Warombo punguzeni roho mbaya.......Mimi mwaka wa 5 baba hata mia Wala kuona watoto wake watatu Wala ndugu kuwajulia Hali......lol tuangaliage familia tunazoolewa nazo kabla hatujafanya maamuzi........
Huyo mwanamke ambae hana mawasiliano na bwana inamaana hana nguvu hapo ni kinganganizi tu si ajabu kampachika tu watoto. Muongo hajui kivipi pumbavu zake yeye hata sura yake tu ya kijambazi
Huyo mama anasema bariki ni mtot wa nje ya ndoa je na yey hao watot wake wakifa wasizikwe kwa sabbu na wao wamezaliwa nje y ndoa😢😢
Ni sahihi kuweka kaburi pale??hivi unajua ni kwanini mwanamke me namchukia??? Huwaga ana roho mbaya
Warombo punguzeni roho mbaya.......Mimi mwaka wa 5 baba hata mia Wala kuona watoto wake watatu Wala ndugu kuwajulia Hali......lol tuangaliage familia tunazoolewa nazo kabla hatujafanya maamuzi........
Mama mnafiki wewe chapeni vibao huyo
Mi nina wasiwasi huenda waliwatoa kafala
Sio mke acha uchawa mtangazaji huyo ni hawara tu .unampa cheo cha nini ?.Atoke sio kwake huyo upesi sana
Huyo mwanamke ambae hana mawasiliano na bwana inamaana hana nguvu hapo ni kinganganizi tu si ajabu kampachika tu watoto. Muongo hajui kivipi pumbavu zake yeye hata sura yake tu ya kijambazi
Huyomama hapo ndo mji wake mtoto wa bariki cjui itakuwaje
R.I.P BARICK 😢😢