Sasa hivi Julius Nyerere airport ni kitu kingine,nilienda last week nilishangaa sana,ni moja ya airport nzuri na kubwa Africa now tunamshukuru daddy Magu soon airport yetu itakua kama ya AdisAbaba maana ndio airport inayostua kwa uzuri na ukubwa..Hizo zengine ni za East Africa ni nzr ila uzuri wa kawaida tuu,hazishtui....Daddy Magu we love yu,❤
Hiyo Ndege ilitua kwa Bahati mbaya,haikuwa imetarajiwa. Sisi tunataka juhudi zifanyike ili ndege kubwa za aina kama hiyo zitue humu nchini iwe kawaida.
Ili EK A380 ije huku kwetu lazima tuwe na abiria wasiopungua 500 wa kuipanda kwa safari moja yaani Dar-Dubai. Gharama yake ya uendeshaji ikiwa angani ni $29000 kwa saa moja. Kwa huku kwetu EK wanatumia B777-300ER inayobeba abiria 300+ hivi.
Hii ndege haikuwa na business youote na Tanzania. Tumetumika halafu tunaona ni fahari. Ni kama vile usikie mtu maarufu anasafiri halafu kwa bahati mbaya au nzuri akaomba atumie choo cha hoteli au mgahawa halafu wewe unazifanya ni habari. USHAMBA HUU!! Amkeni na mfanye nao business ili ziteremshe na kupakia abiria kama nchi nyingine sio hizi habari za kipuuzi kutufanya majuha!
Hongereni Kwa kuiongoza
U are a good leader. May God guide n grant you good health to serve your people.
Sasa hivi Julius Nyerere airport ni kitu kingine,nilienda last week nilishangaa sana,ni moja ya airport nzuri na kubwa Africa now tunamshukuru daddy Magu soon airport yetu itakua kama ya AdisAbaba maana ndio airport inayostua kwa uzuri na ukubwa..Hizo zengine ni za East Africa ni nzr ila uzuri
wa kawaida tuu,hazishtui....Daddy Magu we love yu,❤
Maa shaa Allah mungu ibariki inchi yetu TANZANIA ni inchi yenye amani
Very nice
Safi sana tz
lazima tujisifu!kwanini wasitue Kenya?lakini kwa vile kuna wanaopinga hata hili!!
J PM yuko vizuri
Jamaa anaitwa Hamza johar
Cogrants tanzania keep it up take another step2
safi sana mkuu
Tumeziosha sana (dxb) Dubai airport
Japo tulifaidikaa ila kwa Wenzetu ni Bonge la Hasara walipataa..
Good!
Hasara kwao faida kwetu Tanzania
Mungu Amlinde Rais Magufuli na Viongozi wake wote
Aalaa #KUMBENDIOMAANA√√
Dah huyo jamaa aliyepata tenda ya mafuta alipiga pesa sana.
Hiyo Ndege ilitua kwa Bahati mbaya,haikuwa imetarajiwa. Sisi tunataka juhudi zifanyike ili ndege kubwa za aina kama hiyo zitue humu nchini iwe kawaida.
Ili EK A380 ije huku kwetu lazima tuwe na abiria wasiopungua 500 wa kuipanda kwa safari moja yaani Dar-Dubai.
Gharama yake ya uendeshaji ikiwa angani ni $29000 kwa saa moja.
Kwa huku kwetu EK wanatumia B777-300ER inayobeba abiria 300+ hivi.
Fly Emirates 380
Tanzania jamani tuko vizuri tumpe hongera rais wetu Magufuli jamani.
wefalakweli umpehongera mgfl ndokafanyaje sasa wefla
Ooh
Hizo tumeziona Sana ndege hapq Kenya, hii ni vitu gani. Ita wanahabari wakenya uwape hii habari matusi utatusiwa ile baya huu ni upumbavu hahahaha
Walikimbia gharama ndiomaana wakaja bongo
Mm sijaelewa hii ni mini?
dahh watanzania washamba niwengisana.eti wanashangandege kutywa APA hahaha
Heko kwenu mamlaka.
Sasahivi mambo swafi
Heeee cha ajabu nini. Ndenge inatua mpaka Mauritius.! Hebu fanyeni kazi achani uzumbukuku
mnatupa imani angalau mana wangeshuka then wakukuta nothing mmmmh aibu ingekuwa
sasa hizo chngamoto mlizozitanabahisha mna mpango gan kuzitatua kwa hiyo terminal 3???
Mnzava Chris ndio nashaangaa kaka yani hiyo pia wanaitoa kwenye midia khaaaaa hawsjatembea au
Kubwa gani jamani hii si ni Emerites (yaani United Arab Emirates sasa inaukubwa gani ? )
Acheni ushambaa ivyo sivitu vya kustajabisha au amkutembea
ushamba upi sasa, hii ni moja ya kuitngaza nchi, ni moja ya kutujuza kuwa kumbe viwanja vyetu vinaweza kupokea ndege kubwa
wacheni ushamba ndege ikituwa pia mwaonesha
huo ndio mwanzo, kama imeweza kutua ujue tunaweza kupokea ndege kubwa kwenye viwanja vyetu
Hii ndege haikuwa na business youote na Tanzania. Tumetumika halafu tunaona ni fahari. Ni kama vile usikie mtu maarufu anasafiri halafu kwa bahati mbaya au nzuri akaomba atumie choo cha hoteli au mgahawa halafu wewe unazifanya ni habari. USHAMBA HUU!! Amkeni na mfanye nao business ili ziteremshe na kupakia abiria kama nchi nyingine sio hizi habari za kipuuzi kutufanya majuha!
Lazima taifa liwe limepata chochote kitu hawawezi kuwekewa mpaka mafuta free
ushamba upi sasa, hii ni moja ya kuitngaza nchi, ni moja ya kutujuza kuwa kumbe viwanja vyetu vinaweza kupokea ndege kubwa
Omary Majiwa Ni kweli, ila sio kwamba ilikuwa imeratibiwa itue hapo. Ni bahati tu. Halafu tunasema ni juhudi..... mbona hazijibtena?
A