@@hemedramadhan9365 sasa afanye yake tuyaone, haya ni mawazo ya jpm na alifaliki ndege zikiwa zimelipiwa na zikiwa kwenye matengenezo, mbaya zaidi baada ya samia kuingiza majambazi serikalini walibadili mikataba na kuongeza bei za matengenezo.
@@kassimualli1755 Kaka hoja haipigwi rungu,matusi ya nini? Kama una hoja kinzani na mwezio lete maana hili ni jukwaa huru la majadiliano. Matusi ni dalili ya kukosa hoja za msingi.Kama unadhani anachosema jamaa ni uongo tupe ukweli wako ili kuupime
@@LukovaMadubo kwan huyo aliye msifia alivyo kua anapewa hoja na upizan alikua anajibu hoja kwa hoja? Tanzania n hii ya awam ya 6 sasa nch yetu ya aman ulisha sikia tena mambo ya wasiojulikana???
Zote hizo mwamba alishalipia aliacha zinatengenezwa awamu hii imefanya mapokezi mbona mama alisema na akaainisha ndege zilizokuwa bado hazipokelewa wakati ana hutubia bunge Sasa nashangaa watu mnatukana nn
Afu Kuna wapumbavu Fulani wanakaa vijiweni anaanza kuponda ndoto na juhdi kubwa za hayati magufuri! Bila kujua historia ishaandikwa! Bila kujua kwamba magufuri alikufa ila kazi zake zinaishi! (R i p mwamba wa uchumi tz)
@@yakobokuzenza6837 rudi nyuma kidogo kwenye hotoba za jpm utajifunza kitu kuhusu hiyo ndege... Jpm alishafanya kila kitu mama anatimiza ndio tunachoshkuru.
Ni jitihada nzuri na mwanzo mzuri lakini hizi ndege za mizigo zilenge zaidi kusafirisha nje bidhaa na mazao ya nchini kwetu yanayoharibika haraka kama vile samaki, nyama, maua, mbogamboga, n. k. hapo itakuwa inapiga ndege wawili kwa jiwe moja.
Kwenye samaki hapo unakosea kwanini wasafrishe kitoweo cha samaki wakati sisi tunakula mifupa ya samaki wangetengeneza utaratibu wa kuuza hapa hapa kwanza kabla ya kwenda nje ya nchi maana sie wenyewe hazitutoshi
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:(-10).
nataka tununue ndege yamizigo Ili ndugu zangu na watani WANGU tusafirishe matunda mboga mboga mpaka vipepeo YANI kilakitu tutasafirisha.....daaaa nikweli.
@@athumanisaid759 kweli alikuwepo ila mbona baada ya yeye kushika usukani mambo yanaenda mwendo wa kinyonga? Kiufupi anaitaji nguzo Ili mambo yaende Tena mchakamchaka!
Kila kitu kizuri anachofanya Samia ni cha magufuli ila akifanya baya ni yy acheni mambo ya ajabu . Msifieni anayofanya kwa wakati wake kama mama anafanya msifieni kama
Pelekeni magari afu kesho mje Mtuambie shilika linajiendesha kwa hasara, ndege hazina faida na vitu km hivyo,. Sasa cjui hapo mnapereka buree yaani nyinyi.
Wewe mwenye ubaguzi wa utu hutufai kwenye hili taifa, kwa serikali gaifanyi kazi kwa ubinafsi tambus hilo pia kuwa muelewa hizo chuki zako binafsi hazikusaidii chochote. Kwani shido iko wapi Magu kaagiza lkn mama kapokea shido nini?
Tuwacheni umbea wanaume wazima hata aibu hatuna kila kukicha maneno kisitokee kitu lawama maneno mama hivi mama vile fanyeni kazi tujenge nchi ya kwetu yanatushinda tunafatila ya jirani majungu tuu mwisho ndio mnagauka kuwa wanga wachawi
Hivi kumbe ndege ni kitu kingine aise!! Ina nguvu kubwa kwelikweli hii ndege. Haya magari yako kama 10 hivi afu inabebwa na ndege hahahahahahaa kwani ndege ni chuma au hahahahahahaaa
Iwapo ndege moja tu ya @AirTanzania ya watanzania imeweza kufanikisha mzigo wa magari sita, @TPA pia ya watanzania inashindwa nini kuhudumia mizigo ya bandari hadi waitwe waarabu wa DPW?
