MWEKEZAJI AUZIWA MAKABURI ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 89

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 2 года назад +7

    Dah huyu mkuu wa wilaya wallahi nimempenda sana maneno yake anaongea kwa upole na utulivu mkubwa 👏👏👏👏👏👏👏

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 2 года назад +7

    Mkuu wa wilaya upo vizuri nakukubali

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 2 года назад +9

    Nimeipata hii picha,Nassor yupo sawa ila mamlaka za serikali ndio shida.

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 Год назад

    Mkuu wa uko big up na inshaallah moja kwa moja mpaka mkuu wa mkoa maneno yako yako constantly

  • @digwam4164
    @digwam4164 2 года назад +1

    Pole sana sheikh Nassor, usikate tamaa lakini wamekufanyia si Sawa sheikh wangu.

  • @highmedland9280
    @highmedland9280 2 года назад +5

    Dah haya maisha yanasikitisha Yani watu wanaekeza ili maasi yaendelee na watu kukaa uchi ktk maeneo mpaka ktk makaburin innalillah wainna ilaiyh rajiun,
    namuomba Allah pindi atakapo viangamiza hivi visiwa vya znz nisiwepo mm na vizazi vyangu inshallah 😭😭😭

    • @fat-hiyasalum3187
      @fat-hiyasalum3187 2 года назад

      Amiin

    • @asmaali2911
      @asmaali2911 2 года назад

      Ameen 💯

    • @suleimanbadru819
      @suleimanbadru819 Год назад

      Sheikh Kurwa alisema utalii maana yake Utalia salmini akamfukuza aka akamwambia c kwao matokeo yake miaka 30 imepita matokeo yanatoka

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 3 месяца назад

      Yote Laana ya pesa hawajali lolote ili mradi pesa mbele

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 3 месяца назад

      ​@@suleimanbadru819😂😂😂hatar Wallah

  • @salehkhamis9994
    @salehkhamis9994 2 года назад +3

    Mkuu wa wilaya umengea point kukukubali ndugu

  • @alphonceakarrow8673
    @alphonceakarrow8673 2 года назад

    Pole Sana Nassor. Mungu aongoze upate haki yako mapema na iendelee na uwekezaji. Amina

  • @abdullahalkindi9673
    @abdullahalkindi9673 2 года назад +10

    Kwani ZNZ inaserikali ngapi?. Mwekezaji kafuata sheria zote kuanzia kijijini hadi mkoani leo mkuu wa Wilaya asema haikufuatwa taritibu basi bora wekeni sheria kuwa utoaji wa ardhi utolewe na Rais tu. Mnahimiza uwekezaji kumbe hata utaratibu hakuna. Kwa ujumla sishauri mtu ku invest ZNZ maana ni kujilisha hasara tu

    • @abdillahsimai7191
      @abdillahsimai7191 2 года назад

      Muombe mungu kwanza akupe hzo pesa kisha ndo useme kauli za uwekazaji kka

    • @asmaali2911
      @asmaali2911 2 года назад

      💯💯💯

  • @kaykagaruki951
    @kaykagaruki951 2 года назад +1

    Huu ni uonevu kabisa mwekezaji ana vibali vyote alafu ndio wanakuja kumstopisha saa hizi walikuwa wapi tangu anaanza kujenga, hii ina demoralize sana Secta ya uwekezaji. Pole sana Nassoro

  • @hamzahaji8583
    @hamzahaji8583 2 года назад +6

    Muwekazaji hana makosa kwani amaefuata sheria zote za nchi na serikali inatakiwa kumtendea haki kwanai kama uzembe upo kwa wizara.

  • @Fofo-511F
    @Fofo-511F 2 года назад

    Pole nasser Hauna makosa

  • @yunussaleh8493
    @yunussaleh8493 2 года назад +2

    Mwanamke hawezi kuwa kiongoz

    • @hamadabdullahkhamis977
      @hamadabdullahkhamis977 2 года назад

      Kwa hiyo unatukana mama zetu.. mbona unazarau mama zetu..

