 Hongera mnoo
Masha Allah mwenyezi mungu amfanyie wepesi kwenye kila jambo
Stara nyingi Sana... Nimekuelewa Sheikh... Nmekupenda sana....
Masha Allah... Barak Allahu feek
Mashaallah jazakumllah kheir amiin mola amlipe pepo pa moja na ss inshaallah jazakumllah kheir
Mashaallah allah amzidishie king kiba 🙏🙏🙏
Kazi nzuri kiba.mungu akuzidishie.Simba pia mungu amzidishie.
Hongera shehe kwa maneno mazuri...hongera Ally kiba..
Makini Sana, nimekubali shekhe alivyoelezea kuhusu kiba kujenga msikiti
sam Charzy shekhe wapi uyo chuma ulete
@@babafranco3366 chuma ulete kwako mzee
@@babafranco3366 alipochuma alikuletea au
@@babafranco3366 alikuletea nn alipochuma au maembe
Mungu akubaliki Sana king music
Shekh maa shaa allah umetoa nasaha nzuri sana maa shaa allah
Angekuwa domo angetangaza Hadi mediazote zengejuwa kuwa anafunguwa misikiti ......alikiba uko juuuuu❤️❤️❤️❤️❤️❤️nakupedasana
ناصر الكلباني hakuna cha Ali kiba juu wote wako sawa wamejenga misikiti kwa pesa za mziki haram mbona hamsemi
Inshaallah mungu akuongezee zaid alikiba hakika we ni mtu wa watu hongera sana
Allah awalipe kila la kheri vijana wetu insha'Allah
Hongera sana ali kiba allah atakulipa inshaallah
Manshallah dini inavo taka sio kujionyesha kama wengine kujionyesha sada ya kujionyesha haipokelewi na mungu
🤣🤣 sasa hii si tumeona au ?🤣🤣🤣
Mashallah allwah amlipe
Mungu Akubariki Zaidi Ali K,
Sheikh Tumekuelewa,
Alikiba ni mtu safi sana asie kua na makuu na mtu mwenye zimungu amlinde kwa makafili
I nsha-Allah munguakupemaisha marefu Alikiba
Hongera alli kiba kwakufanya jambo la heri kutambua ahera na ya dunia
Mashaallah mashaallah!hakika mwenyezi mungu atakulipa kila linalostahk kwako kaka alikiba,na Allah akuongoze ktka misingi hyo mpaka sku yako ya mwisho na azidi kkujaalia rizik zako za halali na swala zako inshaallah.
Mie nasema masha Allah ikiwa king pesa yake alojengea siyo ya muzik ikiwa yamzik bas siyo sawa
Mashaallah
Allah amfanyie wepesi kwa kila jambo lake in shaallah
Hongera King Kiba msikiti mzur sana
Kheri inshaallah mungu amzidishie
Shekh sema kweli,hizo pesa una uhakika gani ni zahalali, mziki ni haram,pesa za haram huwezi kufanya jambo is halali,swadaqa haitangazwi,mashaallah angaliya majuto.allah amuepushe na adhabb ya qabri,hatukujua alichokifanya mpaka alipofariki, nyinyi mwajenga miskiti kisha mwaingiya miskitini na tatuu mwaswali,mtu.yoyote mwenye tatuu ni haram kuingiya mskitini,Allah atuongoze njia ya siratallmustaqqynn,killa jamii.islam
Allah amzidishie pale alipotoa na ampe mwisho mwema na amuongoze njia ile ilionyooka inshalla
Mungu amjaaaalie ally
Mashallah king kiba umejitengezea akhera yko
Diamond ana riyaa ajifunze kutoka kwa king kiba mashallah
Uyo mtu usimtaje mavi tu.