@@SophlaJackson-nt1nc Sasa tz lazima kila kitu tukilinganishe na Kenya mbona tusilinganishe na uganda ama Rwanda nchi ngapy zinazinguka tz Ila tu Kenya
@@williamkeita1519 sio una sena huna Sijui jitu la wapi hili au Mburundi Usichokijua nawaza lisha wewe na familia yako yote eti Baiskeli labda niambie Ferari
Kazi nzuri ya jemedari wetu JPM,,Hapa kazi tu
Hiyo ndege imenunuliwa na mama acheni kujitoa fahamu.
Muongo mkubwa wewe,hii ndege ya mizigo ilinunuliwa wakati wa jpm,ilikuwa badi haijakamilika tu@@rayisadesigns2646
VIVA uncle magu pumzika kwa amani ama kweli uliona mbali sana mzee wangu yani ulichokifanya kinaonekana
Mungu mpunguzie azabu baba yetu raisi wangu mpendwa mgu Kwa alisema amunuwa dege za mizigo 4 jumla amelipa kesi ndege 14
Viva John Pombe Magufuli, Viva Benjamin Mkapa Viva Julius Nyerere 🎉🎉🎉🎉🎉
Mbaguz saba wewe ngedele
unaleta udini kama ina chomoa
@@shabaniduduma8885 kwani hilo nalo linahitaj maelezo?
@@patrickKitambohaitaji maelezo kwakua wate ni makafiri
@@BakaryOmally uislamu unakataza kudhuru nafsi yako na nafsi za watu wengine kwa kuwadhalirisha kuwaita makafir..
Matunda ya JPM Pumzk pema baba daima tutakumbuk 🙏
matunda ya mama simia. sasa hv ni zamu ya mama ndugu yangu
@@hemedramadhan9365 kwani ile ndege ya mizigo ilioagizwaga ikawa inasafirisha minofu ya samaki kutoka mwanza kwenda nje ya nchi iko wapi??!!
@@hemedramadhan9365 sasa afanye yake tuyaone, haya ni mawazo ya jpm na alifaliki ndege zikiwa zimelipiwa na zikiwa kwenye matengenezo, mbaya zaidi baada ya samia kuingiza majambazi serikalini walibadili mikataba na kuongeza bei za matengenezo.
magufuli yupo au amezinduka kutoka kaburini
😂😂😂
Naziona plans za Magufuri
Jpm pumzika salama maoni Yako tumeyaona
Awamu ya sita imepokea tu mnunuzi ni Magufuli R.I.P Mzalendo umeondoka kimwili lakini uko hai milele
Msenge wewe
@@kassimualli1755
Kaka hoja haipigwi rungu,matusi ya nini?
Kama una hoja kinzani na mwezio lete maana hili ni jukwaa huru la majadiliano.
Matusi ni dalili ya kukosa hoja za msingi.Kama unadhani anachosema jamaa ni uongo tupe ukweli wako ili kuupime
@@LukovaMadubo kwan huyo aliye msifia alivyo kua anapewa hoja na upizan alikua anajibu hoja kwa hoja? Tanzania n hii ya awam ya 6 sasa nch yetu ya aman ulisha sikia tena mambo ya wasiojulikana???
Mnaowaza Kwa kutumia makalio badala ya akili mtaendelea kuteseka
Zote hizo mwamba alishalipia aliacha zinatengenezwa awamu hii imefanya mapokezi mbona mama alisema na akaainisha ndege zilizokuwa bado hazipokelewa wakati ana hutubia bunge Sasa nashangaa watu mnatukana nn
Weeeee hapana chezea🎉🎉🎉🎉🎉tanzania pambe 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🎉🎉
Ndege Ilinunuliwa na awamu ya tano ,imepokelewa na awamu ya sita ,,,,,Serikali iache kuficha mazuri ya magufuli..
Hakuwa pekeake
@@athumanisaid759 wewe ni lini ulisikia magufuri ana enziwa na hii serikali ?? .amefanya mangapi makubwa.....
😅😅
Unataka aenziwe kivipi😂😂. Tunamuenzi kwa kuendelea kuficha mabaya aliyofanya
Afya ya akili.
