TAZAMA NDEGE YA AIR TANZANIA CARGO IKIPAKIA MIZIGO KWENDA NCHI ZA AFRIKA YA KATI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 73

  • @kanaelikanuya7919
    @kanaelikanuya7919 Год назад +3

    Msikatishwe tamaa na cometi za watu ATC biashara ni matangazo wengine hawajawai kukodi hata bajaji wanapiskia ndge imekodiwa wanashagaa wenzetu walianza ciku nyingiRIP JPM kazi iendelee MAMU

  • @JacklineMatekere
    @JacklineMatekere Год назад

    Hongereni kwa hatua nzuri msife moyo

  • @jamalisebarua9594
    @jamalisebarua9594 Год назад +3

    Yani watu wanatuzuga wallah yani nimeona mipira ya gari isafirishwe kwenda dubai kuna jambo limejificha hapo acheni kutudanganya 😂😂

    • @MsaudiaShabani
      @MsaudiaShabani Год назад +1

      Kuwa msikivu amekwambia iliwahi kukodiwa kupeleka Mzigo Dubai Safari yake ya kwanza na sio hii.huo Mzigo unaenda Africa ya kati

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 Год назад +3

    Amesema vizuri nchi za africa ya kati ni zaid ya moja

    • @citylinkproject9901
      @citylinkproject9901 Год назад

      Afrika ya kati ni nchi moja tu , central Africa republic mji mkuu bangui

  • @RichardJailo-pp7kj
    @RichardJailo-pp7kj Год назад

    🗣️haoooo washamba chombo cha habar kina tumika

  • @godlistenmatilya5429
    @godlistenmatilya5429 Год назад +1

    Safi sana.

  • @JacklineMatekere
    @JacklineMatekere Год назад

    Ni kweli wasife moto na maoni ya wachache kuhusiana na hatua mliofikia kwani chako ni chako cha mwenzio sio chako

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 Год назад +1

    Mmmh msipakie mawe bs nanyie kwenye ndege 😂 hio yà mizigo

  • @JacklineMatekere
    @JacklineMatekere Год назад

    😂Ni kweli wasikatizwe ts

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 Год назад +1

    Hayo ndo maono ya JPM,tukubali tisikubali yeye alikuwa muongoza njia thabiti

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 Год назад +4

    Magu alikuwa si mtu wa mchezo mchezo

  • @NicholausKapolombo
    @NicholausKapolombo Год назад

    central africa na mji mkuu ni bangui

  • @ManaseBuhanza-cl1lc
    @ManaseBuhanza-cl1lc 6 месяцев назад

    Wamarekani kutua kigoma kwenye ziwa kuona mafanikio ya ziwa samaki wakubwa sana na dagaaa wa kutosha ila kufunguka fursa hasa rais awasubri wageni wanao reta fursa tanzania ni wa sasa wa wageni tanzania

  • @maase2023
    @maase2023 Год назад +1

    Kaa jamani kupata ndege ya mzigo imekuwa kama limbukeni! Duh yaani hata ndege ikipakia mkaa basi lazima ionyeshwe jamani mbn tunakuwa hivi

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx Год назад +1

      Wivu .sisi lazima tushangae kwan sy rahis tz kuwa na ndege ya mizigo.magufuli hongera sana.magufuli alikuwa hatanii.akisema kitu amesema.angekuwepo hadi leo tungekuwa tunalipwa kila mwezi tusio na kaz

    • @maase2023
      @maase2023 Год назад

      @@emmanuelmlowe-ew7gx 🤣🤣🤣🤣🤣 kweli una ndoto za alinacha ww! Kakojoe ulale

  • @hallin9561
    @hallin9561 Год назад +1

    Kumbe Tanzania tunazalisha magurudumu au mim ndio sijaelewa

  • @JacklineMatekere
    @JacklineMatekere Год назад

    Msife moto kwà hatua mliofikia na maoni ambayo si mazuri tujivunie na ATCL ya kwetu kwani chako ni chako cha mwenzio sio chako