    • @MWIGAADAM-r3e
      @MWIGAADAM-r3e 7 месяцев назад

      Mama zetu ni viongoz wazuri sana ktk familia zetu kwakweli wanaweza vizuri TU sema tunamfumo dume tu

    • @feisalboy6702
      @feisalboy6702 7 месяцев назад

      ​@@hamadabdullahkhamis977hawajatukanwa Bali ni maneno ya mtume kwmba haitofaulu kaumu yyt ambayo mambo yake yanaongozwa na mwanamke

  • @mwanaidatkhamis5310
    @mwanaidatkhamis5310 Год назад

    Jamani tunaelekea wapi jaman dah Allah azidi kutufanyia wepesi

  • @othmanawadh3964
    @othmanawadh3964 2 года назад +1

    Sijiu tunakwama wapi wallah

  • @zaidatyu6464
    @zaidatyu6464 2 года назад

    Pole sana Nassor haki itendeke

  • @aboumubarak6542
    @aboumubarak6542 2 года назад +1

    Hii sio haki kabisa mtu anatumia pesa zake kwa ajili ya kuleta maendeleo ya kijamii halafu anafanyiwa figisu. Apewa heshima yake kama wawekezaji wengine. Sera ya serikali ni kuhimiza uwekazaji then serikali hiyohiyo inaleta usumbufu kwa wawekezaji wa ndani sio haki.

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 2 года назад +1

    Mkuu wa wilaya kanyoooka, Wala hajapindapinda

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 2 года назад

    Al’fatah benchi la kuetid tittle rekebishen maandishi yenu yanayotoa info za majina apo chini ya video,ziweze kuonekana hati ni ndoqo sana na ranqi zimekuwa nyinqi kias cha kupata shida kuweza kusoma.
    Wakatabahu

  • @hashimalsaadat4905
    @hashimalsaadat4905 2 года назад +1

    Kanunua Na Serikali Mumemridhia Leo Eti Kakiuka Sheria
    MAPINDUZI DAIMA

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 года назад

    Mkuu wa wilaya yupo makini Sana

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 2 года назад +2

    Mnazigawa ardhi hivi ivi Tena kwa wageni watu wanakuja from nowhere mnawapa tu ardhi mbona huku warabuni hatoi ardhi zao eti mmemuzia aaaa

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 года назад

      Unawaogopa sana waarabu eeeh

    • @oparetionmaalum9030
      @oparetionmaalum9030 2 года назад +1

      @@fahadfaraj6474wewe hujatembea katika hii dunia ndomana unasema nawaogopa mm siwaogopi ndomana natamka live ardhi zetu hatutaki

    • @annamzinga6357
      @annamzinga6357 2 года назад +1

      Pole sana Nassor, hivi vitu vinakatisha tamaa sana ya uwekezaji, wao wanaatopisha tu hawajui pesa umekopa na mda untick unatakiwa marejesho. Mungu akusimamie. Very disappointing to be honest!! Praying that all goes well.

  • @jamilahamis2462
    @jamilahamis2462 Год назад

    Laaana magalika lazima wazanzibali mghalikishwe au viongozi makafili Zanzibar wafe wooote ndio mtanusulika lisifa ibilisi filimasoni wazungu makafili waklisto wanaaliza za nzibar

  • @nasseralhabsi1483
    @nasseralhabsi1483 2 года назад +1

    Duuh, hatari kwa kweli

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 3 месяца назад

    Alipo nunua hilo Eneo hakuangali au hakuona km kuna Makaburi😢

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 Год назад

    Nchi ngumu hii khatari

  • @jamilahamis2462
    @jamilahamis2462 Год назад

    Nyinyi viongozi Zanzibar mmetafuta Vita naungu mlaaniwe

  • @violetmwangakala8725
    @violetmwangakala8725 2 года назад +1

    Mwekeji hana kosa haki itendeke

  • @someparuranga7377
    @someparuranga7377 2 года назад

    Sheria irate mkondo iwe funzo kwawengine tamaa hao

  • @MakameMufadhil
    @MakameMufadhil 2 месяца назад

    Mnunuzi hanamakosa

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 2 года назад +1

    Kwann mmetoa kibali sasa hii serikali wallahi ni uninga

  • @khaamisame7223
    @khaamisame7223 2 года назад +2

    Aridhi mnauza wenyewe leo hii mnagombamban

    • @aboumubarak6542
      @aboumubarak6542 2 года назад

      Hii sio haki kabisa , huyu ni mwekezaji kama wawekezaji wengine na amefuata taratibu zote kupata ardhi kwahiyo aachwe aendelee kuleta maendeleo kwa jamii husika

  • @w4058
    @w4058 2 года назад +3

    Wapumbavu wakubwa hao CCM hawana maana washenzi tu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 года назад

      Sio ccm. Ni MAWAHABI wanaowakataza watu kushuulikia makaburi.

