SHEKH AFUNGUKA uhalali wa ALIKIBA na DIAMOND kujenga msikiti/ ni HARAMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 424

  • @saidymtenda9777
    @saidymtenda9777 5 лет назад +104

    Anayemkubali Shekh Mussa kundecha Shura ya jumuiya ya maimam naombeni like zangu

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 года назад +3

    Jazkaallahu shehe wetu mungu akujalie maisha marefu uzidi kutoa elimu ya kiisilaam

  • @aminafesali5817
    @aminafesali5817 5 лет назад +9

    Huyu ndi shekhe aliye soma dini na kutenda haq za Allah ahsante sana shekhe kwa kuongea ukweli Allah akuhifadh insha allah

  • @jesusiscoming237
    @jesusiscoming237 5 лет назад +13

    Am Christian and I really appreciate this shekh

    • @mursalikhamza4915
      @mursalikhamza4915 4 года назад

      Sheikh mbona unalemba utaulizwa na allaha juu ya elim yako hao watu nimakafili wameshamkufuruallah

    • @husseinmwanjela8644
      @husseinmwanjela8644 Год назад

      Allah akuongoze nawe ndugu yetu

  • @saidmj9213
    @saidmj9213 5 лет назад +34

    Wasio kuelewa juuyao shekh kundecha ,Diamond na Ally kiba fanyeni toba

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 5 лет назад +28

    Ustadh nimekuelewa Sana tena Sana

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 5 лет назад +22

    JAZAKA ALLAH KHAIRA SHEKH KUNDECHA ALLAH AKUJAALIE UMRI MREFU AMIIIN

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 5 лет назад +10

    Allah atustiri kila mja anamitihani kubwa nikutubu kurudi kwake Mana tusiwalani Wana miziki tuangalie nafsi zetu kwanza napia tuwaombee mungu awaongoe nasi pia

    • @masoudyrashidy9041
      @masoudyrashidy9041 5 лет назад +1

      Hakika kabsaaa fatma maneno yapo sawa

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 5 лет назад

      Ndio ivo tusiwe tunawalaani tu wengine ikawa nasisi hatuangalii matendo yetu

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 года назад

      Huyu shekhe hajalaani nkawafundisha. Pia ujue km shekhe huyu hajasema mnataka wasapotiwe vp hamumjui Mungu nyinyii? Au mnataka tabia yakuimba na kuweka wanawake uchi na uzinzii mmefurahiaaaaa

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 4 года назад +1

      @@hilalhilal8400 soma vizuri comment yangu nimesema tusiwalani Yani sisi jamii nyengine kuwalani wanamziki ikiwa sisi wenyewe tunamapungufu nasikusema usiwalani Yani kumkusudia shekhe laa sinania hiyo kabisa Mimi shekhe nimekuelewa vizuri

  • @anitaciza7660
    @anitaciza7660 5 лет назад +3

    ManshaAllah Allah akulipe kheri na hawowasani Allah awajalie wawe wenye kutubia.

  • @ibrahimharuna9821
    @ibrahimharuna9821 5 лет назад +6

    XCLUSIVE BIG UP.GOOD INTERVIEW WID A BRILLIANT MTANGAZAJI.NAWAKUBALI SANA.HIZI NDO INTERVIEW ZA MAANA SANA.KEEP IT UP

  • @shabanjims4471
    @shabanjims4471 5 лет назад +14

    Kwakweli mungu ni rafur rahim awovijana niwaki islam kama ninema walisha pata.wafanye toba warudi kwamungu wao waace kupoteza viumbe vya allah.