  • @ZechKejo
    @ZechKejo Год назад

    ❤ it

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 Год назад +1

    R.I.P.JPM

  • @jumannerajabu8259
    @jumannerajabu8259 Год назад +4

    hakuna twiga upo kweri mana nchi hii nikichwa cha mwenda wazimu

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 Год назад

    Yani mtu anafanya kaz earport dah

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 Год назад

    Hayo matairi hayo jaman utakuta kuna kitu katikati yake

  • @lwagamwakalinga8038
    @lwagamwakalinga8038 Год назад +13

    Nchi gani ndege yetu inapeleka mzigo maana hakuna nchi za Africa ya kati lazima kuna nchi mojawapo ya Africa ya kati itaje au zitaje ndugu mtangazaji

    • @Mrnyuki0428
      @Mrnyuki0428 Год назад +1

      Kuna Taifa linaitwa afrika ya kati kama ilivyo afrika kusini

    • @Mrnyuki0428
      @Mrnyuki0428 Год назад

      Mji mkuu wakee unaitwa bangii

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 Год назад

      Division IV

    • @sharifhassanaly6951
      @sharifhassanaly6951 Год назад

      Ipo inaitwa cantre Afrique am RCA

    • @lwagamwakalinga8038
      @lwagamwakalinga8038 Год назад +1

      Iko hivi,mtangazaji anasema ndege inaenda nchi za Africa ya kati sasa ukisema nchi za Africa ya kati ziko nyingi angesema direct ndege inaenda Nchi ya Africa ya kati. Ni kama ukisema ndege ndege inaenda nchi za kusini mwa Africa ukitumia neno "ZA" nchi ziko nyingi kusini mwa Africa lkn ukitumia "YA" unakuwa umeilenga nchi direct

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 Год назад

    Muda si mrefu utasikia atcl inapata hasara ndege hazifanyi kazi hii ndiyo Tanzania yetu

    • @LucasSabida
      @LucasSabida Год назад +2

      Kila kitu ni hatua, tusiwe wepesi wa kulaumu tu kila wakati. Tunifunze pia kuwa na subira. Mambo mazuri huja taratibu

  • @ibrahimsaid133
    @ibrahimsaid133 Год назад +1

    Nikajua mnatak kuzbinafsisha nazenyewe

  • @MathiasLukanda
    @MathiasLukanda Год назад

    Hakuna safari ya egypt angalau mara 1 kwa mwaka

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk Год назад +1

    Msiwe mmewapinda twiga wetu humo mnawaperekea waume zenu DP

  • @RahimaMct-ik8mr
    @RahimaMct-ik8mr Год назад

    Shukuran miladiayo

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 Год назад

    Matael ya vifaru

  • @yassinm69
    @yassinm69 Год назад +2

    Kila nchi ina ndege bwana ,wabongo msituchoshe

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Год назад

    Jpm hoyeeeee!

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Год назад

    imebinafsishwa nayo?!

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 Год назад

    Miaka mitatu tuu zitaparki zote hzo

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 Год назад +1

    Ni hatua nzuri nafikiri ingekuwa bora wangekuw wanasema na gharama ili kama kuna wafanyabiashara wengine waone kama wanaweza kuitumia maana inaonekana kuwa na ufanisi mkubwa sana

  • @braitonmhagama9102
    @braitonmhagama9102 Год назад +1

    Matairi ya magari ya kivita, na matairi ya gari migodini 😅😅😅

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Год назад +1

    Ndege inazungushwa hapa africa ulaya haiendi maana itakamatwa

  • @denniskimaro4143
    @denniskimaro4143 Год назад

    Hivi kuna haja ya mabishano kweny swala kama hili kwel??? Habar ipo clear ndege inafanya kazi kusafirisha mizigo thus all you need to know. Sioni haja ya mtu kumkosoa mwandishi wa habar

  • @kanikiommy5167
    @kanikiommy5167 Год назад

    Usijifanye kujua kaakimya

    • @Suleimandubwa
      @Suleimandubwa Год назад

      Wabongo bana,kazi kuwaza negative tuuuuuu.badilikeni bana

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 Год назад

    Rip JPM

  • @yassinrajabu6511
    @yassinrajabu6511 Год назад +1

    sasa naizi ndege tuli ambiwa zinatia hasala mimi nazani nazo tuwape waalabu

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 Год назад +2

    nyie wajinga sana kama mnaamini hio ndege inasafirisha matairi na viti... hapo kuna magendo ndani