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 2 года назад

    HIO NDIO FAIDA YA KUDHARAU MAKABURI. MWISHO WA SIKU KWENYE KABURI LA WAZEE WAKO ITAKUWA NDIO BAA YA ULEVI AU DISCO MIAKA IJAYO. KILA MTU ASHUULIKIE MAKABURI YA WAZAZI WAKE

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 года назад

      KOSA SIO LA SERIKALI. KOSA NI LA MAWAHABI WANAOKATAA KUSHUULIKIA MAKABURINI YA WAZEE WAO

  • @feisalmohamed3198
    @feisalmohamed3198 2 года назад

    Dah hii serekali au serekasi

  • @hassanicheik5262
    @hassanicheik5262 2 года назад

    Hili ndo ttz la serikl zetu ttz hl aliwz kuisha tz ht skmoj

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 2 года назад

    Matunda ya uhuru hayo kudhulimiana

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 2 года назад +1

    Wazanzibari subirini kugharikishwa tu kwani mnayo yafanya hayafanani na mlivyo.

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 2 года назад

    Kuna vitu waga sivielewi kwenye Serikali vibali wanatoa wao huyu akija tena anasema kuna makosa au Rushwa ndo chanzo cha hayo mtu kapewa kidogo kamwaga wino hata sehemu isiyo sahihi.

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 года назад +2

    Mnamtia mtu hasara kwa ujinga wenu mmempa kibali wenyewe

  • @marcinsalim8742
    @marcinsalim8742 2 года назад

    JAMANI TUNASHIDA NA MKUU WA WILAYA NA SS KUNA JAMAA ANATAKA KUTUZULUMU... KISINGIZIO KIWANJA CHETU KAPEWA NA SEREKALI... PLEASE 😭

    • @seifali7138
      @seifali7138 2 года назад

      serekal ya njàa na uzulumat wanatowa vibali halafu halafu wanazulumu kwa tamaaa zao

  • @someparuranga7377
    @someparuranga7377 2 года назад

    Kuna viongozi wanaona wataishi mpaka dunia is he kumbe maiti tamaa ndizo wameka mbele zakidunia sheriya irate mkondo ni mcyangalie cheo wanarejesha juhudi za serikali azabu ipite nafaini

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 2 года назад

    Yaani hata sijui ni comment nini naona vurugu mechi tu..

  • @innocentmushi4479
    @innocentmushi4479 2 года назад

    Haki itendeke, aliyenyima Haki aukumiwe, mwekezaji asicheleweshwe suala lipo wazi

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 2 года назад +1

    Kwanini jamani ardhi mnaziuza hio ni haram Tena haram kwa wenzetu nyumba tu unakodishwa kwa mzamana wa taifa inakuaje sisi zanzibar ardhi tunawauzia wageni hatutaki ardhi yetu patakuja ruka vita apo hatukuvali sisi

  • @haroubsalim779
    @haroubsalim779 2 года назад +1

    Hamna taratibu yeyote mnayotoa ni kuburuza watu tu
    Kwanini amepewa vibali na nyie halafu mzuie kama si utapeli.

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 года назад +1

    Makaburi karibu na baharini?!

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 2 года назад

    Njaa mbaya unauzwa unguja ukiwa mzima sasa na mpaka ukiwa marehemu mtihani, Tabu hazishi kwetu kama tumelaaniwa mpaka ukifa zinakufata tabu

  • @mahmoudshungu2170
    @mahmoudshungu2170 2 года назад

    Hili ni tatizo ambalo limekuwa likijitokeza sana kwenye jamii zetu kwa baadhi ya waliopewa dhamana kuto kutimiza ipasavyo wajibu wao, Nilikutana na kadhia ya ardhi jijini Tanga.