Ndege ya magufuri sio awamu ya SITA msipotoshe
Ndege ameleta samia unasema magufuli?? Magu who???
Kumbe ndo ninyi mliokuwa mnaamini nchi hii ni ya magufuli!Kama unakereka,unaonaje ukijinyonga?
@@davidsika5292utatijua awamu ya 5 ndo kika kitu
Duh Majaliwa, ni bange au?! Hiyo ndege imenunuliwa na mama acheni kujitoa fahamu!!
Afu Kuna wapumbavu Fulani wanakaa vijiweni anaanza kuponda ndoto na juhdi kubwa za hayati magufuri! Bila kujua historia ishaandikwa! Bila kujua kwamba magufuri alikufa ila kazi zake zinaishi! (R i p mwamba wa uchumi tz)
Tunachotaka ndege ziende ulaya na America huko ndokunabiashara kubwa achakutuita wapumbavu
Hii ndege imenunuliwa na magufuli?Alileta ndege ngapi za mizigo?
@@yakobokuzenza6837 sema serekali Ili nunua makufuli alikua anafanya biashara ipi Hadi anunue? Ndege au sema Kodi ya watanzania ndo imenunua ndege
@@yakobokuzenza6837 yes imenunuliwana JPM na wakati hajafariki alisema kwamba ameagiza Ndege ya Mizingo na nyingine za abiria
@@yakobokuzenza6837 rudi nyuma kidogo kwenye hotoba za jpm utajifunza kitu kuhusu hiyo ndege... Jpm alishafanya kila kitu mama anatimiza ndio tunachoshkuru.
Hongera rais samia kazi iendelee
Haya ndio mambo yanatikwa kusikika kuhusu nchi yangu Tz.
Umetuacha imara, Tanzania salama. RIP JPM. Hongera Mama Samia. Kazi iendelee
pongezi nyingi kwa viongozi wetu🇹🇿
Ni jitihada nzuri na mwanzo mzuri lakini hizi ndege za mizigo zilenge zaidi kusafirisha nje bidhaa na mazao ya nchini kwetu yanayoharibika haraka kama vile samaki, nyama, maua, mbogamboga, n. k. hapo itakuwa inapiga ndege wawili kwa jiwe moja.
Kwenye samaki hapo unakosea kwanini wasafrishe kitoweo cha samaki wakati sisi tunakula mifupa ya samaki wangetengeneza utaratibu wa kuuza hapa hapa kwanza kabla ya kwenda nje ya nchi maana sie wenyewe hazitutoshi
So interesting.Nice job
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:(-10).
Inaingiaje hapa habari za yohana 🙄
Wakujuwe wewe Mungu wa kweli na pekee na Yesu Kristo ulie mtuma
amen amen
Amen amen
amen mtumishi wa mungu
Congratulations ❤❤🇹🇿🇹🇿. Home sweet home ✈️✈️
Tunapiga mkwanja kwa biashara ya cargo kama nchi...hongera madam president
Hongera air tanzania lakini baadae ripoti ya cig 😂
😂
😂😂😂😂khaa
Hongera mama kazi tunaiona big up
Mwenyezi tunakuomba umpe umri mrefu SSH na wote wanao msaidia kazi , na uwape afya njema ili waweze Kutuongoza kwa umakini na hekima
Kwani ssh wako anahusika nini kwenye hili jambo
Good Tanzania from 🇧🇮👊🖤
Tunaji vunia hiyo ndege maana imekuwa alama kwa uchumi wetu
Tuji vunie nini ndege katiba mpya Tanzania
Katiba Mpya inakusaidia nini wewe
@@MsaudiaShabani usiji ngambe kitu usijo kijua samani yake maybe you should no understand everything new katiba mpya
Naomba raisi wetu aongeze ndege ingine ya mizigo hii itazidiwa na mizigo
Duuuh hongera sana maana nakupenda bure. kaz iendelee.
KAZI IENDELEE 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Haters bado wanalia tu USIKU na MCHANA
nataka tununue ndege yamizigo Ili ndugu zangu na watani WANGU tusafirishe matunda mboga mboga mpaka vipepeo YANI kilakitu tutasafirisha.....daaaa nikweli.