  • @shabanhassan4272
    @shabanhassan4272 4 года назад

    Shukran sheikh Mussa Kundecha.
    Amir wa Baraza kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiisilamu Tanzania

  • @sharmilarashid5401
    @sharmilarashid5401 5 лет назад +16

    Mwenye sikio asikie na ayatie akilini , asant sheikh kwa kutuelimisha Allah akujaze kher na barka amiina lnsha allah

  • @hamynas
    @hamynas Год назад +1

    mwandishi katulia saana ktk maswali na ana logic nzuri za kutafuta majibu ya changamoto ya usanii na wasanii kufanya ibada za kujionyesha..big up

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 4 года назад +2

    Alhmdullh,shekh mawaidha mazuri ya kuelimisha wallah lau wasanii wote wa mziki watamgeukia Allah na kutubia na kuacha maovu yote,wallah Allah atatia Nuru ktk maish na akhira.

  • @saidnassor9105
    @saidnassor9105 5 лет назад +6

    Masha Allah, nimefurahi sana shekh wangu Allah akuzidishie uelewesgaji katka dini yetuu masha Allah unaufaswaha asaaa

  • @chamog5619
    @chamog5619 5 лет назад +33

    Tena nakuambia daimondi ktk ckukuu za kiislam ukome kuzitangazia music na sherehe za kiharam

    • @abdulwahidmsellem1998
      @abdulwahidmsellem1998 5 лет назад +1

      Nikweli maana laana ya inazidi kumshukia juu yake

    • @tacmedia9882
      @tacmedia9882 5 лет назад +1

      @@abdulwahidmsellem1998 nakubali shehe

    • @rukyaabdilo7921
      @rukyaabdilo7921 5 лет назад +2

      Sema wasanii wote..si diamond pekee

    • @farajijongo2109
      @farajijongo2109 5 лет назад +1

      Asalamu aleikum shekh wangu sitaki kumwambia shekh wetu uelewa wake mdogo hapana lakini arudie tena kufanya bahthi na kuendelea kutabar kwa mashekh wenzake kwasababu hii ni dini inayoitaji maarifa makubwa sana
      Lakini niseme Alikiba na Diamond msivunjike moyo ktk kufanys kheri zozote kwa mungu lakin napenda kuwahusia kumcha mungu na kuepukana na haram aaamin!!!

    • @rukyaabdilo7921
      @rukyaabdilo7921 5 лет назад

      @@farajijongo2109 shekh Nurdinn kishik ameeleza kwa upana zaidi agalia kwa bio yake.

  • @a.856
    @a.856 5 лет назад +4

    Mashaallah jazakallah khayran sheikh

  • @mwanamutemi
    @mwanamutemi 5 лет назад +16

    Diamond anaenda kufungua msikiti na anaandamana na mwanamke amezaa nae haja muoa ! Si kejeli kwa Mungu hiyo !!!

    • @meshackbenedicto4179
      @meshackbenedicto4179 5 лет назад

      Kaaput Kubwa unaweza funga ndoa ukawa na dhambi nyingi kuliko hiyo

    • @mwanamutemi
      @mwanamutemi 5 лет назад +1

      @@meshackbenedicto4179 Ndugu Meshack Dhambi kwa Kiislamu ni tafauti kabisa navile labda wewe unafahamu. Nadhani wajaribu kufananisha Uislamu na Ukristo. Kila jambo lina dhambi yake tafauti tafauti.

    • @barakamgimba2743
      @barakamgimba2743 5 лет назад

      We mkamilifu Mungu ndie anajua

    • @sleyummoo7795
      @sleyummoo7795 5 лет назад

      Kisheria hafai kumuowa ata akitaka kumuowa kwasbb kaanza na uharamu na tanasha nisawa na io kujenga mskiti

    • @mwanamutemi
      @mwanamutemi 5 лет назад

      @@barakamgimba2743 baraka dini ya kiislamu inaangalia Mwanzo wa kitu Na mwisho wake. Huwezi anza Na haramu ati ndio upate fadhila za Allah, NO !!

  • @muzamilmuzamilhassan828
    @muzamilmuzamilhassan828 4 года назад

    Thanks you sheikh musa You answer the question very well I’m happy

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 5 лет назад +1

    Shekhe nimekuelewa na nimejifunza kutunza kipato changu kwenye halali.Allah akufanyie wepesi katika dunia na kesho akhera.