    • @ameirhaji3140
      @ameirhaji3140 2 года назад

      Zanzibar imekua ina umimi na wanao pewa dhamana ya kuongoza wanafanya njia za shot cat mwenye pesa hua mwenye nguv

  • @zuuomar4657
    @zuuomar4657 2 года назад

    Hamna lolote mzungu washawatoa pesa

  • @abdullahhilal5663
    @abdullahhilal5663 2 года назад

    Mtu kama waziri angepaswa kuwasikilza wananchi wa eneo hilo na kujua hali halisi ya mahala hapo na iwapo mwekezaji kakiuka sheria au la. Angepata picha kamili na uamuzi wa kwenda kuliko kukurupuka tu

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 2 года назад

    Makabur yapo kando na bahari, aisee!! Hicho hata mkikiacha kitakuja kupigwa bei tu

    • @hamadabdullahkhamis977
      @hamadabdullahkhamis977 2 года назад

      Hapo kapigwa Nasoro... Sinunui maeneo ya matemwe hata siku moja...hasa maeneo ya pwani..

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 Год назад

    Sofa watu wa mjini watajuwaje kama mkenda makaburini mnapita hapo moikuwa nyie ndio muwafahamishe kwanza.makosa yenu viongozi wa shamba.

  • @MohdJumaa-q3l
    @MohdJumaa-q3l 2 месяца назад

    Kwanza si vizuri kujenga ukuta karibu ya bahari km mm waziri waziri wa mazingira. Nastopisha ujenzi. Ukuta wa Temporaly tu. Ujinga.

  • @natashatoni5594
    @natashatoni5594 2 года назад

    Ila hyu mkuu wa wilaya anatabia chafu sna analazimisha wasichana kulala nae usiku anawapambe wake akikutaka ukimkataa wanakufanyia fujo .

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 года назад

    Kama sio laana nini mnauza mpaka makabury nilaana kubwa kwa walouza na walonunua zazibry imesha pata laana toka 64

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 года назад +2

    hapa znz kuna mambo ya kijinga inakuaje mumuuzie makaburini? kwa ukubwa gani nchi hii ilonao.mpaka iwe matatizo kama haya? mlipeni sasa mwekezaji.gharama zake zote

  • @princefakamiomupovizurifak5929
    @princefakamiomupovizurifak5929 2 года назад

    Hawana lolote wizi Tu hao.ss mtu kashauziwa mnasema sehemu siyo ndo vp bc mlipeni pesa zk

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Год назад

    The system is corrupted

  • @sahimm4767
    @sahimm4767 2 года назад +1

    Halafu baraza la mji linajinasibu hasa eti kibali kipo na tumetoa.. najiuliza je wamekitoa bila ya kujua kama au ndio kuna mkono wa wakubwa? Halafu leo hii eti wanalumbana wenyewe kwa wneyewe😅😅. Ccm muna tabu tena kubwa. ZIPA,MKUU WA MKOA,WIZARI WA ARDDHI mumelikoroga hili

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 2 года назад +1

      Hawajielewi Wanafanya nini hao, Wana vitengo tele utadhan wako serious vile kumbe wababaishaji tu....Mh Sadifa kanyoosha maelezo na inaonekana kua ZIPA na watu wa wizara ndio chanzo Cha huo mchezo mchafu..

    • @sahimm4767
      @sahimm4767 2 года назад

      @@hasnuumakame9219 hivo vitengo vimewekwa kusudi kwa ajili ya kuwapatia ndugu, rafiki na watoto wao chejio.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 года назад +1

    Hawa viongozi hawachaguliwa na WAZANZIBARI wapo madarakani kwa DHULMA.

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 года назад +1

    Tatizo wao hawajapata pesa za rushwa ungewapa wangenkaa kimya.mbona kuna maeneo wameyatanuwa barabara na kubomoa nyumba za wanyonge mpaka sasa hawajajenga hizo barabara kama kule Jang'ombe gengeni pumbavu kweli