😂😂hii imeenda tutasafirisha mpka ndoo za maji
😹😹😹😹😹😹😹watani mjuaneee mapemaa
Kwani hii ni ndege ya kusafirisha nn?
@@yakobokuzenza6837 ya kusafirisha hamas😂😂 baada ya kuchimbuliwa
Watazania ni washaba sana awajawai kuona ndege ikibeba gari
Very nice 👍🙂👍🙂
Ndege ilinunuliwa na serikali ya awamu ya sita😢? Wacheni ukilaza. Mnafikiri hatujui kama ilinunuliwa awamu ya tano.
Na mama alikuwepo kwenye serekali ya awamu 6 alifanya kazi pia msisahau
@@athumanisaid759 kweli alikuwepo ila mbona baada ya yeye kushika usukani mambo yanaenda mwendo wa kinyonga? Kiufupi anaitaji nguzo Ili mambo yaende Tena mchakamchaka!
Ww ndiyo kilaza.Hujui kuwa unawaza Kwa kutumia mavi yaliyojaa kichwani mwako?
@@athumanisaid759 unafikiri yeye ndio angekuwa rais wa awamu ya tano angenunua hizi? Be honest broo.
@@yakobokuzenza6837 hahahaha, hapa ndipo uwezo wako ulipofikia au vp?
Izo gari za kazi kazi
Jpm daima wengine chumia tumbo 2 😂😂😂😂😂
Hongereni sana
Kila kitu kizuri anachofanya Samia ni cha magufuli ila akifanya baya ni yy acheni mambo ya ajabu . Msifieni anayofanya kwa wakati wake kama mama anafanya msifieni kama
Wekeni pia jmn safar za abiria tz to Dubai tumechoka kutumia ndeg za nchi nyingine sy mizigo tu
Hapo sawa kabisa
Aah nilizani mnaharibu dili za watu
A220 😊 proud of my country
Huyo charii kujieleza hajui kabisa
Very nice
Kelele zote izo qar zenyew tano
Bonqo kazi ushamba tu.
Lkn ata ivo hii habar millard imeka kiuchawa
Hamna jipya hapo😂😂😂😂
Nasisi tupeleke bizaa zetu moja kwa moja nnje siyo kuleta tu nitapeleka mchicha marekani na mihogo china na asali wingereza
Gari Moja ni milioni 80 wakilipia milioni 10 Kila gari kwa milioni mia gari = 10
Ndege sio meli
Asanteni sana we unstoppable
Viva tanzania
Big up sana
Pelekeni magari afu kesho mje Mtuambie shilika linajiendesha kwa hasara, ndege hazina faida na vitu km hivyo,. Sasa cjui hapo mnapereka buree yaani nyinyi.
Wewe mwenye ubaguzi wa utu hutufai kwenye hili taifa, kwa serikali gaifanyi kazi kwa ubinafsi tambus hilo pia kuwa muelewa hizo chuki zako binafsi hazikusaidii chochote. Kwani shido iko wapi Magu kaagiza lkn mama kapokea shido nini?
Kazi iendelee
Hivi ndo vitu tunavitaka sasa
Sasa muda wangu wa kununua gari
Unapiga mwingi mama namupenda sana mama samia
Tutaenzi mazuri yako
Sasa hii ripot ya cag inakujaga na hasara zinatokaga wap
Hapo hamna kitu,limbukeni mmeanza kuropaka
Imeshaingiza hasara kiasi gani? Maana huwa hampati faida kabisa
Ndege ya mizigo itapiga hela
Kinachoshangaza faida haionekani pamoja na mikazi yote hiyo
Assalamualaikum Mashaallah our Tanzania namba zao zipo wapi?
Tuwacheni umbea wanaume wazima hata aibu hatuna kila kukicha maneno kisitokee kitu lawama maneno mama hivi mama vile fanyeni kazi tujenge nchi ya kwetu yanatushinda tunafatila ya jirani majungu tuu mwisho ndio mnagauka kuwa wanga wachawi
Gharama za kawaida ni kiasi gani?