  • @karamasaahmed5026
    @karamasaahmed5026 Год назад +1

    Maa shaa Allah. Allah amjaze kheri sheikh ameongea kwa ufasaha na yakueleweka. Kila mtu akili kichwani kwake

  • @omarhassan2637
    @omarhassan2637 5 лет назад +1

    Allah akuhifadhi shehe wangu unaejielewa sio wale mashehe ubwabwa wanaoalikwa kufungua misikiti hiyo na kutowa hutuba za kuwasifu kana kwamba amali wanazozifanya zinakubalika kwa Allah

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 5 лет назад +10

    Ni haramu iko wazi ni haramu pesa ya mziki kujenga msikiti

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 2 года назад

    Allah akubarik sheikhe wetu jazaqallahu khair

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 5 лет назад +6

    UMEELEWEKA VIZURI ASHEYKH,
    #BARAKA LLAHU FY KA YAA SHEYKH

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 4 года назад

    Shukrn shekhe mungu akueke utuelimishe zaidi na zaidi

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 4 года назад +1

    Mashallah Allah akulipe pepo shekh wetu 🤲

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 5 лет назад

    Sheikh Kundecha nimekukubali sana. Shukran kwa darsa mujaarab. Akhsante sana, umekata mzizi wa fitna. Haramu huzaa Haramu, Nimekuelewa vizuri sana.

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 4 года назад +3

    Maashaallaah, Professor Kundecha

  • @imransalum229
    @imransalum229 5 лет назад +4

    Me niliwaambia ila nilicheka sana kuona diamond anajenga msikiti hatata wale wanaoswali wakijua kama msikiti umejengwa na pessa zaharamu baci nao swala zao zimashakani

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 5 лет назад +3

    Shekhe nimekuelewa sana, Shukurani

  • @mursalmrisho1538
    @mursalmrisho1538 2 года назад

    Shukran sana sheikh wangu

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 5 лет назад

    Thnx haroun kwa kazi nzuri

  • @kundeigang3879
    @kundeigang3879 5 лет назад +2

    Allah awabariki na kutujaalia mwisho mwema

  • @hawaamkubwa2020
    @hawaamkubwa2020 4 года назад

    Mashaallah shekh Allah akuzdshie kher inshaallah

  • @bakariyusufujuma
    @bakariyusufujuma 5 лет назад +5

    Tatizo sio wasanii tatizo ni wapokea hizo sadaka hawawaelimishi wanaotoa wao ni ishallah utaingia peponi basi

  • @chamog5619
    @chamog5619 5 лет назад +25

    Mshirikina yoyote na mtenda moovu yoyete hapaswi kusimamia nyumba za Allah muziki kharam

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 5 лет назад +3

    Shekh ma sha allah Umeongea ukweli kabisa

  • @omariselemani479
    @omariselemani479 5 лет назад +1

    Naam sheikh wangu hiyo ni kweli kabisa ila watu wasiokuwa na uwelewa na hufahamu wa akili ambao wameisha uwawa na muziki Waislam na wasiokuwa waislam hawatakuelewa but wasipomrejea Mungu kwa kuendelea kukaidi na kufanya upuuzi wa kidunia , enyi watu msije mkasema eti hamkukumbushiwagwa na walimu wenu itakapofika siku hiyo ya Qiama watu wanaanza kulishwa mikong’oto so hapo mziki na ushabiki hautokusaidia chochote hapo. Tubuni toba iliyo ya kweli ili Mungu akatuingize kwenye PEPO yake in sha Allah

  • @ikhlassathman8782
    @ikhlassathman8782 5 лет назад +2

    Mama Dangote badili yakumshajilisha mwanayo kuacha muziki wamshajilisha ajenge msikiti mwanzo ni toba kisha mengineo

  • @aboukhalphan1309
    @aboukhalphan1309 5 лет назад +1

    Jazaka llahu khaira Allah akujalie elimu na akuruzuku kufaham maana nimekuelewa saana tena saana kharam haiwezi kuwa halal nasema tena kama kuna mwenye number ya sheikh Mussa Kundecha nipeni jameni bi idhni LLAHI

  • @omarngwali3930
    @omarngwali3930 5 лет назад +1

    Hakika leo umenifundisha mingi sheikh kundecha allah akuongeze katika haki na akulinde na kila baya...