Ali saleh kiba Mungu amzidishie kher inshallah
Mungu akuzidishie ali kiba
Hongeran sana team kiba kwa hili jambo kubwa
insha'Allah mwenyezi mungu azidi kumuongezea
ALLAH ampemengizaidi alikiba hajionyenshi minampendasana Ali ndomwenye hikma msimufananishe nawengene namuomba ALLAH amuweke Millele namilele
Mashalhaa Mr aiy
ALI KIBA ni muelewa kabisa na sio mtu wa Kiki kabisa long live KINGKIBA
Mungu akuongezee unachopata broo ishallh
Masha Allah tuzidi kujaza swafu kila swala
Mashallah M/Mungu akuzidishie Ali kiba
Hongera sana allah amlpe kila kher ila upande wa pili ni vizur kuacha mzk ili allah amridhie zaid kwa sababu kwenye din ya kiislam mzk ni haram haufai kabs
Mungu amzidishie
King mnyezi mungu akujalie
Mungu atamzidishia zaidi
MashaAllah hongera sana kingkiba Allah akuzidishie
hongera brother kibbber allah akubarik zaid
Allah amzidishie kheri inshallah
KING ZAMUNDA .......🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Jamani kujenga msikiti Ni Jambo la kher
Ila tusitetee ouvu
Ikiwa pesa alizo jengea zimetokana na mziki
Hakuna kitu hapo Ni vumbi tu maana haramu haiwezi ikazaa halali , lakin ikiwa hainambatani na mziki Inshaallah Allah atamulipa
Kama Ni mziki haramu na Kila kinachopatikana
kutokana na mziki huo ni haramu
Mwambieni arejee kwa Allah na Achane na mziki
Tusipakane poda kwenye mambo ya Allah
Swadakta
Safi sana ukweli lazima usemwe tusipake rangi kinyesi
Mashallah kk Kibaa
Icho nikipaji chake u nini umefanya kwa Allah
Jifunze dini juu ya hili ndio ukatae suala la kujenga msikiti......Ali yupo sahihi na imeswikhi....soma khadithi vema msikiti huu ni halali haramu ni muziki wake anaofanya
Mashallah🙏 Allah ambariki Alikiba
Surat luqman aya ya 6
Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua maneno ya upuuzi, ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungu pasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha.
Baba ebu fafanua sijakuelewa bdo
@@sanoureykaroyo2332 quran katika hiyo sura luqman inamaan kwamba miongoni mwa maneno ya. Upuuzi ni muziki watu hununua muziki hali ya kua ni haram,kwa hivyo kitu chochote cha haram huwezi kukifanya kikupe thawabu kwamungu
Maaashallah nmekuelewa
yusuph mohammad unamanisha nn ety
@@tatuyussuf7574 anamaanisha aya inaeleza upuuz wa maneno yaan nyimbo za mziki yaan hauna manufaa zaid ya hasara na dhambi ata hela zitokanazo na mziki ni haram
Kafanya Jambo la kheri Mr alikiba biger up sana
Mungu akujalie bro na uzidi milele na milele
naku shukuru sana king kiba mungu akujaliye mengi
Kiba umejitahid kaka kujenga msikiti mashalaha
Mashallah Mungu akuzidishie
Nijambo kubwa sana hilo king kiba,big up broo
Thanks watching from kenya
Mwenyezi mungu amlipe badala
Mungu akubariki Ali Kina, huna majigambo
Mashallah! umefanya jambo la kheri king kiba
Ally kiba nimtu makini yee nimtu sahihi sana
Bora useme ww sheikh maana watu wanamuandama Sana
Allah akjalie ivo ivo ameen
Timu domo wanakuja halafu wanachungulia kisha wanarudi. Mtakufa na presha. Huyo ndo king kiba. Pia man water pole yako maana ulitumwa na domo ili kumchafua mfalme ilmefeli
😂 😂 😂 utasikia alikiba hana hela wapuuzi wale wamezoea sifa nakujionyesha tu
Kiba ni mmoja tu duniani....hanaga misifa ya kijinga kabisa ally
Nilishangaa sana mtu anadiriki kusimama kwenye vyombo vya habari eti Alikiba kashindwa kulipia ngoma ya milioni moja,mtu anafanya mambo ya mamilioni leo aje kushindwa kulipa milioni moja,,,,,,nilishangazwa sana,Man Walter rudi nyuma jitathimini unachoongea
😁😁
Ali kiba Masha Allah mungu linde wewe na familia yako