Hivi kumbe ndege ni kitu kingine aise!! Ina nguvu kubwa kwelikweli hii ndege. Haya magari yako kama 10 hivi afu inabebwa na ndege hahahahahahaa kwani ndege ni chuma au hahahahahahaaa
Nasubiri ripoti ya c.a.g then ntatoa pongezi kwa makufuli
C.a.g mnafiki nakuuliza ww report alikuwa anatoa kipindi cha magu na magu hyupo mbna report hatoi
Maendeleyo hayo
🔥🔥🔥🔥
Kama hujui tulia hii imebena magar 18
Saivi Haina haja ya kuagiza kwa meli mwezi mzima gari lipo baharini wakati kitu masaa sita kimetua au mpya pekee ndio zinapakiwa?
Hujasoma economy thats y
Kuagiza kwa meli its more cheaper than ndege
MiMi huwa napakia kwameli teena ordinary ya 45 sasa kwa ndege wajua garama yake nijuu mno😮
Iwapo ndege moja tu ya @AirTanzania ya watanzania imeweza kufanikisha mzigo wa magari sita, @TPA pia ya watanzania inashindwa nini kuhudumia mizigo ya bandari hadi waitwe waarabu wa DPW?
Ukiwa unawaza Kwa kutumia makalio usiwe unaongea
@@yakobokuzenza6837 Kumbe akina Kuzenza nao ni miongoni mwa majizi ya nchi hii?
Safi sana kazi iendelee
WEWE ONGEA VIZURI ACHAKUONGEA KAMA NN SIJUI WEWE SI UNAONEKANA MSUKUMA KABISA
Huwa inabeba magari madogo mangapi kwa ujumla
Swali la msingi ni mteja ananufaikaje na pia shirika letu linapata faida sio baadae mseme mnafanya kazi kwa hasara
FACT
Hii Nchi kubwa tupo level za kimataifa 🇹🇿🇹🇿 Msifananishe Tz na Mataifa Mengine 💪💪
unamanisha nchi Kama gani inayo taka kujifananisha na tz
Ni sawa mimi ni tz lakini msijizime data Kenya nao wako vizuri from kitambo Tushukulu JPM magu Aliitengeneza nchi ila Kenya pia wako Vyema mno🇹🇿 🇰🇪🙏🙏🙏
@@SophlaJackson-nt1nc Sasa tz lazima kila kitu tukilinganishe na Kenya mbona tusilinganishe na uganda ama Rwanda nchi ngapy zinazinguka tz Ila tu Kenya
@@martinstarford6209 nikweli ni nchi ambazo Zinakua kwa kasi ndyo maana watu Uzilinganisha 🙏
Si ajabu tukielezwa baadaye kuwa shirika linajiendesha kwa hasara.
Mh ili nalo neno😒
KUNA USIRI WA KUMPONDA SANA SAMIA! LAKINI ATAKAPO MALIZA MTAMKUBUKA SANA!!😢
Hiyo ni uongo bana🤣🤣
Jpm ndiyo kafanya
Kwishaaaaaa
sasa badala ya kusubir magar miez miwil bandarin tunasubir masaa 6 tu
Sio kwenye garama nakuaidi utaludi kwenye meli tuu uo mfumo niwa Muda ila sema MRI kuwa hamna icho chombo tuu
Kazi nzuri
Awamu ya sita vp shekhe uyo ni jpm babu
Acheni ushamba watanzania cha ajabu nini ??? Umaskini wa akili ni kitu kibaya sana
Masikini waakili niww nawakende wenzio malaya mombasa ndotoni kweendraa hayawani ww
haya magari au scraper? magari ya miaka ya 80
Ya Wazambia wewe yanakuhusu nini hata kama yakizamani
Unahata baiskeli weewee😂😂😂😂
@@williamkeita1519 sio una sena huna
Sijui jitu la wapi hili au Mburundi
Usichokijua nawaza lisha wewe na familia yako yote eti Baiskeli labda niambie Ferari
@@minicooper9642 mwambie huyo kaka Wanadharau saana hawa mimi naamini wewe tajiri mkubwa saana MUNGU aku baliki saana🙏🙏🙏
Ww unayo mangapi kuma la mama yako?
Atuna faida nayo
Kwenye ukoo wenu tu huna faida utakuwanafaida na nchi unajaza choo
HALAFU TUSIKIE WAMEPATA HASARA
Chukua
Jpm
Aa
Hizi taarifa zimfikie tundulisu na jopo lake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bado slaaa