  • @sheriffshatterz
    @sheriffshatterz 4 года назад

    Kwa wale ambao hawajui mziki ni haramu: nawaomba wafungue Msahafu waende kwenye sura ya luqman aya ya 6 waisome na waulizie tafsiri yake kama walivyoelewa maswahaba walivyofundishwa na mwalimu wao mtume muhammad ﷺ
    ( وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ )
    لقمان (6) Luqman
    Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua maneno ya upuuzi, ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungu pasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha.
    Watafute masheikh wawasomee tafsiri ya ibn kathir, al qurtubi,tabari,s'a3di,shanqity n.k chini ya aya hiyo ya surah al luqman...watapata jawabu kama mziki ni haramu au halali na chumo litakalopatkana na muziki litakuwa ni la halali au haramu, uislam sio dini ya mtu kuridhisha hisia zake na kufwata matamanio yake, ni dini ya kutafta radhi za Allah kwa kufwata maagizo yake na kuepekuna na makatazo yake, kujisalimisha kwa Allah kiukamilifu
    Sio kuchaguwa baadhi ya vitu kwa kuwa utatii amri na vyengine hutotii...Amri za Allah zote hamna khiyari muislam kutotii...

  • @omaryandrew2584
    @omaryandrew2584 5 лет назад +3

    Waelevu wamekuelew sheikh
    Zajakunlulahun kher

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 5 лет назад +7

    Shekh yuko vizuri

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 5 лет назад +2

    Mashaallah uposahihi
    Kabisa

  • @sulemanabbas9955
    @sulemanabbas9955 4 года назад +1

    Shukran

  • @CoComelod123
    @CoComelod123 Месяц назад

    TZ inamtihani mkubwa kwa Kupenda pesa na anasa. Pesa chafu yawalevi na washerati, mara utapeli Hadi mashekhe. Yani dini TZ na maadili zinazorota kwa speed Kali sana kwa kupitia usanii, tamaa ya pesa na uasherati

  • @abbuabbu2247
    @abbuabbu2247 5 лет назад +8

    Shehe sema ukwl tu iyo misikt aifai usifumbe fumbe awa wanamuzik wanazoeya vibaya naii na kwa sababu ya mashee njaa

  • @hajjikhalifa7265
    @hajjikhalifa7265 5 лет назад +7

    Suala la uharamu wa muziki ndio lilikua liwe la mwanzo .. waandishi muwe makin na kupanga masuali!!

    • @aziziramadhanpima5074
      @aziziramadhanpima5074 5 лет назад

      Kuimba mashair sio haram kwa eneo husika uharam unaingia ukipigia vinanda ngoma kuchanganya wanawake na wanaume seema 1 nk hapo ndipo unaingia uharam wa nyimbo

  • @mustayoo
    @mustayoo 4 года назад +1

    allah ni mzuri na anapenda mazuri.hata wakiwa na nia ya tawba mungu haezi kukubali mali yoyote yenye chumo la haramu.misikiti walioijenga haina maana

  • @abdur-rahmanmuhammad4456
    @abdur-rahmanmuhammad4456 4 года назад +3

    Muziki ni haraam Allah amearamisha kabisa na akaidi adhabu Kali sana kwa wenye kuimba wimbo , je itakuwaje kujenga msikiti na pesa za muziki ni halali ??

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz 5 лет назад +4

    Mtangazaji nakukubali sana ! Unajitambua sana! Ukisimamia huo msimamo wako utafika mbali ! Amini neno langu! Nimekufuatilia kwa muda nimeona kitu kwako! Una maswali yenye logic sana

    • @jumannemfaume
      @jumannemfaume 5 лет назад

      Aisee ana fanana na millardo ayo ningefurahi wasafi wangemchukua huyu jamaa anajua sana

  • @kimwanahamisi3015
    @kimwanahamisi3015 5 лет назад +1

    Nimemkumbuka Mzee yusuph

  • @abrahamaniabuubakari3959
    @abrahamaniabuubakari3959 4 года назад

    shekh upo sahii sana

  • @sultanetmohd4335
    @sultanetmohd4335 5 лет назад +1

    Mashallah uko vzr ao mashe wengine wabaishaji w na jua ila w na fanya haram na kuifanya hali wache na wawe w kwli na w c wavunge wtu

  • @wlkmwlkmq7819
    @wlkmwlkmq7819 5 лет назад +2

    Huyo ni sheheha,na utaulizwa kwa unayo halalisha,ma.sheikh wengi Tanzania njaa itawauwa

  • @TanzaniOman
    @TanzaniOman 5 лет назад +2

    Mtangazaji una saut nzr & shekh uko sw san nimekuelewa

  • @godfreyally7787
    @godfreyally7787 5 лет назад +5

    Shekh nimekuelewa sana

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 5 лет назад +2

    Uko sahihi shekh allah akurehem

  • @hassanabuu6
    @hassanabuu6 5 лет назад +2

    Dar 24 Mfuateni Nurdini kishki achambue zaidi please 🙏

    • @HassanMalik-cd9yz
      @HassanMalik-cd9yz 5 лет назад

      Shekhe ni shekhe ila wametafutiana katika mapokezi kama walivyo tafautiana maswahaba itilafu zipo so Shekhe Kundecha ameongea kwa vile Allaah amemjalia kuongea sasa na hata akija kishki utamtaka aje na skekhe mwengine

    • @khaulatmohammed3765
      @khaulatmohammed3765 5 лет назад

      Nurdin kashachambua khtba ya ijumaa zaman

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 5 лет назад +2

    Hivi kuna ambaye atafuata mfano wa Mzee yuusuph? Mungu atuongoze in sha Allah

    • @ibrahimharuna9821
      @ibrahimharuna9821 4 года назад +1

      Huyu shekhe si shekhe wa maslah,anaongea ukweli mtupu.

  • @alswahabein-99alkhazain91
    @alswahabein-99alkhazain91 4 года назад +1

    Mashaa Allah

  • @saidmj9213
    @saidmj9213 5 лет назад +11

    Shekh Musa kundecha nakuelewa saaanaaa

  • @عليحمد-ح8ث4ح
    @عليحمد-ح8ث4ح 5 лет назад

    Asante shekh.

  • @MustafaAli-bs6mb
    @MustafaAli-bs6mb 5 лет назад

    Asante shekhe umesimama Kwenye ukweli

  • @hamisjuma4175
    @hamisjuma4175 4 года назад

    good shekhe

  • @saeedmugandja4187
    @saeedmugandja4187 5 лет назад

    Sheikh na kuelewa kwa kuwaelewesha kwa darasa lako Allah akurehenu

  • @mgenimzee4248
    @mgenimzee4248 5 лет назад +11

    Nipo hapa kwa sababu ya jina la alikiba

  • @abdujuma1439
    @abdujuma1439 5 лет назад +4

    Shehe nimekupt kiumakn xn mashalh

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 4 года назад

    Kweli ni pato la Haraam la ujenzi wa Msikiti waache Muziki na watafute pato la Halali ili wajenge Msikiti.
    Na haifai kuswaliwa Misikiti waliyojenga.
    Warudi kwa Mola Mlezi Watubu.

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 5 лет назад +1

    Maashalah sheikh

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 лет назад +4

    Shekh mzik niaram mzik ni saut ya sheetan na pia Mpira ni aram
    Kwasababu muda wa swala samtaim ndiyo muda wa mech mchezaji ataswal muda gan!? Na pia mchezaji anavaa nusu uchi
    Magot ya kiislam ya mtoto wakiume aya paswi kuonekana
    Au shekhe mpira wanacheza na suluwali ndefu!? Kama magoti ya mtoto wa kiislam uchi Quran yetu
    Inasema mtoto wakiume uchi wakwanza unaisabika magotin
    Sasa vip ball mpira bas ni ARAMM diamond jenga Miskito
    Alla monyewe ndiyo hatajua akuweke wapi siku ya mwisho

    • @shayopaterini8678
      @shayopaterini8678 5 лет назад

      Mie nilikuwa naona isichanganywe dini na kaz ya mtu maana asiyefanya kaz na asile

    • @abdulwahidmsellem1998
      @abdulwahidmsellem1998 5 лет назад +1

      Bob mziki haramu mpira haram yote mwishowe ni moto mpka m2 atakapobia

    • @HassanMalik-cd9yz
      @HassanMalik-cd9yz 5 лет назад

      Ndugu soma Dini uzur mpira sio haramu ila uharamu utakuja pale utakavyofanya vitendo vya haramu hata maulid sio haramu ila uharamu wa maulid ni pale tunapochanganyika na wanawake na kupiga ngoma ambazo mnaita Dufu. Ila mziki ni haramu total sasa kuweni makin na kutasfir sheria ya Dini shekhe Kundecha kaongea Uzur na kaeleweka Haswa tuache ushabiki

    • @abdulwahidmsellem1998
      @abdulwahidmsellem1998 5 лет назад

      @@HassanMalik-cd9yz fuatilia chanzo cha mpira ndio utajua km mpira haram au n halali

    • @HassanMalik-cd9yz
      @HassanMalik-cd9yz 5 лет назад

      @@abdulwahidmsellem1998 mpira sio haramu na ndo mana nikasema uharamu wa mpira ni pale utakapohusishwa na masuala ya pombe ,kamar, na mambo mbali mbali lakin mpira sio haramu hata

  • @user-ok8rj5pt4v
    @user-ok8rj5pt4v 4 года назад +1

    Pesa za hao wasanii zote asili yake haram tup maana wao wanaonekana namna walivo bc sie hatuwezi kuunga mkono mali kama watu waina hio haraaam

  • @munirahmed7753
    @munirahmed7753 5 лет назад

    mungu anasema hv! wamatuqadimmu lianfusikum min khairin tajiduhu Inda Allah huwa khairan waadhamu ajra! Kila unaloliona lina kheri basi litangulize kwa Allah yy ni mlipaji hakuna zaidi yake! ss wenzio wamejenga msikiti

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 5 лет назад

      Kwahiyo waandelee kuipotosha jamii kwa kichaka/kivuli cha kujenga Msikiti?!

    • @munirahmed7753
      @munirahmed7753 5 лет назад

      @@alhaddajmohammed4768 kwani amekufanyia ww au lazima ukasalie kwa msikiti waliyojenga? acheni hasad zenu nyie

    • @munirahmed7753
      @munirahmed7753 5 лет назад

      @@alhaddajmohammed4768 kujenga msikiti si kuonyesha Jamii ila ni khairat ambayo wameifanya ss kama kukubaliwa au kukataliwa basi ni mwenyewe Allah ndie ajuae sio sisi

    • @rajabmsingwa4957
      @rajabmsingwa4957 5 лет назад

      iko haja urudi darasani mwalim wangu. Bado fahamu yako ipo chini kuhusu khairat uwazi wake.

    • @munirahmed7753
      @munirahmed7753 5 лет назад

      @@rajabmsingwa4957 Kila jambo lina thawabu na dhambi kuvyake ina maana mzinifu hafai kuswali? au mla riba hafai kutoa sadaka? jamani someni kidogo msifuate tu shekhe fulani kasema wengine wanakosea elimu inazidiana

  • @ollgfgv9872
    @ollgfgv9872 5 лет назад +5

    yaaan mbwana samata tu ndo yuko sahihi ila mondi na kiba milango ya kutubia iko waz

    • @joycemallema4278
      @joycemallema4278 5 лет назад

      Una uhakika gani

    • @ollgfgv9872
      @ollgfgv9872 5 лет назад +1

      @@joycemallema4278 jina lako ni joyce huwez kuelewa hata nikufahamishe halafu hapa hapatoshi wenda kwa voice ungenielewa ivyo iludieludie iyo clipu hadi uelewe

    • @iddibale1032
      @iddibale1032 5 лет назад +1

      Suali liliulizwa kuelekea kwa watu flani hapa anaingia kila anaefanya mambo kama hayo kwa misingi yaharamu

    • @abdullihsomani8956
      @abdullihsomani8956 5 лет назад

      Hata na mipira ya sasa ni baatili Haifa

  • @omarykyutta6681
    @omarykyutta6681 5 лет назад +1

    Dah shekh upo vizur sana...

  • @salimsaid3292
    @salimsaid3292 2 года назад

    Sheikh umeweka wazi.. Pesa ya mwimbaji ni haramu Iko wazi.. Lkn binadamu tushaipokea zawadi

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 года назад

    Umeeleweka shekhe

  • @khalidmohamed1086
    @khalidmohamed1086 5 лет назад +1

    Je.unauhakika kama pesa alzo jengea huo msikti ni za musiki.kwn hana shughuli nyengn za kujipatia risk..acheni kuharamisha .hata kafiri akijenga msikit unakubalika .je hao waislamu,si ndio inafaa zaid

    • @saymarsaymar4654
      @saymarsaymar4654 5 лет назад +1

      Tunachoangalia kauli zao wenyewe wanasema mtaji wao wa awali ni muziki

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 5 лет назад +1

      Nilvyo ona maandishi ya jinalako nikafikiri huenda unaelimu ya dini japo kwa kiwango cha chekechea kumbe ZIRO.

    • @seifmohamedseif9467
      @seifmohamedseif9467 5 лет назад

      Mziki ndio kipato chao wana kipato kipo cha halali? Kila kipato walicho nacho kimezaliwa na pato la mziki wanao ufanya mziki wanao ufanya ndio chanzo so pato chanzo ni haram

    • @AusiKindumbo
      @AusiKindumbo 2 месяца назад

      Lete daili

  • @minaziparasu3352
    @minaziparasu3352 5 лет назад +1

    Sheikh kwamwenyekujua dini anaeleaw a ulichozungumza ila akinasisi tulitaka utupejawabu lililokua wazi kutokana navitendo vinavyofanyika nawatenda wapo navinaeleweka nahuo mziki tunaujua .kiasi yakutuambia kua ni halali au batili.

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 года назад

    Mashaalah

  • @allyhashim7935
    @allyhashim7935 4 года назад

    Anayeijua hukum ya Diamond nimwenyeazi mungu pekea waislam wenzangu twacheni kuhukum kila kitu haram ww umefanya nn halali

  • @salimjuma9494
    @salimjuma9494 5 лет назад +1

    Swadakta sheikh asanta

  • @youngswedytv6307
    @youngswedytv6307 5 лет назад

    Nimekuelewa sana shekhe

  • @saidmohd2575
    @saidmohd2575 5 лет назад

    Huo ni uwazi kuwa mwenye kuimba muziki ni haramu.jee hela aliyo ipata ni yaharamu halafu unaijengeya msiikiti kwanza acha muziki tubu na hela uliyo nayo ichuje yamwisho itakayo baki ndiyo ujengee msikiti ila unajenga msikiti kesho upo juu ya jukwa unaimba usichezee na allh Kwanzaa kataa aliyo kataza allh

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 5 лет назад

    Na kibaya zaidi hujinadi hadharani wakihamasisha kuwa wazazi wawaruhusu watoto wao kuingia ktk sanaa ya Mziki eti kwavile mziki ni ajira nk. So dhahiri wanafanya dhihaka/kejeri kwa Allah. Haiingii akilini hujutii dhambi bali unaifanya dhambi kwa makusudi/unaelewa kuwa ni dhambi na unaifanya dhambi hiyo hadharani pasi na kujuta/uchungu moyoni ni mtihan kwa kweli!

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 лет назад +1

    Sheikh umeleta siasa katka jambo hili!!!!,,, ,,Halal bayyin, wa haraaam bayyin!!!!

    • @mohammedjuma6736
      @mohammedjuma6736 5 лет назад +1

      We si mwelewa

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 5 лет назад

      @@mohammedjuma6736 halal bayyin!! wa haraam bayyin!!!!,,,,,,,,unataka uelewa gani tena???

  • @mohamedsuleiman7215
    @mohamedsuleiman7215 Год назад

    Tatizo ambalo lipo katika jamii zetu tunazoishi MUNGU tunamchukulia kama msela au mshikaji.Lazima tusome tumu elewe MUNGU na tuzielewe dini kindakindaki au kinaga ubaga.

  • @buffaamonteezey1092
    @buffaamonteezey1092 4 года назад

    Safi sheikh

  • @chamog5619
    @chamog5619 5 лет назад +1

    Shekh awo vjana wameritadi na kijana wa kiislam yoyete hapaswi kuvaa misalaba na shekh aya zpo kila cku tuaambiwa kuwa mzi ni haram kuanzua mwimbaji mchezaji mpaka msikilizaji mziki ni haraam awo vjana c wakuwatolea fatuwa.

    • @HassanMalik-cd9yz
      @HassanMalik-cd9yz 5 лет назад

      Al akhi tunakatazwa kuwakufurisha watu na kufaritadisha watu wachen kutoa hukmu na Allaah ndo Al Hakimu

  • @chamog5619
    @chamog5619 5 лет назад +1

    Dah shekhe naomba msamaha wako kw comment nilio kutumia ilikuwa cjakufaham sasa nimekufaham kw makini nimekuelewa samahani shekh

  • @user-ok8rj5pt4v
    @user-ok8rj5pt4v 4 года назад

    Huyu shekh anazingua sana sasa huo uhalali wa msikiti kama wa diamond upo wapi maana amaliza juzi dua misikiti wake anaondoka kwenda kufanya shoo ilio mpeleka huko kwao kigoma

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 5 лет назад +1

    Masha Allah sheikh kaelekeza vzr san

  • @mtanzaniahalisivideo2463
    @mtanzaniahalisivideo2463 5 лет назад +2

    Ustadhi Kundecha Umefafanua Vilivyo Na Allah Akulipe Kheir Kwa Kifupi Hawa Wanaodai Kujenga MISIKITI Hawana Jema watakalolipata Zaidi Ya Maasi Kwao

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 5 лет назад

    Kwakweli ni mtihani mungu atusaidie,cha muhimu ninachokiona hapo ni kufuata tu ule usemi wa dini unaosema ukitoa si lazima mtu au watu wajue nina maana ya kwamba si lazima ujioneshe umetoa kitu,toa wewe na mungu wako,kwanini nimesema hivyo kwasababu mwenyezi mungu alikuwa na maana yake maana alikuwa anajua kuna watakao pata pato kwa njia si halali,sasa ukitoa kwa siri maana yake ni wewe na mungu wako ndio mtakaojua na ndio pale mwenyezi mungu atajua yeye atakuhukumu vp,lakini ukitaka kujionesha inamana hutaki huruma yoyote kutoka kwa Allah na umedharau matakwa yake,hivyo Allah pia hawezi kukusamehe na kukuhurumia.😔

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 5 лет назад +1

      Amini hayo umetoa wapi kwa Allah kisichokubalika ni HARAMU sasa iwe SIRI au DHAHIRI mradi ni KHARAMU hakikubaliki

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 5 лет назад +1

    ni kama Kusafisha Mavazi yako kwa Mkojo. Note that

  • @homeboy6004
    @homeboy6004 5 лет назад +2

    Diamond & kiba are watching...

  • @abdiyathe6221
    @abdiyathe6221 4 года назад

    Huyu sheikh ndio alisoma dini waisalamu vizuri